×

Habari

Mkurugenzi Wa Ilemela, Mwanza Akanusha Taarifa Za Wanawake Kujifungua Sakafuni

OFISI ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza imekanusha taarifa za wanawake kujifungua sakafuni katika kituo cha afya cha...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Decemba 19, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 12, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Yaliyojicha Kuhusu Historia ya Misri ndani Ya Kasino

Secret Book of Amun Ra sloti unatufanya turejee Misri ile ya kale yenye maandiko mbalimbali ya vitabu na historia isiyosahaulika...

READ MORE

Video: Ndugu wa Mtanzania Aliyeuawa Israel Afunguka Baada ya Kusambaa Video kwenye mitandao ya kijamii

Baada ya video ya Mtanzania aliyeuawa Israel kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Global Tv imefanya mahojiano na Ndugu wa Joshua...

READ MORE

Rais Samia Aikabidhi Benki ya NBC Tuzo ya Heshima Kutambua Mchango Wake Ukuzaji Sekta ya Viwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekabidhi ya tuzo ya heshima  kwa benki ya Taifa ya...

READ MORE

Vodacom Yakabidhi Bima za Afya 200 Kwa Wanawake na Watoto Jijini Mwanza

    Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom, imetoa bima za afya 200 kwa wanawake na watoto 200 pamoja...

READ MORE

Hanang, Tigo Watoa Msaada Wa Mahitaji Muhimu Kwa Waathirika

Meneja Wa Tigo, Kanda ya Kaskazini akikabidhi msaada kwa mkuu wa Wilaya ya Hanang, Janeth Mayanja, Hanang jana. Manyara 18...

READ MORE

Rafat Aibukia Uongozi Chipukizi Taifa

Mtoto Rafat Ally Simba ambaye hivi karibuni alitikisa vyombo mbalimbali vya habari nchini baada kuandika na kuzindua kitabu chake cha...

READ MORE

Mhandisi Luhemeja: Tufanye Kazi Kwa Ushirikiano na Kutangaza Mafanikio Yetu

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amefanya kikao kazi na watendaji...

READ MORE

Mechi ya Liverpool Dhidi ya Manchester United, Maokoto Nje Nje

Mchezo kati ya Liverpool na Manchester United unaotarajiwa kupigwa leo katika dimba la Anfield unaweza kua sehemu ya kupiga maokoto...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Akemea Wanasiasa Wanaokwamisha Miradi Ya Maendeleo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  Mohamed Mchengerwa amekemea tabia ya wanasiasa na...

READ MORE

Mchengerwa Ataka Mganga Mkuu Kagera Kusimamishwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Serikali za Mitaa Tawala za Mikoa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemwagiza katibu Mkuu TAMISEMI kutengua...

READ MORE

Israel Yaomboleza vifo vya mateka wa Israel waliouawa kimakosa na jeshi lake

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameyataja mauaji ya mateka hao kuwa ni “janga lisilovumilika” na kuahidi kuendelea “kwa juhudi...

READ MORE

OSHA Yaagizwa Kusajili Maeneo Yote ya Kazi nchini Ifikapo Juni 2024

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeagizwa kusajili maeneo yote ya kazi nchini pamoja na kuhakikisha kwamba...

READ MORE

Wafanyakazi Benki ya NBC, Wadau Waanza Safari Kuitambulisha POS ya NBC Mlima Kilimanjaro

Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na wadau mbalimbali wa utalii mkoani Kilimanjaro wameanza safari ya kihistoria ya...

READ MORE

Ni Zamu Ya Madereva Bajaji Kupokea Msaada Kutoka Meridianbet

Meridianbet inaendelea kufanya ambayo imekua ikiyafanya kwa muda mrefu nayo sio kitu kingine ni kurudisha katika jamii yake ambayo imekua...

READ MORE

Wadau Wa Filamu Wafundishwa Jinsi Ya Kuonesha Filamu Za Hadharani Na Faida Zake

Dar es Salaam 14 Desemba 2023: Kampuni Ya Ajabuajabu ya hapa nchini na A wall Is A Screen ya nchini...

READ MORE

Viongozi wa Sun Broadcasting ya Zambia Watinga Ofisi za Global TV Dar es Salaam

Viongozi wa Sun Broadcasting Holding Limited yenye makao yake makuu Ndola, Zambia, leo Desemba 16, 2023 wametembelea ofisi za Global...

READ MORE

Jumamosi Hii Ni Kupiga Mkwanja Tu Na MeridianBet

Jumamosi hii Meridianbet inataka kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa leo katika ligi tofauti tofauti...

READ MORE

Mbunge Mahawanga Awataka Mabinti Na Vijana Kutumia Vipaji Vyao Kama Fursa Ya Kujikwamua Kiuchumi

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundation Mhe....

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile Akabidhi Kontena Lenye Vifaa vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali...

READ MORE

Serikali yaijibu EU sakata la Ngorongoro kuilinda hifadhi

SERIKALI ya Tanzania, imesema haitumii nguvu katika kuwaondoa wananchi jamii ya kimasai wanaoishi Hifadhi ya Ngorongoro, bali inawaondoa kwa hiari...

