×

Habari

Siku ya Wanawake Duniani Buchosa Wamfariji Mtoto Mlemavu

Siku ya wanawake duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 8 ya mwezi wa tatu ambapo wanawake hukutana katika maeneo mbalimbali...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Taarifa Ya Athari Za Mvua Lindi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watendaji wa Serikali wanaosimamia urejeshaji wa hali katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua mkoani Lindi wahakikishe...

READ MORE

Mbowe Akimbilia Mahakamani Kuinusuru nyumba Ya Mtoto Wake!

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa...

READ MORE

Balozi Dkt. Nchimbi Atembelea Vyombo Vya Habari Vya Uhuru Fm, AMGL, UPL NA UMG Jijini Dar

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Naibu Mkurugenzi wa...

READ MORE

GGML yataja siri kuongeza idadi ya wanawake kwenye madini

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesema mojawapo ya siri iliyouwezesha mgodi huo kuongoza nchini kwa kuongeza idadi...

READ MORE

Wanawake WCF Watoa Msaada Gereza la Segerea

Wafanyakazi wanawake wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wametoa msaada wa mahitaji muhimu kwa wanawake mahabusu na wanaotumikia kifungo...

READ MORE

Waburutwa Mahakamani Kwa Kesi ya Uhujumu Uchumi, Kusafirisha Sukari Kwa Njia ya Magendo

WAKAZI saba wa Jijini Dar es Salaam,  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mbele ya mahakimu watatu tofauti wakikabiliwa...

READ MORE

Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Yameanza Rasmi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa safari ya matumizi ya nishati safi ya...

READ MORE

Ujenzi wa Barabara ya Mikumi- Ifakara Kwa Kiwango cha Lami Wafikia Asilimia 86

Serikali ya awamu ya sita inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya Kitaifa Mkoani Morogoro ikiwemo Ujenzi wa Barabara ya Mikumi –...

READ MORE

Carina Kufanyiwa Upasuaji Tena Hospitali ya Bungando, Apata uvimbe Kwenye Figo

Msanii wa Bongo Muvi, Carolinahawa ‘Carina’ amegundulika tena kwa mara nyingine kuwa ana uvimbe kwenye figo ambao umenaonekana hata kwa...

READ MORE

Bi. Lenes Masebo Ashikwa Mkono Na Mtandao Wa Polisi Wanawake Songwe

Bi. Lenes Masebo Mkazi wa Itumba wilayani Ileje mkoani Songwe atembelewa na Mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Songwe kwa...

READ MORE

Mbunge Wa Wanawake Dar, Alivyozusha Shangwe Kwa Kinamama Lishe, Amuunga Mkono Rais Samia

Mbunge wa Viti Maalum Wanawake jijini Dar es Salaam, Janeth Mahawanga akizungumza kwenye mkutano huo. Dar es Salaam 7 Machi...

READ MORE

Konstebo Haruna Aguswa Na Mtandao Wa Polisi Wanawake Songwe

Kuelekea kilele cha siku ya wanawake duniani ambayo ni Machi 08 Mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Songwe (TPF Net)...

READ MORE

Waziri wa Ujenzi Amsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji...

READ MORE

Bil.3o Kukarabati Barabara Zilizoharibiwa Na Mvua – Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan tayari...

READ MORE

Dkt. Biteko Amtembelea Rais Wa Zanzibar Kuhani Msiba Wa Mzee Ali Hassan Mwinyi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amemtembelea na kumpa pole Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt.Nchimbi: Marekani ni Rafiki Zetu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema dhamira ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 7, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

ACT Wazalendo Wamchagua Othuman Masoud kuwa Mwenyekiti wa Chama – Video

Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo umemchagua Othuman Masoud kuwa mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuchaguliwa kwa kura...

READ MORE

Halotel Yasherehekea Siku ya Wanawake Duniani Kwa Kutembelea Kituo Cha Watoto Yatima Malaika

Halotel kuonesha dhamira yao katika kujali jamii iliweza kutembelea kituo cha watoto yatima cha Malaika kilichopo Mwananyama – Mango Garden...

READ MORE

Waziri Gwajima Awafunda Wanawake 5 GGML Waliohitimu Mafunzo ya Uongozi

  JUMLA ya wafanyakazi watano wanawake kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamehitimu mafunzo ya juu ya uongozi...

