×

Habari

Mbunge: Wananchi Wanapimwa Uraia kwa Wimbo wa Taifa

Mbunge Florent Kyombo amesema wananchi wa Mkoa wa Kagera ambao unapakana na nchi tatu wamekuwa wahanga katika kutambuliwa na kupatiwa...

READ MORE

Onyango Ana Hamu Sana na Yanga

BEKI kisiki na mfungaji wa bao lililoipa Simba pointi moja dhidi ya Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ndani...

READ MORE

Breaking: Teddy Mapunda Afariki Dunia

HABARI zilizotufikia hivi punde, Mkurugenzi wa Service and Montage Limited, Teddy Hollo Mapunda, maarufu ‘Dada Teddy’ amefariki usiku huu katika...

READ MORE

Mabilionea 10 Wanaoshikilia Uchumi wa Dunia

Pengo kati ya watu tajiri na maskini linazidi kuongezeka.Itawachukua miaka kumi watu maskini zaidi kuweza kumudu kuishi vizuri lakini huo...

READ MORE

Rais Samia, Kenyatta Wakubaliana Kujenga Bomba la Gesi

Marais wa Tanzania na Kenya wametangaza hii leo kuwa nchi hizo mbili zimeingia makubaliano ya ujenzi wa bomba la gesi...

READ MORE

Prof. Mkumbo Akunana Na Wasafirishaji,Waigizaji Mizigo Bandarini

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya kikao na wadau mbalimbali wa usafirishaji, uingizaji na utoaji...

READ MORE

Majaliwa Atua Chato Kwenye Kaburi la Magufuli

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli...

READ MORE

Ndugulile: Tunaandaa Sheria ya Faragha Kulinda Taarifa za Mtumiaji

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema katika kutengeneza mazingira rafiki na wezeshi ya sekta ya Teknolojia...

READ MORE

Rais Samia Atoa Heshima Kwenye Kaburi la Hayati Mzee Jomo Kenyatta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 4, 2021 amekitoa salamu za heshima mara baada...

READ MORE

Hotuba ya Rais Samia Ikulu ya Nairobi Kenya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 05, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya...

READ MORE

Kauli ya Rais Kenyatta Mbele ya Rais Samia Kenya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 05, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya...

READ MORE

Mrithi wa Mfalme wa Wazulu Pasua Kizungumzkuti

Mzozo kuhusu ni nani atakayemrithi marehemu Mfalme wa Wazulu, Goodwill Zwelithini, sasa unaelekea mahakamani, vyombo vya habari vinaripoti. Hatua hiyo...

READ MORE

Bondia Ashtakiwa kwa Kumuua Mpenzi wake Mjamzito

Bondia wa Puerto Rico aliyepigana katika michezo ya Olimpiki ya London mwaka 2012 ameshtakiwa kwa kumteka na kumuua mpenzi wake...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Atembelea Hospitali Ya Benjamin Mkapa

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango leo Mei 04,2021 ametembelea Hospitali ya Benjamin...

READ MORE

Wanasayansi Wagundua Maiti ya Kale ya Mjamzito Misri

TIMU ya wanasayansi nchini Poland imesema wamegundua maiti pekee ya kale ya mwanamke mjamzito huko Misri iliyokuwa imehifadhiwa.   Ugunduzi...

READ MORE

Maendeleo Ya Viwanda Yaendane Na Hifadhi Ya Mazingira – Waziri Jafo

Serikali imesema kamwe haitakuwa kikwazo kwa wawekezaji wanaolenga kuwekeza katika sekta ya viwanda bali maendeleo ya viwanda ni lazima yaende...

READ MORE

Marufuku Kudai Vyeti vya Chekechea

Serikali imepiga marufuku wanafunzi wanaoanza elimu ya msingi (darasa la kwanza) kudaiwa vyeti vya elimu ya awali, kwa maelezo kuwa...

READ MORE

Mtoto Aliyefanyiwa Upasuaji wa Uti wa Mgongo Kabla Hajazaliwa

“Kuna hatari zake lakini upasuaji huu utamaanisha kuwa nimejitahidi katika kila namna kumchagulia kilicho bora kwake. Kwangu, ninachojua ni kwamba...

