×

Habari

Katavi: Mbaroni kwa Kumchinja Baba Yao Ili Wapate Urithi

JESHI la Polisi linawashikilia watu wanne, watatu wa familia moja kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha...

READ MORE

WHO: Covid 19 Inaweza Isiondoke Kama Ukimwi

Mkurugenzi Mtendaji wa Programu za Dharura za Afya kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Mike Ryan amesema Corona Virus...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Uganda Wafika 139

Taarifa ya Wizara ya afya nchini uganda kwa vyombo vya habari inaashiria maambukizi mapya 13 ya kirusi cha Corona na...

READ MORE

Tanzia: Makamu Mkuu wa Chuo Cha RUCU Afariki

Profesa Fulgens Linus Mbunda amefariki jana Mei 13, katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Iringa na taratibu za mazishi...

READ MORE

WHO: Kila Taifa Lisalie Katika Tahadhari Ya Hali Ya Juu

Ulaya imeanza kuchukua hatua za awali kuelekea kufungua mipaka yake ya ndani, baada ya miezi miwili ya vizuizi vya kukabiliana...

READ MORE

Prof. Kabudi: Zambia Haijafunga Mpaka Wake na Tanzania – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amelieleza Bunge kuwa kwa mujibu wa Serikali...

READ MORE

“Mdude Chadema” Kortini kwa Tuhuma za Kukutwa na Dawa za Kulevya

  JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mpaluka Nyagali Mdude (32) ambaye ni Kada wa CHADEMA Maarufu kwa jina...

READ MORE

Teknolojia Inavyotusaidia Kupambana na Kirusi cha Corona

Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na...

READ MORE

DC Mjema Apokea Vifaa Kinga Ya Corona Kutoka Cocacola

  Katika kuunga mkono juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kujikinga na ugonjwa wa hatari wa Corona (COVID -19) Kampuni...

READ MORE

Ndugai Aagiza Wabunge 15 CHADEMA Wasikanyage Bungeni Kuanzia leo

Spika wa Bunge ameagiza kitengo cha usalama cha Bunge kutowaruhusu wabunge 15 wa CHADEMA kuingia katika maeneo ya Bunge kuanzia...

READ MORE

Tata Motors Wampa RC Makonda Ndinga za  Mil 120 Mapambano Ya Corona

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda (wa pili kulia) akikabidhiwa ufungua wa gari.     Kampuni...

READ MORE

Askofu Eusebius Nzigiwa Ateuliwa Kuwa Askofu Wa Jimbo La Mpanda

Papa Francisco, leo Mei 13, 2020 amemteua Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Eusebius Alfred Nzigilwa,...

READ MORE

Bunge Lapitisha Bilioni 229 Bajeti ya Kilimo 2020/21

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha jumla ya Shilingi 229,839,808,000 kwa ajili ya Wizara ya Kilimo kwa ajili...

READ MORE

Madiwani Kinondoni Wampongeza Mkurugenzi Kwa Kufanya Vizuri Kwenye Miradi Ya Maendeleo

    Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limempongeza Mkurugenzi Ndugu. Aron Kagurumjuli kwa kutekeleza miradi mikubwa...

READ MORE

Marekani Yadai Uwezekano wa Kupata #Covid19 Dar ni Mkubwa

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umedai kuwa hatari ya kupata #COVID19 katika mkoa wa Dar ni kubwa japo hakuna ripoti rasmi...

READ MORE

Brazil: Watu 881 Wafariki kwa Covid19 Ndani ya Saa 24

  Wizara ya Afya nchini Brazil imethibitisha jumla ya vifo 12,400 kutokana na #COVID19 huku idadi ya visa ikifika 178,214...

READ MORE

Vodacom yawapongeza Watoa huduma wanaowasaidia wagonjwa wenye COVID-19

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation leo imekabidhi vyakula na vitu vingine vyenye thamani ya TZS milioni 177 kusaidia vituo vya...

READ MORE

Tunduma: Agizo la Rais Latekelezwa, Magari 1,000 Yakwama Mpakani

IKIWA ni siku moja tangu kuanza kutekelezwa kwa agizo la Serikali ya Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania, hali hiyo...

READ MORE

Rais Shein Atoa Tamko Kuhusu #Covid19

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa mikoa ya Pemba...

READ MORE

Watanzania Waliokutwa na #Covid19 Wazuiwa Kuingia Kenya

SERIKALI ya Kenya imewarudisha Watanzania wawili jana Mei 12, 2020,  waliokuwa wanataka kuingia Kenya baada ya Watanzania hao kuthibitika kuwa...

