×

Habari

Wanafunzi 20 wa Kike Wapelekwa Hospitali Baada ya Kupewa sumu Iran

Chombo cha habari cha serikali ya Iran kimesema kwamba wasichana 20 wa shule wamelazwa hospitali Jumanne, ikiwa tukio la karibuni...

READ MORE

Mbunge Musukuma Amvunja Mbavu Spika, Ampongeza Rais Samia – Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma amechangia hoja katika mjadala uliokuwa ukiendelea bungeni Aprili 04, 2023, ikiwa...

READ MORE

Mafuriko Tena Arusha, Wananchi Wamvaa Mkuu Wa Wilaya – ”Hana Msaada Hatujui Ametoka Wapi”… -Video

KUFUATIA majanga ya mafuriko yanayoendelea Arusha wananchi wamepaza sauti na kuililia serikali iwasaidie, Global TV imefika kwenye maeneo yaliyoathiriwa na...

READ MORE

Mashindano Ya CMSA Kwa Wanafunzi Yasogezwa Mbele Hadi Mei 31

CAPITAL MARKETS AND SECURITIES AUTHORITY EXTENSION OF DEADLINE FOR COMPLETION OF THE CAPITAL MARKETS UNIVERSITIES AND OTHER HIGHER LEARNING INSTITUTIONS...

READ MORE

‘Kapu La Wana’ Ya Pilsner Yafanya Droo Ya Mwisho Kubainisha Mshindi Wa Gari

Dar es Salaam, Jumanne Machi 04, 2023: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia kampeni Promosheni ya bia ya Pilsner...

READ MORE

Ukicheza Kasino ya Mtandaoni Meridianbet unapata Mgao wa Tsh 5m Bure

Promosheni Kabambe ya Endorphina Kuutafuta utajiri ni rahisi sana kama ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa sababu kila siku...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Akabidhi Mifuko 100 ya Saruji Kanisa Katoliki – Video

Viongozi wa dini na serikali wametakiwa kutembea pamoja ili kukemea maovu na kulinda utamaduni wa Mtanzania ambao ni tunu tuliyoachiwa...

READ MORE

Tulia Ackson: Mabasi Ya Abiria Yaruhusiwe Kutembea Usiku Kucha – Video

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema “Ni muhimu Serikali ilitazame, tunazuia Magari Saa 6 kwasababu ipi? Madereva ni walewale...

READ MORE

Mtoto wa Bill Gates Amekwama Kwa Mwamba Huyu Hapa, Unaambiwa Hasikii Wala Haoni

    Ukiambiwa mapenzi ni upofu usiwe unabisha! Bila shaka unamfahamu Bill Gates, yule bilionea mkubwa anayeshika namba sita duniani...

READ MORE

Trump Kupanda Kizimbani Jijini New York Kusomewa Mashtaka Yanayomkabili

Donald Trump aliyewahi kuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 2017 mpaka 2021, leo atapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Manhattan, New...

READ MORE

Watswana Wavutiwa na Matumizi ya Tehama Katika Taasisi ya OSHA

Wataalam kutoka Ofisi ya Kumbukumbu na Nyaraka ya Botswana wamefanya ziara katika Ofisi za Wakala wa Usalama na Afya Mahali...

READ MORE

Wafuasi wa Odinga Wafutiwa Mashtaka na Mwendesha Mashtaka

Mwendesha mashtaka mkuu nchini Kenya Jumatatu alifuta mashtaka kwa wabunge wanne walioshiriki maandamano ya kuipinga serikali, hatua hii imekuja siku...

READ MORE

Exclusive: Hananja Ajibu Kuteuliwa Na Rais Samia Kuwa Mkuu Wa Wilaya, Atangaza Kuwa Rais Wa Bodaboda – Video

Ni mwendelezo wa mahojiano na MchungajiMstaafu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Richard Hananja , hii ikiwa ni...

READ MORE

Nasa Yamtaja Mwanamke wa Kwanza na Mtu Mweusi Kwenda Kwenye Mwezi

Shirika la anga za juu la Marekani Nasa limewataja wanaanga wanne ambao watarudisha shughuli za binadamu kwenye Mwezi, baada ya...

READ MORE

GGML Yaunga Mkono Jitihada Kupanda Miti Halmashauri ya Mbogwe

WAKATI Tanzania ikiadhimisha Siku ya Upandaji Miti Kitaifa tarehe 1 Aprili 2023, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi...

READ MORE

Rais Samia Amhamishia Polepole Cuba Kuwa Balozi, Bakari Apelekwa Uturuki…

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya vituo kwa mabalozi wawili na kumteua balozi mmoja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Mwanablogu Mashuhuri wa Kijeshi wa Urusi Auawa katika Mgahawa huko St Petersburg

Mlipuko katika mgahawa wa St Petersburg umemuua mwanablogu mashuhuri wa kijeshi wa Urusi Vladlen Tatarsky, Wizara ya Mambo ya Ndani...

READ MORE

Raila Odinga Atangaza Kusitisha Maandamano Atoa Nafasi ya Mashauriano

Hatimaye kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga wa chama cha ODM amesitisha maamndamano yaliopangwa kufanyika Jumatatu kama iliyokuwa ikitarajiwa....

READ MORE

#Exclusive Video: Mtanzania Anayemiliki Kampuni Ya Ndege ‘Precision’ Afunguka Safari Yake Ya Mafanikio…

Mashirika ya ndege katika baadhi ya nchi za Afrika yamekuwa yakikabiliwa na changamoto mbalimbali za uendeshaji shughuli zake. Ungana na...

