×

Habari

Sheva, Kagere na Ibrahim Simba ni Balaa!

SAFU ya ushambuliaji ya kikosi cha Simba inazidi kunoga kwa sasa ikiwa ni kikosi kipya na kimeanza kuunda utatu wenye...

READ MORE

Waziri Mkuu Ambananisha DED – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama,...

READ MORE

Majaliwa Agoma Kuweka Jiwe la Msingi ”Mkabandue” – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama,...

READ MORE

Dkt Mabula Avutiwa na Kasi ya Ujenzi Machinjio Vingunguti

      Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ametembelea mradi wa ujenzi wa...

READ MORE

Mrisho Mpoto Ajiunga Rasmi CCM

MSANII Mrisho Mpoto, leo Jumamosi, Oktoba 5, 2019 amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kukabidhiwa kadi ya Chama...

READ MORE

Hudefo Yabaini Changamoto Za Wazee

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Human Dignity and Environmental Care Foundation (Hudefo) limebaini changamoto nyingi zinazowakabili wazee. Shirika hilo linalojihusisha...

READ MORE

JPM, Rais Lungu Wazindua Kituo cha Huduma Tanzania na Zambia – (Picha + Video)

KITUO cha huduma za pamoja kati ya Tanzania na Zambia kilichopo mpakani Tunduma kwa Tanzania na Nakonde kwa Zambia, kimefunguliwa...

READ MORE

Usiku wa Mabingwa… Nampepeche Amepepecha Bondia wa Moro

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Issa Nampepeche amefanikiwa kumchapa Ally Hamisi wa Morogoro kwa pointi katika pambano la usiku...

READ MORE

JPM Amuwashia Moto Mbunge “Acha Kumchongea Mwenzio, Simfukuzi” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameataka viongozi kuacha malumbano yasiyo na tija na badala...

READ MORE

Askari Sita Wakuhumiwa Kwa Kuiba Mafuta ya Ndege

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu askari sita akiwemo wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kulipa faini ya Sh...

READ MORE

Sheva ampagawisha Mzungu Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Miraji Athuman’ Sheva’, jana amezua balaa katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana jijini...

READ MORE

JPM: Walisema TANESCO Ubungo Haibomolewi, Nikaibomoa – Video

Rais Dk. John Magufuli leo Oktoba 5, 2019 amezindua ujenzi wa barabara ya Mpemba – Isongole iliyopo katika Halmashauri ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Oktoba 05, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 05, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

NMB TAWI LA MIRERANI WAZINDUA MIKOPO YA AFYA LOAN

Wafanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamezindua wiki ya huduma kwa wateja kwa kutangaza...

READ MORE

Maskini familia hii! Ukisikia mateso yao, lazima utoe machozi

UKISIKIA mtihani mkubwa kwenye maisha ndiyo huu! Maskini, familia ya Mzee Lenati Semgweno ya Kijiji cha Makuyu wilayani Mvomero, Morogoro...

READ MORE

Aliyekiri Kuhujumu Uchumi Ahukumiwa Jela, Faini Sh mil 100 – Video

MFANYABIASHARA Yasin Katare amehukumiwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kulipa faini ya Mil.100 au kifungo cha miaka mitatu...

READ MORE

Hotuba ya Rais Magufuli Songwe – Video

                       

READ MORE

JPM Ampongeza RC Chalamila Kuwatimua Wanafunzi

RAIS  John Magufuli amesema alimuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuwafukuza shule wanafunzi wote wa kidato cha tano...

READ MORE

JPM Atatua Mgogoro wa Ardhi Mbozi

Rais Dkt. John Magufuli ameagiza wakazi wa kijiji cha Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe, kuendelea kulitumia eneo lenye ukubwa wa...

READ MORE

JPM: Mmechoma Mahakama, Mtaijenga Wenyewe – Video

Rais wa Tanzania, John Magufuli amefungua jengo la mahakama katika mji wa Mlowo mkoani Songwe baada ya wananchi kumueleza kuwa...

READ MORE

JPM Afunguka Alivyofanya Magumu Usiku wa Manane – Video

RAIS  John Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za Kiafya NIMR, Mwele Malecela, ...

READ MORE

JPM Azindua Kiwanda cha Kahawa Songwe, Atoa Kauli – Video

 RAIS John Magufuli leo Oktoba 4, 2019, amezindua kiwanda cha kukoboa kahawa cha kampuni ya GDH kilichopo Mlowo Wilaya...

