×

Habari

Puma Energy Yakabidhi Msaada Wa Vifaa Vya Ujenzi Kwa Waathirika Wa Mafuriko Katesh- Hanang

Kampuni ya Puma Energy Tanzania imekabidhi mifuko 600 ya cement, Mabati 800 na Nondo 1000, vyote vikiwa na gharama isiyopungua...

READ MORE

Mahakama Yamfutia Pauline Gekul kesi ya unyanyasaji dhidi ya mfanyakazi wake

Mahakama ya Wilaya ya Babati imemfutia Pauline Gekul kesi ya unyanyasaji dhidi ya mfanyakazi wake, Hasim Ally. Hakimu Mfawidhi wa...

READ MORE

Dada Auawa Kwa Kupigwa Risasi Katika Mzozo Wa Zawadi Ya Krismasi Florida

Ndugu wawili wamekamatwa baada ya dada yao kupigwa risasi na kuuawa wakati wa mabishano kuhusu zawadi za Krismasi. Msichana huyo...

READ MORE

Watu Saba Wakamatwa na Dawa za Kulevya Kilogramu 3,182, DCEA Yafunguka – Video

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini( DCEA) imefanikiwa kukamata jumla ya Kilogramu 3,182 za dawa za...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje Nchini Zambia Stanley Kakubo Ajiuzulu

Waziri wa Mambo ya Nje Nchini Zambia, Stanley Kakubo amejiuzulu nafasi hiyo saa chache baada ya kukumbwa na kashfa katika...

READ MORE

Muonekano wa Uwanja wa Kisasa wa AMAAN Zanzibar uliojengwa na Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar – Picha

Muonekano wa Uwanja wa Kisasa wa AMAAN Zanzibar, uliojengwa na Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Chini Ya Mhe Rais @dr.hmwinyi ....

READ MORE

Basi La Mwendokasi Lateketea Kwa Moto eneo la Kibamba Chama, Dar (Picha +Video)

Basi la Mwendokasi limewaka moto na kuteketea eneo la Kibamba Chama, Dar es salaam usiku wa kuamkia leo Desemba 27,...

READ MORE

Uganda kuondolewa kwenye orodha ya nchi dhaifu dhidi ya ulanguzi wa fedha

Baada ya kufuata viwango vya kimataifa, Uganda inatarajia kuondolewa katika orodha ya ‘Grey List’ ya nchi dhaifu katika sheria za...

READ MORE

Ijue Teknolojia ya Kuchaji Simu ya Infinix Hot 40 Pro kwa Haraka

Simu ya Infinix HOT 40 pro ndio toleo la funga mwaka kwa kampuni ya simu @infinixmobiletz, simu hii ina features...

READ MORE

Tshisekedi aongoza matokeo ya awali uchagzi DR Kongo

Matokeo yaliyotangazwa na CENI kufikia sasa yanatokana na takriban kura milioni 1.9, kati ya jumla ya wapiga kura milioni 44...

READ MORE

Askofu Kassala Ampinga Papa Kuhusu Ndoa Za Jinsia Moja -“Bora Nibariki Jiwe, Lakini Siyo Uchafu Huo”

Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Geita, Flavian Kassala amesema kwamba hayuko tayari kubariki ndoa ya jinsia moja kwa sababu ni...

READ MORE

LATRA Yawataka Mawakala Kuandika Taarifa Kamili Za Abiria Ili Wananchi Wapate Haki Zao Inapotokea Malipo

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani kwa pamoja wamesema serikali itaendelea Kusimamia...

READ MORE

Bashungwa Awanyooshea Kidole Viongozi Wanaorudisha Nyuma Maendeleo Kagera

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameendelea kuwanyooshea kidole baadhi ya viongozi wanaochangia kurudisha nyuma...

READ MORE

LATRA Wawataka Mawakala wa Mabasi Kujaza Taarifa Kamili za Abiria Wote

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani kwa pamoja wamesema serikali itaendelea Kusimamia...

READ MORE

Matukio Ya Kizalendo Yazidi Kufanywa Hanang, ALAF Yatoa Mabati 2000 Kusaidia Waathirika

Kampuni ya ALAF Limited inayjihusisha na utengenezaji wa mabati ya aina mbalimbali imetoa msaada ya mabati 2000 yenye thamani ya...

READ MORE

Kihenzile Amwakilisha Waziri Mbarawa Kushuhudia Utiaji Saini Ujenzi wa Boti ya Kubebea Wagonjwa

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile leo amemwakilisha Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa jijini Mwanza katika hafla ya utiaji...

READ MORE

Kiongozi wa Al Shabaab Auawa Somalia Kwa Ushirikiano wa Jeshi la Marekani

Serikali ya Somalia imetangaza kwamba imemuua Maalim Ayman, kiongozi mwandamizi wa Kundi la Kigaidi la Al Shabaab katika oparesheni ya...

