×

Habari

Benki Absa Yaboresha Mkopo wa Nyumba, Yaingia Makubaliano na NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula amefika katika jengo la Morocco Square kuzindua Huduma ya...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Mchumba Wangu Alivyotupiwa Jini na Ndugu Zake ili Nisimuoe

  JINA langu ni Ally kutokea Dodoma, Tanzania, nina mchumba wangu ambaye tupo kwenye mahusiano kwa mwaka wa nane huu,...

READ MORE

Waziri Aweso Atua London Kwenye Mkutano Maalum wa Maji Duniani

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika London Uingereza na kuanza kwa kusaini kitabu cha wageni na kutoa salam katika...

READ MORE

Benki Ya NCBA Tanzania Yajipanga Kupanua Wigo Katika Sekta Muhimu Za Kiuchumi

Dar es Salaam: Benki ya NCBA Tanzania, taasisi ya kifedha inayoongoza nchini, imetangaza mipango yake ya kutanua shughuli zake ili...

READ MORE

Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank PLC (ACB) Yapata Mwenyekiti Mpya

Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank Pic (ACB) inapenda kutangaza uteuzi wa Mwenyekiti wake mpya, Bi. Catherine N. Kimaryo....

READ MORE

Korea Kaskazini Yarusha Kombora la Masafa Marefu Karibu na Ufukwe wake wa Mashariki

Korea Kusini na Japan zimesema Jumamosi kwamba Korea kaskazini imerusha kombora la masafa marefu karibu na ufukwe wake wa mashariki,...

READ MORE

Watoto Wenye Ulemavu Na Wasiojiweza Bagamoyo Wafutwa Machozi Na Tete Foundation

18 Februari 2023:Watoto wenye ulemavu na wasiojiweza wa Kituo cha Hopes kilichopo Miono Bagamoyo Pwani, wamefutwa machozi na Taasisi ya...

READ MORE

Biden Kutoa Hotuba ya Maadhimisho ya Mwaka Mmoja Tangu Vita vya Ukraine, Akiwa Poland, Jumanne

Rais wa Marekani, Joe Biden anajitayarisha kwa maadhimisho ya mwaka mmoja wa uvamizi wa Russia nchini Ukraine kwa hotuba katika...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kuchukua Namba Na Vest Za Kukimbilia, Tigo Half International Marathon

Februari, 18 – 19 , 2023 Maelfu ya wakazi wa Dar Es Salaam , wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya...

READ MORE

Video: Bango La Mchungaji Kimaro Lililowekwa Dar Lazua Taharuki, Polisi Watinga, Waumini Waelezea..

WAUMINI wa Mchungaji Eliona Kimaro, wameweka bango lenye picha ya mchungaji huyo kama ishara ya kumuonesha upendo kwa kumkumbuka. ⚫️...

READ MORE

Kijana Aokolewa Akiwa hai Baada ya saa 260 za Tetemeko la Ardhi huko Uturuki

Waokoaji wa Uturuki walifanikiwa kumtoa kijana mdogo akiwa hai kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka saa 260 baada ya tetemeko...

READ MORE

Viongozi wa Afrika wanakutana Addis Ababa Kwenye Mkutano wa 36 Umoja wa Afrika (AU)

Wakuu wa nchi za Afrika wameanza mkutano wao wa kila mwaka katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa. Mkutano wa...

READ MORE

Naibu Waziri Kundo Ampongeza Rais Samia Uboreshaji Mazingira ya Tasnia ya Habari

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Utafiti Wabaini Kukithiri Kwa Rushwa ya Ngono Kwenye Vyombo vya Habari

  Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) Februari 17, 2023  kimeendesha mjadala na wahariri wa vyombo vya habari kujadili...

READ MORE

Mwili wa Mchezaji Christian Atsu Wakutwa Kwenye Kifusi Baada ya Tetemeko

  Mchezaji soka wa Ghana aliyewahi kuichezea Klabu ya Chelsea, Christian Atsu amefariki dunia na mwili wake kukutwa ukiwa umefukiwa...

READ MORE

RC Mgumba Akabidhi Vyandarua Kwa Shule Zote za Mkoa wa Tanga, Ni Vilivyotolewa na Rais Samia

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan imegawa vyandarua kwa Shule zote za msingi Mkoani...

READ MORE

Mamia Wajitokeza Kuchukua Namba Za Kili Marathon Dar

Mamia ya wakazi wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani wamejitokeza katika zoezi la utoaji namba za kukimbilia kwa ajili...

READ MORE

Wateja Ni Wengi Katika Biashara Yangu Mpaka Nakosa Muda wa Kula Wala Kupumzika

  Kila mfanyabiashara kiu yake ni kupata wateja wengi na kuweza kutengeneza faida kubwa katika biashara  yake, sidhani kama mtu...

READ MORE

The Coca-Cola Foundation Supports Tanzanian Women in Recycling Through Grant Award

Saturday 18 February 2023 Dar es Salaam – Over 30 women in the local recycling industry in Dar es Salaam are...

