×

Habari

Diwani Mdogo Tanzania Afikishwa Mahakamani, Adaiwa Kuomba Rushwa

    DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29),...

READ MORE

POLEPOLE AWALIPUA MBOWE, ZITTO – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema amewashangaa viongozi wa upinzani ambao walikuwa wakikosoa...

READ MORE

Ndalichako: Mitihani Kidato cha Sita na Ualimu Itaanza Juni 29

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amesema mitihani ya kidato cha sita nchini itaanza Juni, 29 na...

READ MORE

Matiko: Ningekuwa Waziri Tusingehangaika na Madawati – Video

  MBUNGE wa Tarime Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Matiko,  amesema angekuwa Waziri wa...

READ MORE

Naibu Waziri wa Afya Awasili Ofisini Kwake Dodoma

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel amefika amewasili ofisini kwake...

READ MORE

Mwenyekiti BAVICHA Kortini kwa Tuhuma za Kusambaza Picha za Ngono

  Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Kilimanjaro, Lemrus Mchome (30), amefikishwa...

READ MORE

Simba Yatoa Msaada wa Vituo vya Kunawa Mikono Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba wamekabidhi vituo vya kuosha mikono,...

READ MORE

TPF: Tumuunge Mkono Magufuli Vita Dhidi ya Corona

TAASISI ya Amani Tanzania (TPF) imesema ni vema wanasiasa nchini wakaungana na Rais John Magufuli na serikali kwa ujumla, kupambana...

READ MORE

Mume Amwekea Pilipili, Aziba na Gundi Nyeti za Mkewe – Video

POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za...

READ MORE

JPM: Msipokee Misaada ya Corona Hovyo, vya Dezo Vinaua – Video

RAIS  John  Magufuli amewataka wadau, taasisi, mashirika na watu wote wanaotoa misaada kwa ajili ya kujikinga na janga la corona...

READ MORE

JPM Atangaza Kufungua Vyuo, Michezo na Kidato cha Sita – Video

RAIS John Magufuli, ametangaza kuwa kuanzia Juni 1, 2020, michezo,  masomo ya kidato cha sita na vyuo vitafunguliwa.   Amesema...

READ MORE

Mbunge Peneza: Kwani Mume Wangu Anaenda Bungeni? – Video

  MBUNGE wa Viti Maalum, Geita, Upendo Peneza (Chadema) amesema kuwa wanaohoji iwapo ameolewa ama la,  hawana haja ya kufanya...

READ MORE

Magufuli – “Kenyatta Kanipigia Simu, Corona Imepungua, No Lockdown”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 20, 2020 amezungumza na Wananchi wa Maeneo...

READ MORE

RC Gambo: Kenya Inatumia Corona Kuua Utalii Tanzania

  MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa mamlaka nchini Kenya zimekuwa zikitangaza kuwa madereva wa Tanzania wanaotaka...

READ MORE

Spika Ndugai, Mbunge Mwambe Washtakiwa Mahakama Kuu

WAKILI wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai (MB) na aliyekuwa...

READ MORE

Arusha: Madereva 21 wa Kenya Wakutwa na Corona Namanga

  MKUUwa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amesema kufuatia ongezeko la visa vya #COVID19 mipakani, mkoa huo umeanzisha utaratibu wa...

READ MORE

Madereva 19 wa Tz Wakutwa na Corona Kenya, Tz Yasema Hawana

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amesema ili kujiridhisha na majibu ya madereva wa Tanzania waliokutwa na #COVID19 kwa...

READ MORE

Msigwa Amuomba Radhi Kinana Kumtuhumu kwa Ujangili

MBUNGE wa Iringa Mjini, Peter Msigwa,  amemwomba radhi Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, kutokana na...

READ MORE

Burundi Wanafanya Uchaguzi Wa Kumchagua Rais Leo

Hatimaye Uchaguzi Mkuu wa Burundi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu huku ukielezwa kuwa ni mwanzo mpya wa Demokrasia katika nchi hiyo,...

READ MORE

Corona: Sekta Zinavyobadili Sera za Kiutendaji Kupunguza Maambukizi

Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umelazimisha sekta nyingi kutazama upya namna zinavyoendesha kazi zake. Katika juhudi za kupunguza...

READ MORE

Waziri Mkuu Awasimamisha Kazi Watumishi Watatu TEMESA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika...

READ MORE

RC Makonda: “Fungueni Hoteli, Mliokimbia Dar Rudini Tupige Kazi” -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda leo Machi 19, 2020 amewasihi Wafanyabiashara na wananchi wa mkoa huo kuhakikisha wanaanza...

