×

Habari

Simba Maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ Afariki

SIMBA maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba...

READ MORE

Nmb Yatenga Bil 200 Kuwakopesha Wafanyakazi Kwa Ajili Ya Kujiendeleza Kielimu

Benki ya NMB imetenga kiasi cha TZS bilioni 200 kwa ajili ya kuwakopesha wafanyakazi kupata elimu ya juu au wale...

READ MORE

Rais Samia Amteua Mizengo Pinda Kuwa Mwenyekiti Baraza la Ushauri wa Kilimo na Chakula

  Rais Samia Suluhu Hassan, ameunda Baraza la Kumshauri Rais kuhusu utekelezaji wa masuala ya kilimo na chakula ambapo amemteua...

READ MORE

Basi la Kampuni ya Kapricon Lapinduka nje Kidogo ya Mji wa Morogoro

Mzimu wa ajali za barabarani unaendelea ambapo habari zilizotufikia hivi punde kwenye chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa basi la...

READ MORE

Watu 7 Wafariki Dunia Baada ya Kula Nyama ya Kasa Anayedhaniwa Kuwa na Sumu

Watu saba wakazi wa Mafia mkoani Pwani, wamefariki dunia baada ya kula samaki aina ya kasa anayedhaniwa kuwa na sumu....

READ MORE

Hali ilivyo Mwanza wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kitaifa

Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kitaifa yanafanyika jijini Mwanza leo March 14 mwaka, Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo...

READ MORE

Wahispania Wamfuata Mshambuliaji wa Yanga, Dar Apewa Zawadi

JANA asubuhi, mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda, alipata nafasi ya kupokea zawadi ya medali kutoka kwa Lucas Gomez Usoz raia...

READ MORE

Kimbunga Freddy Chaua Watu 70 na 93 Wamejeruhiwa, 16 Hawajulikani Walipo

Kimbunga Freddy, kilichoambatana na upepo mkali na mvua kubwa, kimerejea kusini mwa Afrika na kuua watu takriban 70 nchini Malawi...

READ MORE

Vodacom Yarahisisha Upatikanaji Wa Bima Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Mwanza

Dar es Salaam – Machi 14, 2023. Taasisi za umma nchini zimeshauriwa kushirikiana na taasisi binafsi katika jitihada za kuhakikisha...

READ MORE

Mkataba wa Aukus: Marekani, Uingereza, na Australia Zakubaliana Kuhusu Mradi wa Nyuklia wa Manowari

Viongozi wa Marekani, Uingereza na Australia wamefichua maelezo mapyaya mpango wao wa kubuni manoari ya kizazi kipya inayotumia nishati ya...

READ MORE

DCB Elimu Mpango Mzima na Mama Samia Yazidi Kuchanja Mbuga

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge ameshiriki makabidhiano ya  msaada wa Madawati 30 kwa ajili ya Shule ya Msingi...

READ MORE

Makatibu Wakuu Wa SADC Wakutana Kinshasa

Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC) umefunguliwa leo tarehe...

READ MORE

Tuzo za Oscar Zatawaliwa na Rekodi Mpya Kibao, Filamu Moja Yanyakua Tuzo 7 Kwa Mpigo

Usiku wa kuamkia leo, Tuzo za 95 za Oscar (The Academy Awards) zimetolewa katika Ukumbi wa Dolby Theatre, Los Angeles...

READ MORE

Waziri Mkuu mgeni rasmi maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Mwanza

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalaama Barabarani yatakayofanyika Mkoani Mwanza...

READ MORE

Samsung na Vodacom Wazindua Galaxy S23 Kwa Mara Ya Kwanza Tanzania

Dar-es-salaam – Machi 13, 2023. Samsung na Vodacom Tanzania Plc zimeshirikiana tena kwa mara nyingine tena kuzindua toleo lililokuwa linasubiriwa...

READ MORE

Mhasibu wa Benki Atekwa, Afa Kwa Kuchomwa Moto, Kamanda Aeleza; ”Ni Moto Wa Mafuta Ya Petroli”-Video

Jeshi la Polisi mkoani Pwani limethibitisha kutokea kwa kifo cha Martha Towo (30) ambaye aliuawa kwa kuchomwa moto baada ya...

READ MORE

Mike Pence Atoa Shutma Nzito dhidi ya Rais wa Zamani Donald Trump

  Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence, anayetarajiwa kuwania uteuzi wa urais wa chama cha Republican mwaka wa...

READ MORE

Benki ya Nmb Yaupa Kipaumbele Uwekezaji Kwa Watu Wake

Kupitia programu ya Mwanamke Kiongozi (Female Future Programme) inayotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) – yenye lengo la kuwajengea...

READ MORE

Kianzio cha Tsh 5,000 Unapata Tsh 3M Pale Meridianbet Chap!

Ofa za Meridianbet zipo zinaendelea kumiminika kila siku, na hii ni yako kwa mtaji wa 5,000/= Tsh unaweza kujiweka kwenye...

