×

Habari

Makonda Aunda Kamati Kufuatilia Machinjio Vingunguti, Coco Beach

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo Jumanne Septemba 17, 2019 ameunda kamati maalumu kusimamia utekelezaji wa...

READ MORE

Mbowe, Wenzake Washindwa Kujitetea Mahakamani

VIONGOZI tisa wa Chama chas Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, wameshindwa kuanza kujitetea katika kesi ya...

READ MORE

JPM Azuia Ushuru Machinjio Vingunguti, Amwagiza Makonda

RAIS  John Magufuli ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Ilala kutochangisha fedha katika machinjio ya Vingunguti hadi pale watakapokamilisha ujenzi wa...

READ MORE

Mwanafunzi Amkana Mwalimu Aliyedaiwa Kumpa Mimba

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemwachia huru Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore iliyopo katika Halmashauri ya...

READ MORE

Majaliwa Awasimamisha Kazi Watumishi Wanane Ulanga

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi watumishi wanane  wa halmashauri ya wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro na kuagiza wafikishwe mahakamani...

READ MORE

BREAKING: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa DC na DED Wilaya Ya Malinyi Moro

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Majula Mateko Kasika na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri...

READ MORE

Jela Miaka 60 kwa Kuvutisha Bangi watoto na Kuwalawiti

MAHAKAMA ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imemuhukumu Nyamasheki Malima (41), kifungo cha miaka 60 jela, kwa kumkuta na hatia...

READ MORE

JPM Ataja Sababu Ndege ya ATCL Kukamatwa Sauz – Video

RAIS John Magufuli amesema kuwa sababu ya ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kukamatwa nchini Afrika Kusini ni...

READ MORE

Mwendesha Baiskeli Afariki Akikwepa Ndege

MWANAMME mmoja raia wa Australia amefariki dunia katika ajali ya baiskeli wakati akijaribu kukwepa ndege aina ya kwenzi aliyekuwa akipaa...

READ MORE

Mzee Akilimali: Waganga Wamenifilisi, Sitasahau – (Picha + Video)

  KATIBU wa Baraza la Wazee la Klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali maarufu kama Mzee Akilimali, kwa sasa ni mgonjwa...

READ MORE

Majaliwa Awafanya Kitu Mbaya Watumishi 7 Walioiba Bil 1.3

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi saba katika halmashauri mbili za wilaya ya Kilombero kwa tuhuma za ubadhilifu wa...

READ MORE

Haijawahi Kutokea…. Bei ya Mafuta Yapanda Dunia Nzima

  BEI ya mafuta imepanda kwa kiwango cha juu kuwahi kushuhudiwa katika miezi minne baada ya mashambulio mawili dhidi ya...

READ MORE

Trump Athibitisha Marekani Kumuua Mtoto wa Osama

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba Hamza Bin Laden mwana wa mwanzilishi wa kundi la Al Qaeda, Osama Bin...

READ MORE

Shinyanga: Madereva Bodaboda 57 Wanyakuliwa

MADEREVA pikipiki maarufu kama bodaboda 57 wamekamatwa na Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Shinyanga baada ya kubainika...

READ MORE

EXCLUSIVE VIDEO: KUTANA NA WATOTO WAIGIZAJI, WANA KIPAJI BALAA!

KIPAJI Ni Hazina, haijalishi mwenye kipaji ni mtoto au mkubwa, lakini tu mtu mwenye kipaji anatakiwa kupewa sapoti kubwa ili...

READ MORE

Ummy Asema Hakuna Ebola Tanzania – Video

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi wa kuwepo...

READ MORE

Walimu 10 Mbaroni kwa Wizi wa Mitihani Darasa la 7

POLISI mkoani Kagera linawashikilia walimu kumi  kwa tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa mtihani wa darasa la saba wilayani Ngara...

READ MORE

PROF. NDALICHAKO AWATAKA WALIMU KUJIWEKEA AKIBA

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amewataka walimu kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba na kwamba akiba...

READ MORE

Biashara Ya Nyeti Bandia Gumzo Bongo – 2

Dar es Salaam: Katika uchunguzi wake wa kina wa wiki kadhaa jijini Dar, Gazeti la Ijumaa lilibaini kushamiri kwa biashara...

READ MORE

Ofisa Benki Atumbuliwa kwa Kulala na Wanaume 200

WANANCHI nchini Zambia wameshangazwa na habari kwamba ofisa mmoja mwanamke wa Benki ya Taifa ya Biashara ya Zambia (ZANACO), amesimamishwa...

READ MORE

Shigongo Awapa ‘Madini’ TCRA-SACCOS – Video

MHAMASISHAJI namba moja Afrika Mashariki na Kati, Eric James Shigongo, amewapa ‘madini’ wana-Ushirika wa Chama cha Kuweka na Kukopa cha...

