×

Habari

BancABC Yatumia Milioni 18.9 Kukarabati Vyoo Dar Es Salaam Sekondari

  Dar es Salaam, 14 Desemba 2022: BancABC imetumia shilingi milioni 18.9 kukarabati vyoo vya Shule ya Sekondari Dar es...

READ MORE

Wachezaji 30 wa Gofu Washiriki Michuano ya Uhuru Golf Tournament Kilombero

    Katika kusherehekea miaka 61 ya Uhuru, Klabu ya Gofu ya Kiwanda cha Sukari Kilombero imeandaa mashindano ya mchezo...

READ MORE

RC Makala Ashiriki uzinduzi wa ‘NMB Pesa Akaunti’ Kidijitali Zaidi

Zama mpya ya huduma za kibenki imejili nchini baada ya Benki ya NMB kuzindua suluhisho la kisasa ‘NMB Pesa Akaunti’...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Kiwanda cha Kusindika Maziwa, Kinachakata Lita 10,000 Kwa Saa

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi...

READ MORE

Msichana wa Miaka 9 Anusurika Kifo Baada ya Kumpiga Mamba Kwenye Pua Yake

Mtoto mwenye umri wa miaka tisa amenusurika kifo kutokana na shambulio la mamba katika wilaya ya Chibuto katika jimbo la...

READ MORE

Dk. Abbas Atoa Vifaa kwa Ofisi ya Mfuko wa Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi leo Desemba 13, 2022 amekagua na kukabidhi...

READ MORE

Tanzania Kuwa Mwenyeji wa Jukwaa la Mtandao wa Chakula Afrika

  Rais Samia Suluhu Hassan, ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau...

READ MORE

Mrisho Mpoto Aondoka Nchini Kuelekea India Kutumbuiza Kwenye Tamasha

    Mwanamuziki wa nyimbo za asili na uhamasishaji nchini Tanzania, Mrisho Mpoto ameondoka nchini  pamoja na bendi yake kuelekea...

READ MORE

Lockerbie, Raia wa Libya Afikishwa Mahakamani Marekani Akitumiwa Kuangusha Ndege

Afisa wa ujasusi wa Libya anayeshutumiwa kutengeneza bomu lililotumika kuiangusha ndege ya Pan Am na kuua watu 259, waliokuwa ndani...

READ MORE

Afrika Kusini: Bunge Kujadili Kashfa Inayomkabili Rais Cyril Ramaphosa

Hii ni kashfa inayomzunguka rais Ramaphosa ya madai ya kuficha wizi wa sarafu za kigeni katika shamba lake la kibinafsi...

READ MORE

Waziri Mkenda: Ajira za Chuo Kikuu Isiwe Kuangalia GPA, Lazima wapimwe, Wafanye na usaili

Kuanzia sasa serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe...

READ MORE

CCM Ilala Wakemea Unyanyasaji kwa Watoto, Mapenzi ya Jinsia Moja Yawa Gumzo

JUMUIYA ya Wazazi CCM Mtaa Mafuriko kwa Umoja wao Matawi Mawili (BINTI KAMBA &BUNGONI) Desemba 10/12/2022 Iliungana kwa Pamoja Kuukaribisha...

READ MORE

Majaliwa: Nimefurahishwa na Utekelezaji wa Agizo la Rais Dkt. Samia

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa amefarijika kuona Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) imeanza kutekeleza agizo la Rais wa...

READ MORE

CMC Automobiles Yapiga Jeki Mradi wa Madawati wa Rotary

MRADI wa kutoa madawati kwa shule za umma unaoendeshwa na klabu ya Rotary ya Dar es Salaam taongeza idadi ya...

READ MORE

Biden Kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Afrika Kuanzia Jumanne, Washington DC

Rais wa Marekani, Joe Biden atakuwa mwenyeji wa viongozi kutoka nchi za Afrika kuanzia kesho Jumanne hapa Washington DC, wakati...

READ MORE

Kampeni ya Nmb Mastabata ‘Kotekote’ Yazidi Kupasua Anga

  Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote,’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, imezidi kupasua anga baada ya zawadi zenye thamani...

READ MORE

Halotel Kuwapatia Wanafunzi wa Vyuo Salio la Bure

  Katika juhudi zake za kusaidia sekta ya elimu hapa nchini, Kampuni ya Halotel imekuja na ubunifu mwingine katika kutoa...

READ MORE

Video: Mo Dewji Kuondoka Simba? “Kuna Tatizo Simba” -Saleh Jembe

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe ambaye amefunguka mengi kuhusiana na ishu ya...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kwenye Kilele cha Boomplay Campus Tour Jijini Mwanza

  Boomplay, App inayoongoza katika utoaji wa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika kwa kushirikiana na jukwaa la...

