×

Habari

Shule ya Jeshi la Polisi Moshi Yapewa Msaada wa Vitanda na Benki ya Exim

Benki ya Exim imekabidhii seti ya vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro kama sehemu...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Ajibu Maswali Ya Wabunge Na Kutoa Maelekezo – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amezielekeza Taasisi za Serikali ziendelee kujipanga kukabiliana na maafa kwa kushirikiana na wadau kutekeleza majukumu yaliyoainishwa...

READ MORE

Breaking: Watu 30 Wanusurika Kifo Jangwani Wakielekea Kariakoo – Video

Zaidi ya watu 30 waliokuwa wamepanda daladala kuelekea Kariakoo wamenusurika kifo baada ya kuvamiwa na maji wakiwa katikati ya daraja...

READ MORE

Mchengerwa: Tutazipima Halmashauri Kwa Kubuni Vyanzo Vipya Vya Mapato

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema kigezo cha ziada...

READ MORE

Xavi kusalia kama kocha wa Barcelona hadi Juni 2025

Kocha wa Barcelona Xavi atasalia katika klabu hiyo hadi mwisho wa mkataba wake mnamo Juni 2025 baada ya kubadilisha mawazo...

READ MORE

Daraja la Mto Luipa Kunusuru Maisha ya Wananchi wa Mlimba, Morogoro

Wakazi wa Vijiji vya Kisegese, Chiwachiwa na Lavina katika Kata ya Namawala wataepuka hatari ya kupoteza maisha baada ya daraja...

READ MORE

Benki ya NBC Yakabidhi Msaada wa Vitanda Shule ya Polisi Moshi

Benki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro ikilenga kuboresha...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa, Shigongo Awasha Moto Bungeni Kisa Kina Mama – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Sengerema Mwanza Eric J. Shigongo hapo jana katika Bunge la 12 Mkutano wa 15 katika...

READ MORE

Kama Zali! Jamaa Aibuka Na Milioni 10 Za Kampeni Ya Tigo Soka La Afrika Limetiki

Mshindi wa Promosheni ya Soka la Afrika limetiki Raphael Songalaeli (wa pili kulia) akipokea mfano wa hundi ya Sh milioni...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya Leo Aprili 25, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

Ushirikiano Wa Kimkakati Kati Ya Benki Ya Stanbic Na Ramani.io Kuboresha Sekta Ya Biashara Nchini

Dar es Salaam, Tanzania, 22/04/2024. Benki ya Stanbic Tanzania ambayo ni kiungo muhimu katika sekta ya huduma za kibenki nchini...

READ MORE

Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi Alivyoaga Baada Ya Kuhitimisha Ziara Ya Siku Tatu Mkoani Ruvuma

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi pichani akipunga mkono kuwaaga mamia ya wananchi, walioongozwa...

READ MORE

Baada Ya Kupata Mafunzo Ya Usalama Barabarani, Madereva Bodaboda Jijini Dodoma Wakiri Kupata Uelewa

Baada ya Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswisi nchini Tanzania kuanza kutoa mafunzo ya usalama barabarani awamu ya pili...

READ MORE

Rais Samia Atunuku Nishani Za Miaka 60 Muungano Na Kuzindua Kitabu – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Aprili 24, 2024 atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri...

READ MORE

Chimbo Jipya la Hela ni 420 Blaze It Kasino

Je, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet...

READ MORE

Yanga Yaingia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL – Video

Klabu ya Yanga imengia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL, wenye makubaliano ya kubadilishana huduma ambapo...

READ MORE

Ugawaji Taulo za Kike Watajwa Kutokomeza Utoro Shuleni

  Na Mwandishi Wetu BAADHI ya wanafunzi na walimu wa shule za sekondari mkoani Geita wamesema zoezi la ugawaji wa...

READ MORE

Infinix Yawapa Fursa Wateja wa Note 40 Series Kwenda Dubai, China na Mkwanja wa Hadi Mil. 2

    Kampuni ya simu za mkononi ya Infinix @infinixmobiletz  imewatangaza washindi wa Promosheni ya Paa na Manoti wa wiki...

READ MORE

Waziri Mavunde Afuta Maombi Ya Leseni Za Madini 227

Waziri wa Madini,  Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla ya maombi ya leseni 227 ambayo...

