×

Habari

Mali, Burkina Faso na Niger wajiondoa kwenye ECOWAS

Mataifa ya Afrika Magharibi ya Mali, Burkina Faso na Niger yamejiondoa kwenye shirika la kiuchumi la kieneo la ECOWAS, viongozi...

READ MORE

Vutuo Vipya vya Afya, Zahanati Kuanza Kutoa Huduma Januari 29, 2024

Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –...

READ MORE

Hali ni Shwari Bandari ya Dar es Salaam, Oparesheni Zinaendelea

Shughuli za kiuendeshaji katika bandari ya Dar es Salaam zinaendelea vyema huku gati zote ndani ya bandari hiyo zikiendelea na...

READ MORE

MNEC Simiyu Awaasa Viongozi Wa Kuchaguliwa na Wananchi, Atoa Pikipiki Kwa Askari Wanyamapori

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (MNEC) Mkoa wa Simiyu, Emmanuel Gungu ametoa Pikipiki mbili  kwa askari...

READ MORE

POLISI WAMKAMATA ALIYOWATAPELI WATALII WALIOKUJA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Jeshila Polisi limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii walikuja nchini kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania...

READ MORE

Hakielimu, Chuo Kikuu HAMK Kuimarisha Elimu ya Undi na Mafunzo Tanzania

Mkuu wa Uchumi na Utawala Umoja wa Ulaya, Karina Dzialowska (wa pili kushoto) pamoja na Afisa wa Umoja wa Ulaya...

READ MORE

LAAC Wazitaka Halmashauri Kusimamia Kikamilifu Miradi Inayotekelezwa Kwa Force Account

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Mhe. Stanlaus Mabula amezitaka halmashauri kusimamia...

READ MORE

DKT. BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA UWEKAJI WAKFU ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo amemwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za...

READ MORE

Barabara ya Kidatu- Ifakara, Daraja la Ruaha Kukamilika Machi 2024

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amemtaka mkandarasi Reynolds Construction Company (RCC), anayejenga barabara ya Kidatu- Ifakara km 66.9...

READ MORE

Vitalu 24 Vyabainika Kuwana Mafuta na Gesi Nchini

Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema inatarajia kutangaza vitalu 24 vya Mafuta na...

READ MORE

Aweso Ampa Mkandarasi Siku 30 Kukamilisha Mradi wa Maji Navanga

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa siku 30 kwa Mkandarasi Halem Construction kukamilisha ujenzi wa Mradi wa Maji Navanga. Waziri...

READ MORE

Vijana BBTWasherehekea Birthday ya Rais Samia, Wamtakia Maisha Mema

VIJANA walio kwenye mradi wa Jenga Kesho yako iliyo Bora (BBT) katika shamba la Chinangali leo Januari 27 wameungana na...

READ MORE

Raia wa Namibia Wafunguka Rais wao kupelekwa Marekani kwa ajili ya matibabu

Rais wa Namibia amepangiwa kupelekwa Marekani kwa matibabu, baada ya vipimo vya afya kugundua kwamba huenda saratani imerejea tena mwilini,...

READ MORE

Mrembo Aliyejibiwa Comment Na Rais Samia, Afunguka Ana Kiwanda – Video

Global Tv Imefanya mahojiano na Mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo (28) ambaye amekuwa gumzo baada ya kujibiwa Comment yake na...

READ MORE

Mfumo Wa Gesi Kufungwa Minaki Sekondari Na Oryx, Yakabidhi Mitungi 700 Kisarawe

Pwani, 28 Januari 2024: Shule ya Sekondari Minaki iliyopo Kisarawe mkoani Pwani inatarajiwa kufungiwa mfumo wa gesi na Kampuni ya...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Kiwanda cha Karafuu cha Indesso Aroma nchini Indonesia

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...

READ MORE

Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2023

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), leo Januari 25, 2024 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato che nne. BOFYA KUTAZAMA...

READ MORE

Kiongozi wa upizani Zimbabwe akihama chama chake

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Zimbabwe, Nelson Chamisa ametangaza kujiuzulu kutoka chama chake siku ya Alhamisi, miezi michache baada...

READ MORE

Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Mwa Afrika Wasaini Katiba ya Usimamizi Shule ya Uongozi

Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakisaini Katiba ya Usimamizi na Uendeshaji wa Shule ya...

READ MORE

Wizara Ya Habari, NMB Waungana Kuendeleza TEHAMA Nchini

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema wizara imeendelea kuwa mstari wa mbele...

READ MORE

OSHA Itumike Kuainisha Viwango vya Usalama na Afya Katika Ununuzi Serikalini

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri serikali kuutumia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...

