×

Habari

Rais Samia Awasli Glasgow, Scotland

Rais Samia leo Oktoba 31, 2021 amewasli Glasgow, Scotland kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa...

READ MORE

Meridian Bet, Lions Club Zasaidia Matibabu Kwa Walemavu

Waathirika 100 wenye ulemavu wa macho jijini Dar es Salaam, wamepatiwa huduma ya kupima, matibabu na vifaa tiba katika kambi...

READ MORE

Machinga Wapewa Siku 3 Kuondoka Katikati Ya Jiji-Video

Mkuu wa mkoa arusha John Mongela ametangaza siku 3 kwa wafanyabiashara machinga arusha kuondoka maeneo ya katikati ya jiji kuanzia...

READ MORE

Taliban Wataka Serikali Yao Kutambuliwa Kimataifa

KUNDI la Taliban Oktoba 30, 2021 wameomba Serikali yao kutambuliwa Kimataifa na kupewa misaada na Marekani na Mataifa mengine ya...

READ MORE

Undani Wa Ndege Iliyopotea Ikiwa Na Rubani – Video

 Rubani Samwel Gibuyi wa ndege ya Shirika la PAMS Foundation ambae hajaonekana toka aruke Wilayani Tunduru na ndege hiyo...

READ MORE

Kusah: Itoshe Kusema Nimemuoa Aunt

JUU ya kusambaa kwa picha wakidaiwa kufunga ndoa, msanii wa Bongo Fleva, Salmin Issa almaarufu Kusah anasema; “Itoshe kusema nimemuoa...

READ MORE

Viboko wa Pablo Escobar Kutambuliwa Kisheria Kama Watu

Mahakama ya nchini Marekani imepitisha sheria ya kuwatambua Viboko waliokuwa wanamilikiwa na muuzaji hatari wa madawa ya kulevya nchini Kolombia,...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Kuelekea Glasgow Scotland

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 30 Oktoba 2021 kuelekea Glasgow, Scotland...

READ MORE

Wanafunzi 393 Wafutiwa Matokeo Mtihani Darasa la Saba

BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limewafutia matokeo watahiniwa 393 waliobainika kufanya udanganyifu katika mitihani ya kuhitimu darasa la saba 2021....

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Matokeo Darasa la Saba 2021

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2021...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba, Tazama Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Jumamosi, Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya...

READ MORE

Baba Amuua Mtoto Wake Kwa Kumpiga na Deki Usoni

Jeshi la polisi Mkoani Manyara linamshikilia Mkazi wa Kijiji cha Bassoutu wilayani Hanang, Elibariki Shaban kwa tuhuma za kumpiga kwa...

READ MORE

Usajili Kilimanjaro Premium Lager Marathon Washika Kasi

MAANDALIZI kwa ajili ya mbio za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager marathon kwa mwaka wa 2022 yanaendelea vizuri huku usajili...

READ MORE

Nyota Simba Wampa Bwalya Kazi Maalum

 KIUNGO mchezeshaji hivi sasa tegemeo Simba, Mzambia, Rally Bwalya, amechaguliwa kuwa mpiga penalti maalum katika kikosi cha Thiery Hitimana.  ...

READ MORE

Shahidi Achanganya Mambo Kesi ya Mbowe – Video

NI Oktoba 29, 2021 kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ushahidi wa Upande...

READ MORE

Mrembo Afanyiwa Kitu Mbaya na Nyuki

TUKIO la kushangaza limetokea eneo la Machakos Mjini, Kaunti ya Kitui nchini Kenya ambapo kundi kubwa la nyuki limemvamia mwanamke...

READ MORE

Mwanaume Afungua Kesi Kisa Mkewe Kuitwa ‘Babe’ Kwenye Whatsapp

Mwanaume mmoja anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke...

READ MORE

Aliyemuua Mama Yake Akamuweka Kwenye Sanduku, Aachiwa

MWANAMAMA Heather Mack raia wa Marekani ambaye alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 10 jela nchini Indonesia kwa kosa la kumuua...

READ MORE

Rubani Aliyepotea na Ndege, DC Mtatiro Afunguka

NDEGE ya Shirika la Uhifadhi Pams Foundation Aina ya Bathawk 5HWXO iliyokuwa ikisaidia kutafuta Faru Weusi katika Pori la Akiba...

