×

Habari

ARUSHA: Shehena ya Madini Yanaswa Ikitoroshewa Kenya

SHEHENA ya madini ya vito aina mbalimbali ikiwepo madini ya Tanzanite imekamatwa ikiwa inasafirishwa kinyume na taratibu kwenda nchi jirani...

READ MORE

MAKONDA AZIDI KUUNGWA MKONO KAMPENI UPASUAJI MOYO WATOTO

Kampeni ya Matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto 60 kutoka familia zenye maisha duni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

WALIOKUFA KABLA YA NDOA, MABWANA HARUSI WAO WAPEWA TAHADHARI

DAR ES SALAAM: Hii inauma sana! Ndani ya wiki mbili zilizopita yametokea matukio mawili ya kusikitisha ya wasichana waliokuwa kwenye...

READ MORE

M-pawa kuongeza faida mara mbili wateja wake kwa kuwazawadia washindi wa droo ya 3

CBA na Vodacom wametangaza leo washindi wa droo ya 3, kwa ajili ya promosheni yao ya kuadhimisha miaka 5 ya...

READ MORE

Mantrac Tanzania Yaunga Mkono Sera ya Serikali ya Viwanda

WAKATI serikali ikipiga chapuo kwa ajili ya kuwa nchi ya viwanda na yenye uchumi wa kati, Mantrac Tanzania Limited imeweka...

READ MORE

MAMA AMCHINJA MWANAYE LIVE NA KUMCHEMSHA SUPU UNYAMA ULIOJE?

NI unyama ulioje! Mtu kumuua mtoto wa kumzaa mwenyewe kisha kuchukua kisu na kumkatakata vipande vidogovidogo kisha nyama yake kuitia...

READ MORE

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LUMUMBA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Dk. Shein Aongoza hitma ya Kumuombea Dk. Badriya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj, Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza hitma ya kumuombea Dk. Badriya...

READ MORE

Salasala, Tegeta, Bunju huwaambii kitu kwa Betika

WASOMAJI wa Gazeti la Betika maeneo ya Salasala, Tegeta na Bunju jijini Dar es Salaam, huwaambii kitu kuhusu Gazeti la...

READ MORE

Basi Laingia Dukani Kahama, Abiria Saba Wanusurika

ABIRIA saba wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamenusurika kifo baada lori la mizigo aina ya Fuso lenye namba  za usajili T...

READ MORE

Makonda Awasili Misri Ataka Ushindi Kwa Taifa Stars – VIDEO

  Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Stars na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewasili jijini...

READ MORE

Watu Kujizolea Magari ya Bure Dar, ushindwe Wewe Tu! – Video

JAMAA wapo kila Jumamosi, wanahakikisha unapata unachokitaka! Kampuni ya Udalali ya Tambaza Auction Mart and General Brockers Ltd iliyopewa idhini...

READ MORE

Wazee wa ‘Nitumie kwa Namba Hii’ Wanaswa Dodoma

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limefanikiwa kuwakamata watu kumi wanaojihusisha  na usajili laini za simu kwa kutumia vitambulisho vya...

READ MORE

Samia Ashiriki Dua Msiba wa Mke wa Dkt. Mabodi

Makamu wa Rais, Samia Hassan,  jana  Juni 25, 2019,  alishiriki katika dua ya pamoja na familia ya Naibu Katibu Mkuu...

READ MORE

JPM Ateua Kamishna Mamlaka Ya Usimamizi Wa Bima

Rais Magufuli amemteua Dkt. Mussa C. Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka hiyo (TIRA) kuanzia Jana Juni 25, 2019 – Anachukua...

READ MORE

Tigo Yazindua Mtandao wa 3G Longido, Arusha

Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Lilian Mwalongo hivi karibuni amezindua Mnara mpya ulio ongezewa uwezo kutoka 2G kwenda 3G...

READ MORE

Ngo’mbe Anavyochinjwa, Kuchunwa Hadi Kutolewa Utumbo! – Video

Wengi wetu tunaishiaga kuona nyama ya Ngo’mbe ikiwa Buchani tunanunua na kwenda kupika majumbani, lakini hatujui mnyama huyu anaandaliwaje mpaka...

READ MORE

Mrembo Auza Mikoba, Anunulie Pedi Wasichana Maskini – Video

BINTI aliyejitambulisha kwa jina la Tatu, kutoka jijini Arusha ameamua kuuza mikoba yake yote ili apate fedha zitakazosaidia kununua taulo...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AZINDUA GHALA NA MITAMBO YA GESI KIGAMBONI, VIJIBWENI, DAR – Video

       RAIS John Magufuli amemruhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda nchini Misri...