READ MORE

Idris Sultan Akamatwa na Polisi Dar

Mchekeshaji huyo ambaye aliwahi kuwa mshindi wa kipindi cha televisheni cha uhalisia cha ‘Big Brother Africa’ Idris Sultan leo Mei...

READ MORE

Bunge Lapitisha Sheria: Wasambazaji Sukari Kusajiliwa

BUNGE limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria ya tasnia ya sukari, kwamba wasambazaji wa bidhaa hiyo ni miongoni mwa watu...

READ MORE

Trump: Natumia Hydroxychloroquin Kujilinda na COVID-19

  RAIS Donald Trump wa Marekani amesema anatumia dawa ya hydroxychloroquine ya kutibu malaria, kujilinda na maambukizi ya virusi vya...

READ MORE

Ndege za Kimataifa Zaruhusiwa Kuruka, Kutua Tanzania

SERIKALI imefungua anga ya Tanzania, hivyo kuanzia jana Mei 18, 2020 ndege zote za kibiashara, misaada, kidiplomasia, za dharura na...

READ MORE

Ally Niyonzima: Nina Dawa ya Kagere

KIUNGO mkabaji wa Rayon Sports ya Rwanda, Ally Niyonzima, ametamba kuwa kwake hakuna straika yeyote anayemhofi a akiwemo mshambuliaji tegemeo...

READ MORE

Makamu wa Rais Akutwa na Corona

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar na mkewe, Angelina Teny, ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa...

READ MORE

Kichanga Chakutwa Kikielea Juu ya Maji

KAGERA: Kichanga cha kiume ambacho kilikuwa hakijafikisha umri wa kuzaliwa, kimekutwa kikielea kwenye maji katika Mto Kanoni uliopo Manispaa ya...

READ MORE

Lijualikali (Chadema) Aangua kilio Bungeni Akiomba Kuhamia CCM

MBUNGE wa Kilombero, Peter Lijualikali kupitia Chadema, amemwaga chozi ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akitangaza kujiondoa Chadema...

READ MORE

Ndugai: Mbowe Anajipima Ubavu na Mkuu wa Nchi… Arudishe Mil. 2

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kurejesha Tsh milioni mbili alizopewa na Bunge ili...

READ MORE

Benki ya CBA (Commercial Bank of Africa (Tanzania) yatoa msaada wa Matanki ya Maji kwa Hospitali za Umma jijini Dar es salaam.

Mwakilishi kutoka kitengo cha Ugavi wa Hospitali ya Mwananyamala, Hiltruda Patrick (kushoto) akipokea matanki ya maji kutoka kwa Geofrey Kivamba...

READ MORE

Watoto 2 Wanusurika Kufa Shangazi yao Akiwachoma Moto

KATIKA hali ya kusikitisha, watoto wawili wanaosoma darasa la kwanza Shule ya Msingi Mwanzumbi wilayani Igunga mkoani Tabora (majina yao...

READ MORE

WHO Wamfuata Rais Magufuli

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema dawa inayopulizwa mitaani katika baadhi ya nchi kama lengo la kuua virusi vya corona...

READ MORE

Mganga Mkuu wa Serikali Akanusha 92 Kufa kwa Corona Moro

SERIKALI imekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya mitandao ya kijamii zinazosema kuwa watu 92 wamekufa mkoani kwa corona katika kipindi...

READ MORE

Mtoto wa Magufuli Apata Corona; ‘Alijifungia Chumbani’ – Video

RAIS John Magufuli amesema kuwa mwanaye wa kuzaa alipata maambukizi ya virusi vya corona lakini alijitibu kwa kujifukiza na kutumia...

READ MORE

Wateja Tigo Pesa wavuna shilingi bilioni 2.7

Dar es Salaam, 19 Mei 2020: Kampuni inayoongoza kwa mawasiliano ya kidigitali nchini Tanzania, Tigo, leo imetangaza kuwalipa wateja wake...

READ MORE

Tecno Camon 15 Yawashangaza Wengi

Ikiwa ni takriban mwezi mmoja umepita tangu kampuni ya simu za mkononi ya TECNO kuzindua simu yake mpya CAMON 15...

READ MORE

Rais Magufuli Afiwa na Dada Yake

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho msibani katika mtaa...

READ MORE

Video: Mbowe Azungumza Kuhusu Corona, Uamuzi Wa Kutoingia Bungeni

 MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, leo Mei 17, amehutubia taifa kuhusiana na hali ya...

READ MORE