READ MORE

MERIDIANBET YAIBUKA NA PROMOSHENI BABKUBWA MSIMU HUU WA SIKUKUU

Meridianbet msimu huu wa sikukuu hawataki wateja wao wakae kinyonge wamekuja na Promosheni babkubwa ambayo itawaondolewa unyonge wateja wake katika...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lawataka Madereva Kutokuwa Chanzo cha Huzuni na Majonzi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini kimesema zipo sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi...

READ MORE

Ajira Zaidi ya 5,000 Kutengenezwa Kutoka Kiwanda cha Sukari Mkulazi, Morogoro

Kukamilika kwa kiwanda cha kuzalisha Sukari Mkulazi kilichopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro, kumetajwa kuwa kutawezesha kutoa ajira za moja kwa...

READ MORE

Wanahabari Wanolewa Kuhusu Usiri Wa Taarifa Mtandaoni

Dar es Salaam 20, Desemba 2023: Shirika la Huduma za Mtandao kwa Jamii, Internet Society limewanoa wanahabari na kuwapa wanahabari...

READ MORE

Warepublikan walalamikia uamuzi wa Colorado kuondoa jina la Trump

Warepublikan kote Marekani, wamelalamika uamuzi wa mahakama kuu ya Colorado, wa kuondoa jina la rais wa zamani wa Marekani, Donald...

READ MORE

Wafanyakazi wa NBC Waliopanda Mlima Kilimanjaro Warejea, Wafanikisha Utoaji Huduma ya Miamala kupitia Mashine ya POS Kileleni

   Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) hii leo imewapokea wafanyakazi wake na wadau mbalimbali wa utalii wakiwemo waandishi wa...

READ MORE

Magifti Dabodabo Kunogesha Sikukuu Za Krismas Na Mwaka Mpya, Washindi Wafunguka

Disemba 22, 2023:Ramla Athuman Kopwe Mkazi wa Kigogo Fresh Chanika, Rosa Leonard Mchome Mkazi wa Changanyikeni Dar Es Salaam, na...

READ MORE

CCM Yaipongeza Wizara Ya Kilimo Kwa Uzalishaji Wa Tumbaku Kupanda Kutoka Tani 60,000 Hadi 122,000 Na Kuzalisha Dola Milioni 283

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amesema Chama Cha...

READ MORE

ALAF Limited Yadhamini Wanafunzi Wa Kiswahili UDSM

Kampuni ya ALAF LIMITED leo imetangaza rasmi udhamini wa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanaosoma MA Kiswahili...

READ MORE

Mbunge Janeth Masaburi Awaahidi Masoko Ya Kisasa Wana Temeke, Awapa Bure Mama Lishe Majiko Ya Gesi

Dar es Salaam 21 Desemba 2023: Serikali  ya Halmashauri ya Manispaaya Temeke imesema inampango wa kuboresha masoko yake makuu ikiwemo...

READ MORE

Makonda Awavaa Tanesco Umeme Kukatika Katika – ”Hakuna Kulipana Posho, Hakuna Kulala” – Video

CHAMA cha Mapinduzi CCM kimelitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO lijitafakari kwakuwa si kila sababu za TANESCO kuhusu kukatika kwa...

READ MORE

Makonda: Acheni Chokochoko Za Kuwasumbua Wabunge Na Madiwani, Waacheni Wafanye Kazi Zao

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wa chama hicho kuacha kufikiria nafasi za udiwani, ubunge kwa sasa badala yake wawaunge...

READ MORE

Lake Energies, M-Pesa Waingia Makubaliano ya Kurahisisha Kununua Mafuta Kidijitali

Katika jitihada endelevu za kuchochea malipo kwa kidijitali, wateja wa Lake Energies sasa wanaweza kulipia mafuta kwa kutumia huduma ya...

READ MORE

Washindi 8 wa Maokoto Chini ya Kizibo Waondoka na Sh. 500,000 Kila Mmoja

Droo ya tisa ya Kampeni ya Maokoto Chini ya Kizibo inayoendeshwa na Kampuni ya Serengeti Breweries (SBL) imefanyika ambapo jumla...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt Kikwete Yupo DRC Kushiriki Misheni ya SADC kwenye uchaguzi

Kufuatia maelekezo ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Organ of Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)...

READ MORE

Wanafunzi wa Kike Mbeya Wapewa Mafunzo ya Tehama na Coding Kwa Udhamini wa Vodacom

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Akutana Na Viongozi Wa Makatibu Mahutasi (TAPSEA)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amekutana na viongozi wa chama...

READ MORE

Mtoto Shetta, Qailah Nurdin Bilal Achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa

Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Mfungwa wa Marekani aliyekuwa gerezani kwa miaka 48 aondolewa mashtaka

Jaji wa Oklahoma amemuondolea mashtaka mtu ambaye alikuwa gerezani kwa karibu nusu karne kwa mauaji ya 1974, kifungo kirefu zaidi...

READ MORE

Ulinzi katika Hosteli za Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha SAUT Waimarishwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limeimarisha ulinzi kwa kuongeza doria na vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Kata ya Luchelele...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara na Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Desemba 20, 2023 amewaapisha Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu...

READ MORE