×

Habari

Lugola Amwagiza Sirro Kumshughulikia Mbunge Aliyemtimua Polisi – Video

Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema leo asubuhi, Novemba 8, 2019 bungeni kuwa amemuondoa mpangaji ambaye ni...

READ MORE

Aliyemuua Mjukuu Wake Ahukumiwa Kunyongwa – Video

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mwanamke Esther Lyimo (47) baada ya kupatikana na...

READ MORE

Mbunge Amtimua Askari

LEO Ijumaa Novemba 8, 2019 bungeni mjini Dodoma mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Sophia Mwakagenda amesema amemuondoa mpangaji wake ambaye...

READ MORE

Mbowe: Mashtaka Yetu ni ya Kisiasa – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mashtaka yanayowakabili ni...

READ MORE

Wananchi Wamfanya Kitu Mbaya Meya

MEYA wa Mji mmoja mdogo amevamiwa na Waandamanaji wa Upinzani ambapo alitembezwa mitaani bila viatu huku akiwa amepakwa rangi nyekundu...

READ MORE

Singida United Hali Tete, Yazidi Kuzama

BAADA ya kikosi cha Singida United kushindwa kupata ushindi wowote katika michezo 11 waliyocheza mpaka sasa msimu wa Ligi Kuu...

READ MORE

Mwanafunzi Darasa la Sita Afariki Akitoa Mimba ya Mapacha

MWANAFUNZI wa darasa la sita Monica Ponera wa Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, amefariki baada ya...

READ MORE

VIDEO: Fanya Malipo ya Serikali Kwa Njia Rahisi Kupitia M-PESA

 Haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki! Sasa unaweza kufanya malipo ya Serikali kwa njia rahisi, salama na ya haraka zaidi...

READ MORE

Mbowe: Chadema Tumejitoa, Hatutashiriki Uchaguzi- Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika November 24, mwaka huu....

READ MORE

Watu 37 Wafariki kwa Shambulio la Mgodi

SHAMBULIO la kushtukiza lililolenga msafara wa wafanyakazi wa mgodi wa Canada nchini Burkina Faso, limesababisha vifo vya watu 37, hili...

READ MORE

ICC Yamhukumu Ntaganda Kwenda Jela Miaka 30

Kiongozi wa zamani wa waasi wa Congo amehukimiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Kimataifa ya jinai kwa...

READ MORE

Polepole Awatolea Povu Upinzani ‘Walisubiri Oil Chafu’

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, , amesema kinachowatesa vyama vya upinzani nchini ni...

READ MORE

Kesi ya Rugemalira, Seth Bado Sana – Video

KESI ya uhujumu uchumi inayowakabili wafanyabiashara wawili, Habinder Seth na James Rugemarila, upande wa mashtaka umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Mwenyekiti Auawa Akitatua Mgogoro wa Ardhi

MWENYEKITI wa Kamati ya Mazingira wilayani Kiteto mkoani Manyara, Engerusi Mikonde (59), ameuawa katika shamba moja akiwa kwenye harakati za...

READ MORE

Airtel  Yaingia Ushirikiano na Mastercard Kuwezesha Wateja

    Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania leo imetangaza kuingia ushirikiano na Mastercard kwa kuzindua huduma ya Airtel...

READ MORE

Hukumu ya Malinzi Yakwama, Hakimu Ahamishwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kusoma hukumu ya aliyekuwa Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na...

READ MORE

Hakimu wa Kabendera Ateuliwa Kuwa Jaji, Kesi Yakwama

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi Novemba 20,...

READ MORE

Waliotumia Jina la Janeth Magufuli Kutapeli Wahukumiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu watu wanne kulipa faini ya Sh1.5 milioni kila mmoja baada ya kuwatia hatiani kutumia...

READ MORE

Serikali Yaanika Mikoa Vinara kwa Uvutaji Bangi

SERIKALI imesema matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi bado ni tatizo nchini, huku yakishika kasi katika mikoa ya...

READ MORE

Baada ya Seth Kupooza, Baba Kanumba Naye Hoi – Video

IKIWA ni siku chache tangu kuugua ghafla na kupooza kwa Seth Bosco ambaye ni mdogo wa aliyekuwa nyota wa filamu...

READ MORE

Kaka wa PM Majaliwa Azikwa Ruangwa “Tulikuwa 12, Tumebaki 5”

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewashukuru watu wote waliojitokeza katika mazishi ya kaka yake Mzee Bakari Majaliwa (78), aliyefariki (Jumatatu, Novemba...

READ MORE

Mzee Akilimali Afurahi Zahera Kuondolewa

MWENYEKITI wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali amepigilia msumari kuondolewa kwa Kocha Mwinyi Zahera baada ya kufanya vibaya....

READ MORE

Wazungu Wampa Samatta Jogoo

BABA mzazi wa mshambuliaji wa KRC Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta, amemuandalia Jogoo mwanaye huyo pindi...

READ MORE

JOKATE: Baiskeli inanipa urembo

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameeleza kuwa anapenda kutumia baiskeli kwa misele midogomidogo kwani ina faida mwilini mwake....

READ MORE

Wadau wa Kubeti Namanga, Kawe Wasema Betika Litaendelea Kuwa Juu

Ikiwa ni wiki ya kwanza ya Novemba Jumatano 6,2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Kawe,...

READ MORE

TACAIDS Waipongeza Kampuni ya Cool Blue

TUME ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) leo Novemba 6, 2019 imetembelea Kampuni ya maji safi ya Cool Blue Mikocheni jijini...

READ MORE

Video: Polisi DSM Yaua Jambazi SUGU, MAMBOSASA Azungumza “Walitujaribu”

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi sugu akiwemo aliyefahamika...

READ MORE

Jambazi Kambare Aliyeteleza Akikamatwa Auawa Dar – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi sugu akiwemo aliyefahamika...

READ MORE

Dkt Abbas: Kila Alichokiahidi JPM Amekitimiza – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas leo Novemba 6, 2019 anaongea na wanahabari...

READ MORE

Watu 259 Waliofungwa Minyororo Waokolewa Msikitini

  JESHI la Polisi nchini Nigeria imewaokoa watu 259 kutoka katika kituo kisichokubalika kisheria kilichopo ndani ya Msikiti katika Mji...

READ MORE

Wanafunzi 13 Chuo Kikuu Wauawa

Watu 13 wamefariki dunia kufuatia vurugu za mapigano zilizotokea katika Chuo Kikuu cha Kogi katika eneo la Ayingba nchini Nigeria....

READ MORE

Mbwa 300 Kukutwa Nyumba Ya Serikali Dar… Giza Nene Latanda

GIZA limeendelea kutanda kufuatia mbwa wapatao 300 na paka kadhaa kukutwa hivi karibuni ndani ya nyumba ya serikali eneo la...

READ MORE

Samatta Awapiga Liverpool Bonge La Bao – Video

HATIMAYE mshambuliaji raia wa Tanzania, Mbwana Samatta, usiku wa kuamkia leo aliwapa mashabiki wa soka kile walichokuwa wanakitaka baada ya...

READ MORE

Mbelgiji Simba: Acha Zahera Aende Zake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ameshtushwa na kitendo cha uongozi wa Yanga kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wake,...

READ MORE