×

Habari

Maazimisho Ya siku 16 Kupinga Ukatili Yafanyika Kibiti

Maazimisho ya siku 16, yafanyika Wilaya ya Kibiti,Mkoani Pwani,ambapo Mbunge wa Wilaya hiyo,Twaha Ally Mpembenwe, pamoja na Mkurugenzi wa Willaya...

READ MORE

Kifo cha Mlinzi wa Mfanyabiashara Songwe Chaibua Mazito

KIFO cha kijana Baraka Haonga ambaye alikuwa mlinzi wa Mfanyabiasha Baraka Mwakalinga ‘Bajo’ mkazi wa Mbozi mkoani Songwe, kimezua sintofahamu...

READ MORE

KMC FC Kuwafuata Mtibwa Sugar Kesho Morogoro

Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC kesho itaondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo...

READ MORE

JPM Awaapisha Mawaziri, Awaonya Magrupu Mitandaoni – Video

RAIS  John  Magufuli leo Desemba 9, 2020, amewaapisha mawaziri na manaibu wao aliowateua tarehe 5 Desemba 2020, na akawaonya kutotumia...

READ MORE

Spika Ndugai: Tuendelee Kuangalia Sinema la Viti Maalam Chadema

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema zoezi la kuwaapisha wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema lilifuata utaratibu...

READ MORE

Vodacom Yasogeza Huduma kwa Wakazi wa Masaki Jijini Dar Es Salaam

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la Vodacom...

READ MORE

FIFA Yamfungia Kichuya, yaipiga Faini Simba

IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha Namungo FC inayoshiriki Kombe la Afrika ikiwa imepenya hatua ya mchujo, Shiza Kichuya amefungiwa...

READ MORE

EABL yateua mkurugenzi mtendaji mpya pamoja na mkurugenzi wa KBL

Bodi ya wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Africa Mashariki (EABL), leo imemtangaza Jane Karuku kuwa mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo...

READ MORE

Kikongwe Adaiwa Kuuawa na Ndugu Geita

JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa kosa la mauaji ya mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Celestina...

READ MORE

JPM Akagua Ujenzi Ofisi za Ikulu Chamwino

RAIS  John Magufuli leo Desemba 8, 2020, amekagua sehemu mbalimbali za ujenzi wa majengo ya ofisi za  Ikulu, Chamwino, Dodoma....

READ MORE

#Live: Spika Ndugai Awaapisha Wabunge wa JPM

  Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Desemba 8, 2020 amewaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020...

READ MORE

Changamkia: Viwanja Vinauzwa Bei Ya Kutupwa, Viwanja Vipo Dar Vikindu

Basi Ondoa shaka SUYUTWI LINK TANZANIA, Tumeandaa mradi mkubwa wa wanne(4) wenye wenye viwanja zaidi ya 300, Mradi wetu upo...

READ MORE

Samia Atoa Heshima za Mwisho kwa Mwili wa Nsekela

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan, leo Desemba 08, 2020, amehudhuria hafla ya kuuaga...

READ MORE

Indonesia Yaitunuku Stamico Tuzo Ya Mfanyabiashara Mshirika Bora

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limezidi kuchanja mbuga kimataifa baada ya kupata tuzo ya mfanyabiashara mshirika bora katika sekta...

READ MORE

Diwani Pekee wa Chadema Ala Kiapo

DIWANI wa kata ya Uhenga aliyeshinda katika uchaguzi mkuu kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alfan Kawambwa, ...

READ MORE

Mbunge Wa Jimbo La Welezo Atoa Ahadi Kwa Wananchi

 MBUNGE wa jimbo la Welezo, Maulid Saleh Ali amewashauri wananchi wa jimbo hilo kulinda miundombinu ya maji safi na salama...

READ MORE

Askari Aliyefanya Kazi ya Upelelezi Wakati ni Jambazi

DUNIANI wapo wahalifu wengi wa matukio mbalimbali lakini  Afrika Kusini haiwezi kumsahau jamaa huyu anayeitwa Andre Stander ambaye alikuwa askari...

READ MORE

Mbunge Mwana FA Afunguka Ishu Kamili, Kurudisha Pesa Walizolipwa -Video

 MBUNGE wa jimbo la Muheza (CCM) Mwana FA, amepiga stori na waandishi wa habari kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...

READ MORE

Maalim Seif Aapishwa Kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar -Video

 Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi leo Jumanne Desemba 8, 2020 amemuapishwa mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif...

