×

Habari

Morogoro: Mwanafunzi Darasa la Sita Ajinyonga

Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Lukobe Edmond Petro kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro, Igidius Edmond (13)...

READ MORE

Evans Aishtaki Hospitali kwa Kumshona Hivi

KIJANA Evans Mutugi ameishitaki Hospitali ya Maura nchini Kenya kwa kitendo cha yeye kufanyia ushonaji usio kuwa wa kibinadamu na...

READ MORE

Pingamizi Jingine la Mbowe ‘Lauma Chuma’

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Joachim Tiganga ametoa uamuzi kuhusu Shahidi aliyejitambulisha kama askari H4323 DC Msemwa wa kituo...

READ MORE

Rais Samia: Tunaendelea Kujenga Nafasi za Ajira

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewatakia kheri wanafunzi wote wanaoanza mitihani yao ya kumaliza kidato...

READ MORE

Rais Samia: Sina Shaka na JWTZ – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu hassan amesema amani tuliyonayo...

READ MORE

Hatimaye Mtoto wa Gadaffi Ajitosa Urais wa Libya

Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi, Seif al- Islam ametangaza rasmi nia yake ya kuwania...

READ MORE

Live: Rais Samia Aongonza Ufunguzi wa Mkutano wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Novemba 15 amekuwa Mgeni kwenye Ufunguzi wa...

READ MORE

Wafungwa 68 Wauawa

Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil...

READ MORE

Breaking: Vibanda Vyaungua Mwenge Wafanyabiashara Wakishuhudia -Video

 MOTO Mkubwa ambao chanzo chake kinadaiwa kuwa ni shoti ya umeme umeteketeza stendi ya Mabibo iliyopo Mwenge jijini Dar…...

READ MORE

Dereva wa Dc Alipishwa Kifaranga Aliyemgonga

MKUU wa Wilaya ya Kaliua mkkoani Tabora, Paul Chacha alilazimika kusimamisha Msafara baada ya Dereva wake Alfred Chaki kugonga Kifaranga...

READ MORE

Rais Samia Azindua Jengo La Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi Kunduchi – (Video +Picha)

RAIS Samia Suluhu, leo Novemba 14, ameshuhudia makabidhiano na kuzindua jengo la chuo cha taifa cha ulinzi kilichopo Kunduchi jijini...

READ MORE

Makamu wa Rais Kuelekea Singapore Kushiriki Majadiliano ya Kiuchumi Leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango leo Novemba 14, 2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea...

READ MORE

Breaking: Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Afiwa na Mama Yake

Mtendaji Mkuu wa mabingwa wa nchi Simba, Barbara Gonzalez amefiwa na mama yake mzazi  aitwaye Rhoda Yahya Lambert kifo hicho...

READ MORE

NMB Yapata Tuzo Kutoka Mastercard International

  Benki ya NMB imepokea tuzo kubwa kutoka  kwa Mastercard International inayoitambua benki hiyo kwa juhudi zake za kukuza matumizi...

READ MORE

Wazee wa ‘Tuma kwa Namba Hii’, Wamtapeli Kikongwe Bilioni 1

WAKATI wale jamaa wa ‘tuma kwa namba hii’ wakiwa wamepungua Bongo, nakuletea hii kali kutoka Florida, nchini Marekani ambapo kikongwe...

READ MORE

Kichanga Aliyezaliwa Wiki ya 21 Avunja Rekodi Ya Dunia

Nakuletea hii kutoka pande za Joe Biden, Marekani ambapo kichanga aliyezaliwa katika wiki ya 21 huku akiwa na uzito wa...

READ MORE

Buchosa Wafurahishwa na Kauli ya Bashe

Buchosa. Wananchi wa Jimbo la Buchosa wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza wamefurahishwa na kauli ya Naibu Waziri wa Kilimo,...

READ MORE

Mikoa 11 Kukosa Umeme kwa Saa 12

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawafahamisha wateja wake kuwa, Jumatatu Novemba 15, 2021 kutakuwa na matengenezo ya njia ya kusafirisha...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Ateua Viongozi Mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 13, 2021 amefanya uteuzi wa  Viongozi mbalimbali kama...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Rais wa benki ya Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi, Novemba 13, 2021 amezungumza kwa njia ya...

