×

Habari

Mbongo Afunga Ndoa Tatu na Mtoto wa TB Joshua

Kumbukumbu zinasema hii ndio ndoa ya kwanza ya aina yake kufungwa katika jiji la Arusha, ambayo ni ndoa ya mseto...

READ MORE

Maiti Yazikwa, Yafukuliwa na Kurudishwa Mochwari Kimyakimya

Linaweza kuwa tukio la ajabu, lakini ndio limetokea huku usiri mkubwa ukitawala. Ndugu wa familia ya marehemu Danielson Lema (72),...

READ MORE

‘Mother’s Day’ Boomplay Yafanya Jambo Hospitali Ya Mwananyamala

App ya Boomplay inayoongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki imeadhimisha Siku ya Akina Mama (Mother’s Day)...

READ MORE

Mwanamke Azua Gumzo, Aweka Nyoka Kwenye Jeneza la Mumewe

MWANAMKE mmoja kutoka Ghana amezua hisia mseto kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana kwenye video akiweka nyoka ndani ya...

READ MORE

Pasta Yamkuta, Afumaniwa Akichepuka na Mke wa Mtu

Pasta wa Kanisa la African Divine eneo la Lugari, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya ambaye alifumaniwa akifanya ngono na mke...

READ MORE

Kiwanda cha Kusafisha Madini cha GGR Chaanzishwa Geita

Imeelezwa kuwa kuanzishwa kwa kiwanda cha Kusafisha Madini cha Mkoani Geita kitaongeza na kuchangamsha uchumi wa mkoa na Taifa kwa...

READ MORE

NMB Yadhamini Mashindano ya Kitaifa ya sayansi, Teknolojia na Ubunifu

BENKI ya NMB imekabidhi kitita cha shilingi milioni 15 kwa ajili ya udhamini ya Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi,Teknolojia na...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Zoezi La Kuagwa Kwa Teddy Mapunda (Picha +Video)

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Mei 09 ameshiriki katika ibada kuuaga mwili wa aliyekuwa mmiliki wa kampuni ya uratibu na...

READ MORE

Waziri Ummy Atangaza Nafasi za Kazi Ualimu na Sekta ya Afya

WAZIRI wa nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu, leo Mei 09, 2021...

READ MORE

Mkurugenzi Mbozi akana kutishiswa kuuawa

    NA MWANDISHI WETU Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbozi mkoani Songwe, Hanji Godigodi amekanusha madai ya kutishiwa kuuawa na...

READ MORE

Rais Samia Amkabidhi Nyumba Rais Mstaafu Kikwete

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 9, 2021 amemkabidhi mfano wa funguo ya...

READ MORE

Watu 30 Wafariki Kwenye Mlipuko wa Bomu

ZAIDI ya watu 30 wameuwawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea nje ya shule ya wasichana katika...

READ MORE

Vodacom Yazindua Tovuti ya E-Fahamu Kwa Lengo La Kukuza Elimu Nchini

  KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imezindua Tovuti ya E-Fahamu, ambayo ina lengo la kuwasaidia watoto na walimu kupata vitabu vya...

READ MORE

Mage: Wananiita Maiti Inayotembea

SIKU zote kuna usemi usemao; ‘kabla hujafa hujaumbika!’ Ndivyo ilivyo kwa Mage Masalu (32), mkazi wa Magu jijini Mwanza.  ...

READ MORE

Rais Samia Amzawadia Gari Mzee Mwinyi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amemkabidhi zawadi ya gari ya kutumia katika safari zake Rais...

READ MORE

Yanayojiri Uzinduzi wa Kitabu cha Mwinyi – Video

Uzinduzi wa kitabu cha maisha binafsi ya Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi umewakutanisha viongozi wastaafu na waliopo madarakani....

READ MORE

Polisi Yaanza Kutekeleza Agizo la Rais Samia

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro, ametoa muda wa mwezi mmoja kwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya...

READ MORE

Gazeti la Championi Latoa Tiketi Kwa Mashabiki wa Simba/Yanga

KAMPUNI ya Global Group kupitia gazeti namba moja la michezo Tanzania, Championi limetoa zawadi za tiketi kwa wateja wake ili...

READ MORE

Mjamzito Feki Aumbuka

  KUNA methali moja ya Kiswahili isemayo; “Hakuna anayemshinda mwanaume kama mwanamke!” Hii imedhihirika katika Soko la Memorial mjini Moshi...

READ MORE

Madiwani Mbeya Walia Uhaba wa Condom – Video

Baraza la madiwani halmashauri ya Jiji la Mbeya limehoji kukosekana kwa kondomu kwa takribani miezi minne katika kumbi za starehe,...

