×

Habari

‘Yatapita’ Yamuweka Simorix The General Meza Moja na Diamond

Imekuwa ni kawaida kwa msanii Naseeb Abdul, ‘Diamond Platnumz’ kugawa fursa mbalimbali pindi anapoachia wimbo wake mpya ila hii utapita...

READ MORE

Waziri Wa Utalii Mgeni Rasmi Kilimanjaro International Marathon 2023

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mbio za mwaka huu za Kilimanjaro International Marathon...

READ MORE

Rais wa Marekani Ashangazwa na Urusi Kusitisha Mkataba wa Nyuklia

Rais wa Marekani Joe Biden ameutaja uamuzi wa Urusi wa kusitisha mkataba wa silaha za nyuklia wa New Start kuwa...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt, Mpango Azindua Kongamano La Biashara Kati Ya Tanzania Na Umoja Wa Ulaya

Februari 23, 2023, DAR ES SALAAM:Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya linalofanyika...

READ MORE

Yanga Yaivaa Real Bamako Kimkakati Kufuzu robo Fainali ya Kombe la Shirikisho

UONGOZI wa Yanga, umepiga hesabu kali na kubaini kuwa, tiketi yao ya kufuzu robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika...

READ MORE

Mtandao Wa Accelerate Afrika Wazinduliwa Rasmi Nchini Tanzania

Accelerate Africa, mtandao unaohusiana na maswala ya    maendeleo na ukuaji wa kiuchumi na ambao unahusisha wataalamu waliobobea kwenye maswala...

READ MORE

Bunge la Russia Laidhinisha Hatua ya Putin Kusitisha Ushirikiano na Marekani

Mabaraza mawili ya bunge la Russia Jumatano yameidhinisha hatua ya Rais Vladimir Putin ya kusitisha ushiriki wa Moscow katika mkataba...

READ MORE

Kwa Nini Baadhi ya Wanaume Huwa Hawataki Kabisa Kuoa Mwanamke Mwenye Mtoto?

  Jina langu ni Zamaradi, wanaume wengi wamekuwa wakitamani kuwa na mimi na hata kunioa lakini kila ambapo nilikuwa nawaambia...

READ MORE

Katibu mkuu wa NATO: Kuna ishara kuwa China inapanga kuiunga mkono Russia katika vita vya Ukraine

Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg amesema muungano huo wa kijeshi umeona baadhi ya ishara kwamba China inaweza kuwa inapanga kuiunga...

READ MORE

Vodacom Yakabidhi Kompyuta Zenye Thamani Ya Sh. 115m Kwa Shule 16 Kilimanjaro

Kilimanjaro – Februari 23, 2023. Katika jitihada za kukuza sekta ya elimu na kufanikisha lengo lake la kujenga jamii ya...

READ MORE

Mbao FC, Wababe wa Yanga na Simba Wanaopumulia Mashine Kukwepa Kushuka Daraja

  Kocha Mkuu wa klabu ya soka ya Mbao fc yenye maskani yake Ilemela jijini Mwanza ambayo imewahi kutamba ligi...

READ MORE

Kutana na ‘Moddz’ Mjasiriamali Aliyetoboa Maisha Kwa Boom La Chuo

Ujasiriamali ni kuhusu kuwa na vitu vingi vilivyofungwa katika kitu kimoja, hata hivyo, kuweza kuzoea ni nyenzo muhimu inayoongoza kwa...

READ MORE

Harmonize, Marioo Kupamba Matamasha Ya Kili Marathon Mjini Moshi

BARABARA zote mkoani Kilimanjaro, hususan Moshi Mjini, zinaelekea katika viwanja vya Moshi Club na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)...

READ MORE

Mtu Mmoja Afariki Wakati Kimbunga Freddy Kupiga Pwani ya Madagascar

MTU mmoja amefariki dunia baada ya kimbunga cha kitropiki kukumba pwani ya mashariki ya Madagascar, huku mvua kubwa ikiambatana na...

READ MORE

Rais Putin Atoa Onyo Jipya la Nyuklia Dhidi ya Nchi za Magharibi Kuhusu Ukraine – Video

Rais Vladimir Putin ametoa onyo siku ya Jumanne, kwa nchi za Magharibi kuhusu Ukraine kwa kusimamisha mkataba wa kihistoria wa...

READ MORE

Walinda Amani Watatu wa Senegal wa kikosi cha UN nchini Mali Wauawa katika Mlipuko

Walinda amani watatu wa Senegal wa kikosi cha Umoja wa mataifa nchini Mali waliuawa Jumanne wakati msafara wao ulipokanyaga bomu...

READ MORE

GGML Yang’ara Tuzo za PRST, Yanyakua 2

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeendelea kufanya vyema kwenye nyanja mbalimbali zinazogusa jamii na serikali kwa ujumla baada...

READ MORE

CBE Yaja na Klabu za Ujasiriamali Mashuleni

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimepanga kuanzisha vilabu vya ujasiriamali kwa shule za sekondari mkoani Dar es Salaam...

READ MORE

Waziri Aweso ashiriki Mkutano Maalum wa Huduma ya Maji Duniani

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameshiriki Mkutano Maalum unaohusiana na masuala ya Huduma ya Maji Duniani wa World Water-Tech Innovation...

