×

Habari

Fedha za Maadhimisho ya Uhuru Kujenga Mabweni ya Shule Nane

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema fedha zilizokuwa zimetengwa na...

READ MORE

Kampuni ya Kilombero Yaibuka Kidedea Tuzo za ATE 2022

DAR ES SALAAM, Kampuni ya Sukari ya Kilombero imefanikiwa kunyakua tuzo katika kipengele cha Uanagenzi na Mafunzo (Apprenticeship and Internship)...

READ MORE

Kanisa la Mlima wa Moto Kumuenzi Hayati Dkt. Getrude Rwakatare

  KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Akabidhi Tuzo Kwa NMB ya Mwajiri bora wa mwaka 2022   

Benki ya NMB imetangazwa kuwa Mwajiri bora wa mwaka 2022 katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Chama cha...

READ MORE

TEN MET Yataka Ubora wa Elimu Ukidhi Mahitaji ya Wenye Ulemavu

  MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET), umetoa changamoto kwa wadau wa elimu nchini kwa kushirikiana na Serikali kuhakikisha mabadiliko ya...

READ MORE

Waziri Aitembelea TPDC na Kupewa Maelezo Kuhusu Matumizi ya Gesi Asilia Majumbani

  Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omary Said Shaaban ametembelea jengo la Shirika la Maendeleo ya Petroli...

READ MORE

Serikali ya Iran Yawanyonga Majasusi Wanne Wanaodaiwa Kutumwa na Israel

Serikali ya Iran imewanyonga majasusi wa nne wa Israel waliohukumiwa kifo baada ya kukamatwa, wakituhumiwa kutumwa na Israel kuipeleleza nchi...

READ MORE

Bandari Kavu ya Kwala Mkoani Pwani Kuanza Kutumika Januari, 2023

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayesimaia Sekta ya Uchukuzi Bw. Gabriel Migire amesema  Kufikia Januari, 2023...

READ MORE

Kampuni ya Marekani Yazindua Ndege ya Makombora ya Nyuklia

Kampuni ya Northrop Grumman Corp imezindua ndege yake mpya ya ufyatuzi wa mabomu aina ya B-21 “Raider” aina ya jet,...

READ MORE

Wanafunzi wa Kerege Wanufaika na Madawati 140 Yaliyotolewa na Benki ya Stanbic

  Bagamoyo, Desemba 2022: Benki ya Stanbic Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuendelea kuiunga mkono serikali katika kutatua changamoto katika...

READ MORE

Benki ya NBC Yazindua Kampeni ya Funga Mwaka Kibabe na NBC

  Dar- es – Salaam – Disemba 2022: Katika juhudi za kukuza miamala ya papo kwa papo, salama na malipo...

READ MORE

300 Dodoma Women Entrepreneurs on The Path to Success From Coca-Cola Kwanza Ltd

  5 December 2022, Dodoma – More than 300 women food vendors in the Dodoma Region received cooking equipment and...

READ MORE

Askari Waliotimiza Miaka 22 Kazini Watoa Msaada Kituo cha Watoto Yatima

ASKARI wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha waliotimiza miaka ishirini na mbili kazini wametoa msaada katika kituo cha Faraja...

READ MORE

Anne Makinda Afurahia Ubora Wa Wahitimu HKMU

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali kuendelea kuongeza mikopo na ufadhili kwa wanafunzi wa fani...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba 2022, Yatazame Hapa

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022...

READ MORE

11 Wanaodaiwa Kumuua Wayne Lotter Wahukumiwa Kunyongwa Hadi kufa

Mahakama kuu Kanda ya Dar es salaam imewahukumu watuhumiwa 11 wa kesi ya mauaji ya mwanaharakati mpinga ujangili wa tembo,...

READ MORE

Mkoa wa Katavi Wapiga Hatua Mapambano ya Virusi vya Ukimwi (VVU)

  MKOA wa Katavi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali umefanikiwa kutekeleza afua mbalimbali za kupambana na UKIMWI ambapo mkoa umefanikiwa...

READ MORE

Mauaji ya Kutisha! Mhadhiri Saut Anyongwa Hadi Kufa Ndani Kwake, Mfanyakazi – Video

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT), Hamida Mussa (64) anadaiwa kuuwawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni...

