×

Habari

GGML yanyakua tuzo mbili Usiku wa Madini

JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika kuzingatia uwajibikaji wake kwa jamii pamoja na kuzingatia masuala ya...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Rais Samia Amedhamiria kuleta Mapinduzi sekta ya Viwanda

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amedhamiria kuleta mapinduzi sekta ya viw anda hususani viwanda...

READ MORE

Taarifa Mpya: TCRA Yatoa Tahadhari kwa Watumiaji wa Mawasiliano Nchini -Video

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa taarifa ya mwenendo wa Sekta ya Mawasiliano katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Septemba,...

READ MORE

Trump apigwa tena faini kwa maoni yake nje ya mahakama

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trumo, aliitwa kwenye kizimba cha utetezi kutoa ushahidi, na kupigwa faini ya dola 10,000...

READ MORE

Rais Samia Alivyohutubia Bunge la Zambia wakati Akihitimisha Ziara

Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipa nchi hiyo hekta 20 za ardhi kwa ajili...

READ MORE

Mama’s Beach Party Yafana Dar

Mama’s Day Out  Beach Party wameadhimisha siku ya Afya ya akili  kwa  kuwakutanisha kina mama 170 Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

NMB Yawezesha Wakulima Tabora Kulipwa Fidia Sh. 374 Milioni

Benki ya NMB imesaidia wakulima wa tumbaku zaidi ya 400 mkoani Tabora kulipwa kwa wakati fidia ya hasara waliyopata baada...

READ MORE

Programu Ya Smashed Yazinduliwa Mkoani Tanga Na SBL Kudhibiti Unywaji Pombe Na Umri Mdogo

Tanga 26 Oktoba 2023: Kampuni ya Bia ya Serengeti Limited (SBL) inapenda kutangaza muendelezo wa Programu ya Smashed katika Mkoa...

READ MORE

Kongamano La Madini Na Uwekezaji 2023 Lawezeshwa Mtandao Wa Bure Na Tigo

Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa huduma za kidigitali, Tigo Tanzania imewezesha na kutoa Huduma katika Kongamano la Madini...

READ MORE

Zanzibar Kusambaziwa Internet Na CCTV Kamera Majumbani, SMZ Kupitia Shirika La Mawasiliano ZICTIA Na TIGO-ZANTEL Wasaini Makubaliano

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia shirika la mawasiliano ZICTIA na kampuni ya mtandao wa Simu TIGO-ZANTEL zimesaini mkataba wa...

READ MORE

Hii Ndiyo Mikataba 8 ya Ushirikiano Iliyosainiwa Kati ya Tanzania na Zambia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya Kitaifa ya siku tatu ya...

READ MORE

Taasisi ya Lalji Foundation Yaendesha Kambi ya Macho, 100 Wafanyiwa Upasuaji

Taasisi ya LALJI FOUNDATION inayojishughulisha na kutoa misaada mbalimbali kwa jamii imefadhili kambi ya macho iliyofanyika katika Hospitali ya Halmashauri...

READ MORE

Rais Samia Awapa Hekta 20 Zambia Kujenga Bandari, Atua Ikulu ya Lusaka (Video+Picha)

Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipa nchi hiyo hekta 20 za ardhi kwa ajili...

READ MORE

Bill Nas, Ester Raphael Wawatangaza Washindi wa Maokoto Ndani ya Kizibo

Meneja wa Chapa ya Serengeti Premium Larger na Serengeti Lite Ester Raphael pamoja na Balozi wa Maokoto Ndani ya Kizibo,...

READ MORE

Waziri Mavunde: Tanzania Iko Tayari Kushiriki Uchumi wa Madini Ya Bahari

*#Asema Tanzania imepokea fursa ya Bahari kwa mikono miwili* Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa Tanzania iko tayari...

READ MORE

Wateja wa Gas Fasta Sasa Kuagiza Gesi Kupitia Aplikesheni ya M-Pesa

Wateja wa Vodacom Tanzania na Gas Fasta wamerahisishiwa upatikanaji wa gesi kupitia ushirikiano wa kampuni hizo mbili unao wawezesha kuagiza,...

READ MORE

Aweso aagiza mradi wa Maji Nzuguni ukamilike ndani ya siku 30 – Video

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso(MB) akizungumza na watendaji wa Wizara ya Maji na Viongozi wa Mkoa wa Dodoma amemuelekeza...

READ MORE

Mjane wa Mrema Aonja Urithi wa Mali, Utata wa Ndoa Wamalizwa

Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke kimetoa uamuzi juu ya urithi wa mali za marehemu Augustino...

READ MORE

China Yamfukuza kazi Waziri wake wa Ulinzi Li Shangfu, Kufanya mkutano wa usalama

China imemfukuza kazi Waziri wake wa Ulinzi Li Shangfu miezi miwili tangu kutoweka kwake kwenye maisha ya umma. Hakuna maelezo...

READ MORE

Waziri Mkuu Awataka Madereva Wa Serikali kuzingatia Sheria za usalama barabarani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka madereva wa Serikali kuwa mfano wa kuzingatia sheria zote kwa sababu kuendesha gari ya Serikali...

