×

Habari

Lake Energies Yadhamini Mashindano Ya NCBA Golf Series Gymkhana Kadi

Mkurugenzi Mtendaji wa Lake Energies, Abdirahman Ahmed, akimkabidhi Ayne Magome zawadi ya mtungi wa gesi pamoja na kadi ya kujaza...

READ MORE

Shirika la Ndege la Rwandair Lamwaga Zawadi Kwa Wateja, Wadau Wa Tanzania

Shirika la Ndege la Rwanda, Rwandair @flyrwandair hapo jana, Septemba 29, 2023 lilikutana na wateja na wadau wake wa nchini Tanzania katika...

READ MORE

Wananchi Geita wachangamkia uchunguzi wa saratani bure, wanawake wapewa neno

NA MWANDISHI WETU MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada...

READ MORE

Anayedaiwa Kumuua Tupac Mwaka 1996 Akamatwa na Polisi

Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Duane “Keefe D” Davis amekamatwa na Polisi, akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya Rapa...

READ MORE

Makamu wa pili wa Rais Zanzibar atembelea banda la GGML maonesho ya madini Geita

NA MWANDISHI WETU Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman leo Jumamosi ametembelea banda la Kampuni ya Geita...

READ MORE

Rais Samia Ateua na Kuridhia uteuzi wa Viongozi Mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteua na kuridhia teuzi za viongozi mbalimbali kama ifuatavyo; Amemteua...

READ MORE

Basi la Magereza Lagonga Treni Ya Abiria Ukonga Dar, Yasababisha Kifo cha Mtu Mmoja

BASI  la Magereza lenye namba MT 0040 limegonga treni ya abiria namba YD16 yenye injini namba 9015 iliyokuwa ikitokea mikoa...

READ MORE

Waziri madini atembelea banda la GGML, ashuhudia mradi wa uwanja wa kisasa  

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya...

READ MORE

Putin na Rais wa Sudan Kusini Wafanya Mazungumzo Mjini Moscow

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ambaye yuko katika ziara nchini Russia katika mkutano wa Alhamisi na rais Vladimir Putin...

READ MORE

Mchungaji Mwakipesile Ahukumiwa Kifungo Cha Miaka Mitatu Jela

Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa...

READ MORE

Manchester United Yatangaza Kumrejesha Antony Kuendelea na Mazoezi

Manchester United imetangaza kumrejesha winga Antony kuendelea na mazoezi kwa ajili ya kuwa fiti kwa mechi zijazo za klabu hiyo....

READ MORE

Dianne Feinstein, Seneta aliyetumikia kwa muda mrefu afariki akiwa na miaka 90

Dianne Feinstein, Seneta aliyetumikia kwa muda mrefu katika Baraza la Seneti la Marekani, akiwakilisha Jimbo la California, afariki akiwa na...

READ MORE

Naibu Waziri wa Nishati Aipa Saa Mbili Tanesco Kurudisha Umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga Judith Kapinga amelipa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) saa mbili kurudisha uzalishaji wa umeme...

READ MORE

Rais wa Rwanda Amteua Jenerali Mshukiwa kuwa Waziri

Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua afisa mkuu wa kijeshi kuwa waziri wa nchi kwa ushirikiano wa kikanda licha ya...

READ MORE

Viwanda Zaidi ya 200 Kuonyesha Bidhaa Maonyesho ya TIMEXPO Dar

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya  Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa...

READ MORE

Mchengerwa Awatangazia Kiama Wakurugenzi Watakaoshindwa Kutekeleza Mradi wa TACTIC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Mkurugenzi wa Halmashauri...

READ MORE

Sakata La Kupotea Kwa Warda – Mama Mkubwa Aangua Kilio Aomba Rais Samia Aingilie Kati – Video

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani lilipokea taarifa ya kutoweka kwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu,...

READ MORE

Watu 6 wauwawa, 10 wajeruhiwa katika shambulizi Somalia

Watu 6 wameuwawa na zaidi ya 10 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu kwenye gari Alhamisi katika jimbo la kati la...

READ MORE

Rais Biden asema Trump ni tishio kwa demokrasia

Rais wa Marekani, Joe Biden, amezidisha mashambulizi yake dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi, katika hotuba kali ambayo...

READ MORE

GEL Yasema Waliokosa Nafasi za Vyuo Vikuu Wawahi Kutafuta Nafasi Zipo vyuo Vya Nje

WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi...

READ MORE

Wataalam Uganda watinga maonesho ya madini Geita, wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini

  MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara ya Madini ya...

