×

Habari

Shule ya Hazina Yaunga Mkono Serikali Kwa Kutoa Elimu Bure

    KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika utoaji wa elimu, Shule Kimataifa ya Hazina...

READ MORE

Serikali Yaweka Mkakati wa Kufufua Vituo Vya Ualimu Nchi Nzima

Serikali imesema imeweka mkakati wa kufufua vituo vya walimu (Teachers Resource Centers) vya nchi nzima ili kuwawezesha walimu kupata sehemu...

READ MORE

Live: Rais Samia na Rais Ruto Wanazungumza na Vyombo vya Habari Muda Huu Ikulu-Video

RAIS wa Kenya William Ruto amewasili Tanzania Oktoba 09, 2022 ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi ya siku...

READ MORE

Wafanyakazi wa NMB Waanza Safari Kupanda Mlima Kilimanjaro

Ikiwa ni mwendelezo wa kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja, wafanyakazi 6 wa Benki ya NMB jana wameanza safari ya...

READ MORE

Waziri Ashatu Kijaji Akabidhi Tuzo Kwa Gf Trucks & Equipment’s Ltd Mkoani Geita

Kampuni ya uuzaji na uunganishaji wa magari na mitambo ya Gf Trucks & Equipment’s Ltd imebuka kampuni ya kwanza inayouza...

READ MORE

Moto Mkubwa Wazuka katika Daraja linalounganisha Crimea na Russia – Video

MOTO mkubwa uliosababishwa na bomu la kwenye gari umelivunja daraja kuu linalounganisha Crimea hadi Russia, eneo ambalo Russia ililichukua mwaka...

READ MORE

Mayele Aibuka Kidedea Afrika, Atangazwa Mchezaji Bora Mbele ya Boulaye Dia raia wa Senegal

MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Fiston Mayele, amechaguliwa na mashabiki kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba, mwaka huu, baada ya kupigiwa...

READ MORE

Waziri Mkenda Akerwa Kusuasua Ujenzi VETA Simiyu, Atoa Maagizo haraka

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amekerwa na kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi...

READ MORE

SBL Yaungana na Wateja Kuleta Captain Morgan Gold Tanzania

    Dar es Salaam, 8th October – Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) na walaji wa vinywaji vikali wajumuika...

READ MORE

Bodi ya Taifa ya Wahasibu, Wakaguzi wa Hesabu Kusherehekea Siku ya Uhasibu Duniani Novemba 10

  BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA),  imeandaa maonesho ya huduma za kihasibu ikiwa sehemu ya...

READ MORE

Ujenzi Chuo Cha Ufundi VETA Kugharimu Zaidi ya Bil 5, Waziri wa Elimu Aeleza

Serikali inakamilisha ujenzi wa Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) cha Mkoa wa Simiyu ambacho kinajengwa kwa...

READ MORE

DCB Yaendelea Kung’ara Ikiadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja

Benki ya Biashara ya DCB imeendelea kung’ara wakati ikiadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka huu huku ikianisha baadhi...

READ MORE

Serikali Yatumia Bil 1 Kukarabati Chuo Cha Ualimu Butimba Mwanza

Serikali imetumia Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya kukarabati na kuongeza miundombinu ya elimu ya Chuo cha Ualimu Butimba kilichopo...

READ MORE

Waziri Mkenda Ataka Chuo Cha DIT Kuongeza Mafunzo

    Serikali imeitaka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Saalam (DIT) kuhakikisha kuwa inaongeza ufundishaji kwenye ujuzi wa bidhaa...

READ MORE

Serikali Yaendelea Kurahisisha Utoaji Wa Hati za Viwanja Kwa Njia Ya Kidijitali

  Kamishina wa Ardhi Msaidizi mkoa Dar es salaam Bw. Idrisa Kayera ameshiriki Clinic ya Ardhi Segerea na kutoa hati...

READ MORE

WHO: Afrika ina Kiwango Cha Juu Watu Wanaojitoa Uhai duniani

Shirika la Afya Duniani linasema Afrika ina kiwango kikubwa zaidi cha watu wanaojiua, Shirika hilo sasa limezindua kampeni ya mitandao...

READ MORE

PSSSF Kuimarisha Uhusiano na Global Group, Yaadhimia Kutoa Elimu ya Mfuko

MENEJA Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Ndugu James Mloe,...

READ MORE

GGML Wadhamini Mkutano Mkuu Wawanajiolojia Arusha

Katika kuunga mkono ukuaji wa fani mbalimbalinchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imejitosa kudhamini mkutano mkuu wamwaka wa wanajiolojia wa Tanzania unaofanyika mkoani Arusha. Mkutano huo ambao umeanza tarehe 4 Oktobaunatarajiwa kumalizika tarehe 7 Oktoba mwakahuu na unaratibiwa na Chama cha Watalaamwa Jiolojia Tanzania (TGS) kinachokadiriwakuwa na wanachama zaidi ya 300.   Akizungumza na Mwandishi wetu, Mrakibu waJiolojia katika Kampuni ya GGML, Eric Kalondwa alisema kampuni ya GGML imetoashilingi milioni 25 za Kitanzania kudhaminimkutano huo uliofunguliwa na Waziri waMadini, Dk. Dotto Biteko kwa niaba ya Makamuwa Rais, Dkt. Philip Mpango lakini unatarajiwakufungwa na Waziri wa Maji, Juma Aweso.   Alisema katika mkutano huo ambao hufanyikakila mwaka kwenye mikoa tofauti tofauti, jumlaya wanajiolojia 11 kutoka mkoani...

