×

Habari

Bibi Mchawi na Mjukuu Wake Walitaka Kuniua Kishirikina, Nikaponea Chupuchupu

Naitwa Amani kutokea Moshi, Tanzania, kila siku nilikuwa naletewa chakula na msichana wa jirani ambaye alikuwa anaishi na Bibi yake...

READ MORE

MNEC Gungu Atoa Vitabu Vya Uongozi Na Maadili

  Katika kuadhimisha miaka 47, ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho, Taifa...

READ MORE

Mkurugenzi wa Bandari Afunguka “Hakuna Sukari iliyokwama Bandarini” – Video

MKURUGENZI wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho S. Mrisho ameweka wazi kuwa kama sehemu ya matokeo ya uchapakazi, nidhamu...

READ MORE

Marais 10 Wa Nchi Za Afrika Waliofikwa Na Mauti Wakiwa Madarakani

Wakati Rais wa Namibia, Hage Geingob akitangazwa kufariki dunia Februari 4, 2024, ifuatayo ni orodha ya marais wa nchi za...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Jumatatu, Februari 05, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 05, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Kinana Azungumza na Viongozi, Wanachama wa CCM Dar es Salaam

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana amezungumza na wanachama pamoja na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa...

READ MORE

Maadhimisho Miaka 47 ya CCM, Mbunge Cherehani Atoa Madawati 975

Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye...

READ MORE

Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea...

READ MORE

Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob Afariki Dunia

Rais wa Namibia, Dkt. Hage Geingob (82) amefariki dunia leo Februari 04, 2024 katika Hospitali ya Lady Pohamba nchini humo...

READ MORE

Afisa Mkuu wa Fedha wa Anglo Gold Ashanti Atembelea Geita Gold Mining

Afisa Mkuu wa masuala ya fedha (CFO) kutoka Kampuni ya AngloGold Ashanti inayomiliki Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML),...

READ MORE

Tanzania Yapata Uwekezaji wa Shilingi Trilioni 4 Ndani ya Miezi Mitatu

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesajili miradi yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.4 (karibu Shilingi trilioni 4) ndani...

READ MORE

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Alazwa Hospitali Kwa Maradhi Ya Kifua

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi...

READ MORE

Mlipuko wa gesi waua na kujeruhi watu 280 Nairobi

Gari lilokuwa lililojaa mitungi ya gesi limelipuka katika makazi yenye msongamano wa watu, kuwaka moto na kuteketeza nyumba na ghala...

READ MORE

Nchimbi na Nape ‘Mazungumzo Mazito’

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM...

READ MORE

Tume ya Uchaguzi ya Afrika Kusini yaandikisha wafungwa kupiga kura

Maafisa wa uchaguzi wa Afrika Kusini wametembelea jela kote nchini , kama sehemu ya kuandikisha takriban wafungwa laki moja, ili...

READ MORE

Magifti Dabodabo Yazidi Kunoga, Wawili Walamba Milioni 5 Kila Mmoja Mwingine Vifaa Vya Hisense

Dar es Salaam, 2 Januari 2024: Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo kupitia kampeni yake ya Magifti Dabodabo leo...

READ MORE

Waziri Angellah Kairuki Awapisha Kamishna Mkuu Wa Uhifadhi

KAMISHNA mpya wa Uhifadhi (CC) wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Juma Kuji amekula kiapo cha utii, katika...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Aliowateua

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewataka  viongozi mbalimbali kuongeza kasi mara mbili kuwatumikia...

READ MORE

Jeshi La Polisi Latoa Ufafanuzi Wa Kupotea Baba Na Mtoto Geita

Jeshi la Polisi nchini limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa...

READ MORE

Rais wa Brazil amemfuta kazi afisa katika idara ya ujasusi

Kufukuzwa kazi kwa Alessandro Moretti ni baada ya polisi kuvamia nyumba inayohusishwa na Carlos Bolsonaro, diwani wa Rio de Janeiro....

READ MORE

CRDB Yazindua Msimu wa Tatu wa Kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’

Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni...

READ MORE

Aliyewagonga Watu Watatu na Kusababisha Vifo vyao Afikishwa Mahakamani

Afisa Elimu Taaluma wilayani Kwimba mkoani Mwanza, Samwel Kulinga (44) amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka manne likiwemo la kuendesha gari...