READ MORE

Raia wa Marekani aliyejiunga na ISIS nchini Syria apewa kifungo cha miaka 20 jela

Raia mmoja wa Marekani aliyehamia Syria pamoja na familia yake ili kujiunga la kundi la kigaidi la Islamic State amehukumiwa...

READ MORE

Binti Wa Nabii Geordavie Ahubiri Kwa Ujasiri Mbele Ya Baba Yake – Video

Binti WaMtumishi wa Mungu Nabii Gerodavie wa Arusha leo amesimama madabahuni katika kanisa linalosimamiwa na baba yake na kuhubiri kwa...

READ MORE

Khosi Aibuka Mshindi wa Big Brother Titans, Aondoka na Donge Nono la Milioni 233

Mashindano ya Big Brother Titans yamefikia mwisho usiku wa leo, Aprili 2, 2023 huku mwanadada Khosi kutoka Afrika Kusini akitangazwa...

READ MORE

Mashindano ya Kitaifa ya UCMAS 2023 Kuwajengea Wanafunzi Uwezo wa Hesabu Yatingisha

  KAMPUNI ya UCMAS inayosimamia Program ya Jumla ya Mfumo wa Hesabu za Akili, kwa mara ya pili leo imefanikisha...

READ MORE

Urusi Yatwaa Urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Ukraine Watoa Tamko

Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua...

READ MORE

CCM Yaitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Waliotajwa Kwenye Ripoti Ya CAG,Takukuru Kufuja Mali Za Umma

Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa waliohusika kwenye ubadhirifu na matumizi mabaya ya...

READ MORE

Safiri Bure na Chapride Twende Tukamuabudu Mungu!

Fanya safari kwenda au kutoka kanisani, kwa safari isiyozidi shilingi 10,000, mlipe dereva na Chapride itakurudishia pesa yako kikamilifu. NB:...

READ MORE

Tamasha la Pasaka Latarajiwa Kuwa Na Ubora Wa Hali Ya Juu Mwaka Huu

Dar er Salaam: 1 Aprili 2023. Kuelekea Tamasha kubwa la Pasaka linalotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni...

READ MORE

PASS Trust Yaelimisha Wadau Kuhusu Uhamasishaji Wa Ajenda Ya Ukuaji Wa Kijani Shirikishi Nchini

Singida, Machi 29.03.2023: Taasisi ya Kusaidia Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS Trust) leo imefanya mkutano wa mashauriano na wadau mbalimbali...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko Baraza la Mawaziri, Simbachawene, Mhagama Wabadilishana Wizara

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu,...

READ MORE

Wahitimu Chuo Cha Kufundisha Misingi ya Biblia ‘FBTC  Tanzania’Kulinda Maadili

Zaidi ya wahitimu 90 Chuo Cha Kufundisha Misingi ya Biblia (FBTC  Tanzania ) wametakiwa kuwa chachu ya maendeleo katika kuhakikisha...

READ MORE

Oscar Pistorius Arudishwa Gerezani Baada ya Kuomba Kuachiliwa

Bingwa wa Olimpiki ya Walemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius hakupewa msahama siku ya Ijumaa baada ya kuomba kuachiliwa mapema...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Simba Awatega Musonda, Mayele Atoa Maagizo

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ametoa angalizo kubwa kwa mabeki wa timu hiyo kwa kuhakikisha wanaongeza umakini mkubwa...

READ MORE

New York: Mashtaka Dhidi ya Donald Trump Bado Hayajabainishwa Wazi kwa Umma

Jopo la Mahakama huko New York limepiga kura kumshtaki rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kwa shutuma za kihalifu...

READ MORE

Elimu ya Kijinsia Katika Jamii Ni Muhimu Katika Kudhibiti Matukio ya Ukatili

Jinsia ni mtazamo ambao umejengeka katika jamii unaotofautisha majukumu, majukumu hayo na mitazamo hiyo hutengenezwa na jamii husika na mitazamo...

READ MORE

Nmb Bonge La Mpango Yazinduliwa Misungwi, Wateja Kuvuna Mil 180/=

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya kuhamasisha utamaduni wa kuweka pesa Benki ya NMB ‘NMB Bonge la Mpango – Moto...

READ MORE

TCRA Kuanza Kukagua Vifaa vya Mawasiliano Kabla ya Kuingizwa Nchini

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuanzia Mei 23, mwaka huu vifaa vya mawasiliano ya kielektroniki vinavyoingizwa nchini vitatakiwa kukaguliwa...

READ MORE

Wachimba Madini 10 Wafariki Baada ya Mgodi Kuanguka Sudan

Wachimba dhahabu wapatao 10 wamefariki katika ajali iliyotokea kaskazini mwa Sudan, na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Vyombo vya habari...

READ MORE

MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS AHITIMISHA ZIARA YAKE TANZANIA-(VIDEO+PICHA)

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris leo Machi 31, 2023 amekamilisha ziara yake ya kikazi nchini Tanzania na kuelekea...

READ MORE

Trump Afunguliwa Mashtaka na Jopo Kuu la Mahakama ya Manhattan New York

Donald Trump amefunguliwa mashtaka na jopo kuu la mahakama ya wilaya ya Manhattan katika jimbo la New York baada ya...

READ MORE

Bilionea GSM Atoa Kauli Ya Kutisha Afrika Akielekea Congo Na Kikosi Cha Yanga

BILIONEA wa Yanga, Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ jana Alhamisi kwa mara ya kwanza alisafiri na kikosi cha timu kwenye safari...

READ MORE