×

Habari

NBC Yaunga Mkono Ujenzi wa Kituo cha Abiria cha Vivuko cha Maruhubi Zanzibar

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuunga mkono maendeleo ya kiuchumi ya Zanzibar kupitia ufadhili...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Video: Rais Samia Awateua Mpango na Majaliwa Kuwa Washauri Wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri...

READ MORE

NBC Yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora Programu ya Mafunzo kwa Vitendo

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imepokea tuzo ya Mwajiri Bora katika Programu ya Mafunzo kwa Vitendo (Internship Program)...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Amtabiria Trump Anguko, Amlinganisha na Farao

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa onyo kali kwa viongozi wa kimataifa wanaotumia nguvu zao vibaya, akitabiri kuwa...

READ MORE

Enzo Maresca Atajwa Kumrithi Ruben Amorim Manchester United

Jina la Enzo Maresca, kocha raia wa Italia aliyemaliza hivi karibuni kazi yake na klabu ya Chelsea, limo kwenye orodha...

READ MORE

Trump Atangaza Msimamo Mkali Greenland Lazima Ichukuliwe

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema taifa hilo lipo tayari kuhakikisha linachukua udhibiti wa kisiwa cha Greenland kwa njia yoyote...

READ MORE

Cheza Kwa Mission Kwa Mkakati, Ushindi Uwe Zaidi ya Bahati

Meridianbet Missions inaleta mabadiliko mapya katika ulimwengu wa michezo ya mtandaoni kwa kuifanya michezo iwe na malengo yanayoonekana. Hapa, mchezaji...

READ MORE

Trump Ajiondoa Marekani Kwenye Mashirika 66 ya Kimataifa

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameagiza nchi yake kujitoa katika mashirika 66 ya kimataifa, akieleza kuwa taasisi hizo hazihudumii tena...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 10, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Balozi Ramia Apongeza Chemba ya Taifa ya Biashara kwa Kukuza Biashara na Diplomasia ya Kiuchumi

Waziri Mstaafu wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais – Ikulu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa...

READ MORE

Prof. Mkenda Aipongeza Taasisi ya Lalji Kwa Kuunga Mkono Sekta ya Elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameipongeza taasisi ya LALJI FOUNDATION kwa kuendeleza juhudi za kusaidia watoto...

READ MORE

Nyota wa Ghana, Semenyo, Awa Mchezaji Aliyeuzwa Ghali zaidi Bournemouth

Klabu ya Manchester City imetangaza rasmi kumsajili winga Antoine Semenyo kutoka AFC Bournemouth kwa ada ya pauni milioni 62.5 (Euro...

READ MORE

Waziri Kikwete Awatembelea Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Wastaafu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amefikisha salamu za Rais...

READ MORE

Trump Aipa Iran Onyo, Atishia Mashambulizi Endapo Waandamanaji Watadhuriwa

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameitoa onyo kali kwa serikali ya Iran, akitishia kuishambulia nchi hiyo kwa “nguvu kubwa” endapo...

READ MORE

Nilipoteza Kila Kitu Ndani ya Muda Mfupi, Hizi Ndio Mbinu Zilizonisaidia Kusimama Tena

Kulikuwa na wakati maisha yangu yaliporomoka haraka kuliko nilivyodhani inawezekana. Ndani ya miezi michache nilipoteza kazi, biashara ikafa kwa madeni,...

READ MORE

Absa Yatambuliwa Kama Mwajiri Bora kwa Mwaka 2026 Katika Masoko Sita Ya Afrika

Absa Ghana yashika nafasi ya kwanza kama Mwajiri Bora katika soko lake Kwa mwaka wa tano mfululizo, Absa imetambuliwa kama...

READ MORE

Taifa Stars Wapokelewa kwa Shangwe Dar, Kocha na Nahodha Wapokea Zawadi – Video

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Miguel Gamondi, pamoja na Nahodha wa timu, Bakari Mwamnyeto, walipokea...

READ MORE

Kwagilwa Aagiza Kusitisha Malipo Ya Mhandisi Mshauri Aliyechelewesha Mradi Wa Daraja Tabora

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb),...

READ MORE

Katambi Ateuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Makonda Wizara ya Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa kuwateua na...

READ MORE

Taifa Stars Waweka Historia, Wapokelewa na Viongozi wa Serikali Dar (Picha +Video)

Viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi, walipokea kwa shangwe...