READ MORE

Mama Amfumania Mfanyakazi Wa Ndani Akimbaka Mwanae-Video

Kamanda wa polisi mkoani Manyara ameeleza tukio hilo limetokea baada ya wazazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka saba...

READ MORE

Waziri Ndaki Ashuhudia Uzinduzi Wa Bima Maalum Ya Nmb na Britam

  BENKI ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Britam wamezindua bima maalum ijulikanayo kama Jahazi kwa ajili...

READ MORE

Mfungwa Adungwa Sindano ya Kifo

Jimbo la Marekani la Oklahoma limetekeleza adhabu ya kifo kwa kumdunga sindano ya sumu iliyomuua mfungwa mara ya kwanza baada...

READ MORE

Walinzi Binafsi, Waandishi Binafsi Marufuku Serikalini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri na Naibu Waziri wasimamie taasisi na idara zilizopo chini ya wizara zao ili zizingatie...

READ MORE

Rais Samia Kwenda Scotland Kesho

Rais Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 30 Oktoba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa...

READ MORE

Ndege Yapotea na Rubani Ruvuma

NDEGE ya Shirika la Uhifadhi Pams Foundation Aina ya Bathawk 5HWXO iliyokuwa ikisaidia kutafuta Faru Weusi katika Pori la Akiba...

READ MORE

Marufuku Kuvaa Hivi Marekani

Shule tatu za msingi katika jimbo la New York zimepiga marufuku mavazi ya Halloween yanayofanana na yale yaliyovaliwa na washiriki...

READ MORE

Baba Amuua Mtoto Wake kwa Kipigo

Elibariki Shaban (50, Mkazi wa Kijiji cha Bassotu Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua...

READ MORE

Majaliwa: Samia Tena 2025

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Kutoka Mahakamani: Ripoti ya Uchunguzi wa Silaha Kesi ya Mbowe

KESI ya uhujumu uchumi inayomhusisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi, imeendelea tena...

READ MORE

Silaha Nzito Ya Kivita Yakamatwa Dar-Video

Silaha Nzito Ya Kivita Yakamatwa Dar, Kamanda Murilo Awasha Moto Mkali Kuwasaka Majambazi Sugu. 

READ MORE

Facebook Yabadili Jina Sasa ni ‘Meta’

KAMPUNI Facebook imebadilisha jina lake la kampuni na kujiita Meta ikiwa ni mpango wake wa kujiimarisha sokoni. Kampuni hiyo imesema...

READ MORE

Malumbano ya Flash Yaibuka Mahakamani

MALUMBANO ya kisheria leo yameendelea katika Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...

READ MORE

Wanne Wafariki kwa Ajali Iringa

WATU wanne wamefariki dunia na wengine saba wamejeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha lori na basi la Isamilo, lililokuwa linasafiri...

READ MORE

Mchungaji Afia Getini, Bodaboda Wake Asakwa

JESHI la Polisi mkoano Arusha limesema wanaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtu aliyetambulika kama Mchungaji au Nabii Abraham Peter...

READ MORE

Staa NBA Aliyegomea Chanjo Asababisha Maandamano

Nakuvutia hii kutoka pande za Marekani ambapo maandamano makubwa yamezuka kumsapoti staa wa NBA  Kyrie Irving, anayekiwasha katika timu ya...

READ MORE

Baba Amuua Mtoto Wake kwa Deki

Jeshi la polisi Mkoani Manyara linamshikilia Mkazi wa Kijiji cha Bassoutu wilayani Hanang, Elibariki Shaban kwa tuhuma za kumpiga kwa...

READ MORE

 UDOM Yamsimamisha Mhadhiri kwa Tuhuma za Ngono

CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimemsimamisha kazi mhadhiri wa chuo hicho, Basil Mswahili kufanya majukumu yake yote ikiwa ni pamoja...

READ MORE

Sabaya Alia na Vyombo vya Habari

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha leo Oktoba 28, 2021, imeendelea kusikiliza kesi namba 27/2021 ya uhujumu uchumi inayomkabili...

READ MORE

Mrembo Ajiua Kisa Kutelekezewa Watoto, Aacha Ujumbe Insta

BINTI mwenye umri wa miaka 21, ambaye ni mama wa watoto 2, amejiuwa kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na...

READ MORE