×

Habari

Mbaroni kwa Kuiba Scania

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za wizi wa gari (Scania) , gari hilo limekamatwa...

READ MORE

Zuhura Yunus Aondoka BBC Baada ya Miaka 14

Mtangazaji mashuhuri wa BBC Zuhura Yunus anaondoka katika shirika hilo baada ya kulitumikia kwa takriban miaka 14 .   Zuhura...

READ MORE

Kashilillah Achukua Fomu ya U-Spika

 Aliyewahi kuwa Katibu wa Bunge hilo, Dk Thomas Kashilillah amejitosa kwenye kinyang’anyiro  cha uchukuaji fomu kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya...

READ MORE

Rasmi! GGML Kuanza Kutumia Umeme wa TANESCO

MKUU wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule amesema mpango wa kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kuelekea katika mgodi wa...

READ MORE

Mfahamu Binti Mdogo Aliyechukua Fomu ya Uspika

Mkazi wa Temeke, Ester Makazi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa...

READ MORE

Sabaya Akutwa na Kesi ya Kujibu

MAHAKAMA ya Hakimu mkazi Arusha imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya pamoja...

READ MORE

Agizo la Rais Biden Lazuiwa

Mahakama Kuu nchini Marekani imezuia uamuzi wa Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kutaka iwe ni lazima kwa...

READ MORE

Rais Samia Atema Nyongo, Lukuvi, Kabudi Mjadala Mzito Uteuzi Wao | Front Page-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

100 ‘Walamba’ Mil. 10/- za Wiki ya Pili NMB MastaBata

KAMPENI ya ‘NMB MastaBata – Kivyako Vyako’, inayoendeshwa na Benki ya NMB imeezidi kushika kasi ambako wateja 100 wa Benki...

READ MORE

Juuko Astaafu

Aliyewahi kuwa Beki wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Juuko Murshid ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya...

READ MORE

Akamatwa kwa Kupanda Bangi Katika Ofisi ya Rais

POLISI nchini Afrika Kusini imeng’oa mimea kadhaa ya bangi iliyopandwa karibu na ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa mjini Pretoria.  ...

READ MORE

Afghan: Mawasiliano ya Simu Kupatikana Saa 7 kwa Siku

Taliban ambao wanaendelea kuiongoza Afghanistan wameweka sheria kali za matumizi ya simu kwa watu wa Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo...

READ MORE

Tanzia: Steve Moyo Mchongi Afariki Dunia

Taarifa za kuaminika zilizotufikia hivi punde zinasema, Mtangazaji nyota wa vipindi vya michezo kutoka kituo cha Redio Free Afrika, Steve...

READ MORE

LIVE: RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA NA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI

 RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Januari 13, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo ba baraza jipya la mawaziri aliloliteua hivi...

READ MORE

Samia Ampa Kazi Hii Lukuvi – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, amempa jukumu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe William Lukuvi la kuunganisha...

READ MORE

Samia: Kama Humpendi Samia Mheshimu Mungu Wako – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka mawaziri na manaibu waziri aliyowateua hivi karibuni kufanya kazi kwa kushirikiana badala ya malumbano na...

READ MORE

Hatimaye Rais Aifungulia Twitter Nigeria

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amekubali kuruhusu mtandao wa Twitter kuendelea kutumiwa Nigeria baada ya kuzimwa kwa miezi saba tangu...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wawili Ikulu, Dodoma

  RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Januari 13, 2022 amemuapisha Mhandisi Aisha S. Amour...

READ MORE

Mapacha Waoa Mapacha Wenzao

Wasanii maarufu ambao ni mapacha Tagwayen Asali na kaka yake Hausa kutoka Mji wa Kano Nigeria wame-make headline baada ya...

READ MORE

Aliyechoma Moto Bunge Apandishwa Kizimbani

MWANAUME kutoka Afrika Kusini aitwaye Zandile Mafe (49) amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo la ugaidi baada ya kukamatwa...