READ MORE

Mwandishi Wa Al Jazeera, Samer Abu Daqqa, Afariki Gaza

Mwandishi wa habari na Mpiga picha wa Shirika la habari la Al Jazeera, Samer Abu Daqqa aliyejeruhiwa katika shambulio la...

READ MORE

Serikali: Hakuna Mtumishi Wa Taasisi Zilizounganishwa Au Kufutwa Atakayepoteza Ajira

Taarifa ya Ofisi ya Mipango na Uwekezaji imefafanua kuwa hakuna Mtumishi atakayepoteza ajira katika hatua za kuunganisha na kufuta baadhi...

READ MORE

Video: Kijana Aliyemuua Mama Yake Na Kumtupa Kwenye Shimo La Choo Arusha Akutwa Na Hatia Ahukumiwa

Kijana Patrick Mmasi(19) Mkazi wa Njiro, anayetuhumiwa kumuua mama yake na kumtupa kwenye shimo la choo amekutwa na hatia.

READ MORE

Wabunge wa Marekani wanaweka wazi uwezekano kufikia msaada kwa Ukraine

Wabunge wa Marekani wanaweka wazi uwezekano wa kufikia makubaliano ya msaada kwa Ukraine, kabla ya kuondoka mjini Washington kwa likizo...

READ MORE

Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao Yawatembelea Waathirika wa Maporomoko Hanang

Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao ikiongozwa na mwenyekiti wake, Steve Mengele @stevenyerere2 leo Desemba 15, 2023 imeanza rasmi ziara yake mkoani...

READ MORE

Rita Na Nida Zaunganishwa Kuwa Taasisi Ya Utambuzi Wa Matukio Muhimu Maishani

Ofisi ya Mipango na Uwekezaji imetoa tangazo la kuunganishwa kwa Mashirika ya kadhaa yakiwemo Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...

READ MORE

Mashirika, Taasisi 16 za Serikali Zaunganishwa, 4 Zafutwa

Serikali imeridhia mapendekezo ya timu ya wataalam walioteuliwa kufuatilia mienendo ya mashirika manne, ambapo mashirika manne yamefutwa huku mengine 16...

READ MORE

CPA. Mkama Azitaka Taasisi za Kifedha Kuchangamkia Fursa Zitokanazo na Masoko ya Mitaji

OFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) CPA Nicodemus Mkama, amezitaka kampuni za uwekezaji, zikiwemo...

READ MORE

#Exclusive Video: Mfanyabiashara Maarufu Wa Nguo Kariakoo Aangua Kilio Hadharani – Afunguka Mazito

Mfanyabiashara maarufu Kariakoo, Diana Zambi, @diana_international_ agent ameangua kilio cha uchungu kutokana na changamoto anazokutana nazo kwenye biashara yake, ambapo...

READ MORE

Rais Biden Asifia makubaliano yaliyotiwa saini kwenye mkutano wa COP 28 Dubai

Katika taarifa iliyotolewa Jumatano, Biden alipongeza makubaliano hayo ambayo kwa mara ya kwanza yamejikita katika kuondoka kwenye matumizi ya mafuta...

READ MORE

Kimzaamzaa, Jamaa Waula Mamilioni Ya Fedha Magifti Dabodabo Droo Ya Nne

Dar es Salaam, 15 Desemba 2023: Unachoweza kusema kiurahisi ni kwamba Jamaa wameula kimzaamzaa mamilioni ya Kampeni ya Magifti Badodabo....

READ MORE

Miujiza Ya Nabii Jackson Ibrahim Kutoka Arusha Yaibua Mazito Dar, Umati Wafichuliwa Yanayowatesa

Dar es Salaam 14 Desemba 2023: Nabii Ibrahim Jackson wa Kanisa la Power Of Perfection lililopo Mtaa wa Tanzanite Kwa...

READ MORE

Serikali ya Israel Yaijulisha Tanzania kuwa Joshua Mollel Aliuawa na Hamas

Serikali ya Israel imeijulisha Tanzania kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel aliuawa mara tu baada ya kutekwa na...

READ MORE

Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy Atunikiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa

Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy leo Desemba 14, 2023 ametunikiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD)...

READ MORE

Kocha wa Yanga Hataki Masikhara Kupanga kikosi cha CAF dhidi ya Mtibwa Sugar

KOCHA Mkuu wa Yanga Muargentina, Miguel Gamondi hataki masikhara amepanga kuendelea kikosi alichokuwa anakitumia katika hatua ya Makundi Ligi ya...

READ MORE

Knauf Gypsum Yatoa Msaada wa Vifaa vya Ujenzi kwa Wakazi wa Hanang

Kampuni ya uzalishaji wa vifaa vya ujenzi ya Knauf Gypsum Tanzania imeungana na Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kutoa msaada...

READ MORE

Kimasihara Tu, Mama Lishe Dar Aondoka Na Milioni 10 Ya Magifti Dabodabo

Disemba 14, 2023 Ni kama masihara lakini ukweli ni kwamba Bi . Rehema Makunganya Mkazi wa Mbezi Kimara anayefanya biashara...

READ MORE