READ MORE

Shirika La Amend Laendesha Mafunzo Ya Usalama Barabarani Na Huduma Ya Kwanza Kwa Bodaboda

Shirika la Amend kupitia ufadhili wa ubalozi wa Uswizi wanaendesha mafunzo ya usalama barabara ikiwemo huduma ya kwanza kwa madereva...

READ MORE

Waziri Dk. Ndumbaro Awaagiza Wasanii Kujiunga Na Mfuko Wa Hifadhi Ya Jamii Ili Waje ‘Kukokotoa’ Mafao

Dar es Salaam 6 Machi 2024: Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaagiza wasanii nchini kujiunga na...

READ MORE

Yafahamu Mataifa 5 Tajiri, Mataifa 5 Maskini Zaidi Barani Afrika 2024

Bara la Afrika linatajwa kuwa maskini zaidi duniani, huku umaskini wa bara hili ukichangiwa na hali ya uchumi kuyumba, ukosefu...

READ MORE

Mchezo Mpya wa Super Heli Kasino Wakubali na Mamia ya Watanzania

Haya Haya ni takribani wiki imeisha tangu kutambulishwa kwa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, unaitwa Super Heli...

READ MORE

TANROADS Kutekeleza Miradi ya Kimkakati Ujenzi wa Barabara Tanga

Serikali ya awamu ya Sita kupitia (TANROADS) inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ya ujenzi wa barabara Mkoani Tanga ambayo...

READ MORE

Ni Kazi ya Kawaida Lakini Mafanikio Yake Siyo ya Kawaida

Jina langu ni Neemia, kwa sasa nipo Arusha, Tanzania, nimetoka mkoani Tanga, nilikuwa kule kwa miezi sita kikazi, nilikuwa nafanya...

READ MORE

Kada wa CCM Neema Mghen Achangia Mifuko 50 Ujenzi Wodi ya Wazazi Ushetu

  Kada wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Bi Neema Mghen amechangia mifuko 50 ya Saruji yenye thamani ya shilingi milioni...

READ MORE

Wadau wa Utalii Duniani Wavutiwa Kuwekeza Nchini Tanzania

Kampuni kubwa zinazojishughulisha na masuala ya utalii duniani zimevutiwa kuwekeza nchini Tanzania katika huduma za malazi, usafirishaji na utangazaji utalii....

READ MORE

LSF na ENABEL Wasaini Mkataba wa Billion 10.7 Kuimarisha Huduma ya Upatikanaji Haki nchini

  Legal Services Facility (LSF) na Enabel, shirika la maendeleo la Ubelgiji, wamesaini rasmi mkataba wa ruzuku wa bilioni 10.7...

READ MORE

Miradi Ya Maji Safi, Salama Na Usafi Wa Mazingira Ya SBL Yawawezesha Wanawake

Mwanza 5 Machi: Kampuni ya bia ya Serengeti imeendeleza juhudi zake za kuimarisha upatikanaji wa huduma za maji, usafi wa...

READ MORE

Washindi wa Vuna Na Tigo Pesa Wanufaika Na Zawadi Mtwara

Kampuni ya huduma za mtandao wa simu za mkononi ya Tigo Tanzania imewakabidhi zawadi mbalimbali zikiwemo Televisheni tano, simu janja...

READ MORE

Chama Cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania TWCC Chahimiza Wanawake Kushiriki Tuzo Za Viwanda

Dar es Salaam, 5 Machi, 2024: Chama cha Wanawake WafanyabiasharaTanzania (Tanzania Women Chamber of Commerce -(TWCC) leo kimefanya mkutano na...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha NIT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Chomoka Na Bajaj Ndio Habari Ya Mjini na mizunguka 10 ya bure Meridianbet

Kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na kampuni inayotoa huduma ya simu za mkononi ya Tigo kupitia huduma yake ya Tigo...

READ MORE

Elon Musk Afunguliwa Kesi ya Madai na Wafanyakazi Aliowafukuza Twitter

Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Machi 6, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Machi...

READ MORE

CUBA na Tanzania Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano Katika Maeneo ya Kimkakati

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

RC Chalamila Aongoza Kikao Cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 5,2024 ameongoza kikao cha kisheria cha kamati ya...

READ MORE