×

Habari

Ubongo Launches New Show “Nuzo And Namia” To Promote Inclusive Learning And Celebrate Diverse African Cultures

Dar es Salaam, 19th June 2023 – Ubongo, Africa’s leading edutainment organization, is proud to announce the highly anticipated launch...

READ MORE

TanTrade na Tanroads Waboresha Miundombinu ya Barabara Katika Uwanja wa Maonesho Sabasaba

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Wakala wa Barabara Tanzania (TanRoads) kuboresha na kukarabati miundo mbinu ya ndani...

READ MORE

Yanga: Kocha Anayekuja Atatikisa Nchi… Kocha Jozef Vukusic Atajwa Kutua

KAMATI ya Utendaji na Mashindano ya Yanga jana usiku ilitarajiwa kukutana kwa ajili ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa...

READ MORE

Mtoa Taarifa za siri za Marekani Afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 92

Daniel Ellsberg, mtoa taarifa aliyefichua ukubwa wa ushiriki wa Marekani katika Vita vya Vietnam, amefariki akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

UN: Zaidi ya watu 400 wameuawa kati ya Januari na Machi nchini Sudan Kusini

Zaidi ya watu 400 waliuawa nchini Sudan Kusini kati ya mwezi Januari na Machi mwaka huu, huku mapigano kati ya...

READ MORE

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika; TAMWA Yaitaka Jamii Kuheshimu Haki ya Mtoto

Watanzania leo wanaungana na dunia nzima kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, maadhimisho ya siku hii yalianza mwaka 1991 baada...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Mkutano Wa EITI, Ataka Uwekezaji Wenye Manufaa Sekta Ya Madini

RAIS Samia Suluhu Hassan amehutubia kwa njia ya mtandao mkutano wa kimataifa wa Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Sekta...

READ MORE

Balozi Polepole awasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Cuba

Tarehe 15 Juni 2023, Mhe. Humphrey Hesron Polepole Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi – Havana Nchini Cuba amewasilisha...

READ MORE

Mabalozi wa Korea na India Wahudhuria Mafunzo ya Mawakala Kuhusu Teknolojia

  Kampuni ya uuzaji wa vifaa vya kilektroniki ya LG imefanya kweli tena baada ya kuwakutanisha mawakala katika semina iliyoongozwa...

READ MORE

Kenya, Tanzania, Rwanda Na Uganda Zapendekeza Uwekezaji Mkubwa Katika Kilimo Na Miundo Mbinu – Video

Mawaziri wa fedha wa nchi za Afrika Mashariki wamewasilisha bajeti za serikali zao wakipendekeza uwekezaji mkubwa katika sekta za maendeleo,...

READ MORE

Wanafunzi Wanaofaulu Kidato Cha Nne Na Kupangiwa Vyuo Vya Kati Kufutiwa Ada

Waziri wa Fedha na Mipango amependekeza kuondolewa Ada kwa Wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 na kupangiwa kujiunga na Vyuo Vikuu...

READ MORE

Pombe Kali za Nje, Sigara, Saruji, ‘Energy Drinks’ na Maguta Kodi Juu

  Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kuanzia mwaka wa Fedha 2023/24 kupunguza Ushuru wa Bidhaa kutoka Tsh. 4,386 kwa...

READ MORE

Serikali Kulipa Madaeni ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) – Video

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchema amesema Serikali itaendelea kununua na Kusambaza Dawa, Vifaa Tiba na Vitendanishi kwa vituo vyote...

READ MORE

GGML yatoa elimu ya haki, wajibu maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika

Na Mwandishi Wetu KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshirikiana na wadau...

READ MORE

Chongolo Aanza Ziara Dodoma Kukagua Utekelezaji wa Ilani, Kutatua Kero za Wananchi

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameanza ziara yake mkoani Dodoma kwa lengo la kuangalia utekelezaji wa...

READ MORE

Museveni Apimwa na Kukutwa Tena na Virusi vya Corona

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza Jumatano kuwa amepima na kupatikana tena na virusi vya Covid-19. Rais wa Uganda Yoweri...

READ MORE

Garnet Star, Daikin Zakubaliana Kuuza Mashine Rafiki Kwa Mazingira

Watanzania wamehimizwa kujikita katika matumizi ya bidhaa za viyoyozi ambavyo ni rafiki wa mazingira kwa lengo la kuhifadhi mazingira na...

READ MORE

Rais Samia Akagua Ujenzi Hoteli ya Nyota 5 Mwanza, Mkurugenzi Mkuu NSSF Abainisha Sababu Kuchelewa Kukamilika

Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia...