READ MORE

Rais Samia Azindua Majengo ya Taasisi ya Sayansi za Bahari Zanzibar (Picha +Video)

ZANZIBAR – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi majengo mapya ya Taasisi ya...

READ MORE

Marekani Yasitisha Viza kwa Raia wa Tanzania Kuanzia Januari 1, 2026

Serikali ya Marekani imetangaza kusitisha utoaji wa aina mbalimbali za Viza kwa Raia wa Tanzania kuanzia tarehe 1 Januari 2026,...

READ MORE

Polisi Ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya raia, vifo vitatu vyachunguzwa

Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na matukio matatu tofauti ya vifo yaliyotokea katika maeneo ya...

READ MORE

Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Yatangaza Ukaguzi Maalumu Nchini

Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imetangaza kufanya ukaguzi maalumu katika vyombo vya habari na maeneo mbalimbali nchini, kwa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Azungumza Na Machinga, Madereva Pikipiki Na Bajaji

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 08, 2026 anazungumza na Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika...

READ MORE

Baada ya Kumng’oa Maduro, Trump Afungua Mlango wa Mazungumzo na Colombia

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema atakutana na Rais wa Colombia, Gustavo Petro, katika Ikulu ya White House hivi karibuni,...

READ MORE

Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo

Kampuni zinazoongoza kwenye huduma za maduka zinatafuta wasichana 27 wenye weledi na tabia nzuri za kuhudumia wateja. Nafasi hii ni...

READ MORE

Jennifer Lopez Aweka Sokoni Nyumba ya Ndoto Yake Beverly Hills

Msanii maarufu Jennifer Lopez ameweka sokoni jumba lake la kifahari lililopo Beverly Hills, ambalo linatajwa kuwa miongoni mwa nyumba za...

READ MORE

Trump Aogopa Mashtaka ya Kikatiba, Aelekeza Macho Uchaguzi wa 2026 – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa wabunge wa chama chake cha Republican, akidai kuwa wasiposhinda uchaguzi wa...

READ MORE

Mke wa Saidi Fella Awaomba Watanzania na Rais Samia Kumsaidia mume wake – Video

Mke wa Saidi Fella, Sweet Fella, amewaomba Watanzania wajitokeze kumsaidia mume wake ili aweze kurejeshwa India kwa ajili ya matibabu...

READ MORE

Video: Mwenyekiti wa Mtaa wa Oysterbay Aeleza Mtego Uliowanasa Wachina

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, Mololo Mwaisumo, ameuelezea umma namna walivyofanikiwa kuwaweka mtegoni na kuwanasa raia wawili wa...

READ MORE

Serikali Yazalisha Ajira Zaidi ya 1,400 Nje ya Nchi kwa Vijana na Wanawake

Serikali imefanikiwa kuzalisha ajira zaidi ya 1,400 za vijana na wanawake kwenda kufanya kazi nje ya nchi katika kipindi cha...

READ MORE

AFCON 2025: Vita ya Nusu Fainali Yaiva Januari 9 na 10

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeingia hatua ya Robo Fainali, ambapo timu nane bora barani Afrika...

READ MORE

Nilivyogundua Chanzo cha Migogoro ya Kila Siku Nyumbani na Jinsi Nilivyoimaliza

Kwa muda mrefu, nyumba yetu haikuwa na amani. Kila siku kulikuwa na mabishano madogo yaliyogeuka makubwa bila sababu ya msingi....

READ MORE

Raia Wawili wa China Wakabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi – Video

Raia wawili wa China, Weisi Wang (41) na Yao Licong, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na kesi...

READ MORE

Video: Wachina Waliokamatwa Na Maburungutu Ya Pesa, Takukuru Wabaini Ni Za Utapeli

Kamanda wa TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni, Christian Nyakizee, ametoa ufafanuzi kuhusiana na sakata...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Tunguu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika...

READ MORE

Ramaphosa Amkosoa Marekani: ‘Hujuma Dhidi ya Venezuela Inakiuka Mamlaka ya Nchi

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amepinga kikamilifu hujuma ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela ambayo amesema inadhoofisha mamlaka...

READ MORE

Video: Kaka wa Lissu Afichua Hali ya Familia Yao Baada ya Kesi ya Uhaini

Wakili Alute Mughwai, kaka wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema mwaka 2025 ulikuwa mgumu sana kwa...

READ MORE