×

Habari

Mechi za Leo Dau Lako Dogo, Unaondoka na Mshindo Meridianbet

Siku ya leo unaweza ukatusua kijanja kabisa na wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet kwa kutengeneza jamvi, kuweka dau alo lolote...

READ MORE

Mke wa Kizza Besigye Atoa Maelezo ya Kina Kuhusu Mgongano wa Kisiasa

Dkt. Kizza Besigye Kifeefe, mmoja wa viongozi wa upinzani wa Uganda na mwiba mkali wa Rais Yoweri Kaguta Museveni, kwa...

READ MORE

Bashungwa Ampongeza Rais Samia kwa Fursa ya Kutumikia Watanzania

Mbunge na aliyekuwa Waziri, Innocent Bashungwa, ameandika ujumbe wa shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Waziri Mkuu Bangladesh Aliyeng’olewa Ahukumiwa Kifo

Bangladesh imeingia katika kipindi cha msukosuko mkubwa wa kisiasa na kijamii baada ya Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa kumhukumu kifo...

READ MORE

Kesi ya Uhujumu Uchumi Inayomkabili Manguruwe Kusikiliza Hoja za Awali

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia Novemba 18, 2025 kusikiliza hoja za awali katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mkurugenzi...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri, Orodha Ipo Hapa – (Picha +Video)

Dodoma, Tanzania — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza leo Novemba 17, 2025 Baraza...

READ MORE

Polisi Waanza Uchunguzi wa Kifo cha MC Pilipili Dodoma – Video

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, kupitia kwa Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Gallus Hyera, amesema linaendelea kufanya uchunguzi kuhusu chanzo...

READ MORE

Bashe Awapongeza Mawaziri Wateule Wizara ya Kilimo, Atoa Shukrani kwa Rais Samia

Mbunge wa Nzega na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe ameandika ujumbe wa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Akabidhiwa Ofisi na Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini...

READ MORE

Majina ya Vigogo Waliotemwa Kwenye Uwaziri

Dodoma, Tanzania — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri leo...

READ MORE

Video: Rais Samia Amteua Balozi Khamis Mussa Omar Kuwa Waziri wa Fedha

Dodoma, Tanzania — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Khamis Mussa Omar kuwa Waziri...

READ MORE

Rais Samia Amteua Joel Nanauka Kuongoza Wizara Mpya ya Vijana – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Joel Nanauka kuwa Waziri wa Vijana, wizara mpya...

READ MORE

Wanu Ateuliwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Adolf Mkenda kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi na...

READ MORE

Dkt. Nchimbi: Amani ya Kudumu Haiwezi Kupatikana Bila Maendeleo Jumuishi na Endelevu

Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya...

READ MORE

Waendesha Bodaboda Watakiwa Kuepuka Vitendo Vya Uhalifu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewataka maafisa usafirishaji (bodaboda) kujiepusha na vitendo vyovyote vya uhalifu au uvunjifu wa amani...

READ MORE

NECTA Yavionya Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu Mtihani Kidato cha Nne

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limethibitisha kukamilika kwa maandalizi yote ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) unaotarajiwa kuanza...

READ MORE

Warsha Ya Mfumo Wa Tanzania Chamber Portal Yaendeshwa Kanda Ya Kaskazini

  s4WARSHA ya mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kidijitali – Tanzania Chamber Portal imezinduliwa rasmi jijini Arusha, ikiwa ni hatua...

READ MORE

Rais Dkt. Samia: Watanzania Tuendelee Kuliombea Taifa Lidumu Katika Amani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuwasisitiza Watanzania waendelee kuliombea Taifa ili amani,...

READ MORE

Video: Watahiniwa 595,816 Kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025 Kesho

JUMLA ya watahiniwa 595,816 wanatarajiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) mwaka 2025, wakiwemo 569,914 wa shule na 25,902...

READ MORE

Maumivu! Akatwa Ulimi Mara 6 Kutokana Na Saratani, Sasa Anahitaji Milioni 55 Ili Kuokoa Maisha Yake – Video

Ni maumivu yasiyoelezeka! Mwanamama Zainabu, mkazi wa Mbezi Makabe jijini Dar, anapitia kipindi kigumu baada ya kukatwa ulimi mara sita...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Amwakilisha Rais Samia Katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa ICGLR Nchini DRC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

DRC na Waasi wa M23 Watia Saini Makubaliano ya Amani Nchini Qatar

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kundi la waasi la M23 wametia saini makubaliano mapya ya mpango wa amani...

