×

Habari

Ndayishimiye Ashinda Urais Burundi

ALITYEKUWA mgombea urais wa chama tawala nchini Burundi, Evariste Ndayishimiye, ametangazwa mshindi leo kwenye kinyang’anyiro hicho baada ya kupata asilimia...

READ MORE

China Yatishia Kulipiza Kisasi kwa Marekani

CHINA imetangaza kulipiza kisasi kama Marekani itajiingiza katika masuala ya nchi yake hasa eneo lake la Hong Kong baada ya...

READ MORE

WHO Yasitisha Majaribio ya Hydroxychloquine Kama Tiba ya Corona

SHIRIKA la Afya ulimwenguni (WHO) limesema linaahirisha majaribio ya dawa ya hydroxychloroquine kama tiba ya ugonjwa wa COVID-19 ambapo mkuu...

READ MORE

Ally Keissy: Rais Magufuli Aongoze Miaka 20 – Video

  MBUNGE wa Nkasi (CCM), Ally Kessy amesema kwa jinsi ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John...

READ MORE

Rage: TAKUKURU Wamenikuta Msikitini – Video

MBUNGE wa zamani wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage amesema ameshtushwa na kitendo cha taarifa kusambazwa kuwa amekamatwa na...

READ MORE

Ismael Rage Akamatwa Na Takukuru Kwa Rushwa

MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismael Aden Rage anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU)...

READ MORE

Dar: Watu 7 Wanaodhaniwa Kuwa Majambazi Wauawa

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limewauwa kwa kuwapiga risasi watu saba wanaoshukiwa ni majambazo katika eneo...

READ MORE

Makonda Akagua Ujenzi Stendi ya Mbezi Louis, Atoa Maagizo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya...

READ MORE

China: Tuhuma na Matamshi ya Marekani Yatasababisha Vita Baridi

China imesema uhusiano baina yake na Marekani unakaribia kiwango cha enzi mpya ya vita baridi, inayochochewa na mvutano kuhusu janga...

READ MORE

Raia Wageni Kutoka Brazil Wapigwa Marufuku Kuingia Marekani

Marekani imetangaza vikwazo kwa raia wa kigeni kuingia nchini humo wakitokea nchini Brazil, nchi ambayo kwa sasa inaendelea kuandikisha idadi...

READ MORE

Kim Jong-un ‘Kiduku’, Aongoza Kikao cha Nyuklia

Kikao cha kupima uwezo wa kijeshi na silaha za nyuklia za Korea Kaskazini, kilifanyika Jumapili ya jana kwa kuhudhuriwa na...

READ MORE

Marekani: Vifo Vyakaribia Laki 1, Trump Aibukia Gofu Bila Barakoa

Vifo vya corona vinakaribia kufikia Laki moja Marekani ambapo hadi leo asubuhi kuna vifo 99,300, maambukizi pia yanaongezeka. Marekani ina...

READ MORE

Sudan Yataifisha Mali za Tril. 9 za Omar al-Bashir

SERIKALI ya Sudan imetaifisha mali zenye thamani ya $4 bilioni (TZS 9.3 trilioni) kutoka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo,...

READ MORE

Kibali Chatolewa Kusafirisha Makinikia Nje ya Nchi

  MIAKA mitatu tangu ilipoweka zuio, Serikali ya Tanzania imetoa kibali cha kusafirisha kwenda nje ya nchi makontena 277 yenye...

READ MORE

Bibi Kizee wa Miaka 107 Apona #Corona

SALTANAT AKBARI mwenye umri wa miaka 107 amepona #COVID19. Alilazwa katika Hospitali ya Khansari iliyopo jijini Arak nchini Iran. Inaelezwa...

READ MORE

AngloGold Ashanti Marks Africa Day and Efforts to Fight COVID-19

  AngloGold Ashanti joins over 1.2 billion Africans across the continent and in the diaspora in marking Africa Day at...

READ MORE

Ukistaajabu ya Wema, Utaona ya Celine Dion

  UKIKUTANA na staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, bado utakuwa unajiuliza ni nini kilimpata. Kutoka kwenye lile...

READ MORE

Polepole: Uchaguzi wa 2015 Tulichelewa Kuwakata, Mwaka Huu Mapema – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, chama...

READ MORE

Rais Magufuli Awashukuru Watanzania Kwa Kuliombea Taifa – Video

  RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani na anawashukuru...

READ MORE

Babu Njenje Afariki Dunia

Taarifa iliyotufikia asubuhi hii inaeleza kuwa, mwanamuziki mkongwe wa Bendi ya Kilimanjaro maarufu kama Wana-Njenje, Mabrouk Hamis Omar almaarufu kama...

