×

Habari

#Breaking: Rais Samia Afanya Uteuzi Na Uhamisho Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Makatibu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Desemba 14, 2023 ameteua na kufanya mabadiliko ya uteuzi kwa...

READ MORE

Rais Samia Amteua Jaji Mshibe Ali Bakari kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TMA

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji Mshibe Ali Bakari kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hali ya...

READ MORE

Rais Samia Ateua M/Kiti, Makamu Wa Bodi Ya Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Adadi Mohamed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, Decemba 14, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 14, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Kitengo Kipya Cha Ufuatiliaji Wa Usalama Wa Safari Nchini Tanzania Chazinduliwa Na Bolt

Dar es Salaam, tarehe 13 Desemba 2023- Kampuni inayoongoza kwa uhitaji wa usafiri barani Afrika Bolt, imezindua vitengo vipya vya...

READ MORE

A Brave Woman Rises: Celebrating The Success Of The Mwanamke Shujaa Campaign In Tanzania

In the bustling streets of Tanzania, from Dar es Salaam to the Tanga Region, a revolution is stirring. The protagonists...

READ MORE

Sekta Binafsi Kushirikishwa Masuala ya Maji

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka Watendaji wa Wizara ya Maji kutekeleza miradi kwa weledi, viwango na kuzingatia...

READ MORE

Cheza Kasino ya Mtandaoni Leo Uingie kwenye Mgao wa Tsh Bil 2

Kama wewe ni mchezaji wa kasino ya mtandaoni basi msimu huu wa Sikukuu Meridianbet haitakua kinyonge, ni lazima ufunge mwaka...

READ MORE

Mwigulu Azindua Ofisi za Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania Kanda ya Kaskazini

Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo amezindua Ofisi ya Kanda ya Kaskazini ya Benki ya Maendeleo ya...

READ MORE

Mtoto Mwenye Ndoto Za Kuwa Rais Afunguka ”Mimi Sio Mlemavu, Nipelekeni Shule” – Video

Mtoto Johnson Noel, amezaliwa akiwa na ulemavu lakini licha ya changamoto hiyo na umri wake mdogo, Mungu amemjaalia upeo mkubwa...

READ MORE

Chid Benz Amilila Director Nisher, “Mmenishtua Sina Taarifa Yoyote” – Video

  Kufuatia kifo cha Mtayarishaji wa video za muziki mahiri, Nic Davie almaarufu Director Nisher, Global Tv imefanya mahojiano na...

READ MORE

Naibu Waziri Dugange: Idadi Majeruhi wa Mafuriko Hanang Wanaoendelea na Matibabu Yapungua

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange amesema idadi majeruhi wa mafuriko ya tope Hanang...

READ MORE

Wafanyabiashara Songwe Watakiwa kuwachukua Askari kuwasindikiza (Escort) kwenda kuuza madini

Wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe wametakiwa kuwachukua askari kwa ajili ya kuwasindikiza (Escort) wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini...

READ MORE

Mitandao ya Kijamii Inavyoweza Kutibua Mapenzi

NI Ijumaa nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji wa kona hii nzuri, mahali tunapoelekezana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Leo napenda...

READ MORE

SBL Yaungana na Kampuni Tanzu ya Umoja wa Mataifa Kwenye Malengo Endelevu

  Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited leo imetia saini makubaliano ya kuwa mwanachama wa UN Global Compact (UNGCT)...

READ MORE

Mwimbaji nyota Zahara wa Afrika aagwa

Familia ya mshindi wa tuzo ya uimbaji Zahara, iliongoza utoaji wa heshima za mwisho kwa mwimbaji huyo nyota ambaye amefariki...

READ MORE

Prof Tibaijuka Aiangukia Serikali Ya Rais Samia – “Tunaomba Mtusaidie Kuiondoa Sheli Mtaani Kwetu”- Video

Mwanasiasa mkongwe nchini, Profesa Anna Tibaijuka, amewasha moto mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipinga...

READ MORE

Waziri Ulega amewataka madaktari wa mifugo kuhakikisha wanasimamia ipasavyo shughuli za sekta ya mifugo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka madaktari na wataalamu wa mifugo kuhakikisha wanasimamia ipasavyo shughuli za sekta ya...

READ MORE

Benki Ya NBC  Yazindua Kampeni Ya”Tabasamu Tukupe Mashavu’’ Kumwaga Zawadi Kwa Wateja Msimu Wa Sikukuu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni yake ya msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka  inayofahamika kama “Tabasamu...

READ MORE

Cheza Ushinde Yakabidhi Zawadi Ya Pikipiki Kwa Mshindi

 Mchezo mpya wa CHEZAUSHINDE, unaoendeshwa na Airtel Money kwa kushirikiana na Whiteball leo wamemkabidhi rasmi mshindi wa kwanza wa Jackpot...

READ MORE

Droo Ya Nane Ya Washindi Wa Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Watajwa

Wawakilishi kutoka SBL wakitangaza washindi 8 Raundi ya 8 katika droo ya camping ya Maokoto ndani ya Kizibo chini ya...