READ MORE

Benki Ya NBC Azindua Akaunti Maalum Kwaajili Ya Waalimu

Dar es Salaam, Juni 14, 2023 –Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imezindua akaunti mpya inayojulikana kama “Akaunti ya...

READ MORE

Klabu ya Yanga Yatangaza Kuachana Rasmi na Kocha Nasredinne Nabi

  Klabu ya Yanga, imetangaza kuachana na kocha wake, Nasreddin Nabi baada ya kumalizika kwa mkataba wake. Taarifa iliyotolewa na...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Na Kukagua Daraja La JP Magufuli Kigongo-Busisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km...

READ MORE

Wizara ya Elimu Kuendelea Kuweka Kipaumbele Kwenye Michezo, Sanaa na Ubunifu

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema itahakikisha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja...

READ MORE

Mwanamke Aliyetangazwa Kufariki Dunia Akutwa Akipumua Ndani ya Jeneza

Tukio lisilo la kawaida limetokea na kuwaacha wengi midomo wazi baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 76 ambaye madaktari...

READ MORE

Rais wa Nigeria Asaini Mswaada wa Aina Yake wa Mkopo kwa Wanafunzi

Rais mpya wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu ametia saini kuwa sheria muswada wa mkopo wa wanafunzi, ambao ni wa kwanza...

READ MORE

Airtel Wachangia Damu Kuunga Mkono Juhudi za Serikali Kuboresha Huduma za Afya.

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Uchangiaji Damu nchini (NBTS) Leo...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ateua Washauri Wake, Lukuvi na Bulembo – Video

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Isimani Iringa William Vangimembe Lukuvi kuwa Mshauri wa Rais (Siasa...

READ MORE

Wabunge wa Afrika Kusini Waunga Mkono Mswada wa Sheria wa Bima ya Afya kwa Wote

Wabunge wa Afrika Kusini siku ya Jumanne walipiga kura kuunga mkono mswada wenye utata ambao unalenga kutoa huduma za afya...

READ MORE

Trump Afika Mbele ya Hakimu Mjini Miami, Akanusha Mashtaka 37

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump Jumanne alasiri alifika mbele ya hakimu wa mahakama ya serikali kuu mjini Miami,...

READ MORE

Rais Samia Ampa Hadhi Ya Ubalozi Katibu Mkuu Kiongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewateua Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi:- 1. Dkt....

READ MORE

NMB Yasherehekea Safari Yake ya Mafanikio ya Miaka 25 Visiwani Zanzibar!

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeipongeza Benki ya NMB kwa safari yake ya mafanikio yaliyotukuka ya miaka 25! Haya yamesemwa...

READ MORE

NMB yachangia vifaa vya 10M/= kusaidia wajawazito Korogwe

Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya kujifungulia kwa kina mama wajawazito zaidi ya 500 katika kituo cha afya...

READ MORE

Unajua Ukiwa na Meridianbet Unaweza Kupiga Pesa Kirahisi?

Kuanzia tarehe 14 hadi 18 Juni  Expanse Studio itakuwa na onyesho la Sigma Americans ambalo linajihusisha na michezo ya kasino...

READ MORE

Rais Samia Suluhu Hassan Afanya Uteuzi

  Rais Samia Suluhu Hassan, amewateua Mhandisi Rogatus Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Tamisemi (Miundombinu), Mhandisi Mohamed Besta kuwa...

READ MORE

Alaf Yachapisha Maudhui Ya Washindi Wa Tuzo Ya Kiswahili

Dar es Salaam 13 Juni 2023: Safal Group, ambayo ni kampuni mama ya makampuni yake tanzu ya Alaf Tanzania na...

READ MORE

Mwanamke Aliyembaka Mvulana wa Miaka Minane Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 29

Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 29 jela mwanamke wa Kijiji cha Lumuli, Desderia Mbwelwa (57) kwa...

READ MORE

Basi la Harusi Laua Watu 10 na Kujeruhi Wengine 25, Polisi Wamfungulia Mashtaka Dereva

WATU 10 wamefariki dunia na wengine 25 wamelazwa hospitalini baada ya basi la harusi kuanguka katika eneo la mvinyo nchini...

READ MORE

Tamasha la Campus Tour Latingisha Jijini Mbeya, Wasanii Kibao Watumbuiza

Tamasha kubwa la muziki la Campus Tour limetingisha katika Viwanja vya Chuo cha Uhasibu jijini Mbeya, ambapo wasanii kibao wametumbuiza....

READ MORE

Fiston Mayele Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora (MVP) wa Ligi Kuu

Mshambuliaji wa Young Africans SC, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya Mchezaji bora (MVP) wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC...

READ MORE