READ MORE

Halotel Yasherehekea Miaka 7 ya Utoaji Huduma za Mawasiliano Kwa Kuchangia Damu

  Kampuni ya simu ya Halotel na wafanyakazi wake leo wameshiriki katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya...

READ MORE

Bibi wa Miaka 65 Auawa kwa Kung’atwa na Mbwa Watano

BIBI mwenye umri wa miaka 65, Ann Dunn ambaye ni raia wa Marekani ameshambuliwa na mbwa watano ambao walimng’ata na...

READ MORE

TRA Yaonya Waliyobandika Namba Kwenye Magari Yao Ambazo Hazijatolewa na TRA ama Taasisi za Serikali

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini uwepo wa magari barabarani yaliyobandikwa na kutumia namba ambazo hazijatolewa na TRA ama...

READ MORE

Rombo Kutumia Soko la Kimataifa Kuuza Ndizi: Waziri Mkenda

  Ndizi ni zao kubwa la biashara na chakula hivyo likitumika vizuri litabadili uchumi wa wakulima na nchi kwa ujumla...

READ MORE

RPC Simiyu Apata Ajali, Maswali Yaibuka Baada ya Aliyemgonga Kufariki

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu ACP Blasius Chatanda amepata ajali akiwa na gari lake binafsi T 462 BBD Toyata...

READ MORE

Marekani Yatangaza Msaada wa Dola Milioni 625 kwa Ukraine

MAREKANI imetangaza msaada mwingine wa kiasi cha fedha cha Dola Milioni 625 kwa nchi ya Ukraine ili kiweze kuwasaidia katika...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar leo – Picha

Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 5, 2022 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni...

READ MORE

Live: Waziri Mkuu Anashiriki Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani Kamisheni ya Afrika -VIDEO

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amehudhuria ufunguzi wa mkutano wa Shirika la Utalii Duniani...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Watanzania Wanaoishi Nchini Qatar Doha – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  Oktoba, 2022 amezungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Qatar (Diaspora) katika...

READ MORE

Akiba Commercial Bank Washerehekea Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

    5.Oktoba.2022: Dar es Salaam; Benki ya Akiba Commercial Bank washerekea wiki ya  huduma kwa wateja katika matawi yao mbalimbali toka kuanzishwa kwa benki hiyo miaka 25 iliyopita.   Akizungumza katika kusherekea wiki hiyo ya huduma kwa wateja Mkurungezi Mtendaji bwana Silvest Arumasi...

READ MORE

Waziri Ummy Mwalimu Awatoa Hofu Watanzania Kuhusu Ebola

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua...

READ MORE

Polisi Yafafanua Tukio la Mke wa Masanja na Katibu wa Kanisa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lisema uchunguzi wa awali wa Polisi kuhusu tukio la Katibu wa...

READ MORE

Zifahamu Nchi Zenye Watu Wengi Zaidi Duniani, Tanzania Imo

HAISHANGAZI sana kuona kuwa nchi kubwa zaidi ulimwenguni ndio nchi zinazoongoza kwa idadi ya watu wengi zaidi duniani, mataifa kama...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Sengerema Kuja na Vipaumbele Vitano

Mwenyekiti wa Wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema Patric Mundeba amesema anakuja na vipaumbele vitano...

READ MORE

Waziri wa Madini Aridhishwa Kasi ya Ujenzi wa Kinu cha Kupoza Umeme GGML  

  NA MWANDISHI WETU WAZIRI wa Madini Dkt. Dotto Biteko ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kinu cha kupoza...

READ MORE

CMSA Kuadhimisha Wiki ya Wawekezaji Katika Masoko ya Mitaji

  Mamlaka ya Masoko Ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imeanzishwa chini ya Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana sura...

READ MORE

Jamaa Ang’olewa Ulimi Akiwa Kwenye Tendo la Ndoa, Polisi Wathibitisha Tukio

MWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Mwamakalanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, ameachwa akiwa...

READ MORE

Rubani Afariki kwa Mshituko wa Moyo Baada ya Kutua Tabora

RUBANI “Stephen Lohay” ambaye ni nahodha nyuma wa shirika la ndege la Air Excel amefariki dunia kwa mshtuko wa moyo...

READ MORE

Meridianbet Sloti, Sasa Kwenye Maduka Ya Meridianbet

Najua ulikuwa unawaza ni wapi utaipata Kasino karibu yako, basi Meridianbet wamejibu kuhusu mawazo yako, mchongo uko hivi ukiwa na...

READ MORE

Faini Milioni 2 Ukikaidi Kuvalisha Mifugo Yako Hereni za Kielektroniki Kabla ya Desemba 10

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imewataka wafugaji wote nchini kuhakikisha mifugo yao inatambuliwa kwa kuvalishwa hereni za kieletronic kabla ya...

READ MORE

Ndaruke Kuiongoza CCM Kibiti Miaka Mitano Ijayo

    Kwenye nafasi hiyo ambayo wagombea walikuwa watatu, Ndaruke alishinda kwa kupata kura 428 dhidi ya 385 za Malombwa...

READ MORE