READ MORE

Mkenya Aliyefungwa Guantanamo Kuachiliwa Baada ya Miaka 15

Mkenya Mohammed Malik Bajabu na Guled Hassan Duran, raia wa Somalia, wanatazamiwa kuachiliwa kutoka katika gereza la Guantanamo Bay nchini...

READ MORE

Odinga Kuanza ‘Kuiteketeza’ Ngome ya Kenyatta

Kiongozi Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga, Jumamosi, Januari 15, atakuwa katika kaunti ya Kiambiu kuzindua rasmi kampeni za...

READ MORE

Airtel Kugawa Faida ya 2.1/- Bilioni kwa Wateja Wake wa Airtel Money

    Dar es Salaam Alhamisi 13 Januari 2022:  Airtel Tanzania  imetangaza kuanza kutoa faida ya TZs. 2,011,886,007 bilioni kwa...

READ MORE

Mwanajeshi Adaiwa Kumuua Baba Yake Kikatili

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kutokea mauaji ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Waliokufa kwa Ajali Simiyu Wafikia 15

Idadi ya vifo vilivyoyokana na ajali iliyohusisha gari ya wanahabari ma Toyota Hiace imefikia 15 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa...

READ MORE

Askofu Ashtakiwa kwa Kupapasa Titi la Mwanamke na Kujaribu Kumbusu

Askofu mmoja anayehusishwa na kanisa la Kianglikana jijini Nairobi ameshtakiwa kwa kumnyanyasa mwanamke mmoja kwa kumshika matiti na kujaribu kumbusu...

READ MORE

Mwanamke Shujaa Alivyopambana na Majambazi

Usiku wa Januari 10, 2022 baada ya Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina mwenye umri unaokadiriwa kua miaka 30 -40 kuuawa...

READ MORE

Waziri Mkenda Akimkabidhi Ofisi Kwa Waziri Mpya wa Kilimo Bashe

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amekabidhi Ofisi kwa Waziri mpya wa Kilimo Hussein Bashe huku alieleza...

READ MORE

Madaktari Wamshauri Rais Asitishe Chanjo

MADAKTARI 11 wamemwandikia barua ya wazi Rais wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo kutoa mwongozo ikiwezekana kusitisha usambazaji wa chanjo...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Job Ndugai Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Januari 12, 2022 amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika...

READ MORE

Aliyemuua Mama Yake, Simulizi ya Tukio Inatisha

MAMBO mazito yanazidi kufichuka katika tukio la mtoto wa kike anetuhumiwa kumuua mama yake mzazi aitwaye Patricia Ibreck na kufukia...

READ MORE

Chenge Naye Ajitosa Uspika wa Bunge

MBUNGE wa Zamani wa Bariadi Magharibi (CCM) Andrew Chenge amejitosa katika kinyang’anyilo cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la...

READ MORE

Ratiba ya Mazishi Wanahabari Waliofariki kwa Ajali

Taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel inasema kuwa baada ya Ibada Maalumu ya kuwaaga Marehemu wa...

READ MORE

Mwandishi Ashtakiwa kwa Kutuma Taarifa za Kashfa Dhidi ya Rais na Mwanae

Mwandishi wa Uganda anayetuhumiwa kutuma taarifa za kashfa kuhusu rais na mtoto wake wa kiume kwenye mtandao wa Twitter amefunguliwa...

READ MORE

Tanzia: King Sure wa East Africa TV Afariki

Msanii wa muziki na mtangazaji aliyekuwa anafanya kazi kwenye kituo cha East Africa TV, Mustapha Matola ‘King Sure’ amefariki dunia...

READ MORE

Maeneo ya Dar, Kibaha Kukosa Maji kwa Saa 16

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha...

READ MORE

Wanajeshi Washikiliwa kwa Njama ya Mapinduzi

Mamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi. Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed...

READ MORE

Mwanafunzi Achukua Fomu ya Uspika

IKIWA hatua ya uchukuaji fomu za kuomba uteuzi wa kikiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge...

READ MORE

Watatu Wafariki kwa Kulipukiwa na Kinachodhaniwa Kuwa Bomu

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya...

READ MORE