READ MORE

Waziri Jafo: Hoja Ya Kutaka Watu Wa Bara Kuingia Zanzibar Kwa Pasipoti Ni Kuturudisha Nyuma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Saidi Jafo amesema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Tupunguze Matumizi Ya Pombe Isiyozimuliwa Ili Kukabiliana Na Magonjwa Yasiyoambukiza

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa iwapo jamii itapunguza matumizi ya pombe isiyo zimuliwa yaliyokithiri itasaidia kukabiliana na kuepukana...

READ MORE

Wakulima Kunufaishwa Na TBL Kupitia Masoko Ya Kikanda

Kampuni ya Tanzania(TBL), imedhamilia kuwasaidia wakulima wa Tanzania kwa kutambua uwezo wao wa kulisha watu, viwanda na biashara katika ukanda...

READ MORE

Seneti ya Marekani yapitisha mswada unaoweza kupiga marufuku TikTok

BUNGE la Seneti limeidhinisha mswada wa kihistoria wenye utata ambao unaweza kusababisha TikTok kupigwa marufuku nchini Marekani. Mswada huo unampa...

READ MORE

Exim Bank Kupitia Mpango wa WEP Yaendelea Kuwainua Kiuchumi Wanawake Wajasiriamali

  Arusha, 23 Aprili 2024. Exim Bank, kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (WEP), imetoa mafunzo kuhusu masuala ya...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dahamira Yake Kuunga Mkono Jitihada za Kuendeleza Serikali za Mitaa

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka za Serikali za...

READ MORE

Benki Ya Azania Bega Kwa Bega Na Mabalozi

Benki ya Azania kwa kushirikiana na Kituo Cha Uwekezaji (TIC) waliandaa hafla ya “Usiku wa Uwekezaji” iliyoambatana na chakula cha...

READ MORE

Polisi DSM Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kifo Cha ‘Babu G’

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika...

READ MORE

Tumieni Uzoefu Wenu Kuharakisha Mabadiliko, Balozi Kusiluka

Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo...

READ MORE

Cheza Blackjack2 Timiza Ndoto Zako na Meridianbet Kasino

Blackjack 2 ni moja ya mchezo wa kadi rahisi sana kucheza na kuibuka mshindi, wakati huo unafurahia mhcezo kutoka Meridianbet...

READ MORE

Watuhumiwa 12 Waliodakwa na kilo 726.2 za Dawa za Kulevya Wafikishwa Mahakamani.

  Watuhumiwa watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoani Pwani jana tarehe 22 Aprili, 2024 wakikabiliwa na mashtaka ya...

READ MORE

Rais Samia Aagana na Balozi wa Rwanda Nchini Ikulu Chamwino, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Aprili 23, 2024 amezungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania,...

READ MORE

VunaDeile Yashirikiana na Mradi wa BBT Kutoa Hamasa kwa Vijana Kujiajiri Kwenye Kilimo

KAMPUNI ya Three Oceans Ltd inayojishughulisha na uendeshaji wa mchezo wa kubashiri wa VUNADEILE imesema itaendelea kushirikiana na serikali katika...

READ MORE

Vodacom Watoa Msaada kwa Waathirika wa Mafuriko ya Rufiji na Kibiti

  Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kupitia Taasisi ya Vodacom Foundation, imetoa msaada wa kibinadamu wenye thamani ya...

READ MORE

Waziri Silaa Arejesha Kiwanja Kilichoporwa Na Tajiri Wa Mabasi Ya Tanga – Video

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema kazi yake yeye ni kama bishara ya utumbo na...

READ MORE

Watu 10 wafariki baada ya helikopta za Jeshi la Wanamaji kugongana angani Malaysia

Watu kumi wamefariki dunia baada ya helikopta mbili za jeshi la wanamaji kugongana angani wakati wa mazoezi ya kijeshi ya...

READ MORE

White House Yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria

White House inatathmini njia za kutoa hadhi ya muda ya kisheria na vibali vya kufanya kazi kwa wahamiaji nchini Marekani...

READ MORE

Waziri Mkuu Aonya Kuhusu Rushwa Kitega Uchumi Cha Stendi Ya Kange

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya viongozi wanaogawa maeneo kwenye kitega uchumi kipya cha Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Centre kilichopo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 23, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Polisi Kanda Maalum DSM Yamnasa Furaha wa Kuposti Picha Chafu Mtandaoni

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu wawili, Japhari Mwinyimvua (40) mlinzi ...

READ MORE

NMB Yadhamini Mkutano Mkuu ALAT Taifa; Rais Samia Kufungua

BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 120 kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya...

READ MORE