READ MORE

Serikali ya Somalia Yaua Wapiganaji 350 wa Al Shabab Katika Operesheni Tofauti

Serekali ya Somalia Alhamisi imesema wanajeshi wake wanaoungwa mkono na washirika wake wa kimataifa, na wanamgambo wa kikoo wamewaua takriban...

READ MORE

Mwigizaji Bruce Willis Ana Tatizo la Akili, Familia yake Yatangaza

Mwigizaji Bruce Willis ana shida ya kiakili inayofahamika kama frontotemporal, familia yake imetangaza. Katika taarifa kwenye mitandao ya kijamii, walisema...

READ MORE

Vijana Wanufaika Na Mafunzo Ya EACOP Ya Mradi Ujenzi Wa Bomba La Mafuta

Serikali imepongeza  mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuwapatia mafunzo yenye hadhi ya kimataifa Watanzania...

READ MORE

Rais wa Kenya William Ruto Atangaza Nafasi za Kazi Sita, IEBC Utata Waibuka

Rais wa Kenya William Ruto ametangaza wazi nafasi sita katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, wakati bado jopo...

READ MORE

Idadi ya Vifo vya Tetemeko la Ardhi Syria na Uturuki Yafikia Zaidi ya 41,000

  Idadi ya jumla ya vifo katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Uturuki na Syria wiki iliyopita imeongezeka na kufikia...

READ MORE

Rais Buhari wa Nigeria Aongeza Muda wa Kubadilisha noti ya 200 ya Naira kwa siku 60

Rais wa Nigeria Buhari ameiagiza Benki Kuu kuachilia noti za kale za 200 za naira tena katika ili kutumiwa sambamba...

READ MORE

Wanawake Watatu Wapatikana Hai siku Tisa Baada ya Tetemeko la Ardhi Uturuki

Siku tisa baada ya maafa ya tetemeko la ardhi Uturuki, wanawake watatu na watoto wawili wamepatikana wakiwa hai. Melike Imamoglu...

READ MORE

Wanafunzi 32 Wanusurika Kifo Baada ya Kula Matunda Yanayodaiwa Kuwa na Sumu

  WANAFUNZI 32 wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Mkomo, Kata ya Chawi Halmashauri ya Mji wa Nanyamba...

READ MORE

Chuo Cha Teknolojia Cha India Kuanzishwa Nchini Tanzania

Serikali ya India inatarajia kuazisha Chuo cha Teknolojia (Indian Institute of Technology) nchini Tanzania ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala...

READ MORE

Msanii AKA Kuzikwa Jumamosi, Baba Yake Afunguka, Kuagwa Ijumaa Ukumbi wa Sandton Convention Centre

Familia ya rapa mkubwa nchini Afrika Kusini aliyeuawa kwa kupigwa risasi, Kiernan Forbes almaarufu AKA imetoa taratibu za mazishi za...

READ MORE

Nikki Haley Ajitosa Kumvaa Trump Urais Marekani Kupitia Chama cha Republikan

GAVANA wa zamani wa jimbo la South Carolina, Nikki Haley amesema kwamba atawania uteuzi wa mgombea urais wa Marekani kupitia...

READ MORE

Marekani Haijapata Uthibitisho wa Vyombo Ilivyotungua ni vya Ujasusi

Serikali ya Marekani, Jumanne imesema kwamba mpaka sasa haina uthibitisho kwamba vyombo vinne vilivyotunguliwa angani wiki iliyopita katika anga la...

READ MORE

CTI Yaomba Malighafi Zinazoingia Tanzania Zisitozwe Kodi

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI), limeiomba serikali kupunguza au kuondoa  kodi kwa malighafi zinazotoka nje ya nchi kwaajili ya...

READ MORE

GGML Yagawa Tani 23 Mbegu za Alizeti kwa Wakulima Geita

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited. (GGML) imesambaza tani 23 za alizeti katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Halmashauri...

READ MORE

Chapride Yazinduliwa Rasmi Valentine’s Day, Yatoa Ofa ya Usafiri Kwa Wapendanao

  Kampuni ya Usafirishaji wa Abiria Mtandaoni ya Chapride, leo imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, zoezi ambalo limekwenda sambamba...

READ MORE

Siku ya Redio Duniani Meridianbet Yapiga Hodi ITV & Radio One

Tarehe 13 siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo...

READ MORE

TEMESA Yataka Nauli za Vivuko Zipandishwe Hazienani na bei ya Soko

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umesema changamoto kubwa zinazoikabili kwa sasa ni nauli za vivuko ambazo zimepitwa na...

READ MORE

Mshindi Wa Tzs 20m Meridianbet Aeleza Mbinu Alizotumia

Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja,...

READ MORE

Tetemeko La Ardhi Uturuki: Mtoto Wa Miaka Mitano Aokolewa Baada Ya Saa 105 Kwenye Vifusi Vya Tetemeko

Mtoto mwenye umri wa miaka 5 ameokolewa kutoka vifusi vya tetemeko la ardhi la Uturki saa 105 baada ya mkasa...

READ MORE

Wanafunzi Watatu Wauawa Kwa Kupigwa Risasi, Wengine Watano Wajeruhiwa

  Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa baada ya mwanaume mwenye silaha kuvamia Chuo Kikuu cha Michigan, Marekani...

READ MORE