×

Habari

TRA: Hatuhusiki na Ufungaji wa Bar ya The Cask Bar & Grill Jijini Mwanza

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haijahusika kwa namna yoyote na ufungaji wa The Cask Bar & Grill ya iliyopo...

READ MORE

Seneta na Watu Wengine 3 Wakamatwa Kwa Ubadhirifu wa Tsh Bilioni 19 za Ufadhili wa Wanafunzi

SENETA wa Uasin Gishu, Jackson Mandago, na Watu wengine 3 wanakabiliwa na Mashtaka 11, ikiwa ni pamoja na Wizi na...

READ MORE

Kesi dhidi ya Trump na wenzake 18 kuanza kusikilizwa Machi 4 mwaka ujao mjini Atlanta

Muongoza mashitaka wa jimbo ka Georgia Fani Willis Jumatano ametangaza tarehe ya kusikilizwa kwa kesi ya kuingilia uchaguzi wa 2020...

READ MORE

Balozi Mbelwa Kairuki Ahamishiwa Uingereza, Khamis Omar Apelekwa China

Rais Samia amemhamisha Balozi Mbwela Brighton Kairuki kwenda London ambako anachukua nafasi ya Dkt. Asha Rose Migiro ambaye amemaliza Mkataba...

READ MORE

Uteuzi: Rais Samia Ateua Wenyeviti Wa Bodi Za Shirika La Reli Na Veta

Ally A Karavina ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC). Karavina ni Mtaalamu wa...

READ MORE

Vodacom Yashirikiana Na NMB, Google Kurahisisha Upatikanaji Wa Simu Janja Kupitia Mikopo

Ushirikiano mpya kati ya Google, NMB na Vodacom Tanzania Plc unatarajiwa kuimarisha mapinduzi ya kidijitali kwa kuwezesha upatikanaji wa simu...

READ MORE

KLM Airline Waboresha Viti Vyake Daraja La Biashara Katika B777-300/200

Ikianzia kwenye viti, inajumuisha teknolojia zote zinazohusiana kwa wastani ni asilimia 10 – 15, jambo linaloendana na ajenda ya uendelevu...

READ MORE

JK Ateta na Kamati ya Utatu ya Siasa, Ulinzi na Usalama ‘SADC- TROIKA’ Mjini Luanda-Angola

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika,...

READ MORE

Rais Samia Awataka Mabalozi Kufuatilia Hati Za Makubaliano Zilizosainiwa -(Picha + Video)

  Amesema “Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachokifanya, wapo tu. Nilikutana na Rais mwenzangu ndani ya #SADC...

READ MORE

Simba Wamkingia Kifua Phiri, Saido Kukosa Penalti fainali ya Ngao ya Jamii

UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, kukosa penalti kwenye mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kwa nyota wao wawili,...

READ MORE

Bunge la Kenya lapokea ombi la kupiga marufuku Tiktok

Ombi linalotaka kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Kenya limewasilishwa bungeni likitaja uvunjaji wa kanuni ya faragha na maudhui ya ngono,...

READ MORE

Google Kubuni Ajira 20,000 Kwa Wanawake Na Vijana Wa Nigeria

Wakurungenzi wa kampuni ya kimitandao ya Google barani Afrika Jumanne wamesema kwamba inapanga kutoa mafunzo ya kidijitali kwa wanawake 20,000...

READ MORE

Waandishi Wavamiwa Na Kujeruhiwa Kwa Mikuki Ngorongoro, Hali Zao Mbaya – Video

Zaidi ya vijana 200 wa jamii Ngorongoro, Mkoani Arusha wamewavamia na kuwajeruhi waandishi wa habari na mkalimani aliyeambatana nao. Waandishi...

READ MORE

Benki ya Nmb, ATCL Wazindua Mfumo wa Malipo Tiketi za Ndege

BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za...

READ MORE

Msanii Chino Alivyonogesha Promosheni ya Jipatie Infinix

“Natumia Infinix Note 30 picha zangu na video zangu mitandaoni zimekuwa na ushua mwingi tangu nimekuwa mwanafamilia wa Infinix” ameyazungumza...

READ MORE

Wamiliki wa Shule Binafsi, Vyuo Kukutana Kesho Dar, Kujadili Masuala ya Elimu…

Wamiliki wa shule binafsi Mkoa wa Dar es salaam wameiomba serikali kutupia jicho la tatu suala la wanafunzi wanaohitimu masomo...

READ MORE

Mkuu wa wafanyakazi wa rais Madagascar akamatwa London kwa tuhuma za kutaka hongo

Mkuu wa wafanyakazi wa rais wa Madagascar amekamatwa mjini London baada ya kushukiwa kutaka hongo kutoka kwa wachimbaji wa madini...

READ MORE

Libya yatuma ombi kwa Lebanon la kumuachilia mwana wa kiume wa Gadhafi

Mamlaka za kisheria nchini Libya zimewasilisha ombi rasmi kwa Lebanon kumuachilia mmoja wa watoto wa kiume wa kiongozi wa zamani...

READ MORE

Safari za Air Tanzania Mumbai Kufungua Soko Bara La Afrika

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza kutumia ndege zake za kisasa za abiria na mizigo kwa wafanyabiashara, wanafunzi, wagonjwa na...

