×

Habari

Tembo Wavunja Nyumba 11, Waharibu Mali na Vyakula – Video

KUNDI la Tembo zaidi ya 10 wamevamia makazi ya watu na kuharibu nyumba, mali na vyakula vya aina mbalimbali katika...

READ MORE

Mtoto Aibwa Kimafia

MBEYA: INAUMA sana! Ni maneno ambayo mtu yeyote anayejua uchungu wa mtoto anaweza kuyatamka kutokana na mtoto Herieth Ismail mwenye...

READ MORE

Dokta Aanika Chanzo cha Vifo vya Mapema!

KUNA watu hawana taarifa sahihi kuhusiana na ulaji unaofaa na mtindo sahihi wa maisha unaozingatia afya bora ambao husababisha kuwa...

READ MORE

Mahakama Yaamgomea Lissu, Yaridhia Mtaturu Aapishwe – Video

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeridhia Mbunge mteule wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Miraji Mtaturu kuapishwa...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi TEMDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Fredrick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

Daktari Afunguka Mimba ya Tanasha

MWANDANI wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, anatarajiwa kujifungua muda wowote kuanza...

READ MORE

Mrithi wa Lissu Kuapishwa Kesho Bungeni

MKUTANO wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utaanza kesho Jumanne Septemba 3, 2019, jijini Dodoma ambapo...

READ MORE

Hoja za Kibatala kwa Serikali Kesi ya Lissu Kuvuliwa Ubunge

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatatu, Septemba 2, 2019, inaendelea na usikilizaji wa maombi ya aliyekuwa mbunge...

READ MORE

Tshishimbi: Tunawapiga Zesco

NAHODHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amesema wanajiandaa vema kuhakikisha wanashinda mchezo wa nyumbani kabla ya kurudiana nchini Zambia...

READ MORE

Miili ya Waliofarikia kwa Ajali Kibiti Kupimwa DNA

NDUGU wa karibu wa watu waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea wilayani Kibiti mkoani Pwani wametakiwa kujitokeza katika Hospitali ya...

READ MORE

DAR: BASI LA MWENDOKASI LAUNGUA MOTO KIMARA – VIDEO

Basi la UDART maarufu kama Mwendokasi likiteketea kwa moto usiku wa leo, katika kituo cha Kimara Mwisho jijini Dar es...

READ MORE

Mauzo ya Okwi yaibua mapya

WIKI hii kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu palikuwa pa moto. Fedha za mauzo ya Emmanuel Okwi kwenda Etoile du...

READ MORE

Global FC Usiwachezee!

KAMA hujui maana ya pasi au kampakampa tena kawaulize TSJ FC. Hawaji kurudia kuomba mechi na Global FC. Juzi Ijumaa...

READ MORE

Chuo Kikuu Cha Kimataifa Kampala Kimeanza Upya Kwa Nguvu Mpya

“KUTELEZA sio kuanguka,” ni msemo tunaoutumia pale tunapokatishwa kabisa tamaa ya kusonga mbele, msemo huu unatupa faraja ya kusimama tena....

READ MORE

Masauni: “Rais Magufuli Anaumia Watu Wanavyokufa, Polisi Chukueni Hatua” – Video

Serikali imewataka Watanzania kutii Sheria za Usalama Barabarani ili kupunguza ajali zinazosababishwa na Watumiaji wa Vyombo vya Moto huku ikiweka...

READ MORE

Majeruhi Wawili wa Moto Morogoro Wafariki Muhimbili

Majeruhi wengine wawili kati ya 13 waliokuwa wanatibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, kutokana na ajali ya moto ya Mjini Morogoro,...

READ MORE

Magufuli, Mkewe Wasali Kanisa la Mtakatifu Petro Dar – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth, leo Septemba 1, 2019, wameshiriki Misa...

READ MORE

MBUNGE SAME MAGHARIBI AJA NA STAILI MPYA YA KUTATUA KERO

    Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Dkt. Mathayo David Mathayo ameendelea na ziara yake ya kutekeleza ilani ya...

READ MORE

Tanzia: Waziri wa Mwl. Nyerere Afariki Dunia

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa zamani katika serikali ya awamu ya kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyoongozwa...