READ MORE

Matukio ya Watu Kuanguka Mitaani na Kufa, Madaktari Wanena Mazito

KUTOKANA na wimbi la watu wenye umri chini ya miaka 50 kuanguka na kupata kiharusi na wanapopimwa hubainika kuwa na...

READ MORE

Hotuba ya Waziri Wa Kilimo, Japhet Hasunga Kwa Mwaka 2020/2021

  Mheshimiwa Spika,kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Ndugai: Nimfukuze Mwambe? Aniandikie Barua

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya...

READ MORE

BoT Yaongeza Miamala Mtandaoni, Yashusha Riba ya Benki

Kamati ya Sera ya Fedha ya Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania imepitisha hatua mbalimbali za kisera zinazolenga kukabiliana na...

READ MORE

Mwandishi Kiwia Kortini kwa Tuhuma Za Uhujumu Uchumi, Utekaji – Video

  Serikali imemfikisha Mahakamani Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia (41) na mwenzake wakituhumiwa kwa mashtaka manne,...

READ MORE

Zuchu Afungukia Kumng’oa Tanasha kwa Mondi

MITANDAONI kumewaka mbaya, watu wanasema ooh, staa mpya wa Bongo Fleva, Zuhura Kopa ‘Zuchu’ ndiye amehusika kwa kiasi kikubwa kumng’oa...

READ MORE

Corona: Madereva wa Tanzania Kwenda Kenya Wakwama Mpaka wa Namanga

MADEREVA wa malori na magari 302 waliokuwa wanasafirisha bidhaa na abiria kwenda nchi jirani ya Kenya, jana walizuiliwa katika mpaka...

READ MORE

Marekani Yaishutumu China Kudukua Tafiti za Chanjo ya #Covid19

WATAALAM wa Usalama Mtandaoni nchini Marekani wameishutumu China kuwa inajaribu kudukua taarifa kuhusu tafiti zinazofanya za #COVID-19. Shirika la upelelezi...

READ MORE

Waliofariki Kwa Corona Marekani Wafika 81,795

KULINGANA na takwimu zilizotolewa na shirika la habari la Reuters, idadi ya vifo vinavyotokana na janga la corona imefikia zaidi...

READ MORE

Tanzia: Mwamuziki Mafumu Bilal Afariki Dunia

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Mafumu Bilal Bombenga maarufu ‘Super Sax’ amefariki Dunia Mei 11, 2020. Mke wa...

READ MORE

Silinde: Wameahidi Kunishughulikia, Maamuzi ya Kitoto – Video

IKIWa ni muda mfupi baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kuwafuta uanachama wabunge wake wanne,...

READ MORE

Dawa ya Corona ya Tanzania (NIMRCAF) Yaleta Matumaini

DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa...

READ MORE

Katibu Baraza la Ardhi Kizimbani kwa Rushwa

Ofisi ya TAKUKURU Kiteto, imemfikisha mahakamani katibu wa baraza la ardhi kata ya Sunya, Hamisi Hemedi Saidi kwa kosa la...

READ MORE

Dkt. Ndugulile Akanusha Kuwa Mahtuti

  Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Faustine Ndugulile, amekanusha taarifa za kwamba yeye...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafika 700

  IDADI ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 700 baada ya wagonjwa wapya 28 kuthibitishwa katika...

READ MORE

Wabunge Chadema Watinga Bungeni

Baadhi ya wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kuhudhuria vikao vya bunge kinyume na agizo la Mwenyekiti...

READ MORE

Wabunge Chadema Wagoma Kurudisha Posho kwa Ndugai

 WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameagizwa kutotii agizo la Job Ndugai, Spika wa Bunge kwamba warejeshe fedha...

READ MORE

Chadema Yawatimua Wabunge Wanne

WABUNGE wanne kati ya 12 ‘walioasi’ uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujiweka...

READ MORE

Covid19: Askofu Gwajima Amwandikia Barua Waziri Mkuu – Video

ASKOFU  wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (GCTC), Josephat Gwajima, amesema amemwandikia barua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiomba apewe ruhusa...

READ MORE

Rais Zambia Afunga Mpaka Tanzania na Zambia – Video

RAIS Edgar Lungu wa Zambia ameamuru kufungwa kwa muda kwa mpaka nchi hiyo na Tanzania kuanzia  leo Mei 11, 2020....

READ MORE