READ MORE

Profesa Ndalichako aipongeza GGML udhamini tuzo muajiri bora 2023

Makamu Rais wa AngloGold Ashanti -GGML anayeshughulikia miradi endelevu na masuala ya ubia/ ushirika (Afrika), Simon Shayo akizungumza katika hafla...

READ MORE

Pesa Ipo Leo Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya

Jumanne ya usiku wa Ulaya ndio hii hapa kama tunavyojua hizi ni mechi za mwisho za kuamua hatma ya baadhi...

READ MORE

Mshindi wa Maokoto Chini ya Kizibo Aondoka na Zawadi ya Shilingi 500,000

Mshindi wa shindano la maokoto kutoka Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro linaloendeshwa kupitia vizibo vya vinywaji vya Kampuni ya Bia...

READ MORE

Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maji Kufanyika Arusha

Waziri wa Maji Jumaa Aweso anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa sekta ya maji utakaofanyika kwa siku...

READ MORE

Tigo Yawapeleka Dubai Kuinjoi Washindi 16 Wa Magifti Dabodabo Awamu Ya Kwanza

Dar es Salaam, 12 Desemba 2023: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imewapeleka Dubai washindi 16 wa...

READ MORE

Kulia kwa Ajili ya Mapenzi si Kutatua Tatizo

KARIBU mpenzi msomaji wa Sindano za Mastaa, wiki iliyopita ulikuwa na staa wa Bongo Fleva, Dayna Nyange lakini wiki hii...

READ MORE

Padre wa Kanisa Katoliki nchini Marekani afariki baada ya kushambuliwa kanisani

Padre mmoja wa kanisa katoliki amefariki baada ya kushambuliwa katika eneo la kanisa katika jimbo la Nebraska nchini Marekani. Polisi...

READ MORE

Hati Fungani ya NMB Jamii Yaandika Historia Kwa Kukusanya Tsh Bilioni 400 

Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki, baada ya Hati Fungani ya NMB Jamii kukusanya Tsh Bilioni 400, ikiwa...

READ MORE

Kampuni ya Bima ya Phoenix Tanzania yabadilisha jina kwenda MUA Tanzania

Kampuni ya Bima ya Phoenix Tanzania yabadilisha jina kwenda MUA Tanzania kuakisi ubora na ukuaji wa huduma Dar es Salaam,...

READ MORE

Kasino ya Rhino Mania Ubora wa Mchezo Ndani ya Meridianbet

Rhino Mania ni mchezo wa sloti unaoletwa na mtoa huduma Platipus. Kuna aina mbalimbali za bonasi zinazokusubiri katika mchezo huu...

READ MORE

Benki ya NBC, Wafanyakazi Wakabidhi Msaada Kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) sambamba na wafanyakazi wa benki hiyo leo wamekabidhi msaada wa fedha taslimu kiasi cha...

READ MORE

Waathirika Wa Mafuriko Hanang Wafarijiwa Shilingi Milioni 100 Na Camel Oil, Cement

KAMPUNI ya Amsons Group kupitia kampuni zake za Camel Oil na Camel Cement zimekabidhi hundi ya Sh.milioni 100 kwa Serikali...

READ MORE

Makamu wa Rais Philip Mpango Awajibu Waliomzushia Kifo “Nawaombea Msamaha Kwa Mungu Awasamehe”- Video

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amewashukuru Watanzania kwa kumuombea huku akibainisha kuwa alikuwa nje ya nchi kwa...

READ MORE

#Exclusive Video: Designer Mkongwe Jadore Aahidi Kutoa Sare Za Shule Kwa Wanafunzi 5,000

Mwanamitindo maarufu hapa nchini na nje ya nchi, Jadore Couture @j_adorecouturetz amesema kuwa hakuna kitu kilichokuwa kinamuumiza akiwa mdogo kama...

READ MORE

CRDB leo Yakabidhiwa Cheti cha Viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA

Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika...

READ MORE

Wafanyakazi Wa Benki Ya Azania Walivyofika Kwenye Kilele Cha Mlima Kilimanjaro

Wafanyakazi wa Benki ya Azania wakiwa kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. Kundi la Wafanyakazi 22 wa Benki ya Azania lilianza...

READ MORE

Magifti Dabodabo Ilivyotua Simiyu

Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Tigo imekabidhi kiasi cha Shilingi Milioni Tano kwa Robin Brasio ambaye ni mkazi wa...

READ MORE

Mbunge Eric Shigongo Aewataka vijana kupambana kufa na kupona kuhakikisha wanatimiza ndoto zao

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewataka vijana kupambana kufa na kupona kuhakikisha wanatimiza ndoto zao na kufanikiwa maishani kwani ukiwa...

READ MORE

TATO Yatoa Shilingi Milioni 128 Kusaidia Waathirika Wa Janga La Hanang

CHAMA cha Mawakala wa Utalii nchini (TATO) kupitia wanachama wake kimetoa misaada yenye thamani ya dola za Marekani 51,200 (...

READ MORE