×

Habari

Watu 109 Wafariki Kutokana na Mafuriko Rwanda, Sita Uganda

Watu 109 wamefariki kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa katika eneo la magharibi na kaskazini mwa Rwanda Televisheni ya...

READ MORE

Kiungo wa Rivers United Morice Chukwu Aandaliwa Mkataba Yanga

UONGOZI wa Yanga tayari umepewa jina la kiungo wa kati wa timu ya Rivers United Morice Chukwu kutoka kwenye benchi ...

READ MORE

Upinzani Nchini Kenya Wasitisha Maandamano Dhidi ya serikali

Upinzani nchini Kenya Jumatano ulitangaza kwamba umesitisha duru nyingine ya maandamano yaliyopangwa dhidi ya serikali katika kile kinachoonekana kama hatua...

READ MORE

Wasauz: Simba Watatusaidia Kuifunga Yanga Nusu Fainali ya Kombe Shirikisho Afrika

KOCHA wa zamani wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr amefunguka kuwa ana uhakika mkubwa wa kupata matokeo katika mchezo wa kwanza...

READ MORE

Jisajili Kasino ya Mtandaoni Upate Bonasi

Mkubwa akiamua kufanya jambo lake hakuna anayeweza kuzuia, Meridianbet kupitia kasino ya mtandaoni wameanzisha promosheni kwa wateja wake wapya, lengo...

READ MORE

Shusho Afunguka Kumshauri Harmonize Uhusiano wa Kimapenzi na Kajala – Video

Mtumishi wa Mungu na mwimbaji mahiri wa muziki wa injili, Christina Shusho amesema staa wa Bongo Fleva, Harmonize ni kijana...

READ MORE

Sheikh Ponda Afunguka Sakata la Mali za BAKWATA Kuishauri Serikali

KATIBU wa Shura ya Maimamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanajipanga kuishauri Serikali namna bora ya kupata suluhu dhidi ya...

READ MORE

Spika Tulia Aomba Jimbo lake la Mbeya Mjini Ligawanywe

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson  ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili...

READ MORE

Upige Mwingi Na Airtel-Kila Mtu Ni Mshindi Ukiwa Na Airtel

Dar es Salaam, Jumatano 3 Mei 2023: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Airtel Tanzania inayoongoza kwa kutoa...

READ MORE

Stonebwoy aachia albamu mpya ya 5th Dimension akiwashirikisha Stormzy, Davido, Mereba, Shaggy na wengineo

  Msanii mahiri wa Afro- Dancehall kutoka nchini Ghana aliyesainiwa na lebo ya Def Jam Records, Stonebwoy ameachia albamu mpya...

READ MORE

TanTrade Yapendekeza Mkataba wa Ruzuku za Uvuvi wa WTO Uzingatie Wafanyabiashara, Wavuvi Wadogowadogowadogo

 Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Biashara TanTrade Bw. Freddy Liundi akiambatana na Afisa Biashara Mwandamizi Bi. Magreth...

READ MORE

Benki Ya Taifa Ya Biashara (NBC) Yazindua Kampeni Mpya Ya “Shinda Mechi Zako Na NBC”

Dar es Salaam 3, Mei, 2023: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imezindua kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi...

READ MORE

Bei za Petroli na Dizeli Zapanda Kutumia Kunzia leo Jumatano Mei 3, 2023

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Mei...

READ MORE

Prof Jay Aonekana Hadharani Anena ‘Hali Ilikuwa Mbaya, Nipo Imara’

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Leonard Haule ‘Profesa Jay’amerudi tena kwenye mitandao ya kijamii kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Mchungaji Kenya Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Ugaidi

Mchungaji wa Kenya alifikishwa mahakamani sakikabiliwa na tuhuma za ugaidi. Tuhuma hizo zinatokana na vifo vya zaidi ya watu 100...

READ MORE

BoT Yaipongeza NMB Kwakuwa Kinara Miongoni mwa Mabenki 44, Yazindua Tawi Kwa Mrombo

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeipongeza Benki ya NMB kwa kuwa kinara miongoni mwa mabenki 44 nchini kwa ubunifu wa...

READ MORE

Waziri wa Elimu Awatakia Kheri ya Mitihani Watahiniwa Kidato Cha Sita

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa watahiniwa wanaonza mitihani leo Mei 02, 2023 kuzingatia...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latembelea Ofisi za Vodacom Kukagua Usalama Sehemu za Kazi

  Jeshi la Polisi Tanzania, limefanya ziara kwenye ofisi za Kampuni ya Simu za Mikononi ya Vodacom kukagua usalama wa...

READ MORE

Rais Samia Amerejesha Matumaini ya Watanzania- NGOs

MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili...

READ MORE

Mwanasheria Ashauri Mgogoro Tanga Cement Ushughulikiwe Kwa Kuzingatia Sheria

Mgogoro wa utwaaji kiwanda Cha saruji ya Tanga uliendelea mwishoni mwa wiki wakati wakili wa kesi hiyo akiwataka wahusika kuheshimu...

READ MORE

Maandamano Mapya Yaanza Kenya: Polisi Wamwagwa Kila Kona, Waandamanaji Wafunga Barabara Kwa Mawe

Baada ya upinzani kutangaza maandamano mapya nchini Kenya, idadi kubwa ya Polisi imemwagwa katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi. Polisi wamewekwa...