READ MORE

Serikali Yaahidi Kutatua Changamoto za DMI

·          WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo cha bahari Dar es Salaam (DMI)....

READ MORE

Mama na Mwanaye Jela Miaka 40 kwa Kukutwa na Nyara za Serikali

  MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, katika kesi yake ya kwanza kuitolea hukumu tangu izinduliwe Novemba 25, 2022...

READ MORE

Mshindi Wa Promosheni Ya Beti Na Kitochi Meridianbet Inaendelea Kutimiza Ndoto ya Kila Mtu

Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Septemba 10, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 10 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

TTCL Yapeleka Mawasiliano ya Data Katika Kilele Cha Mlima Kilimanjaro

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) kwa kufanikiwa...

READ MORE

Vishikwambi Kutengenezwa Nchini, Waziri wa Elimu Prof. Mkenda Aeleza

  Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema haina sababu ya kuagiza Vishikwambi kutoka nje ya nchi itaunga mkono jitihada...

READ MORE

Polisi Warushiana Risasi na Majambazi Waliovamia Sheli, Mmoja Auawa

JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera limefanikiwa kuzuia tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililokuwa linapangwa na majambazi watatu waliokuwa...

READ MORE

Bilionea wa Japan Yusaku Maezawa Ataja watu wanane Atakao kwenda nao Kwenye Safari ya Kwenda Mwezini

Bilionea wa Japan Yusaku Maezawa amewataja watu wanane wenye bahati ya mtende atakao kwenda nao kwenye safari ya kwenda mwezini...

READ MORE

Polisi Mkoani Arusha Yatoa Matibabu na Ushauri wa Kiafya kwa Wazee

JESHI la Polisi la Mkoa wa Arusha limetoa huduma ya matibabu na ushauri wa kiafya katika kituo cha AST maalumu...

READ MORE

Mama, Mwana Jela Miaka 40 kwa Kukutwa na Vipande 8 vya Nyumbu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, katika kesi yake ya kwanza kuitolewa hukumu tangu izinduliwe Novemba 25, 2022 na...

READ MORE

Rais wa Cuba Aliyeondolewa Madarakani na Bunge Afikishwa Mahakamani

Rais wa Peru Pedro Castillo aliyeondolea madarakani  na wabunge Jumatano, j Alhamisi amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza, wakati mridhi...

READ MORE

Umoja wa Wazazi CCM Upanga Magharibi Ilivyowafariji Watoto Wanaoteseka na Tatizo la Moyo

  Dar es Salaam: 9 Desemba 2022, Wanachama na viongozi wa CCM Kata ya Upanga Magharibi, katika kuazimisha siku ya...

READ MORE

GGML Yawaaga Wahitimu wa Mafunzo Tarajali

  Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewaaga wahitimu 26 wa mafunzo tarajali waliokuwa wakifanya mafunzo...

READ MORE

Bunge Lamuondoa Rais Madarakani kwa Madai ya Kukosa Maadili

  Jana Jumatano Desemba 7, 2022 inatajwa kuwa ni siku chungu kwa Rais wa Nchi ya Peru, Pedro Castillo ambaye...

READ MORE

Mwanamke Apoteza Uwezo wa Kuona Kisa Kujichora Tatoo kwenye Nyusi

  Kama una tabia za kuigaiga mambo kutoka kwenye tamaduni usizozijua, ipo siku mambo hayo yatakutokea puani.Miongoni mwa habari zinazofuatiliwa...

READ MORE

Rais Samia,Dkt. Mwinyi, Kinana Wang’ara

MWENYEKITI wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan  amepata kura 1914 huku akipata kura moja ya hapana. Kwa Makamu Mwenyekiti...

READ MORE

Mahakama ya Tanzania Yaongeza Nguvu’IJA’ Matumizi ya Tehama

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema kuwa, Mahakama ya Tanzania kupitia awamu ya pili (II) ya Mradi...

READ MORE

Washindi wa Wakishua Twenzetu Qatar na Hisense Warejea Baada ya Kushuhudia Baadhi ya Mechi

  Dar es Salaam: 8 Desemba 2022, Washindi wa Promosheni ya WAKISHUA TWENZETU QATAR na Hisense, wamerejea nchini Tanzania wakitokea...

READ MORE

DMI Yaomba Meli ya Mafunzo Kwa Wahitimu

  CHUO cha Bahari Dar es Salaam, (DMI), kimeomba serikali ikipatie meli ya mafunzo kwaajili ya kuwaongezea ujuzi wahimu wa...

READ MORE

Absa Yazindua Ripoti ya Viashiria vya Masoko ya Fedha Afrika

  Naibu Katibu Mkuu (Sera), wa Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Dk...

READ MORE