READ MORE

Kampuni Ya Sola Yazindua Kampeni Ya Matumizi Ya Nishati Safi

Arusha – Agosti 14, 2023. Katika kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi ya nishati salama kimazingira, kampuni...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Latvia Atangaza Kujiuzulu Baada ya Kukosa Kuungwa Mkono

  Waziri Mkuu wa Latvia, Krisjanis Karins leo Agosti 14, 2023 ametangaza kujiuzulu wadhifa wake pamoja na baraza lake la...

READ MORE

SADC Yajadili Umuhimu wa Rasilimali Watu na Fedha Katika Maendeleo ya Viwanda

LUANDA: Tamko la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu uwekezaji katika Rasilimali Watu uliofanyika jijini Dar Es Salaam...

READ MORE

Pacome, Hafiz Konkoni Waanza Kazi Rasmi Yanga

WACHEZAJI wapya wa Yanga, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast na Hafiz Konkoni kutoka Ghana, jana walianza kazi rasmi ndani...

READ MORE

Issa Gavu Amtaka Salim Abri ‘ASAS’Dairies Farm Kuweka Shamba Darasa la Mifugo Iringa

Katibu wa NEC Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Gavu amefanya ziara katika shamba la Salim Abri maarufu (Asas) Mjumbe wa...

READ MORE

Ijue Sheria: Hili ndilo Kosa la Uhaini

Kwa mujibu wa kifungu cha 39 (1) cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code), mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ...

READ MORE

NMB Yapata Heshima Kubwa ya Superbrands

Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo nchini Tanzania mwaka huu....

READ MORE

Majaliwa: Thamani Ya Uwekezaji Mfuko Wa Psssf Kufikia Sh. Trilioni 7.98

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kiwango cha thamani ya uwekezaji Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)...

READ MORE

Papa Francis aelezea kusikitishwa na idadi kubwa ya wahamiaji wanaofia kwenye bahari ya Mediterranean

Mkuu wa kanisa katoliki Papa Francis amesema Jumapili kwamba idadi ya wahamiaji wanaofia kwenye bahari ya Mediterranean ni ”jeraha la...

READ MORE

Watumishi wa Serikali Washauriwa Kubadili Mtindo wa Maisha Kulinda Afya Zao

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka ametoa wito kwa watumishi wa umma kubadili mtindo wa maisha ikiwa ni pamoja...

READ MORE

NIC Yatunukiwa Cheti Cha Superbrand Kwa Mafanikio Sekta Ya Bima Nchini Tanzania.

Katika jitihada za kutambua ufanis na utoaji wa huduma bora katika sekta ya bima nchini, Shirika la Bima la Taifa,...

READ MORE

Kikwete Atoa Mhadhara Nchini Angola, Aziasa Nchi Za Afrika Kudumisha Amani

Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Kikwete amezitaka nchi za Afrika, hususani za ukanda wa SADC...

READ MORE

Niger: Utawala wa kijeshi unatishia kumuua Bazoum iwapo ECOWAS itaingilia kijeshi

Mvutano unazidi kuongezeka kati ya utawala mpya wa kijeshi wa Niger na jumuiya ya ukanda wa Afrika Magharibi ambayo imeamuru...

READ MORE

Gethsemane – Group Kinondoni (GGK) Kuja Na Video Ya Dunia Hii

KWAYA maarufu nchini ya Gethsemane inayosali Kanisa la wasabato Kinondoni, ipo mbioni kutoa video ya wimbo wake mpya unaofahamika Dunia...

READ MORE

Dkt. Kikwete Ahimiza Amani Katika Nchi za SADC

Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni...

READ MORE

Wazazi washangazwa na umahiri wa kingereza wanafunzi Tusiime

UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi...

READ MORE

Sekta Ya Utalii Zanzibar Yapata Uwekezaji Kutoka Benki Ya NCBA

Zanzibar. Benki ya NCBA imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha uwekezaji wake kwenye sekta mbalimbali hususani ya utalii ili katika hatua...

READ MORE

Sekta Ya Pembejeo Za Kilimo Ya Kampuni Ya Mahindra Inashirikiana Na SARGA MotoCorp (TZ) Limited Ya Tanzania

Tarehe, 11, Agosti, 2023, Jijini Dar es salaam, kampuni ya Mahindra & Mahindra Ltd. (M&M Ltd), kampuni kubwa zaidi ya...

READ MORE

Harry Kane Atangazwa Kuachana na Tottenham na Kujiunga na Bayern Munich

  Nahodha wa Timu ya Taifa ya Uingereza na mfungaji kinara wa wakati wote wa Klabu ya Tottenham Hostpurs ‘Spurs’,...

READ MORE

Watatu Wakamatwa Kwa Tuhuma za Kujeruhi, Kupora watu Daraja la Salenda

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu...

READ MORE

Msama Awajia Juu Wanaomkashifu Rais, Aziomba Mamlaka Husika Kuwachukulia Hatua Stahiki

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Bw. Alex Msama ametoa wito kwa mamlaka husika kuwachulia  hatua wale wanaomkashifu Rais wa...

READ MORE