READ MORE

Uganda Yawasimamisha Kazi Wafanyikazi 11 juu ya Vibali Bandia vya Sokwe

Mamlaka ya wanyamapori nchini Uganda imewasimamisha kazi wafanyikazi wake 11 kwa tuhuma za uuzaji wa vibali feki vya sokwe. Wakala...

READ MORE

Dkt. Biteko: Tutaleta Umeme Vijijini Hata Kama Wananchi Hawana Nyumba Nzuri

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema shauku ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Mkurugenzi Tanesco: Upungufu Wa Umeme Utamalizika Machi 2024 – Video

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema “Tunatarajia hadi kufikia mwishoni mwa Machi 2024 tatizo...

READ MORE

AFKLM Kuongeza Kiwango Cha Wasafiri

KAMPUNI ya Usafirishaji wa Anga ya Ufaransa KLM (AFKLM) ina mpango wa kuongeza kiwango cha wasafiri katika nusu ya pili...

READ MORE

Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Aipeleka Simba Mafichoni

KUANZIA wiki hii, kikosi cha Simba chini ya Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’, kimepanga kuutumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi,...

READ MORE

Moto Iraq: Maharusi Wote Wawili Wapoteza Maisha, Afisa wa afya Afunguka

Wanandoa hao wapya wote walipoteza maisha katika moto uliowaka katika karamu ya harusi nchini Iraq, kulingana na Ahmed Dubardani, naibu...

READ MORE

Wanafunzi Green Acres Watia Fora Kwa Vipaji

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Green Acres, wamewapagawisha wazazi na wageni waalikwa kwenye mahafali yao baada ya kuzungumza kwa ufasaha...

READ MORE

Nmb Yazindua Hati Fungani ya Jamii Bondi Yenye Jumla ya Sh. Trilioni Moja

Benki ya NMB imezindua rasmi hati fungani ya jamii bond ya muda wa Kati na muda. Mrefu yenye jumla ya...

READ MORE

IRAQ: Moto Waua Watu 100 Kwenye Harusi, Bibi Harusi na Bwana Harusi Wadaiwa Kufariki – Video

WATU 100 wamefariki na wengine 150 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka kwenye harusi kaskazini mwa Iraq, vyombo vya habari vya...

READ MORE

Trump adaiwa kufanya udanganyifu wa kibiashara kwa miaka mingi

Jaji mmoja amehukumu Jumanne kwamba, rais mstaafu wa Marekani, Donald Trump, alifanya udanganyifu kwa miaka mingi wakati anajenga himaya yake...

READ MORE

Director Kenny Alamba Dili Nono Infinix – Msikilize Afisa Uhusiano Akifunguka Mambo Ya Moto – Video

Huenda habari kuhusu Infinix ZERO 30 sio mpya masikioni mwako tangu kuzinduliwa kwake imekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na...

READ MORE

Rais Samia: Tuna ‘Crisis’ Ya Umeme, Tunafanya Ukarabati Wa Mashine – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amempa miezi sita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ), Gissima Nyamo-Hanga kushughulikia tatizo...

READ MORE

Wadau na Wataalam wa Kimataifa Kuipa Temeke Mbinu za Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi

Manispaa ya Temeke inaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ambapo Mstahiki meya Abdallah Mtinika amekutana...

READ MORE

Tunzaa Yatangaza Ushirikiano Mkubwa Na Vodacom Kupitia M-Pesa

Wateja wa Vodacom kuanza kutumia huduma za Tunzaa ndani ya aplikesheni ya M-Pesa Super App Dar es salaam, 27 Septemba...

READ MORE

Wanafunzi Nyamkumbu wanolewa na GGML kuhusu taaluma ya madini

     Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita...

READ MORE

Kampeni Ya Cha Wote Yafikia Tamati Ikiwatunukia Mamilioni Zaidi Ya Wateja 28,600

Kampeni ya ‘Cha Wote’ iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo kwa kuwazawadia zawadi mbalimbali...

READ MORE

Tigo Yamtangaza Mshindi Wa Funga Dimba La Kampeni Ya ‘Cha Wote’, Aondoka Na Milioni 5

KAMPUNI ya Tigo kupitia shindano lao la Cha Wote leo imemtamngaza Kassim Mkono kuwa mshindi wa shilingi milioni 5 katika...

READ MORE

Marekani imemkatalia waziri wa mambo ya nje wa Iran, kutembelea Washington

Marekani, Jumatatu imesema ilikataa maombi ya waziri wa mambo ya nje wa Iran, ya kutembelea Washington, wiki iliyopita sababu ikiwa...

READ MORE

Mjukuu wa Nelson Mandela, Zoleka Afariki Familia yake Yatangaza

MJUKUU wa rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini Afrika Kusini Nelson Mandela, Zoleka Mandela, amefariki dunia kwa saratani akiwa na...

READ MORE