×

Habari

Biden Kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Afrika Kuanzia Jumanne, Washington DC

Rais wa Marekani, Joe Biden atakuwa mwenyeji wa viongozi kutoka nchi za Afrika kuanzia kesho Jumanne hapa Washington DC, wakati...

READ MORE

Kampeni ya Nmb Mastabata ‘Kotekote’ Yazidi Kupasua Anga

  Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote,’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, imezidi kupasua anga baada ya zawadi zenye thamani...

READ MORE

Halotel Kuwapatia Wanafunzi wa Vyuo Salio la Bure

  Katika juhudi zake za kusaidia sekta ya elimu hapa nchini, Kampuni ya Halotel imekuja na ubunifu mwingine katika kutoa...

READ MORE

Video: Mo Dewji Kuondoka Simba? “Kuna Tatizo Simba” -Saleh Jembe

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe ambaye amefunguka mengi kuhusiana na ishu ya...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kwenye Kilele cha Boomplay Campus Tour Jijini Mwanza

  Boomplay, App inayoongoza katika utoaji wa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika kwa kushirikiana na jukwaa la...

READ MORE

Serikali Yaahidi Kutatua Changamoto za DMI

·          WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo cha bahari Dar es Salaam (DMI)....

READ MORE

Mama na Mwanaye Jela Miaka 40 kwa Kukutwa na Nyara za Serikali

  MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, katika kesi yake ya kwanza kuitolea hukumu tangu izinduliwe Novemba 25, 2022...

READ MORE

Mshindi Wa Promosheni Ya Beti Na Kitochi Meridianbet Inaendelea Kutimiza Ndoto ya Kila Mtu

Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Septemba 10, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 10 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

TTCL Yapeleka Mawasiliano ya Data Katika Kilele Cha Mlima Kilimanjaro

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) kwa kufanikiwa...

READ MORE

Vishikwambi Kutengenezwa Nchini, Waziri wa Elimu Prof. Mkenda Aeleza

  Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema haina sababu ya kuagiza Vishikwambi kutoka nje ya nchi itaunga mkono jitihada...

READ MORE

Polisi Warushiana Risasi na Majambazi Waliovamia Sheli, Mmoja Auawa

JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera limefanikiwa kuzuia tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililokuwa linapangwa na majambazi watatu waliokuwa...

READ MORE

Bilionea wa Japan Yusaku Maezawa Ataja watu wanane Atakao kwenda nao Kwenye Safari ya Kwenda Mwezini

Bilionea wa Japan Yusaku Maezawa amewataja watu wanane wenye bahati ya mtende atakao kwenda nao kwenye safari ya kwenda mwezini...

READ MORE

Polisi Mkoani Arusha Yatoa Matibabu na Ushauri wa Kiafya kwa Wazee

JESHI la Polisi la Mkoa wa Arusha limetoa huduma ya matibabu na ushauri wa kiafya katika kituo cha AST maalumu...

READ MORE

Mama, Mwana Jela Miaka 40 kwa Kukutwa na Vipande 8 vya Nyumbu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, katika kesi yake ya kwanza kuitolewa hukumu tangu izinduliwe Novemba 25, 2022 na...

READ MORE

Rais wa Cuba Aliyeondolewa Madarakani na Bunge Afikishwa Mahakamani

Rais wa Peru Pedro Castillo aliyeondolea madarakani  na wabunge Jumatano, j Alhamisi amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza, wakati mridhi...

READ MORE

Umoja wa Wazazi CCM Upanga Magharibi Ilivyowafariji Watoto Wanaoteseka na Tatizo la Moyo

  Dar es Salaam: 9 Desemba 2022, Wanachama na viongozi wa CCM Kata ya Upanga Magharibi, katika kuazimisha siku ya...

READ MORE

GGML Yawaaga Wahitimu wa Mafunzo Tarajali

  Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewaaga wahitimu 26 wa mafunzo tarajali waliokuwa wakifanya mafunzo...

READ MORE

Bunge Lamuondoa Rais Madarakani kwa Madai ya Kukosa Maadili

  Jana Jumatano Desemba 7, 2022 inatajwa kuwa ni siku chungu kwa Rais wa Nchi ya Peru, Pedro Castillo ambaye...

