×

Habari

Rais Samia Amuapisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara na Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Desemba 20, 2023 amewaapisha Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu...

READ MORE

Polisi, Latra Wapiga Faini Mabasi Yaliyo Zidisha Nauli Arusha

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamefanya...

READ MORE

Mama Aliyenunua Uyoga Ulioua Mtoto Wake Asimulia – ”Sumu Iliingia Kwenye Figo”- Video

Siku chache baada ya kamanda wa jeshi la polisi mkoani Mwanza Wilbroad Mutafungwa kutangaza kutokea kwa vifo vya watu wawili...

READ MORE

Mahakama Ya Colorado Yamuondoa Trump Kuwa Mgombea Urais Yatoa Sababu

Mahakama ya Juu ya Colorado imeamua kuwa Donald Trump hawezi kugombea urais mwaka ujao katika jimbo hilo, ikinukuu kifungu cha...

READ MORE

Rais Samia Avunja Bodi ya TANESCO, Amteua Dkt. Rhimo Nyansaho kuwa Mwenyekiti Mpya

Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuteuliwa...

READ MORE

Tahossa Yawashika Mkono Waathirika Wa Mafuriko Ya Hanang

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi kiasi cha Shilingi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Decemba 20, 2023

  HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 20, 2023 CHOTA MAPENE...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Disemba 18,2023 amepokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na...

READ MORE

Gari Lapindukia Mtoni Na Kuua Wawili Kisarawe Na Kujeruhi Abiria 50, Rc Kunenge Afika – Video

Watu wawili wamefariki (mtoto wa miezi sita na mama mtu mzima) na wengine takribani hamsini wamejeruhiwa katika ajali ya gari...

READ MORE

Wakuu Wa Mikoa Watakiwa Kutoa Taarifa Za Ukamilishaji Wa Miradi Ya Elimu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema Desemba 30, 2023...

READ MORE

Rais Samia Amteua Mariam Chaurembo kuwa Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Ndugu Mariam K. H. Chaurembo kuwa Mkurugenzi...

READ MORE

Maxence Melo Ateuliwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo ameteuliwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye kuwa...

READ MORE

Waziri wa ulinzi wa Marekani ataka Israel kupunguza uwezekano wa vifo vya raia

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin, amesisitiza umuhimu wa Israel kuzuia vifo vya raia wa Gaza yenye msongamano mkubwa...

READ MORE

Rais Samia Atumbua Wawili, Ateua Watano Na Kumuhamisha Mmoja Kituo Cha Kazi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Desemba 18, 2023 amefanya Uteuzi, Utenguzi Na Uhamisho wa Viongozi...

READ MORE

Mkurugenzi Wa Ilemela, Mwanza Akanusha Taarifa Za Wanawake Kujifungua Sakafuni

OFISI ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza imekanusha taarifa za wanawake kujifungua sakafuni katika kituo cha afya cha...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Decemba 19, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 12, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Yaliyojicha Kuhusu Historia ya Misri ndani Ya Kasino

Secret Book of Amun Ra sloti unatufanya turejee Misri ile ya kale yenye maandiko mbalimbali ya vitabu na historia isiyosahaulika...

READ MORE

Video: Ndugu wa Mtanzania Aliyeuawa Israel Afunguka Baada ya Kusambaa Video kwenye mitandao ya kijamii

Baada ya video ya Mtanzania aliyeuawa Israel kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Global Tv imefanya mahojiano na Ndugu wa Joshua...

READ MORE

Rais Samia Aikabidhi Benki ya NBC Tuzo ya Heshima Kutambua Mchango Wake Ukuzaji Sekta ya Viwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekabidhi ya tuzo ya heshima  kwa benki ya Taifa ya...

READ MORE

Vodacom Yakabidhi Bima za Afya 200 Kwa Wanawake na Watoto Jijini Mwanza

    Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom, imetoa bima za afya 200 kwa wanawake na watoto 200 pamoja...

READ MORE

Hanang, Tigo Watoa Msaada Wa Mahitaji Muhimu Kwa Waathirika

Meneja Wa Tigo, Kanda ya Kaskazini akikabidhi msaada kwa mkuu wa Wilaya ya Hanang, Janeth Mayanja, Hanang jana. Manyara 18...