READ MORE

Majaliwa: Waliozembea Ajali ya Moto Moro Wachukuliwe Hatua

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza mamlaka husika ziwachukulie hatua za kinidhamu watu wote ambao hawakutekeleza majukumu yao ipasavyo kufuatia tukio...

READ MORE

Zahera: Molinga Asipofunga Mabao 20, Nikatwe Mkono

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo ametamba kwamba akatwe mkono mwishoni mwa msimu ikitokea straika wake,...

READ MORE

Akilimali: Zesco Tunawachapa Bao Tatu

KATIBU wa Baraza la Wazee la Yanga, Ibrahim Akilimali, amesema kuwa, ana uhakika wa timu yake hiyo kuibuka na ushindi...

READ MORE

MCHEKESHAJI MARTHA AZIKWA LEO KINYEREZI JIJINI DAR -VIDEO

MWILI wa mchekeshaji (Stand Up Comedian) aliyepata umaarufu kupitia Kipindi cha Cheka Tu kinachoongozwa na Coy Mzungu, Boss Martha umezikwa...

READ MORE

VIDEO: WAZIRI MKUU AKIHAIRISHA BUNGE DODOMA

Ni Mkutano wa 16, kikao cha 9, cha Bunge la 11 unaendelea katika makao makuu ya nchi Jijini Dodoma, ambapo...

READ MORE

VIDEO: KIJANA ANAEPUMULIA GESI AFIKISHWA MUHIMBILI, DAKTARI AFUNGUKA ANACHOUMWA!

Kijana Hamadi Hawadhi mwenye umri wa miaka 28, anayesumbuliwa na ugonjwa unaomsababishia kuishi kwa kupumulia mashine ya Oxygen, Leo Septemba...

READ MORE

Video: Baba Wa Martha – “Kuhusu Mtoto Alinificha, Ila Nimemlea Vyema”

 Ni Huzuni kubwa na simanzi imetanda kwa familia ya Mchekeshaji, Martha, aliyefariki dunia jana Septemba 11, kutokana na ugonjwa...

READ MORE

Tigo yazindua Huduma ya ‘Office Internet’ kwa wafanyabiashara

Ni huduma ya intaneti yenye kasi inayokwenda sambamba na mfumo wa kisasa wa kibiashara kutoka Microsoft Kampuni ya simu ya...

READ MORE

Boxer Abadili Mfumo Yanga

KUTOKANA na kuumia kwa beki Paul Godfrey ‘Boxer’ kumemlazimisha Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kubadili mfumo wa 4-4-2 na...

READ MORE

Rufaa Ya Yanga Yakwama TFF

ILE rufaa ya Yanga waliomkatia kocha wake, Mwinyi Zahera, kupinga faini aliyopigwa ya kutoa shilingi laki tano na kusimamishwa mechi...

READ MORE

KCB BANK YAENDELEA KUSIMAMA NA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI (SME)

  Benki ya KCB Tanzania yaendelea kusimama na wafanyabiashara wadogo na wa kati kwa kuandaa kongamano la pili la KCB...

READ MORE

Wanawake 4, Njemba Mmoja Jela Miezi 6 kwa Ukahaba – Video

WANAWAKE 4 na Mwanaume mmoja anaedaiwa kuwa ni mteja wao wamehukumiwa kifungo cha miezi 6 na Mahakama ya Mwanzo Makole,...

READ MORE

AZIMIA AKIMUOMBA PENZI MUME WA MTU!

NANI kasema wanawake hawawezi kuwatongoza wanaume? Mjini Morogoro mwanamke mmoja (jina halikupatikana) amejikuta akizimia wakati akimuomba penzi mume wa mtu. ...

READ MORE

MAITI YACHUNWA NGOZI MOCHWARI

SISI hatuhusiki waulizeni wale! Ndivyo Jeshi la Polisi mkoani Singida na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wanavyotupiana mpira...

READ MORE

JPM Apokea Magari 40 Yaliyoletwa na Jeshi la China kwa JWT – Video

Rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Alhamisi, Septemba 12, 2019 ameshuhudia makabidhiano ya Magari 40 kwa JWTZ kutoka...

READ MORE

LIVE: Mwili wa Rais Mugabe Ukiagwa Zimbabwe

MWILI wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe na muasisi wa taifa hilo, Robert Gabriel Mugabe, umeagwa leo Alhamisi, Septemba 12, 2019...

READ MORE

Makamu Wa Rais Asaini Kitabu Cha Maombolezo Ubalozi Wa Zimbabwe

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

READ MORE

BREAKING: JPM Amteua Diwani Kuwa Mkurugenzi Mkuu Usalama

RAIS  wa Tanzania, John Magufuli, amemteua na kumuapisha Diwani Athuman kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuchukua...

READ MORE