READ MORE

Moto Wateketeza Ghala la Kiwanda, RPC Anena Mazito

MOTO mkubwa ambao chanzo chake hakijajulikana, umezuka na kuteketeza moja kati ya maghala matatu ya kuhifadhia pamba katika kiwanda cha...

READ MORE

Video: Mbunge ‘Sugu’ Afunga Ndoa na Happiness

MBUNGE wa Mbeya mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Mbilinyi, maarufu kama ‘Sugu’ leo tarehe 31, Agosti,...

READ MORE

Stars: Tupo Tayari Kuimaliza Burundi

KOCHA msaidizi wa Taifa Stars, Seleman Matola amesema kuwa ana imani kikosi kitakwenda kufanya kweli kwenye mchezo wao wa kufuzu...

READ MORE

Lindi: Aliyemuua Mkewe Ahukumiwa Kusafisha Hospitali

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Luyaya Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi, Atanasi Kijombo,...

READ MORE

Waliosababisha Ndege Kukamatwa Sauz Kushitakiwa – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbas amesema watakaobainika walifanya hujuma dhidi ya  serikali  na kusababisha kuzuiwa kwa...

READ MORE

Makonda: Watendaji Kata Karibuni Dar, Hakuna Wezi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo amewakaribisha jijini Dar es Salaam  watendaji wa kata zote nchini...

READ MORE

Katiba Mpya Korea Kaskazini Yampaisha Kim Jong Un

BUNGE la Korea ya Kaskazini limepitisha mabadiliko ya kikatiba ya kumwinua zaidi kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, kuwa...

READ MORE

Breaking: Watano Wafariki Lori la Dangote Likiwaka Moto

WATU watano wamefariki baada ya lori la kampuni ya Dangote lililokuwa limebeba malighafi ya kutengenezea saruji likielekea Mtwara kugongana na...

READ MORE

Wakenya Watumika Yanga Kuwaua Zesco

KABLA ya kucheza na Zesco, Yanga imepanga kucheza michezo miwili ya kirafiki ukiwemo mmoja wa kimataifa kutoka moja ya klabu...

READ MORE

Ajibu Amrahisishia Kazi Kagere

IBRAHIM Ajibu, nyota wa Simba aliyejiunga msimu huu akitokea Yanga ameweka wazi kuwa amejipanga kutoa asisti zaidi ya 17 alizotoa...

READ MORE

Mwanamke Mshona Viatu Aliyejenga Nyumba, Asimulia Aliyopitia – Video

INGAWA dunia ya sasa wanawake wengi wamejikuta wakihamasishana kuwa na haki sawa na wanaume, lakini bado kuna kazi nyingi zinazofanywa...

READ MORE

Funga Mtaa, Mke Atumia Mdundiko Kumtoa Mumewe Kwa Mchepuko Wake

DAR ES SALAAM: MAISHA ya uswahilini raha sana jamani! Mambo yalikuwa burudani kwenye sherehe iliyofunga Mtaa wa Bi. Ndege uliopo...

READ MORE

Paka wa Ajabu Azua Tafrani Mjumbe

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya firauni! Paka wa ajabu amezua taharuki si ya nchi hii nyumbani kwa mjumbe wa nyumba...

READ MORE

Zahera: Nina Suti Zaidi ya 100, Mtanipenda Tu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa ana suti zaidi ya pea 100 kabatini ambazo ataanza kutupia kila anapokuwa...

READ MORE

Simba Watoa Kipigo Kikali Kwa JKT Tanzania

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba SC, wameanza ligi hiyo msimu huu kwa sifa baada ya jana Alhamisi kuinyuka...

READ MORE

Watoto Mapacha Walioungana Watenganishwa, Warejea Nchini – Video

Hakika Mungu ni muweza… hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya watoto mapacha waliozaliwa wakiwa  wameungana na hatimaye kwenda kufanyiwa upasuaji...

READ MORE

Championi Lamuuza Tambwe Uarabuni

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe anatarajiwa kujiunga na timu ya Fanja ya nchini Oman, Jumanne ijayo.   Tambwe...

READ MORE

Kabendera Apooza, Ashindwa Kupumua, Wakili Aiangukia Mahakama

UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera, umeiomba mahakama kuliamuru Jeshi...

READ MORE

IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA SUDAN

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro,  leo Agosti 30, 2019,  amekutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi...

READ MORE