READ MORE

RC MAKONDA AMUELEKEZA MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya...

READ MORE

Ummy: “Mashine Moja ya Kupima Corona Ilikuwa na Tatizo” -Video

Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya...

READ MORE

Wasomaji Wa Championi Na Spoti Xtra Wazidi Kuchangamkia Gari

Wasomaji wa magazeti ya bora ya michezo, Championi na Spoti Xtra, leo Jumamosi wamezidi kuchangamkia shindano la kubwa la Baba...

READ MORE

Makonda Amtaka Mkandarasi Kukamilisha Barabara Ya Sinza -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amemtaka Mkandarasi anayejenga Barabara ya Sinza inayoanzia Bamaga hadi Shekilango...

READ MORE

Wanawake Wenye Fistula Watakiwa Kwenda Kupata Matibabu

Wanawake wenye matatizo ya Fistula nchini wametakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake wametakiwa kwenda kupata matibabu katika...

READ MORE

Mshauri wa Waziri Mkuu Matatani kwa Kupuuza ‘Lockdown’

MSHAURI mkuu wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Dominic Cummings, ameingia matatani kwa kuondoka jijini London na kwenda kuwaona wazazi wake...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi WWF, Communications Officer

Communications Officer The WWF (World Wide Fund for Nature) Tanzania, an international conservation organization, is seeking for a competent and...

READ MORE

Wanasayansi Watabiri Corona Itaisha Uingereza Septemba

WANASAYANSI wametabiri kwamba virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19,  vitakuwa vimetoweka nchini humo mezi Septemba mwaka huu. Watafiti nchini...

READ MORE

Mwanza: Moto Wateketeza Kisiwa cha Mchangani, Buchosa

  MOTO mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeibuka usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Mei 23, 2020, katika Kisiwa cha...

READ MORE

Marekani Kuipa Tanzania Bil. 5.6 Kupambana na Corona

Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 2.4 (takriban...

READ MORE

Huduma ya Pesa Kwa njia ya Simu Inasaidia Kupunguza Corona

Homa ya corona imetikisa kila kona ya dunia hivi sasa. Tanzania nako si kisiwa kwani napo visa vya maambukizi vilianza...

READ MORE

Wakenya waonja Joto la Jiwe

MVUTANO kuhusu uamuzi wa Serikali ya Kenya kufunga mipaka kati yake na Tanzania, umezidi kuchukua sura mpya baada ya hatua...

READ MORE

Virusi: China yatangaza ushindi dhidi ya Corona, Brazil yaathirika zaidi

China imetangaza leo Ijumaa kuwa imepata ushindi dhidi ya ugonjwa wa Corona, ambao umeathiri uchumi wake na unaendelea kushika kasi...

READ MORE

Mchumba wa Khashoggi Agoma Kuwasamehe Waliyomuua Mpenzi Wake

Mchumba wa Kituruki wa mwanahabari wa Saudi Arabia aliyeuawa kinyama Jamal Khashoggi, amesema leo kuwa hakuna mwenye haki ya kuwasamehe...

READ MORE

Watoto wa Khashoggi ‘Wawasamehe’ Waliyomuua Baba Yao

WATOTO wa mwandishi wa habari wa Saudia Jamal Khashoggi, aliyeuawa mnamo mwezi Oktoba 2018 kwenye ubalozi wa Saudi Arabia katika...

READ MORE

Ajali ya Ndege Yaua Watu 30 Pakistan

Ndege ya Shirika la Kimataifa la Ndege la Pakistani (Pakistan International Airlines) imeanguka katika Mji wa Karachi ilipokua ikitoka Lahore,...

READ MORE

Serikali Yaingiwa Hofu, Mawaziri 10 Waambukizwa Corona

SIKU chache baada ya Makamu wa rais wa Sudani Kusini Riek Machar na mkewe kuthibitishwa kuwa virusi vya Corona, hatimaye...

READ MORE

Dar na Mwanza Kutumika kwa Ligi Nne Kuanzia Juni 1

Serikali imeruhusu ligi kuu nne kuanza kuchezwa nchini kuanzia Juni 1, 2020 kwa tahadhari zote ili kumpata bingwa wa ligi...

READ MORE

Breaking: Sokombi, Masele Watimka Chadema

#BREAKINGNEWS: Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Joyce Sokombi na Sussane Masele wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha...

READ MORE

HESLB Yaanza Kufanyia Kazi Maagizo ya Rais Magufuli

  Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa, tumeanza kufanya malipo...

READ MORE