×

Habari

Waliochaguliwa kujiunga Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2023 VETA Hawa Hapa…

Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodaha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi...

READ MORE

Afrika Kusini: Ramaphosa Achaguliwa Tena Kukiongoza Chama Kinachotawala ANC

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amechaguliwa tena kuwa kiongozi wa chama cha ANC katika mkutano wa chama uliofanyika Johanesburg,...

READ MORE

Ghorofa Laporomoka na Kuua Watano Marangu, Moshi Mkoa wa Kilimanjaro

Watu watano wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na jengo la ghorofa mbili, katika kijiji cha Sembeti,...

READ MORE

Moise Katumbi Atangaza Kugombea Urais wa RDC 2023 Kuminyana na Tshisekedi

Mfanyabiashara maarufu, mwanasiasa na aliyekuwa gavana wa mkoa wa Katanga, Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi, ametangaza kwamba atagombea...

READ MORE

Chama Cha Wasioona Tanzania Waneemeka Na Msaada Kutoka Meridianbet

Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) kwa furaha kubwa wamepokea msaada wa fimbo za kutembelea “White canes” kutoka Meridianbet Tanzania ikiwa...

READ MORE

Elon Musk Awaomba Watumiaji wa Twitter Kuamua Mustakabali wa Uongozi Wake

Mmiliki wa Twitter Elon Musk anawaomba watumiaji wa mtandao huo wa kijamii kupiga kura kuhusu mustakabali wake kama afisa mkuu...

READ MORE

Odds za Meridianbet FAINALI ya Kombe la Dunia Zikoje?

    Ule msemo wa mtoto hatumwi dukani utatimia leo jioni pale katika dimba la Lusail ambalo ndio dimba kubwa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Imetoa Zaidi ya Bil 7 Kuwezesha Ujenzi Chuo cha Ualimu Sumbawanga

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni saba kuwezesha ujenzi wa majengo mapya ya...

READ MORE

Waziri wa Elimu Akemea Watumishi Wanaofanya Udanganyifu Kwenye Mitihani

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekemea vikali udanyanyifu wa mitihani unaofanywa na baadhi ya watumishi wa...

READ MORE

Waziri Kairuki Awataka Walimu Kuwa Chachu ya Kudhibiti Ukatili Dhidi ya Watoto

      WALIMU wametakiwa kuchukua hatua za makusudi na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa watoto mashuleni wanapata elimu...

READ MORE

Diamond, Zuchu, Harmonize, Nandy Wang’ara Kwa Kusikilizwa Zaidi BoomPlay

  Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma...

READ MORE

Rufaa ya Kamanda wa waasi Uganda Yatupiliwa Mbali Kukaa Gerezani Miaka 25

Mahakama ya rufaa ya uhalifu wa kimataifa ICC, imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa kamanda wa kundi la waasi la Lords...

READ MORE

SBL Yazindua Ripoti Ya Uendelevu ya Aina Yake

  Desemba 16, 2022,  Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries (SBL) imezidua ripoti yake ya shughuli endelevu chini ya kampuni...

READ MORE

Washindi 24 wa Kampeni ya Wakishua Wajizolea Milioni Kila Mmoja, 6 Vifaa Vya Hisense

  Dar Salaam 16 Desemba 2022:  Wakati kampeni ya Wakishua inayoendeshwa na Kampuni mtandao wa simu za mkononi ya Tigo...

READ MORE

Balozi wa Tanzania Nchini Austria Afariki Ajalini Wilayani Handeni Mkoani Tanga

Balozi wa Tanzania nchini Austria Celestine Mushi amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Mkata Wilayani Handeni Mkoani...

READ MORE

PM Majaliwa Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Sumbawanga, Abaini Mapungufu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea na kujionea maeneo ambayo bado hayajakamilika wakati alipokagua ujenzi wa Kituo cha Afya...

READ MORE

Ufaransa Yatinga Fainali ya Kombe la Dunia Baada ya Kuifunga Morocco Bao 2-0

Timu ya taifa ya Ufaransa Le Bleu imefanikiwa kuingia katka fainali yta kombe la dunia kwa mara nyingine tena baada...

READ MORE

ALAF Limited Yawapa Ufadhili Wanafunzi wa UDSM Wanaosomea MA ya Kiswahili

  Dar es Salaam, 15 Desemba 2022: Kampuni ya mabati ya ALAF Limited leo imetoa ufadhili kwa wanafunzi wa UDSM...

READ MORE

Tamko la Mtandao wa Wanawake Katiba, Uchaguzi na Uongozi Kuhusu Kuchapwa Viboko Kwa Wanawake

Mnamo tarehe 14/12/2022, Mtandao wa Wanawake, Katiba, Uchaguzi na Uongozi ulipokea kwa mshtuko mkubwa taarifa iliyonukuliwa na chombo kimoja cha...

READ MORE

Wafanyakazi wa Absa Wasaidia Madawati Kwa Watoto Wenye Mahitaji

Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya Absa Tanzania, George Binde ( kushoto) akikabidhi madawati 37 yenye...