READ MORE

Rafat Aibukia Uongozi Chipukizi Taifa

Mtoto Rafat Ally Simba ambaye hivi karibuni alitikisa vyombo mbalimbali vya habari nchini baada kuandika na kuzindua kitabu chake cha...

READ MORE

Mhandisi Luhemeja: Tufanye Kazi Kwa Ushirikiano na Kutangaza Mafanikio Yetu

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amefanya kikao kazi na watendaji...

READ MORE

Mechi ya Liverpool Dhidi ya Manchester United, Maokoto Nje Nje

Mchezo kati ya Liverpool na Manchester United unaotarajiwa kupigwa leo katika dimba la Anfield unaweza kua sehemu ya kupiga maokoto...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Akemea Wanasiasa Wanaokwamisha Miradi Ya Maendeleo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  Mohamed Mchengerwa amekemea tabia ya wanasiasa na...

READ MORE

Mchengerwa Ataka Mganga Mkuu Kagera Kusimamishwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Serikali za Mitaa Tawala za Mikoa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemwagiza katibu Mkuu TAMISEMI kutengua...

READ MORE

Israel Yaomboleza vifo vya mateka wa Israel waliouawa kimakosa na jeshi lake

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameyataja mauaji ya mateka hao kuwa ni “janga lisilovumilika” na kuahidi kuendelea “kwa juhudi...

READ MORE

OSHA Yaagizwa Kusajili Maeneo Yote ya Kazi nchini Ifikapo Juni 2024

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeagizwa kusajili maeneo yote ya kazi nchini pamoja na kuhakikisha kwamba...

READ MORE

Wafanyakazi Benki ya NBC, Wadau Waanza Safari Kuitambulisha POS ya NBC Mlima Kilimanjaro

Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na wadau mbalimbali wa utalii mkoani Kilimanjaro wameanza safari ya kihistoria ya...

READ MORE

Ni Zamu Ya Madereva Bajaji Kupokea Msaada Kutoka Meridianbet

Meridianbet inaendelea kufanya ambayo imekua ikiyafanya kwa muda mrefu nayo sio kitu kingine ni kurudisha katika jamii yake ambayo imekua...

READ MORE

Wadau Wa Filamu Wafundishwa Jinsi Ya Kuonesha Filamu Za Hadharani Na Faida Zake

Dar es Salaam 14 Desemba 2023: Kampuni Ya Ajabuajabu ya hapa nchini na A wall Is A Screen ya nchini...

READ MORE

Viongozi wa Sun Broadcasting ya Zambia Watinga Ofisi za Global TV Dar es Salaam

Viongozi wa Sun Broadcasting Holding Limited yenye makao yake makuu Ndola, Zambia, leo Desemba 16, 2023 wametembelea ofisi za Global...

READ MORE

Jumamosi Hii Ni Kupiga Mkwanja Tu Na MeridianBet

Jumamosi hii Meridianbet inataka kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa leo katika ligi tofauti tofauti...

READ MORE

Mbunge Mahawanga Awataka Mabinti Na Vijana Kutumia Vipaji Vyao Kama Fursa Ya Kujikwamua Kiuchumi

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundation Mhe....

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile Akabidhi Kontena Lenye Vifaa vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali...

READ MORE

Serikali yaijibu EU sakata la Ngorongoro kuilinda hifadhi

SERIKALI ya Tanzania, imesema haitumii nguvu katika kuwaondoa wananchi jamii ya kimasai wanaoishi Hifadhi ya Ngorongoro, bali inawaondoa kwa hiari...

READ MORE

Mwandishi Wa Al Jazeera, Samer Abu Daqqa, Afariki Gaza

Mwandishi wa habari na Mpiga picha wa Shirika la habari la Al Jazeera, Samer Abu Daqqa aliyejeruhiwa katika shambulio la...

READ MORE

Serikali: Hakuna Mtumishi Wa Taasisi Zilizounganishwa Au Kufutwa Atakayepoteza Ajira

Taarifa ya Ofisi ya Mipango na Uwekezaji imefafanua kuwa hakuna Mtumishi atakayepoteza ajira katika hatua za kuunganisha na kufuta baadhi...

READ MORE