READ MORE

Timu ya Mapinduzi FC Yaikamia Timu ya Azam FC Mechi ya Kombe la Shirikisho la Azam

Wakati Machi 3, 2023 Klabu ya Soka ya Mapinduzi FC ikitarajia kujitupa uwanjani kumenyana na Klabu ya Soka ya Azam...

READ MORE

Wanajeshi zaidi 51 Wauwawa Katika Shambulizi la Kustukiza Burkina Faso

Takriban wanajeshi 51 wameuwawa katika shambulizi la kustukiza linaloshukiwa kufanywa na wanajihadi kaskazini mwa Burkina Faso, jeshi limesema Jumatatu, na...

READ MORE

Thamani ya Staa wa Manchester City Erling Haaland kwa Sasa ni euro Bilioni 1

UMESIKIA hiyo, thamani ya staa wa Manchester City, Erling Haaland kwa sasa ni euro bilioni 1. Haya yameelezwa na wakala...

READ MORE

Chama Cha Wakutubi Tanzania Kukuza Ari na Hamasa ya Kujisomea Nchini

  Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wakutubi Tanzania, Dr. Leontine Nkebukwa ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo cha Elimu ya...

READ MORE

Matetemeko Ya Ardhi Mawili Mapya Yaipiga Uturuki na Syria, Watu Wanaswa Ndani ya Vifusi

Kwa mara nyingine tena waokoaji wanatafuta watu waliokwama chini ya vifusi baada ya matetemeko mawili mapya ya ardhi kuikumba Uturuki...

READ MORE

Sierra Leone: Chama Kikuu Cha Upinzani Chamteua Mgombea Urais Anayedaiwa Kuiba Pesa Za Umma

Chama kikuu cha upinzani nchini Sierra Leone, kimemteua waziri wa zamani wa mambo ya nje Samura Kamara kama mgombea wake...

READ MORE

Mradi wa Makazi Wakaribisha Wawekezaji Visiwani Zanzibar

Februari 2023-Wakati ujenzi wa mradi wa majengo mapya ya ya kisasa ya makazi ukiendelea katika eneo la Nungwi Mashariki mjini...

READ MORE

Watumiaji Wenye Tiki za Blue Instagram, Facebook Kuanza Kulipia kila Mwezi

KAMPUNI ya Meta inayomiliki Mitandao ya Instagram na Facebook imetangaza watu wenye tiki za Blue wataanza kulipia malipo yatakuwa Dola...

READ MORE

Mwanamuziki Maarufu Morocco Akabiliwa na Kesi ya Ubakaji Nchini Ufaransa

Mwanamuziki nyota wa Morocco Saad Lamjarred, anatuhumiwa na kesi ya ubakaji na unyanyasaji, ambayo imeanza kusikilizwa katika mji mkuu wa...

READ MORE

PASS TRUST Yazindua Kampeni Ya Kijani Maisha

Dar es salaam, Februari 21, 2023: Taasisi binafsi ya kusaidia sekta ya kilimo (PASS), leo imezindua kampeni ya KIJANISHA MAISHA...

READ MORE

Bosi Alitaka Nimpe Penzi Anipe Ajira, Nikaapa Kamwe Siwezi Kutoa Mwili Wangu

  Ni wanawake wengi sana duniani wametoa rushwa ya ngono ili waweza kupewa kazi, kupandishwa cheo na kuongezewa mshahara, licha...

READ MORE

Pilsner ‘Kapu la Wana’ Yafanya Droo Ya Kwanza

Dar es Salaam, Jumatatu Februari 13, 2023: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Pilsner Lager imefanya...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi  Afungua Ubalozi Mdogo wa UAE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  amefungua Ubalozi mdogo wa Umoja wa Nchi ya...

READ MORE

CRDB Yaingia Mkataba wa Makubaliano na ICTC na COSTECH Kuwezesha Biashara Changa

    Katika mwendelezo wa kusaidia jitihada za Serikali kukuza ujumuishi wa kiuchumi nchini, Benki ya CRDB leo imeingia mkataba...

READ MORE

Mwezi Februari Umekuwa Mtamu Sana kwa Washindi Hawa wa Meridianbet

  Mwezi wa Pili umekuwa mwezi mzuri sana, ambapo Meridianbet imetangaza na kuwapongeza washindi wawili (2) waliojishindia mamilioni ya pesa...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Akutana na Askofu Mkuu wa Kanisa La Waadventista Wasabato Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  amekutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista...

READ MORE

CBE Yatamba Kuzalisha Wahitimu Walio Tayari Kwa Soko la Ajira

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya...

READ MORE

Kili International Marathon Watangaza Barabara Zitakazofungwa Jumapili

ZIKIWA zimebakia siku chache kabla ya kufanyika mbio maarufu za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon kwa mwaka wa 2023, waandaaji...

READ MORE

Mama Mariam Mwinyi Apongezwa Na UVCCM, Kujipanga Na Matembezi Ya Miaka 60 ya Mapinduzi ZNZ Mwakani

Mlezi wa Matembezi ya  UVCCM ya  Mapinduzi  ya Zanzibar,  Mke wa Rais Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora...

READ MORE

AU yaendelea kuzitenga nchi nne za Afrika zinazotawaliwa na jeshi

Umoja wa Afrika Jumapili umesisitiza kuwa una sera ya kutovumilia mabadiliko yanayokiuka katiba, huku ukiendelea kusimamisha uanachama wa nchi nne...

READ MORE