READ MORE

Watumishi Wawili TARURA Wafariki Ajalini Songwe

WATUMISHI wawili wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tanzania Rural and Urban Road Agency – TARURA) wamefariki dunia...

READ MORE

Rostam Afunguka Kilichomrudisha Nchini, Amtaja Magufuli- Video

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Ltd. mfanyabiashara Rostam Aziz, amemshukuru Rais John Magufuli kwa...

READ MORE

VIDEO: WASAFI FESTIVAL KUZINDULIWA JULAI 12, MULEBA, BUKOBA

  MKURUGENZI wa Wasafi Media, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) ametangaza leo Juni 25, 2019, kuzinduliwa rasmi kwa msimu wa pili...

READ MORE

Mbunge Jaguar: Wachina, Watanzania Waondoke Kenya, Tutawapiga Mawe – Video

KENYA: Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Njagua ‘Jaguar’,  amesema hataki kuwaona wafanyabiashara kutoka China, Tanzania na Uganda kwenye jimbo...

READ MORE

Bajeti Kuu ya Serikali Kupigiwa Kura Leo

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muunganom wa Tanzania, leo wanatarajiwa kupiga kura kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali ya 2019/20...

READ MORE

DKT. MIGIRO APOKEA VIFAA VYA UTABIBU VYA MIL.130

UBALOZI  wa Tanzania nchini Uingereza umepokea kifaa muhimu cha kufundishia madaktari, wauguzi na wataalamu wengine wa sekta ya afya,  na...

READ MORE

GGM, TACAIDS Waanzisha Vituo vya Huduma za VVU na Ukimwi

TUME ya Kudhibiti Ukimwi nchini kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita Gold Mine (GGM) imefanikiwa kuanzisha vituo vinne vya utoaji...

READ MORE

Watanzania washauriwa kuwekeza katika masoko ya fedha

  WATANZANIA wameshuariwa kuwekeza katika masoko ya fedha ili kunufaika na fursa zinazopatikana katika masoko hayo ambayo hayahitaji mtaji mkubwa...

READ MORE

JEAN PIERRE BEMBA ARUDI RASMI CONGO KINSHASA

Mwanasisa maarufu wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Jean pierre Bembe amerejea rasmi nyumbani baada ya kukaa miezi...

READ MORE

Wahitimu kidato cha 4 na 6 watangaziwa ofa kusoma nje ya nchi

KAMPUNI ya Global Education Link yenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam, imetangaza ofa ya kipekee kwa wanafunzi waliohitimu...

READ MORE

HESLB: Maombi ya Mikopo Elimu ya Juu Kuanza Julai Mosi

Tunapenda kuwafahamisha waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2019/2020 kuwa dirisha la kuomba mkopo kwa njia...

READ MORE

Waziri Mkuu akabidhi kombe  timu ya Mpira wa Kikapu ya  NMB

      WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesifu juhudi za Benki ya NMB kwenye kuunganisha jamii kupitia huduma bora za...

READ MORE

BREAKING: MKUU WA MAJESHI ETHIOPIA AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI

Mkuu wa majeshi wa Ethiopia Searre Mekonnen, ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake. Msemaji wa waziri mkuu wa Ethiopia...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFIKA KUTOA POLE KWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR KWA KUFIWA NA MKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli leo Juni 23, 2019 amefika kutoa mkono wa pole...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFIKA NYUMBANI KWA TARIMBA KUMPA POLE (PICHA+VIDEO)

Rais Magufuli leo amefika nyumbani kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya SportPesa, Abbas Tarimba Abbas Kinondoni jijini Dar es...

READ MORE

KIFO CHA BIBI HARUSI ALIYEKUFA AKIENDA SEND OFF DAR BWANA HARUSI ATAK A KUJIUA

MSIBA wa bibi harusi, Diana Jackson aliyefariki dunia kwa ajali wakati akienda kwenye ‘Send Off’ yake Dar es Salaam, umemvuruga...

READ MORE

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WANAOSHITAKIANA MABARAZA YA ARDHI KUGHARIMIA USAFIRI

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amepiga marufuku wananchi wanaoshitakiana katika Mabaraza ya Ardhi...

READ MORE

IGP SIRRO ASHIRIKI MBIO ZA KM 10 ZA MARATHON

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewaongoza vijana wa rika mbalimbali katika mashindano ya mbio za Dassani...

READ MORE

BREAKING: MKUU WA MAJESHI ETHIOPIA APIGWA RISASI KATIKA JARIBIO LA MAPINDUZI

WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametoa taarifa ya kuwa Mkuu wa Majeshi, Seare Mekonen amepigwa risasi jana Jumamosi jioni...

READ MORE