READ MORE

Rais Kagame Kuweka Kiwanda Chanjo ya Corona

Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema Taifa lake litakuwa la kwanza kuleta chanjo ya mRNA barani Afrika wakati Afrika ikipambana...

READ MORE

Mafarao Walivyozikwa na Wahudumu Wao Wakiwa Hai

Ni ugunduzi ambao hadi sasa unaendelea kuwashangaza watafiti wa Misiri ya kale kuhusu aina ya kafara ambapo mafarao walizikwa pamoja...

READ MORE

Mabaki ya Roketi ya China Kuanguka na Kulipuka Duniani

Mabaki ya roketi ya China yanatarajiwa kuanguka na kulipuka duniani bila kudhibitiwa kwa namna yeyote wikendi hii. Bado haijafahamika ni...

READ MORE

Binti Albino Aliyetelekezwa China Kuwa Mrembo Maarufu Duniani

Wakati Xueli alipokuwa mtoto, wazazi wake walimtelekeza katika bustani ya nyumba ya kulelea yatima. Nchini China, kuwa albino ni laana. Hali hiyo...

READ MORE

Magereza Yaliyogeuzwa Kuwa ‘Machinjio’

Katika historia ya uhalifu kuna maeneo ambayo huwa hayazingatiwi sana kama hatima ya watu wanaokamatwa kwa makosa mbali mbali ....

READ MORE

Mwalimu Adaiwa Kuua Mtoto wa Jirani

MAMA mmoja mkazi wa jijini Mwanza ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Islamic Nyasaka, Fatuma Rashadu amepata msala...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Kumuozesha Binti Yake kwa Mahari ya Ng’ombe Sita

Mkazi wa Kijiji cha Manyanda Masele Kuyela (52) anashikiliwa na jeshi polisi mkaoni shinyanga kwa tuhuma za kumwozesha binti yake...

READ MORE

ATCL Yazindua Safari ya Guangzhou-China

Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) leo alfajiri Mei 8, 2021 imezindua rasmi safari za ndege kutoka Dar es Salaam...

READ MORE

Sheikh Auawa Msikitini Akiongoza Ibada

Kiongozi mkubwa wa Kiislamu mashariki mwa DRC ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akisali kwenye msikiti mkuu mjini Beni. Mtu mwenye...

READ MORE

Samia Awaonya Majambazi, Ampa Maagizo IGP Sirro – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amewatumia salamu wahalifu hasa wa ujambazi ambao amesema wameanza kufanya matukio hayo, amewaonya wasijaribu kupima kina...

READ MORE

Rais Samia Awaomba Radhi Wazee wa Dar kwa Kuvaa Barakoa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaomba radhi wazee wa Dar es Salaam kutokana na utaratibu...

READ MORE

Serikali Yakanusha Kuachia Wafungwa wa Kisiasa – Video

Serikali ya Tanzania imetaka kupuuzwa kwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni na katika chombo cha habari kutoka nchi jirani ya Kenya zinazosema...

READ MORE

Mtumishi Wa Serikali Ahukumiwa Miaka 200 Jela

Leo tarehe 07/05/2021 Mahakama ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe imemhukumu ndugu SEMENI GWEWA MSWIMA (Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya...

READ MORE

Tanzania Hakuna Wafungwa wa Kisiasa

SERIKALI imetaka kupuuzwa kwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni na katika chombo cha habari kutoka nchi jirani ya Kenya zinazosema kuwa Rais...

READ MORE

‘Mtumishi’ Atupwa Jela Miaka 30 Kwa Kulawiti Mtoto Kanisani

Mahakama ya Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es salaam imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elisha Mushi (22), mkazi wa...

READ MORE

Mlinzi Mbaroni kwa Kumuua Mkewe Kisa ARV

Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Peter Elias (29) mlinzi na mkazi wa Ndembezi Mjini Shinyanga kwa kosa la...

READ MORE

Ndugai: Mnaogopa Nini Kuleta Viambatanishi Ili Tuwavue Ubunge?

Spika wa Bunge , Job Ndugai amevitaka vyama vya siasa vinavyotaka kufukuza wanachama wao ambao ni wabunge kufuata sheria na...

READ MORE

Dkt. Abbasi:  Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa na Utamaduni Si Ndoto Tena Nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara rasmi inaanzisha Mfuko wa Maendeleo ya...

READ MORE

SBL yakabidhi mradi wa maji wenye thamani ya shilingi 220m/-Machochwe

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imezindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi 220m/- katika Kijiji cha Machochwe...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dar Akitokea Dodoma (Picha +Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 7, 2021 awasili Jijini Dar es Salaam akitokea...

READ MORE