READ MORE

Mwanamke Apoteza Uwezo wa Kuona Kisa Kujichora Tatoo kwenye Nyusi

  Kama una tabia za kuigaiga mambo kutoka kwenye tamaduni usizozijua, ipo siku mambo hayo yatakutokea puani.Miongoni mwa habari zinazofuatiliwa...

READ MORE

Rais Samia,Dkt. Mwinyi, Kinana Wang’ara

MWENYEKITI wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan  amepata kura 1914 huku akipata kura moja ya hapana. Kwa Makamu Mwenyekiti...

READ MORE

Mahakama ya Tanzania Yaongeza Nguvu’IJA’ Matumizi ya Tehama

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema kuwa, Mahakama ya Tanzania kupitia awamu ya pili (II) ya Mradi...

READ MORE

Washindi wa Wakishua Twenzetu Qatar na Hisense Warejea Baada ya Kushuhudia Baadhi ya Mechi

  Dar es Salaam: 8 Desemba 2022, Washindi wa Promosheni ya WAKISHUA TWENZETU QATAR na Hisense, wamerejea nchini Tanzania wakitokea...

READ MORE

DMI Yaomba Meli ya Mafunzo Kwa Wahitimu

  CHUO cha Bahari Dar es Salaam, (DMI), kimeomba serikali ikipatie meli ya mafunzo kwaajili ya kuwaongezea ujuzi wahimu wa...

READ MORE

Absa Yazindua Ripoti ya Viashiria vya Masoko ya Fedha Afrika

  Naibu Katibu Mkuu (Sera), wa Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Dk...

READ MORE

Rushwa ya Ngono Makazini Bado ni Tatizo Kubwa Nchini, Lazima Idhibitiwe

LICHA ya kuwepo kwa tafiti mbalimbali zilizofanywa na Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)  na tafiti zilizofanywa na Chama cha...

READ MORE

Mawakala wa Bima Wafanya Mkutano Kujadili Changamoto, Kamishna Awaahidi Neema

  Dar es Salaam 7 Desemba 2022: Viongozi wa mawakala wa bima nchini kutoka kanda tano za Tanzania Bara pamoja...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchini Argentina Cristina Kirchner Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Sita

Makamu wa Rais Nchini Argentina Cristina Kirchner amehukumiwa kifungo cha miaka sita (6) jela kwa matumizi mabaya wa Mali ya...

READ MORE

Orodha ya Wanachama Walioteuliwa Kugombea Nafasi ya Ujumbe wa NEC viti 15 Tanzania BARA

Orodha ya wanachama walioteuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa NEC viti 15 Tanzania BARA  

READ MORE

CCM Yapitisha Wanachama 374 Kugombea Nafasi za Ujumbe wa Halmashauri Kuu

Kikao cha halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika mkoani Dodoma, kimepitisha majina ya wanachama 374 wa CCM wanaogombea...

READ MORE

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Yampitisha Dkt. Samia kuwa Mgombea Pekee wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi la Polisi Atangaza Nafasi za Ajira kwa Vijana Waliohitimu JKT na JKU

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa...

READ MORE

Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande Awatunuku Wahitimu 943 ARU

WAKUFUNZI 54 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamepata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili kupitia mradi unaolenga kufanya tafiti kutatua...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Milioni 960 za Uhuru Zijenge Mabweni Katika Shule nane za Msingi

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya...

READ MORE

Waandishi wa Habari Waaswa Kutumia Kalamu Zao Kutangaza Mazuri ya Nchi

  Dar es Salaam, 6 Disemba 2022: Wanahabari nchini wameaswa kutumia kalamu zao kutangaza mema ya nchini na kuachana na...

READ MORE

Kampuni ya T-PESA Yazindua Huduma za Bima

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima nchini Tanzania (TIRA), imeipongeza Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) T-Pesa kwa...

READ MORE

Anayevuruga Mitihani Ashitakiwe Mahakamani, Aende Jela-Waziri Mkenda

  Serikali imeweka bayana dhaira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na...

READ MORE

Wilaya ya Tanganyika Kuadhimisha Miaka 61 ya Uhuru kwa Kupanda Miti

  Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi,katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9 mwaka huu, jana...

READ MORE