READ MORE

Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo Aitaka Afrika Kuacha Kuombaomba Kupata Heshima Kimataifa

Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amesema kuwa mataifa ya Afrika lazima yajiondoe kwenye utaratibu wa kuomba nchi za Magharibi ili...

READ MORE

Sambaza Furaha Kwa Umpendaye! Post Picha ya Umpendaye na Uzawadiwe TECNO Camon 19

Kwa mara ya kwanza katika historia tumeshuhudia msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ukiwa pamoja na burudani kubwa ya...

READ MORE

Rais wa Afrika Akusini Ramaphosa Anusurika Kura ya Kutokuwa na Imani Naye bungeni

Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amenusurika kura ya kutokuwa na Imani na utawala wake, baada ya bunge la nchi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Makatibu Wawili Wizara ya Viwanda na Wizara ya Mambo ya Ndani

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Kabla ya...

READ MORE

Jumuia ya Wazazi CCM Mkoa wa Dar es Salaam Yapata Safu Viongozi Wake

  Dar es Salaam 14 Desemba 2022: Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam hatiamaye imepata safu ya...

READ MORE

RC Kilimanjaro: Uwekezaji wa PSSSF Umeleta Faraja Kubwa Mkoani Kwetu

  MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amesema uwekezaji kwenye eneo la viwanda uliofanywa na Mfuko wa Hifadhi...

READ MORE

BancABC Yatumia Milioni 18.9 Kukarabati Vyoo Dar Es Salaam Sekondari

  Dar es Salaam, 14 Desemba 2022: BancABC imetumia shilingi milioni 18.9 kukarabati vyoo vya Shule ya Sekondari Dar es...

READ MORE

Wachezaji 30 wa Gofu Washiriki Michuano ya Uhuru Golf Tournament Kilombero

    Katika kusherehekea miaka 61 ya Uhuru, Klabu ya Gofu ya Kiwanda cha Sukari Kilombero imeandaa mashindano ya mchezo...

READ MORE

RC Makala Ashiriki uzinduzi wa ‘NMB Pesa Akaunti’ Kidijitali Zaidi

Zama mpya ya huduma za kibenki imejili nchini baada ya Benki ya NMB kuzindua suluhisho la kisasa ‘NMB Pesa Akaunti’...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Kiwanda cha Kusindika Maziwa, Kinachakata Lita 10,000 Kwa Saa

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi...

READ MORE

Msichana wa Miaka 9 Anusurika Kifo Baada ya Kumpiga Mamba Kwenye Pua Yake

Mtoto mwenye umri wa miaka tisa amenusurika kifo kutokana na shambulio la mamba katika wilaya ya Chibuto katika jimbo la...

READ MORE

Dk. Abbas Atoa Vifaa kwa Ofisi ya Mfuko wa Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi leo Desemba 13, 2022 amekagua na kukabidhi...

READ MORE

Tanzania Kuwa Mwenyeji wa Jukwaa la Mtandao wa Chakula Afrika

  Rais Samia Suluhu Hassan, ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau...

READ MORE

Mrisho Mpoto Aondoka Nchini Kuelekea India Kutumbuiza Kwenye Tamasha

    Mwanamuziki wa nyimbo za asili na uhamasishaji nchini Tanzania, Mrisho Mpoto ameondoka nchini  pamoja na bendi yake kuelekea...

READ MORE

Lockerbie, Raia wa Libya Afikishwa Mahakamani Marekani Akitumiwa Kuangusha Ndege

Afisa wa ujasusi wa Libya anayeshutumiwa kutengeneza bomu lililotumika kuiangusha ndege ya Pan Am na kuua watu 259, waliokuwa ndani...

READ MORE

Afrika Kusini: Bunge Kujadili Kashfa Inayomkabili Rais Cyril Ramaphosa

Hii ni kashfa inayomzunguka rais Ramaphosa ya madai ya kuficha wizi wa sarafu za kigeni katika shamba lake la kibinafsi...

READ MORE

Waziri Mkenda: Ajira za Chuo Kikuu Isiwe Kuangalia GPA, Lazima wapimwe, Wafanye na usaili

Kuanzia sasa serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe...

READ MORE

CCM Ilala Wakemea Unyanyasaji kwa Watoto, Mapenzi ya Jinsia Moja Yawa Gumzo

JUMUIYA ya Wazazi CCM Mtaa Mafuriko kwa Umoja wao Matawi Mawili (BINTI KAMBA &BUNGONI) Desemba 10/12/2022 Iliungana kwa Pamoja Kuukaribisha...

READ MORE

Majaliwa: Nimefurahishwa na Utekelezaji wa Agizo la Rais Dkt. Samia

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa amefarijika kuona Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) imeanza kutekeleza agizo la Rais wa...

READ MORE

CMC Automobiles Yapiga Jeki Mradi wa Madawati wa Rotary

MRADI wa kutoa madawati kwa shule za umma unaoendeshwa na klabu ya Rotary ya Dar es Salaam taongeza idadi ya...

READ MORE