READ MORE

Breaking: Nchimbi Aongezwa Stars, Baada Ya Kuifunga Mabao Matatu Yanga

Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragie, amemuongeza katika kikosi cha Taifa Stars, mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi.

READ MORE

Zimbambwe Yatoa Tamko Kuhusu Kutumia Fedha Mpya

SERIKALI ya Zimbabwe imekanusha taarifa iliyotolewa na Eddie Cross kuhusu kuanza kutumika kwa fedha mpya mwezi Novemba 2019, ikisema mtu...

READ MORE

RC Chalamila Awatimua Kidato cha 5 & 6

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  amewarudisha makwao wanafunzi wote wa kidato cha tano na sita wa Shule ya...

READ MORE

Kiingereza Cha Bibi Muokota Makopo Dar, Watu Hoi…! – Video

Global TV imefunga safari mpaka maeneo ya Mikocheni kwa Bibi maarufu zaidi eneo hilo ambaye ni wifi wa mama Maria...

READ MORE

Ndoa Ya Mashoga Yashangaza Afrika!

SEPTEMBA 28, mwaka huu ilikuwa siku ya historia kwa mashoga maarufu nchini Afrika Kusini, Somizi Mhlongo (mtangazaji na msanii) na...

READ MORE

ATM ya Maziwa Yazinduliwa Moshi

HAKIKA Teknolojia inazidi kukua nchini Tanzania, leo Alhamisi, Oktoba 3, 2019 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira amezindua...

READ MORE

Mchango wa Tigo Katika Intaneti Bongo

Kampuni ya Tigo ambayo kwa sasa ni namba mbili kwa ukubwa hapa nchini.Kwa mujibu wa takwimu za TCRA Tigo ina...

READ MORE

Mshindi Wa App Ya Global Radio Apatikana, Apewa Ofa Ya Chakula

MSHINDI wa kwanza wa shindano la kupakua App ya +255 Global Radio, Iddy Sudi  leo Alhamisi Oktoba 3, 2019 amefika...

READ MORE

Maofisa Upelelezi Kortini kwa Tuhuma za Rushwa

MAOFISA wa upelelezi wanne wa kituo cha Polisi Kawe wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka tisa...

READ MORE

Kikosi Kipya Stars Chatangazwa Kukipiga Na Rwanda Oktoba 14 Kigali

Kikosi cha wachezaji 28 wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” walioitwa na Kaimu Kocha, Ettiene Ndairagije kitakachojiandaa na Mchezo wa...

READ MORE

Muongoza Mifumo TANESCO Asimamishwa Kazi Kisa Kukatika Umeme

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani,  amemsimamisha kazi muongoza mifumo ya umeme wa kituo cha kupoza nishati hiyo cha Ubungo...

READ MORE

Serikali: Korosho Zote Zimeuzwa, Miradi Mingi Yakamilika – Video

SERIKALI imesema kuwa korosho zote moani Mtwara zimeuzwa na unasubiriwa msimu mpya wa zao hilo na kwamba, mamia ya miradi...

READ MORE

RC Chalamila Awacharaza Bakora Wanafunzi, Mabweni Yachomwa Moto

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewacharaza bakora wanafunzi 14 wa Shule ya Sekondari Kiwanja wilayani Chunya ambao wamekutwa...

READ MORE

Makaburi Ajali ya Mafuta Moro, Yajengewa Ukuta

HATIMAYE ujenzi wa ukuta unaozunguka makaburi ya watu waliofariki kwenye ajali ya mlipuko wa lori la mafuta umeanza.   Hivi...

READ MORE

Uchaguzi Nafasi ya Mbowe, Msajili Aipa Chadema Siku 7

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini amekiandika barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akikitaka kutoa maelezo kwa nini kisichukuliwe...

READ MORE

ACT Wazalendo Kupinga Uteuzi Mkurugenzi NEC Mahakamani

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho kimemuagiza wakili, Jebra Kambole kuangalia misingi ya kisheria ili kufungua...

READ MORE

WANANCHI WAZUA TIMBWILI SERIKALI YA MTAA

WAKAZI wa Mtaa wa Kisiwani, Magomeni – Mikumi, jijini Dar, wameibua timbwili la aina yake ofisini kwa Mwenyekiti wa Serikali...

READ MORE

Chokochocko! Korea Yarusha Makombora

Jeshi la Korea ya Kusini limesema, Korea Kaskazini imerusha makombora kutoka baharini hii leo, Jumatano, Oktoba 2, 2019.   Kwa...

READ MORE