READ MORE

Breaking: Waziri Wa Kazi Auawa Kwa Kupigwa Risasi Na Mlinzi Wake Nyumbani Kwake

Charles Okello Engola ni Waziri wa Kazi, Ajira na Uhusiano wa Viwanda wa Nchini Uganda ambaye anadaiwa kuuawa asubuhi ya...

READ MORE

Mke wa Bichuka Amwaga Machozi, Mumewe Hali Mbaya -”Kuna Hatari Kupoteza Jicho La Pili, Hali Ngumu” -Video

Muimbaji nguli wa muziki wa dansi nchini, aliyekuwa akiimbia bendi ya Mlimani Park Hassan Rehani Bichuka, ameleta kilio chake kwa...

READ MORE

Simba Yaipiga Mkwara Azam Hatua ya Nusu Fainali Kombe la Azam Sports Federation

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unahitaji ushindi kwenye mchezo wao wa Hatua ya Nusu Fainali Kombe la Azam Sports...

READ MORE

Wale Wapenzi Wa Simu Bei Kitonga, Itel Wana Jambo Lenu…

Ni vigumu kuamini kuwa 160,000 inaweza kukupatia simu yenye uwezo wa 4G, betri kubwa 5000mAh linalodumu mda mrefu, kioo kubwa...

READ MORE

NMB ‘Yawapiga Msasa’ Wanawake wa TUICO – Morogoro

Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri Tanzania (TUICO), wametakiwa kuvutiwa na mafanikio...

READ MORE

Ng’aa zaidi na Simu mpya ya Tecno Spark 10

Tecno Mobile imetoa simu mpya ya Tecno Spark 10 yenye kamera ya selfie inayong’aa ya 32 MP ambayo inakuwezesha kuongeza...

READ MORE

Huduma Ya NBC Connect Yazinduliwa Mbeya, Kuboresha Huduma Za Kibenki

MBEYA Mei 1, 2023: Benki ya Taifa ya Biashara ya (NBC) imezindua huduma ya NBC Connect, ikiwa ni ingizo jipya...

READ MORE

#Exclusive Video: Lissa Mpenzi Wa Dulla Makabila Ataka Kulia Akikumbuka Alivyofiwa Na Mtoto

KWENYE EXCLUSIVE za IMELDA MTEMA ndani ya GLOBAL TV tumepiga stori na Zaiy Lissa mpenzi wa staa wa singeli Bongo...

READ MORE

Sheikh Issa Othman Aomba Kujiuzulu Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya Bakwata

Sheikh Issa Othman Issa, ameandika barua kwa Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir ya kujiuzulu katika wadhifa...

READ MORE

WFP Yahofia Vita vya Sudan Kusambaa Afrika Mashariki, Yatoa Tahadhari

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetahadharisha juu ya mapigano yanayoendelea nchini Sudan. Limesema vurugu hizo zinaweza kuzitumbukiza nchi...

READ MORE

TANESCO Watoa Tamko Kukatika kwa umeme Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kufuatia kukatika kwa umeme Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati mechi kati ya Yanga na Rivers United ya Nigeria ikiendelea, Shirika...

READ MORE

GGML Yaibuka kampuni kinara inayozingatia malengo ya SDGs

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika tuzo za...

READ MORE

St Mary Goreti Yapongezwa Na Serikali Kwa Ubunifu Kuelekea Jubilee

SERIKALI mkoani Kilimanjaro imeupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti iliyoko Moshi, kwa ubunifu na juhudi katika...

READ MORE

Mchumba Wangu Alitembea na Mwanaume Mwingine Siku Moja Kabla ya Ndoa Yetu

Huku Tanga nilikutana na msichana mmoja mrembo na kumpenda sana, alikuwa na umbo zuri la kuvutia sana, mwenyewe nilimpenda sana...

READ MORE

NECTA Yafunga Vituo Viwili Vya Kufanyia Mitihani, Waliodanganya Mitihani Kidato Cha Nne Kurudia – Video

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo viwili vya mitihani ambavyo ni Shule Sekondari Thaqaaf iliyoko Mwanza na Twibhoki iliyoko...

READ MORE

Waziri Dk. Mabula Afafanua Upotoshaji Viwanja Vinavyomilikiwa na Kampuni ya Slipway Towers

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa ufafanuzi wa viwanja vinavyomilikiwa kampuni ya Slipway Towers Ltd...

READ MORE

Steve Nyerere Awalipua Waliosusia Tuzo Za TMA – “Wakisusa Wasuse” – Video

Msanii wa filamu za Kibongo na mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengere maarufu Steve Nyerere, amewachana...

READ MORE

Yanga: Njooni Mjifunze Kwetu Dhidi ya Rivers leo Katika Uwanja wa Mkapa

MASTAA wa Yanga huwaambii kitu kwa sasa zaidi ya kuwaza ni kwa namna gani watafanikiwa kuweka rekodi ya kufuzu kwenda...

READ MORE

Kikwete Apiga Simu Laivu Kenye Tuzo Za TMA, Atunukiwa Tuzo Ya Heshima -Video

RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amepewa tuzo ya heshima na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) usiku wa...

READ MORE