READ MORE

Meta yafunguliwa mashitaka na majimbo 33 ya Marekani

Majimbo 33 ya Marekani yanashitaki kampuni inayomiliki mitandao ya kijamii ya Meta, ikishutumu kuathiri afya ya akili ya vijana kupitia...

READ MORE

Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Akutana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na...

READ MORE

Biteko aipongeza GGML kwa kuwezesha kongamano TMIF, awaita wawekezaji

  NA MWANDISHI WETU NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje kuja nchini...

READ MORE

STAMICO yanadi fursa za uwekezaji madini katika kongamano la TMIF

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa, (STAMICO) Dk. Venance Mwasse ametoa wito kwa wawekezaji kutoka ndani ya nje...

READ MORE

Mbinu Niliyotumia Kupata Kazi Haraka Baada ya Kumaliza Elimu ya Chuo

Kuna jambo ambalo unaweza kusikia watu wakisema hadi kulifanikisha kuna ugumu sana, lakini kwako likaja kuwa rahisi ajabu kiasi kwamba...

READ MORE

Dream Catcher Ushindi Mkubwa Kasino ya Mtandaoni!

Ndoto ni kitu kikubwa sana na uhalisia wa Maisha huanza kwa mtu kuwa na ndoto ya kutimiza jambo fulani, kuna...

READ MORE

Rais Samia Aweka Shada Mnara wa Uhuru wa Zambia na Kaburi la Dkt. Kaunda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameungana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, kuweka mashada ya...

READ MORE

Hospitali ya Kokilaben Kuzindua Kituo Cha Uratibu wa Hospitali Tanzania

Hospitali ya Kokilaben Dhirubhai Ambani, hospitali ya kipekee ya huduma za quaternary kutoka Mumbai, India, itazindua ‘Kituo cha Ushirikiano wa...

READ MORE

Mateka wawili Waachiwa huru na kundi la Hamas kwa sababu za kibinadamu

Hamas, Jumatatu iliachilia mateka zaidi ambapo wanawake wawili vikongwe wa Israeli, waliachiliwa wakati Israeli ikiimarisha mashambulizi yake ya anga Gaza....

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia leo – Video

Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Zambia Oktoba 23, 2023 kuanza ziara ya kitaifa...

READ MORE

Kampuni Ya Mafuta Ya PUMA Ilivyotoa Zawadi Kwa Watoa Huduma Bora, Yaahidi Makubwa

Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeendeleza utaratibu wa kuwatambua na kuwazawadia watoa huduma bora huku ikiahidi kuendelea kusimama imara kuendeleza...

READ MORE

Tigo Yazindua Tigo Pesa Rafiki: Urahisi Wa Miamala Ya Kidijitali Kwa Kutumia WhatsApp

Dar es Salaam, 24 Oktoba 2023. Kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali nchini Tanzania, Tigo Tanzania, leo imetangaza...

READ MORE

Wamiliki Wa Malori Yaliyozuiliwa Congo DRC Waishukuru Serikali Ya Dk Samia Baada Ya Taarifa Za Kuruhusiwa

Dar es Salaam 23 Oktoba 2023: Wamiliki wa malori nchini yaliyozuiliwa nchini Congo DRC kupitia Chama chao cha TAMSTOA wameishukuru...

READ MORE

Utajiri Leo Hii Upo Meridianbet Bashiri Sasa

Leo hii ligi mbalimbali zinaendelea ambapo tayari Meridianbet wamekuhakikishia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi hizo kwa usahihi kwani hapa...

READ MORE

Jinsi Nilivyoshinda Kimiujiza Kesi ya Tajiri Aliyetaka Kutupora Shamba la Familia

Jina langu ni Waithera kutoka katika kaunti ya Nairobi, tulimiliki shamba katika mtaa wa kifahari wa Runda ambapo shamba hilo...

READ MORE

Hyperloop: Treni Inayoweza Kusafiri Kutoka Dar es Salaam Mpaka Kigoma Kwa Saa 1

Dunia inakwenda kwa kasi kubwa kuliko kawaida. Wakati Tanzania ikiwa inapambania kombe kujenga reli ya SGR, wenzetu walishavuka huko kitambo....

READ MORE

Vodacom Yaungana na Wananchi wa Uganda Wanaoishi Tanzania Kusherehekea Siku ya Uhuru

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania, imeungana na wananchi wa Uganda wanaoishi nchini kusherehekea Siku ya Uhuru wa...

READ MORE

Wamiliki wa Vyombo vya Habari Mitandaoni Watakiwa Kutoa Elimu Kuhusu Ulipaji wa Kodi

Wamiliki wa vyombo vya habari vya mitandaoni (online media) wametakiwa kuwa kielelezo katika kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kulipa kodi...

READ MORE

CBE Yaahidi Kuiunganisha Shule ya St. Mary’s Mbezi Beach na Maktaba Kuu ya Taifa

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeahidi kuiunganisha shule ya St Mary’s Mbezi Beach na Maktaba Kuu ya Taifa ili...

READ MORE

Warepublikan 9 watangaza kugombania uspika

Wawakilishi tisa wa chama cha Republican, Marekani, katika baraza la wawakilishi, ambao wote hawafahamiki vyema na umma wa Marekani, wametangaza...

READ MORE