READ MORE

Mdada Wa Saluni Aibuka Na Milioni Ya Magifti Dabo Dabo Ya Tigo

Januari 26, 2024 Novat Freemin Lyaruu Mchoma Nyama Dar Es Salaam, Kumbuka Mbugulu na Jenifer Gunga ni baadhi ya wawakilishi...

READ MORE

Kampuni ya Serengeti Yaweka Dira ya Kuelekea Kwenye Nishati Safi Ifikapo 2030

Wakati dunia ikijumuika pamoja kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Nishati Safi Serengeti Breweries Limited (SBL), sehemu ya makampuni ya Diageo,...

READ MORE

Waziri Mchengerwa: Samia Bond’Kuwasaidia Wakandarasi Wazawa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ameelekeza TARURA kuanzisha mchakato wa upatikanaji wa hati fungani ya...

READ MORE

Rais Samia Akagua Gwaride la Heshima na Kupigiwa Mizinga Indonesia

  Rais Samia Suluhu Hassan, amekagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa mapokezi yake rasmi, akiwa ameambatana...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Nchimbi apokea zawadi ya kitabu kiitwacho “Dare Not Linger

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepokea zawadi ya kitabu kiitwacho “Dare Not Linger:...

READ MORE

Mapokezi Rasmi Ya Rais Samia Katika Ikulu Ya Bogor Nchini Indonesia – Live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia...

READ MORE

Rais wa Namibia kupatiwa matibabu ya saratani Marekani

Rais wa Namibia Hage Geingob alitarajiwa kuwasili Marekani Jumatano kwa ajili ya kufanyiwa matibabu ya saratani, ofisi ya rais imetangaza....

READ MORE

Manara Afunga Ndoa Na Zaiylissa – Video Yao Wakifunga Ndoa Yavuja – Tazama Ilivyokuwa

Haji Manara pamoja na staa wa Bongo Movie @zaiylissa wamefunga ndoa ya kimyakimya. Ndoa hiyo imejulikana kupitia Instagram baada ya...

READ MORE

Saikolojia Inavyotibu Hofu ya Kusalitiwa Katika Ndoa!

KATIKA maisha mawazo ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu, lakini hata hivyo matumizi ya akili lazima yawekewe mipaka na isiwe...

READ MORE

Tigo Tanzania Sasa Yakabidhiwa Rasmi Tuzo Ya Mtandao Wenye Kasi Zaidi Tanzania Kwa Mwaka Wa 2023

Tigo Tanzania yakabidhiwa rasmi tuzo ya Mtandao Wenye Kasi zaidi Tanzania kwa mwaka wa 2023 iliyotolewa na taasisi ya Kimataifa...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Wa China Amaliza Ziara Ya Kikazi Nchi

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong amemaliza ziara ya kikazi ya Siku Tatu nchini...

READ MORE

Shilingi Bilioni 113 Kujenga Km 50 Barabara ya Zege Kuelekea Liganga na Mchuchuma

Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha shilingi Bilioni...

READ MORE

Hamisa Wa Kilosa Akabidhiwa Milioni Tano Ya Magifti Dabo dabo Ya Tigo

Morogoro, 24 Januari 2024: Mshindi wa Kampeni ya Magifti Dabo dabo inayoendeshwa na Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi...

READ MORE

Vodacom Yazindua Dawati La Huduma Kwa Wateja Wasioona

Dar es Salaam – Januari 24, 2024. Katika jitihada za kuhakikisha inatengeneza usawa na ujumuishi wa mazingira bora ya ufikiwaji...

READ MORE

Tigo Zantel Yazindua Kituo Kipya Cha Huduma Kwa Wateja Zanzibar

Zanzibar, 24th January 2024 – Tigo Zantel inayo furaha kuutangazia umma kwamba imefanya uzinduzi wa Kituo chake kipya cha huduma kwa wateja...

READ MORE

Kihenzile Ashuhudia Makabidhiano ya Jengo Jipya la Abiria Kahama Airport Kutoka Kampuni ya Dhahabu ya Barick

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameshuhudia makabidhiano ya jengo jipya la abiria Kahama Airport kutoka kampuni ya dhahabu ya...

READ MORE

Serengeti Ilivyofanikiwa Kubadilisha Mtazamo wa Vijana Kuhusu Kilimo

Katikati ya taswira ya kilimo nchini Tanzania, Serengeti Breweries Limited (SBL) inaunda hadithi ya kuwezesha na kuingiza katika mipango yake...

READ MORE

Prof. Joyce Ndalichako Akabidhi Mashamba na Vitendea kazi Kwa Vijana

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (Mb) amekabidhi mashamba...

READ MORE