READ MORE

Aweso Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Msuya

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwa mkoani Kilimanjaro amefika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Cleopa Msuya Wilaya...

READ MORE

Nmb Yashinda Tuzo Bora Nchini 2023, Ruth Zaipuna Achaguliwa Mkurugenzi Mtendaji Bora Kwa Miaka Miwili Mfululizo

  BENKI ya NMB imeandika historia nyingine baada ya kutwaa Tuzo ya Benki Bora Tanzania kwa mwaka 2023 wakati wa...

READ MORE

Majaliwa Aipongeza GGML kwa Kuwainua Wanawake, Mhitimu FFT Aula

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuwawezesha wanawake walioajiriwa ndani ya kampuni hiyo...

READ MORE

Waziri Mkuu Awataka Vijana Wasiogope Kukopa Mitaji Lakini Warejeshe Mikopo

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe...

READ MORE

Halmashauri ya Jiji la Dar Yaishukuru DCB Kusaidia Sekta ya Elimu 

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (DCC) imeishukuru Benki ya Biashara ya DCB  katika kusaidia uboreshaji wa elimu kwa...

READ MORE

Mstahiki Meya Ubungo Azitaka Taasisi Kuiga Mfano wa DCB Uboreshaji wa Elimu

Mstahiki Meya wa Ubungo azitaka ya taasisi mbalimbali kuiga mfano wa  Benki ya DCB uboreshaji wa elimu nchini. Mstahiki Meya...

READ MORE

Suma Mnazaleti Arudi Kwa Kasi, Amchana Alikiba Kushoot Coco Beach – “Mobeto Siyo Mwimbaji Mzuri” -Video

Suma Mnazareth, msanii wa kitambo wa Bongo Fleva, amemshukia Hamisa Mobeto na kueleza kwamba licha ya kuwa anapata ‘views’ nyingi...

READ MORE

Rais Samia Ampandisha cheo Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizj wa Polisi

  MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamanda wa Polisi...

READ MORE

Mwanamuziki Costa Tsobanoglou Maarufu CostaTitch Afariki Dunia Ghafla

Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini, Costa Tsobanoglou maarufu CostaTitch (28) amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka jukwaani wakati akifanya shoo,...

READ MORE

Vodacom Yajenga Minara 227 Ya Mtandao Wa 5G Nchini

Dar es Salaam – Machi 10, 2023. Katika kufanikisha adhma yake ya kuwaunganisha watanzania na teknolojia ya mawasiliano na kuboresha...

READ MORE

Kesi Kina Mdee: Dk. Lwaitama Asema Atatetea Uanachama Wao Wakiachia Ubunge

MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Azavel Lwaitama, amesema atakuwa wa kwanza kuwatetea...

READ MORE

Watu Zaidi ya 150,000 wako Hatarini Wakati Kimbunga Freddy Kikikaribia Msumbiji

Mamlaka ya Msumbiji inasema watu 158,000 wanaweza kuathiriwa na Kimbunga Freddy katika kitovu chake katika jimbo la kati la Zambezia....

READ MORE

Mme Adaiwa Kumuua Mkewe Kisha Kumzika Chumbani Chini Ya Kitanda Tabora

Mwanamke aitwaye Salma Maulid mkazi wa Mtaa wa Mbilani Kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora, ameuawa na mtu anayedaiwa...

READ MORE

Rais wa China, Xi Jinping Achaguliwa Tena Kuongoza kwa Muhula wa Tatu

Rais wa China, Xi Jinping amechaguliwa tena leo Ijumaa Machi 10, 2023 kuwa Rais wa China ambapo ataiongoza Nchi hiyo...

READ MORE

Gavana wa Taliban wa Jimbo la Balkh Afghanistan Auawa katika Shambulio

Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga linalodaiwa na kundi la...

READ MORE

Exclusive: Ezden Jumanne Afichua Kuwa Na Wake Wawili – “Msimtie Ubaya Didah, Sikulogwa” I Mapito

MTANGAZAJI maarufu kupitia Runinga na Online TV, Ezden Jumanne, amefungukia ndoa na aliyekuwa mke wake, Khadija Shaibu ‘Dida’ kuwa imemfunza...

READ MORE

Watu kadhaa Wafariki kwa Kupigwa Risasi kwenye Jumba la Jehovah Witness Ujerumani

Watu kadhaa wameuawa kwa kupigwa risasi kwenye jumba la mikutano la Jehovah Witness katika jiji la Hamburg kaskazini mwa Ujerumani....

READ MORE

Michuzi Aipongeza GGML Kufungua Fursa kwa Wanawake, Aahidi Ushirikiano

    MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa...

READ MORE

Chongolo Ataka Uundwe Mfuko wa Fidia wa Uharibifu wa Wanyamapori Nchini

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo ameelekeza kuundwa kwa mfuko wa fidia kwa uharibifu unaofanywa na wanyamapori katika vijiji vyao...

READ MORE