×

Habari

Seneta Haji Afariki

SENETA wa Garissa, Mohamed Yusuf Haji amefariki, familia yake imethibitisha.   Haji ambaye hadi mwaka 2020 alihudumu kama Mwenyekiti wa...

READ MORE

Pigo: Wanne Familia Moja Wafariki Katika Mazingira Tofauti

FAMILIA ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Profesa Delphina Mamiro, imepata pigo ndani siku 28 kwa kupoteza...

READ MORE

KCMC Yafungukia Mgomo wa Madaktari

HOSPITALI  ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro, kupitia kwa msemaji wake, Gabriel Chiseo, imeweka wazi kuwa hakuna mpango wa kugoma kwa...

READ MORE

Huawei Yasisitiza Kuendelea Kuimarisha Utandawazi

  Kampuni ya Huawei imeahidi kuzingatia mkakati wake wa utandawazi licha ya shinikizo la nje. Aidha, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni...

READ MORE

Mapinduzi ya Myanmar: Jeshi Latanda Mitaani, Intaneti Yazimwa

  Magari ya kivita yametanda katika mitaa ya miji kadhaa nchini Myanmar huku kukiwa na ishara kwamba wanajeshi wanaandaa msako...

READ MORE

Seif Khatib Afariki Dunia

MWENYEKITI wa Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) Dkt. Mohammed Seif Khatib, amefariki dunia leo asubuhi Jumatatu Februari 15, 2021.  ...

READ MORE

Mbwa Arithi Tsh Bilioni 1.1

  MBWA mmoja amerithi fedha dola milioni 5 (sawa na Tsh bilioni 1.1) kutoka na mmiliki wake aliyefariki katika jimbo...

READ MORE

Ajali Basi la Coast Line, Watano Walazwa, 16 Waruhusiwa

WATU watano waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Nyerere, jana kutokana na ajali ya basi la kampuni ya Coast Line lililokuwa...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Kufukiwa Kifusi Kahama

WATU  wawili wamefariki dunia baada ya kuangukiwa kifusi  kwenye machimbo ya kijiji cha Mwime duara namba 11C kata ya Zongomela...

READ MORE

Yajue Majeshi Yenye Nguvu Zaidi Duniani

JARIDA la kimataifa la ‘Firepower’ ambalo huwa linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka , limetoa orodha ya...

READ MORE

China Yagoma Kutoa Data za Covid-19 kwa WHO

  CHINA imekataa kutoa data muhimu kwa timu ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) inayochunguza asili ya Covid-19, ambapo mmoja...

READ MORE

Watumishi Waliohodhi Vizimba Soko Kuu Moro Yawakuta

WAFANYABIASHARA katika Soko la Chifu Kingalu wamelalamika kwa Rais John Magufuli kuwa wanauziwa vizimba kwa bei isiyo ya manispaa na...

READ MORE

Coca-Cola Kwanza Yazindua Tuzo za ‘Mwanamke Shujaa Excellence In Leadership 2021

Coca-Cola Kwanza Ltd, ambayo ni kampuni tanzu ya Coca-Cola Beverages Africa leo imetangaza kuzindua msimu mpya wa kampeni ya Mwanamke...

READ MORE

Serikali Yasaka Tril 1.029 Kodi ya Ardhi Moro

  OFISI ya Ardhi Mkoa wa Morogoro imeanza kuwabana wadaiwa wa kodi ya pango la ardhi kwa kuwafikisha wadaiwa sugu...

READ MORE

Ndugulile Atoa Maagizo Shirika la Posta

WAZIRI wa‌ ‌Mawasiliano‌ ‌na‌ ‌Teknolojia‌ ‌ya‌ ‌Habari‌ ‌‌ ‌Dkt.‌ ‌Faustine‌ ‌Ndugulile‌ ‌ameliagiza‌ ‌Shirika‌ ‌la‌ ‌Posta‌ ‌Tanzania‌ ‌(TPC)‌ ‌kuangalia‌ ‌upya‌ ‌muundo‌...

READ MORE

Rais wa Marekani Joe Biden Kulifunga Gereza la Guantanamo

Rais wa Marekani Joe Biden anataka kulifunga gereza la Guantanamo Bay linalotumiwa kuwashikilia washukiwa wa ugaidi. Biden antaka kulifunga gereza...

READ MORE

Baraza la Seneti Lashindwa Kumtia Hatiani Trump

Baraza la seneti nchini Marekani limemuondolea mashataka rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump, ya kuchochea shambulio baya dhidi...

READ MORE

Mechi ya Namungo na Waangola Yafutwa

  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeufuta mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya CD de Agosto ya Angola dhidi...