READ MORE

Jasinta Makwabe Atoa Neno La Nguvu Kwa Mabinti Wa Chuo Cha Urembo

Jana jumamosi Tarehe 16 , Chuo cha Mamdogo Beauty Training Center kilichopo Kimara, Dar es Salaam, kimefanya mahafali ya wanafunzi...

READ MORE

China Yamuonya Vikali Waziri Mkuu wa Japan Kuhusu Kauli ya Taiwan

Wizara ya Mambo ya Nje ya China imemwita balozi wake wa Japan nyumbani kwa sababu ya matamshi yaliyotolewa na Waziri...

READ MORE

Airtel Africa: Kuchochea Ukuaji wa Kidijitali na Ujumuishaji wa Kifedha Barani Afrika

Airtel Africa inaendelea kuandika historia katika ukuaji wa sekta ya mawasiliano barani Afrika, Matokeo yake ya nusu mwaka yanaonyesha namna...

READ MORE

Kampuni Chipukizi za Kibunifu Kutoka Uganda Watembelea Tanzania Kukuza Ubunifu wa Kibiashara

Dar es Salaam, Tanzania – Ijumaa, 17 Novemba 2025: Ujumbe wa kampuni kumi chipukizi za kibunifu kutoka Uganda upo Tanzania...

READ MORE

Waziri Mkuu Afanya Ziara Ya Kushtukiza Hospitali Ya Mkoa Wa Dodoma – Video

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...

READ MORE

Urusi na Ukraine Zashambuliana Usiku: Watu Wafariki, Majengo Yaharibiwa, Bei za Mafuta Yapanda

Urusi na Ukraine zimeshambuliana usiku wa kuamkia leo kwa ndege za droni na makombora huku mashambulizi hayo ya kila upande...

READ MORE

Hii hapa Hotuba ya Rais Dkt. Samia Akifungua Bunge la 13, Novemba 14, 2025 – Video

Rais Samia ameeleza safari hiyo Novemba 14, katika hotuba wakati wa kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Rais Samia: Vyombo vya habari vitapewa nafasi na leseni kwa haki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kulinda na kuimarisha uhuru wa vyombo...

READ MORE

Bangladesh: Mahakama Kutoa hukumu dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina

DHAKA, Bangladesh – Mahakama maalumu nchini Bangladesh inatarajiwa kutoa hukumu Jumatatu, Novemba 17, 2025, katika kesi inayomkabili Waziri Mkuu wa...

READ MORE

BBC Yamwomba Trump msamaha lakini Yakataa kulipa fidia

Shirika la habari la BBC limeomba msamaha kwa Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, baada ya kipindi cha Panorama...

READ MORE

Rais Samia: Bilioni 200 zimetengwa kuwawezesha vijana, Serikali yaja na Wizara Maalumu ya Vijana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, amesema serikali ya awamu ya sita imetenga kiasi cha shilingi bilioni...

READ MORE

Hospitali ya Shifaa Yazindua Kitengo Maalum cha Kutibu Maradhi ya Kisukari

HOSPITALI ya Shifaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imezindua kitengo  maalum kwa ajili ya matibabu ya wenye maradhi ya...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Vijana Waliofuata Mkumbo Katika Maandamano Kuachiwa Huru – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo maalum kwa vyombo vya ulinzi na usalama,...

READ MORE

Video: Rais Samia Awapa Pole Waathiriwa wa Vurugu, Aahidi Hatua Madhubuti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapitia kipindi kigumu kutokana na vifo na...

READ MORE

Vibonge Kunyimwa Visa? Haya Ndiyo Mapya Kutoka Serikali ya Rais Trump

Serikali ya Rais Donald Trump inakusudia kuanza kuwanyima visa wahamiaji wa kigeni wenye unene uliopitiliza (vibonge). Inaelezwa kuwa mbali na...

READ MORE

Ongeza Odds Zako Papo Papo na Live In-Play Booster ya Meridianbet

Live In-Play Booster ni huduma ya Meridianbet inayowezesha wateja kubashiri mechi zinazoendelea (live matches) na kupata odds zilizoboreshwa papo kwa...

READ MORE

Rais Samia: Nafasi ya Waziri Mkuu si ya ndugu wala rafiki, ni ya Watanzania – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kutumia nafasi...

READ MORE

Dkt. GeorDavie Atemuliwa Balozi wa Afrika Mashariki na UN-PAF

Nabii Mkuu na Kiongozi wa Kanisa la Ngurumo ya Upako jijini Arusha, Balozi Dkt. GeorDavie Moses, amepewa heshima kubwa kimataifa...

READ MORE