READ MORE

Meridianbet Yafika Kigamboni na Kugawa Chakula

Safari ya kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kuzishika mkono familia zenye hali ngumu ya kimaisha, ilianzia...

READ MORE

Accelerate Africa Tanzania, AIM Wazindua Shindano Kwa Wajasiriamali

Dar es Salaam, 31 Januari 2024:Mtandao wa Accelerate Africa Tanzania kwa kushirikiana na AIM startups wamezindua rasmi shindano ambalo litawawezesha...

READ MORE

Waziri Mkuu Ammjulia hali Mama mzazi wa Halima Mdee jijini Dodoma

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye...

READ MORE

Dkt. Dugange: Vikundi 345 Vimekidhi Vigezo Vya Kupewa Zabuni

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Dkt Festo Dugange amesema Serikali za Mitaa zimeweka utaratibu wa kusajili makundi maalum...

READ MORE

Mikoa 17 Yabainika kuwa na Wagonjwa wa Macho Mekundu (Red Eyes) au ‘Pink Eye Conjunctivitis’

Mikoa 17 imebainika kuwa na Wagonjwa wa Macho Mekundu (Red Eyes) au ‘Pink Eye Conjunctivitis’ ambapo hadi kufikia Januari 26,...

READ MORE

Kiongozi wa Upinzani Zimbabwe Aachiliwa Kutoka Jela

Kiongozi wa upinzani wa Zimbabwe Job Sikhala, ambaye amekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, ameachiliwa Jumanne, baada...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Januari 31, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 31, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Yanga Yamtambulisha mshambuliaji wake mpya Joseph Guede Azam Complex, Chamazi

Klabu ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji wake mpya Joseph Guede aliyesajiliwa katika dirisha dogo la usajili akitokea klabu ya Tuzlaspor inayoshiriki...

READ MORE

Wakulima Waula, TCDC Na Tigo Zaingia Makubaliano Ya Kuboresha Mifumo Ya Mauzo ya Mazao

Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imeingia makubaliano na Tume ya Maendeleo ya ushirika Tanzania kwa lengo...

READ MORE

Bodi ya NIRC Yaridhishwa Utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Tlawi Manyara

Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji inayoendelea kutekelezwa na Tume ya...

READ MORE

Rais Samia Azindua Vizimba vya Kufugia Samaki, Agawa Boti Mwanza

Muonekano wa Boti za Kisasa pamoja na vizimba vya kufugia Samaki ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...

READ MORE

Ubunifu na Uendelevu wa Serengeti Ulivyorahisisha Maisha ya Watanzania 2023

Katika harakati za kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja, Serikali imedhamiria kupambana na umasikini kwa kujenga Uchumi wa Kiushindani wa...

READ MORE

NMB Yapata Mafanikio Ya Kihistoria, Yatengeneza Faida Kabla Ya Kodi Ya Shilingi Bil 775

-Faida kabla ya kodi: Shilingi Bilioni 775, ongezeko la asilimia 26 kwa mwaka -Faida baada ya kodi: Shilingi Bilioni 542,...

READ MORE

Video: Mama Nandy Afunguka Baada Ya Kumzika Mwanaye Aliyeuawa Kinyama Na Wanaodaiwa Kuwa Sungusungu….

Mama wa kijana anayedaiwa kuuawa na sungusungu anayejulikana kwa jina maarufu la Mama Nandy, amezungumza tena na Global TV baada...

READ MORE

Zingatia Haya kulinda vifaa vya umeme nyumbani msimu huu wa mvua.

    Dar es Salaam. Maeneo tofauti nchini Tanzania yanashuhudia mvua kubwa ambazo sio tu zinaathiri miundombinu na kuhatarisha usalama wa...

READ MORE

Mkutano wa Kumi na Nne wa Bunge la Kumi na Mbili Kuanza leo Dodoma

Mkutano wa Kumi na Nne wa Bunge la Kumi na Mbili umepangwa kufanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia leo...

READ MORE

Utabiri TMA: Mikoa 8 Itarajie Mvua Kubwa leo Januari 30 Na 31, 2024

Mikoa ya Morogoro, Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari...

READ MORE

Barnaba, Meja Kunta, Kontawa Kukamua Shoo ya Nguvu kwa Wanavyuo

Wasanii maarufu Bongo, Barnaba, Meja Kunta, Kontawa, Platform, Lony Bway, Lody Music na wengine kibao, wanatarajiwa kukamua shoo ya nguvu...

READ MORE