READ MORE

Waziri Mkuu Aahirisha Bunge

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa...

READ MORE

Majaliwa Afungukia Namungo Kuzuiwa na Jeshi Angola

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza klabu ya Simba kwa kupata ushindi wa kwanza wa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi...

READ MORE

Simba Kuifunga AS Vita ni Uchumi wa Kati

Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba, amewaambia Watanzania kwamba wanayo bahati sana kuwa na Rais ambaye usiku na mchana...

READ MORE

Samia Atoa Maagizo Serikali za Mitaa – Video

  MAKAMU  wa Rais, Samia Suluhu, ametoa wito kwa serikali za mitaa kuhakikisha kamati zake za maji zinalinda miundombinu ya...

READ MORE

TAMISEMI Kusaka Kodi Nyumba kwa Nyumba

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuanzia tarehe 15...

READ MORE

DC Gondwe Atoa Siku 14 Mzabuni Kituo cha Afya Buza

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe ametoa siku 14 kwa Mzabuni wa vifaa tiba Bahari Phamacy kuhakikisha vifaa hivyo...

READ MORE

Wahamihaji Haramu Wanaswa Juu ya Dari Mwanza

KINARA wa usafirishaji wa wahamiaji haramu David Kapangala (31) na wenzake watatu wamekamatwa mkoani Mwanza na Idara ya Uhamiaji kwa...

READ MORE

Kamati ya Bunge ya Viwanda Yaipa Maagizo SIDO

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeliagiza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kuongeza juhudi na...

READ MORE

Daktari Ambandua Mrembo Gundi Kichwani

DAKTARI bingwa wa upasuaji wa kurekebisha maumbile, Michael Obeng, Mmarekani mwenye asili ya Ghana, amefanikiwa kubandua gundi iliyokuwa imegandishwa kwenye...

READ MORE

Historia Kufundishwa Darasa la Kwanza Hadi Kidato cha Sita

  WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako, amesema somo la Historia ya Tanzania litaanza kufundishwa Julai mwaka...

READ MORE

Taarifa Muhimu Kuhusu Msiba wa Mukhsin Mambo

  JUMUIYA ya Watanzania waishio New York nchini Marekani inasikitika kutangaza kifo cha mwandishi wa habari na mtangazaji mkongwe, Mukhsin...

READ MORE

Baba Amuua Mpenzi wa Binti Yake kwa Kipigo

  MAKACHERO kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya wamemkamata mwanamme aitwaye John Christon Shipiti (52) kwa madai...

READ MORE

Babu Tale: Kuanzia Leo Mimi ni Chawa wa Magufuli – Video

MBUNGE wa Morogoro Kusini-Mashariki, Hamisi Taletale maarufu kama Babu Tale, amesema kuwa kuanzia leo yeye amekuwa ‘chawa’ wa Rais John...

READ MORE

Neymar Awakimbia Barcelona

MSHAMBULIAJI bora wa PSG Neymar Santos Junior, huenda akakosekana katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya timu yake ya...

READ MORE

Tabu Mtingita: Kibenten Wangu Nimempata kwa Elfu 30 tu

MSHEREHESHAJI (MC) na msanii wa filamu Tabu Mtingita ameweka wazi kuhusu mahusiano yake na mpenzi wake Lexy Gitaa ambaye amemzidi...

READ MORE

Serikali: Tanzania Haijawahi Kusema Haina Virusi vya Corona

MSEMAJI  wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, amesema Tanzania haijawahi kusema haina virusi vya corona na kwamba Tanzania ni sehemu ya...

READ MORE

DC Zanzibar Awasaka Vijana Wenye Rasta, Panki

MKUU wa Wilaya ya Mjini (Zanzibar), Rashid Msaraka, ameanza operesheni ya kuwanyoa nywele vijana wenye umri chini ya miaka 18...

READ MORE

Ndugai: Riba Bodi ya Mikopo Inawaumiza Watoto wa Masikini

SPIKA Job Ndugai amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imegeuka biashara akieleza riba inayodaiwa na Bodi ya Mikopo...

READ MORE

Sumaye, Msekwa Waeleza Walivyomfahamu Mwapachu

Spika wa Bunge mstaafu Mzee Pius Msekwa na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, wamesema kuwa marehemu Bakari Mwapachu alikuwa ni...

READ MORE

Tanzia: Mbunge Nditiye Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma, Mhe. Atashasta Nditiye, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma leo Ijumaa,...

READ MORE

JPM Achafukwa, Amwambia Rostam: Gombea Ubunge Umtoe Abood – Video

RAIS John Magufuli amemwomba aliyewahi kuwa mbunge wa wa jimbo la Igunga na mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Abdulrasul Aziz, kugombea...

READ MORE