READ MORE

Majaliwa Atoa Tamko Bei ya Saruji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili...

READ MORE

Ndugai Kuwaapisha Wabunge Wawili wa JPM

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, leo Desemba 8, 2020, atawaapisha wabunge wawili walioteuliwa na Rais John Magufuli, Desemba 5, 2020,...

READ MORE

Aongezewa Urefu Akihofia Kukosa Mke

KILA mwaka mamia ya watu kote duniani hufanya upasuaji wa miguu ili waongezewe urefu wa vimo vyao vya mwili.   ...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aongoza Kuagwa Kwa Jaji Nsekela Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza mamia ya waombolezaji kutoa heshima za mwisho mbele...

READ MORE

Dk Mwinyi Awateua Mazrui, Omar Kuwa Wajumbe Baraza La Wawakilishi

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemteua naibu katibu mkuu wa ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui na mwanasheria mkuu wa...

READ MORE

Live: Maalim Seif Rasmi Smz, Mutasa, Mhitimu Aliyeisotea Phd Kwa Miaka 41 | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Hadithi Lab na TBL wazindua bando la kicheko.

Ni jukwaa la Vijana linalotumia sanaa ya uchekeshaji kuelimisha wanavyuo Disemba 10, 20202 – Dar es Salaam: Kampuni ya Hadithi...

READ MORE

November to Remember

Msisimko unafuatia kwa mafanikio ya uvunjaji rekodi ya mwezi Novemba, pamoja na uzinduzi wa mbinu mpya na rahisi za miamala...

READ MORE

Stendi Mbezi Louis Kuanza Kutumika Des. 20

  KATIBU  Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandisi Joseph Nyamhanga, amewataka viongozi wa Mkoa...

READ MORE

Waliojifanya Vigogo TANESCO Kortini kwa Utapeli

WATU watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 14 likiwemo la kujipatia kiasi cha Sh 365...

READ MORE

Wenye Ualbino Watamani Kujiajiri

  Umoja wa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wanaoishi Kigamboni Dar es Salaam wameeleza matamanio yao ya kujiajiri lakini...

READ MORE

Utajiri wa Bilionea wa Ngurudoto Gumzo

MADAI ya hoteli ya kitalii na kifahari ya nyota tano ya Ngurdoto Mountain Lodge ya jijini Arusha ya kugeuzwa hosteli...

READ MORE

Mahakama Yatengua Hukumu ya Kina Mwana FA, AY

MAHAKAMA Kuu, Dar es Salaam, imetengua hukumu iliyoiamuru kampuni ya simu za mkononi MIC (T) Limited, maarufu Tigo, kuwalipa wanamuziki...

READ MORE

Gonjwa la Ajabu Lajitokeza India, Watu 140 Walazwa

MAOFISA nchini India wanachunguza ugonjwa ambao haujafahamika uliosababisha zaidi ya watu 140 kulazwa mwishoni mwa wiki hii. Wagonjwa hao kutoka...

READ MORE

Mwanajeshi Aliyempiga Refa Ashughulikiwa na Polisi – Video

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anayedaiwa kumpiga mwaamuzi Fadhil Maka aliyekuwa akichezesha mchezo kati ya Pamba FC na...

READ MORE

Mwili wa Marehemu Wapotea Kwenye Jeneza, Wakutwa Nyumbani

WANANCHI wa Kijiji cha Kona Nne Wilaya ya Kaliua mkoani wa Tabora wameshangazwa na kurejea kwa mwili wa marehemu aliyefariki...

READ MORE

Kuku Aliyezaliwa na Mwanamke Kigoma Kuchunguzwa

POLISI Mkoa wa Kigoma limesema kuku aliyezaliwa na  mwanamke mkoani humo, atapelekwa kwenye Maabara ya Mkemia wa Serikali kwa ajili...

READ MORE

Mama Mzazi wa Petit Man Afariki Dunia – Video

  MAMA Mzazi wa Petit Man Wakuache, amefariki dunia jana Desemba 6, ambapo alikuwa amelazwa hospitali ya Muhimbili. Petit Man...

READ MORE

NMB Yapongezwa Kuchangia Maendeleo Zanzibar

  Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na chama tawala wamevutiwa na jinsi Benki ya NMB ilivyojipanga kushiriki katika shughuli...

READ MORE

Kigogo TANESCO Kizimbani kwa Kuhujumu Mradi SGR

MFANYAKAZI wa TANESCO mkazi wa Kibaha kwa Mathias Mkoani Pwani amefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Jijini Dar es...

READ MORE