READ MORE

D.light, yazindua huduma zake Mbeya

KAMPUNI inayoongoza katika kutoa huduma za umeme wa jua, D.light, ina zaidi ya watumiaji milioni 100 ulimwengu mzima, leo inatangaza...

READ MORE

Video: Rais Samia Awasili Ikulu Kenya, Rais Kenyatta Ampokea

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 04, 2021 ameanza ziara ya siku mbili nchini...

READ MORE

Shigongo Akagua Ujenzi wa Shule Mpya na Zahanati Buchosa

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amefanya mikutano miwili ya hadhara katika Kijiji cha Kahunda na Katwe na...

READ MORE

Mrembo Ajaribu Kujiua Mara Mbili Mfululizo Kisa Mapenzi

MREMBO na mwigizaji mahiri kutoka nchini Ghana mwenye shepu matata, Princess Shyngle amelazwa katika hospitali moja nchini Marekani baada ya...

READ MORE

Rais Samia Awasili Ziarani Kenya (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 4, 2021 amewasili nchini Kenya ambako anafanya ziara...

READ MORE

Ajeruhi Mtoto kwa Kisu Kisha Kujiua

Shija Mwanzalima (30) amemchoma na kisu tumboni mtoto wake wa kambo Rachel Erasto (3), kisha kujichoma na kisu sehemu mbalimbali...

READ MORE

Mahakama Yamwachia Huru Mgombea Ubunge Bukoba Mjini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Bukoba imewaachia huru washtakiwa saba akiwemo Aliyewahi kuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea...

READ MORE

NMB Yaandaa Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Zanzibar

Waziri wa utalii na mambo ya kale Zanzibar, Leila Muhammed Mussa amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu kisiwani humo kuzitumia fursa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi wa IMF

Rais Samia SuluhuHassan, leo amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Mkurugenzi Mtendaji waShirika la Fedha Duniani (IMF), Kristalina Georgieva...

READ MORE

Lowassa Amawaga Mamilioni Monduli

Mbunge wa Monduli, Fredrick Lowassa amechangia Sh11 milioni katika miradi ya maendeleo katika vijiji vya ujenzi wa nyumba ya daktari...

READ MORE

TMA Yatabiri Mvua, Upepo Mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imesema kesho Mei 4 kuna uwezekano wa uwepo wa upepo mkali unaokadiriwa kufikia kilometa...

READ MORE

Takukuru Kuwafikisha Kortini Katibu Mkuu, Mhasibu CWT

Takukuru intafikisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif na mweka hazina wa...

READ MORE

Mwizi Alala Usingizi Mzito Baada ya Kumuibia Bibi Kizee

Kumetokea kisa cha aina yake katika kijiji cha Mutomo, kaunti ya Kitui nchini Kenya baada ya mwizi sugu wa mabavu...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Wananchi Kufuga Simba

SERIKALI ya Afrika kusini imeweka wazi mpango wa kuzuia watu kuwazalisha simba majumbani kwa lengo la kuwahifadhi kama wanyama wa...

READ MORE

Rais Samia Atumbua Watatu

Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa viongozi watatu akiwemo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Wakala wa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Rais Obasanjo wa Nigeria

Rais Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo katika ikulu ya Chamwino...

READ MORE

Waziri Jafo Aagiza Mkurugenzi Akamatwe

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Bw. Kaissy Mkurugenzi...

READ MORE

Ndugai: Iweje Wabunge 19 Wafukuzwe, Wote Wanawake?

Spika wa Bunge Job Ndugai leo amesimama bungeni kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa ikiwemo uwepo bungeni wa Wabunge 19 wa...

READ MORE

Dkt. Abassi: Peak Time Wamerudisha Hadhi Ngumi Nchini

MABONDIA na wadau wa mchezo wa ngumi za kulipwa juzi Jumapili waliweza kujumuika katika futari ilioandaliwa na Kampuni ya Peak...

READ MORE

Ndugai Amuonya Nape “Tuchunge Midomo Yetu” – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuonya Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Nape Moses Nnauye kuchunga kauli...

READ MORE

Ndugai Atoa Majibu “Mdee na Wenzako Chapeni Kazi” – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge 19 wa viti maalum ambao wamefukuzwa na chama chao cha CHADEMA kuendelea kuchapa...

READ MORE