READ MORE

Rais Samia Apokea Kifimbo Cha Malkia Ikulu, Dar -(Picha +Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo Novemba 13, 2021 amepokea Kifimbo cha Malkia Elizabeth...

READ MORE

Vioja vya Moto Ndani ya Nyumba, Wanafamilia Waomba ‘Poo’

WAMEOMBA ‘POO!’ Hivyo ndivyo unavyoweza kusmea kufuatia familia moja katika Mtaa wa Morembe Musoma mkoani Mara kuomba maridhiano na wanafamilia...

READ MORE

Magari Matano Yagongana Dar

AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Novemba 13, 2021 katika maeneo ya Mbezi kwa Yusufu, Dar es Salaam...

READ MORE

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Dereva Bodaboda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imewahukumu Fred Nyagawa, Isaya Mgimba na James Mteleke kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na...

READ MORE

Nguli wa YouTube Atupwa Jela kwa Kuikashfu Serikali

Nyota wa YouTube nchini Rwanda, Dieudonné Niyonsenga amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kuikosoa serikali. Niyonsenga anayejulikana kama Cyuma...

READ MORE

Mwanzilishi wa Wikileaks Aruhusiwa Kufunga Ndoa Jela

Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Julian Assange ameruhusiwa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika gereza la Belmarsh nchini Uingereza....

READ MORE

Vijana Washindwa Kuoa Kisa Makahaba, Diwani Alia Uhaba wa Condom

JESHI la Polisi wilaya ya Kisarawe limesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao...

READ MORE

Watoto 3,524 Wamebakwa, 637 Wamelawitiwa, 130 Wamechomwa Moto

Jumla ya watoto 6,168 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kati ya Januari hadi Desemba 2021, Bunge limeelezwa leo Ijumaa Novemba 12,...

READ MORE

Wanne Mbaroni kwa Kukutwa na Meno ya Tembo

Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limefanikiwa kuwakamata watu wanne wakiwa na Nyara za serikali amabazo ni meno  mawili ya tembo....

READ MORE

Rais Samia Arejea Nchini Akitokea Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 11, 2021 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Mtandao wa Wezi wa Magari Wanaswa Pwani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia Watu wawili Ally Selemani, Mkazi wa DSM na Geoffrey Lusekelo Mkazi wa Mbeya...

READ MORE

Mbunge Aangua Kilio Bungeni – Video

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amemeomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na Mbunge wa Mbogwe Nicodemas Maganga (CCM) ilikutafuta suluhu...

READ MORE

Hatimaye Gugai Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Shahidi Akutwa na Simu & ‘Diary’ Kizimbani

Shahidi wa pili upande wa mashtaka katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...

READ MORE

Mwanamke wa Kwanza Ateuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani

RAIS wa Msumbiji Filipe Nyusi amemteua Arsenia Felicidade Felix Massinge kuwa waziri wa kwanza mwanamke wa Mambo ya Ndani nchini...

READ MORE

Makamba: Hakuna Uhaba wa Mafuta, Bosi TPDC Ajieleze

WAZIRI wa Nishati January Makamba, amesema Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini, Dkt. James Makaragio, atafika ofisini kwake...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaboresha Sekta ya Umwagiliaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga fedha nyingi kwa ajili ya kununua mitambo mikubwa na ya kisasa ya kuchimba...

READ MORE

Polisi Dar: Salimisheni Silaha Zenu

IKIWA ni siku chache baada ya Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene kutoa msamaha kwa...

READ MORE

Baba Amuua Mwanae kwa Kipigo Akimlazimisha Kuolewa

JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo Baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa Kijiji cha Lufubu wilaya...

READ MORE

Wanandoa Wamuua Bosi Wao Kisa Hajawalipa Mshahara

WANANDOA wawili ambao walikuwa wakifanya kazi za vibarua, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kumuua mwajiri...

READ MORE