×

Habari

Majeneza Yenye Miili ya Watu Yaelea Mitaani

KATIKA hali ya kushangaza, majeneza yenye mabaki ya miili ya watu yameonekana yakielea na kuzagaa mitaani katika Jimbo la Louisiana...

READ MORE

Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho Balozi wa Somalia, Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan jana Septemba 27, 2021,amepokea hati za utambulisho kwa mabalozi wa...

READ MORE

Daktari Awaua Wanawe kwa Sindano

DAKTARI mmoja katika eneo la Nakuru nchini Kenya anadaiwa kuwaua wanawe wawili wenye umri wa miaka mitano na mitatu kwa...

READ MORE

Mwanamke Adai Fidia Tsh. Bil 1.5 Hospital ya Kairuki

FLORAH Lengwana, mkazi wa jijini Arusha, amefungua kesi ya madai Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam dhidi ya Hospitali ya...

READ MORE

Daktari Bingwa Jela kwa Kutaka Kumuua Mkewe kwa ‘Sindano  ya Mapepo’

DAKTARI mmoja nchini Uingereza ambaye ni raia wa Misri, Hossam Metwally amehukumiwa kwenda jela miaka 14 baada ya kukutwa na...

READ MORE

Operesheni Kamata Wezi Vifaa vya Magari na Vibaka DSM

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelielekeza Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Mbowe Ahojiwa Matumizi ya Dawa za Kulevya

SHAHIDI wa kwanza wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Aliyowateua Ikulu – Video

LEO Jumatatu Septemba 27, 2021, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemuapisha Balozi Mteule Togolani Idriss Mavura...

READ MORE

Mtuhumiwa Kesi ya Mbowe Adai Kufungwa Kitambaa Cheuzi Usoni

MAPYA yameibuka wakati mtuhumiwa namba mbili wa kesi 16/2021, Adam Kasekwa ambaye ni shahidi namba moja katika kesi ndogo ndani...

READ MORE

Kifo cha Mohamed Chaacha Majonzi kwa Mke, Mama, Watoto – Video

Kifo cha Mohamed Ramadhan Mkongo, mfanyabiashara ndogondogo au maarufu kama machinga kilichotokea alfajiri ya Septemba 23, 2021 katika eneo la...

READ MORE

Jaji: Mama wa Nyumbani Walipwe na Waume Zao

JAJI Mkuu wa Kenya Theresia Matheka wiki iliyopita ametoa hukumu inayosema Wanawake walioolewa na kubaki kuwa Mama wa nyumbani ni...

READ MORE

Atembea kwa Miguu Kigoma – Kilimanjaro Kuhamasisha Chanjo

Serikali kupitia Wizara ya Afya imemtambua Mwanariadha Michael Nondo, mkazi wa Kigoma aliyejitolea kutembea kutoka mkoani Kigoma hadi Kilimanjaro kwa...

READ MORE

Rais Samia: Sijawateua Kuwa Miungu Watu – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi wa mamlaka za serikali za mitaa kutenda haki...

READ MORE

Samia: Mmejenga Masoko Mbali ya Watu, Yafanyeni Kumbi za Harusi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema masoko yaliyojengwa sehemu ambazo hazifikiki labda yageuzwe kumbi za...

READ MORE

Rais Samia Akerwa na Kibanda cha TANESCO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumzia ubadhirifu wa fedha ambao umekuwa ukifanywa na Halmashauri na...

READ MORE

Makamba: Hii Ndio Tanesco Mpya

Hii ndiyo Tanesco (Shirika la Umeme la Tanzania) mpya ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Waziri wa Nishati, January Makamba kueleza...

READ MORE

Madiwani Kulipwa Posho Kila Mwezi- Rais Samia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan,  amesema kuwa serikali imeridhia madiwani kulipwa posho ya kila mwezi...

READ MORE

Aliyepanga Mauaji ya Kimbari 1994 Afia Gerezani

KANALI wa Jeshi la zamani la Rwanda aliyekutwa na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Mazito ALAT – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa...

READ MORE

NMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa Uchaguzi ALAT Kwa Mil. 150/=

    BENKI ya NMB imedhamini Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania...

READ MORE

Uzinduzi wa Nureen Forever Suluhisho la Warembo kwa Bidhaa Bora

      NUREEN Forever suluhisho la warembo kwa bidhaa bora, hayo yalithibitika Jumamosi iliyopita umati wa warembo walipofurika kwenye...