READ MORE

Rais Biden: Kuna Uwezekano wa Kufanya Mazungumzo na Vladimir Putin

Rais wa Marekani, Joe Biden, amesema kwamba kuna uwezekano wa kufanya mazungumzo na rais wa Russia Vladimir Putin kuhusu hatua...

READ MORE

Happines Sanga Mwanafunzi Bora wa Chuo Kikuu Ardhi

  WANAFUNZI 96 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wametunukiwa tuzo mbalimbali kutokana na kufanya vizuri kitaaluma kwa mwaka wa masomo...

READ MORE

SATF Yawakutanisha Wanufaika wa Vyuo 2021/22

Shirika la Social Action Trust Fund ( SATF ) ambalo limekuwa likitoa msaada kwa Watoto wenye uhitaji kufikia malengo yao...

READ MORE

Bodi ya Filamu Yatangaza Filamu Zilizopita Katika Mchujo wa Tuzo za Filamu 2022

    DAR ES SALAAM 30 Novemba 2022: Kufuatia ukusanyaji wa filamu kutoka mikoa 25 ya Tanzania Bara ambapo zilikusanywa...

READ MORE

Wanafunzi Msingi na Sekondari Wapewa Mafunzo ya TEHAMA

    Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi chache ambazo wanafunzi wake wa shule za msingi na sekondari wamefaidika na ujuzi...

READ MORE

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) Lazuia Matokeo ya Watahiniwa 540 la Saba

  Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limezuia matokeo ya watahiniwa 540 kutoka vituo sita vya mitihani ndani ya jiji...

READ MORE

Necta Yazifungia Shule 24 kwa Kufanya Udanganyifu Mtihani la Saba …Ipo Rweikiza ya Bukoba, Al-hikma Dar

  Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya...

READ MORE

Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aga Khan Wafanya Operesheni 23 Kuboresha Maumbile

HOSPITALI ya Aga Khan, kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Reconstruction Woman International (RWI) na Hospital ya Taifa ya...

READ MORE

H-Baba Alia Akiongelea Mikataba ya Harmonize Amkataa Diamond Aruka na Kiba – Video

MSANII mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, H Baba ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga chozi wakati akizungumzia mikataba...

READ MORE

PSSSF Yatwaa Tuzo ya Umahiri Katika Uwasilishaji Taarifa za Mahesabu Kwa Mwaka 2021

    MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetwaa Tuzo ya Umahiri katika Uwasilishaji  wa Taarifa...

READ MORE

Mwimbaji wa Marekani Jake Flint Afariki Saa Chache Baada ya Harusi

Hali ya sintofahamu inaendelea kutanda kuhusu kifo cha mwanamuziki wa taarabu nchini Marekani, Jake Flint, saa chache baada ya harusi...

READ MORE

UNDP na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Wazindua Jukwaa la Kwanza la Uwekezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu

    Dar es Salaam, Novemba 30, 2022: Jukwaa la kwanza kuwahi kutokea Tanzania la Uwekezaji wa Malengo ya Maendeleo...

READ MORE

Kampuni ya Barron Yatoa Msaada Wa Viatu Kwa Watoto Wenye Maambukizi ya Ukimwi

Katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani leo tarehe 1 Disemba 2022 Kampuni ya Barron ambao ni wazalishaji na wauzaji wa...

READ MORE

GGML Yaweka Rekodi Mapambano Dhidi ya VVU/ UKIMWI

WAKATI leo ikiwa ni kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imesema...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa Katika Mahafali ya Chuo Kikuu cha Dar (Picha +Video)

  MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtunuku...

READ MORE

Mwanamitindo Maarufu Nchini Fahyvanny Adaiwa Kwenda Uturuki Kusti Shepu?

MWANAMITINDO maarufu nchini, Fahyma ‘Fahyvanny’ na mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa Next Level Raymond Mwakyusa...

READ MORE

CCM Yasikitishwa na Kulaani Kitendo cha Udhalilishaji Dhidi ya Mzee Mkoani Mara

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesikitishwa na kulaani kitendo cha udhalilishaji na ukiukaji wa haki ya msingi ya Mtanzania kuwa huru...

READ MORE

Mkuu wa Polisi wa Nigeria Ahukumiwa Kifungo cha Miezi Mitatu Jela

Mahakama kuu nchini Nigeria imemhukumu mkuu wa polisi nchini humo kifungo cha miezi mitatu jela kwa kutotii amri ya mahakama....

READ MORE