READ MORE

Askari Polisi Afariki Akitazama Simba vs Yanga

ASKARI wa Jeshi la Polisi, Kituo cha Polisi Mpwapwa mkoani Dodoma, Afande Rashid Mohamed Juma ambaye ni shabiki wa Timu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akabidhi Mil 400/= Kutoka NMB Kuchangia Akina Mama Wenye Fistula

  WaziriI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Benki ya NMB kwa kuwa mshirika mkubwa wa serikali katika kuleta maendeleo kwenye...

READ MORE

Serikali Kupokea Dozi Mi. 2 za Uviko Kutoka China

MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema mwanzoni mwa mwezi ujao serikali itapokea dozi milioni 2, za kujikinga na ugonjwa...

READ MORE

Shigongo Atoa Elimu kwa Wakuu wa Shule za Buchosa-Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo ametoa elimu kwa Wakuu wa Shule za jimbo hilo, jinsi gani  wataongeza  ufaulu...

READ MORE

Barua Kutoka kwa Mwenye Women Matters Yake

MPENZI wangu…Najua ulitumisi…Najua kimya chetu hakikuwa na majibu sahihi kwako….Nilipata jumbe zako za malalamiko ukiulizia kipindi..Kweli nilizisoma kwa UCHUNGU na...

READ MORE

Meridiabet Yazipa Vifaa Timu Zote Kwenye Bonanza la Street Soccer

KAMPUNI  maarufu ya kubashiri matokeo ya Meridianbet imetoa vifaa vya michezo kwa timu zote zilizoshiriki bonanza la soka la timu...

READ MORE

Upana wa Mtandao wa Vodacom Tanzania – Kiunganisho Muhimu Vijijini

TEKNOLOJIA pamoja na uunganishwaji vina uwezo mkubwa hujenga jamii yenye usawa na ushirikishwaji zaidi. Upatikanaji wa mtandao wa intaneti ni...

READ MORE

Huduma za TIC Mpaka Kasulu,Kigoma

Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Kanda za Nyanda za Juu Kusini Bw. Venancy Mashiba, amesema Kituo hicho kimefanya tafiti...

READ MORE

Waziri Mkuu Alivyoongoza Mbio Za Nmb Marathon

                Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ameongoza kukimbia mbio za hisani...

READ MORE

Rais Samia Apitisha Panga Tanesco

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Utekelezaji...

READ MORE

Wafanyakazi Exim Washiriki NMB Marathon Kusaidia Matibabu Ya Fistula

  Katika kuunga mkono agenda ya kusaidia matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, wafanyakazi wa Benki ya...

READ MORE

Maiti Iliyozuiwa Muhimbili Siku Sita Yazikwa

SIKU sita baada ya Zena Mussa Ramadhani kufariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Oktoba 18, 2021 na maiti...

READ MORE

Mwanza: 40 Wajeruhiwa kwa Kulipukiwa na Kinu cha Uji wa Moto

WAFANYAKAZI 40 wa kiwanda cha Nondo cha Nyakato jijini Mwanza, wamejeruhiwa na mlipuko wa moto uliotokea kiwandani hapo jana Septemba...

READ MORE

RC Pwani Ahaha Kumalizia Chanjo za Corona

Mkuu wa mkoa wa Pwani Aboubakar Kunenge, amesema kuwa umebaki mwezi mmoja tu kufikia tarehe ya mwisho ya matumizi ya...

READ MORE

Mechi Ya Simba Vs Yanga, Gazeti la Championi Lagombaniwa

Wakati Mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania wakimiminika katika uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mechi ya watani wa...

READ MORE

Tumieni Mifumo ya Tehama Kuzuia Upotevu wa Mapato- Ndugulile

MBUNGE wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile ameutaka uongozi wa Kituo cha Afya cha Kigamboni kutumia mifumo wa Tehama katika kuhakikisha...

READ MORE

Machinga Iringa Wagoma Kuondoka

WAFANYABIASHARA wadogo wadogo (machinga) wa Manispaa ya Iringa wamesema kuwa hawapo tayari kuondoka katika eneo la Mashine Tatu na Miomboni...

READ MORE

Vijana Walioitwa Kwenye Usaili Kujiunga na Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi linapenda kuwatangazia kuwa usaili wa vijana wenye elimu ya shahada, stashahada na astashahada ambao walioomba kujiunga na...

READ MORE