×

Habari

ALIYEPASULIWA KICHWA BADALA YA MGUU… MIL. 100 ZAMTESA

KIJANA mmoja Emmanuel Di­das Marishay (30) mkazi wa Kigogo, jijini Dar es Salaam ambaye alipasuliwa kichwa badala ya mguu, shilingi...

READ MORE

BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO WA WADAU WAKUBWA SEKTA YA MAZIWA

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Jukwaa la Kimataifa la Maziwa na wadau wengine wameungana kukutanisha wadau wa sekta ya...

READ MORE

MAAFA TENA UKEREWE! WATOTO 2 WAFARIKI, NYUMBA 16 ZABOMOLEWA

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia huku watu 77 wakazi wa kijiji cha Mibungonanakwekwe wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza...

READ MORE

MOI Yafanya Upasuaji wa Fuvu la Binadamu kwa Darubini

MADAKTARI Bingwa wa Upasuaji ubongo wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), wamefanikiwa kufanya upasuaji mgumu wa kuondoa uvimbe...

READ MORE

DK TULIA AICHAMBUA SERIKALI YA JPM, UNUNUZI WA NDEGE

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson Mwansasu, amesema Serikali ya Awamu ya Tano...

READ MORE

Mbunge Bonnah Akiri Ndoa Yake Kuvunjika

  Mbunge wa Segerea (CCM) jijini Dar es Salaam aliyekuwa akitumia jina la Bonnah Kaluwa amekiri kuachana na mume wake...

READ MORE

JPM AKUTANA NA DAKTARI WA UPASUAJI WA UBONGO

  JPM na Profesa Yuanil wakibadilishana ‘vineno’ kadhaa. Rais John  Magufuli  leo amekutana na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo...

READ MORE

Mchungaji Aliyefufua ‘Maiti’ Azua Gumzo – Video

NI Jumapili asubuhi ambapo kuna ibada ya uponyaji katika kanisa la  Alleluia Ministries International, kaskazini mwa jiji la Johannesburg, Afrika...

READ MORE

Mbele ya RC Mwanri, VP Samia Atoa Maagizo Tabora – Video

MAKAMU wa rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa mazingira Mkoani Tabora, ambapo amewataka kuboresha usafi na kuacha...

READ MORE

ALIYEKUWA MUME WA DAVINA AVUNJIWA MJENGO

ALIYEKUWA mume wa staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’, Abdallah Shakoor ambaye pia ni mzazi mwenzake na staa...

READ MORE

LINDI WAAGIZWA KUSITISHA UMWAGAJI WA MAJI TAKA DAMPO LA TAKA NGUMU

  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima ameuagiza Uongozi wa Mkoa wa Lindi...

READ MORE

UKITAKA KUFUNGUA ‘BAKERY’ YA MIKATE, FUATA HATUA HIZI RAHISI

  Tanzania ya Viwanda kama anavyosema Rais Dk John Pombe Magufuli, inawezekana na hata wewe unaweza kumiliki kiwanda kwa kuanza...

READ MORE

Wabunge wawili wa Chadema Wafikishwa Mahakamani

WABUNGE wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijualikali (Kilombero) na Susan Kiwanga wa Mlimba na wenzao saba...

READ MORE

Wataalam 9 wa Ardhi Waliofariki Ajali Waagwa Morogoro – Video

NAIBU Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula,  amewaongoza mamia ya wananchi katika zoezi la kuaga miili ya wataalam tisa wa wizara...

READ MORE

Jamhuri Yaomba Lissu Akamatwe, Mahakama Yagoma!

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeombwa kumfutia dhamana na kutolewa hati ya kukamatwa kwa Mbunge wa...

READ MORE

Wananchi Waua Majambazi Wanne Dodoma

WANANCHI wa kijiji cha Kinyasi wilayani Kondoa wamewaua watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi waliovamia kituo cha mafuta kilichopo kijijini hapo...

READ MORE

Ndoo 226 Zenye Sampuli za Madini 883 Zakamatwa Mwanza

KAMATI ya ulinzi na usalama mkoa wa Mwanza inalishikilia gari lori aina Fuso lililokuwa likisafirisha shehena ya sampuli za madini...

READ MORE

Jamaa Ataka Kuiteka Ndege Angani, Kilichomtokea Bofya Hapa!

NDEGE iliyokuwa inafanya safari kutoka mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka kuelekea Dubai, ililazimika kutua kwa dharura baada ya kutokea jaribio...

READ MORE

ALIYEZAA NA GOD ZILLA AIBUKA , ANENA

DARE SALAAM SIKU chache baada ya kifo cha msanii wa Hip Hop, Golden Mbunda ‘Godzilla’ kutokea, mzazi mwenzake, Desta Minde...

READ MORE

MISS TANZANIA ALIVYOGUSWA NA HDIECA KUHUSU UTUNZAJI MAZINGIRA

Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth Makune  Jumamosi Feburuari 23  alikuwa mmoja wa waliohudhuria kongamano la Mwanamke na Mazingira lililoandaliwa na...

READ MORE

BENKI YA NMB YAWATAJA 6 WANAOKWENDA KULA BATA DUBAI

BENKI ya NMB imewatangaza wateja watatu ambao wameibuka washindi katika droo ya mwisho ya kampeni ya matumizi ya ‘NMB Mastercard’...

READ MORE

Rais wa Korea Kaskazini Atumia Treni kwenda kukutana na Rais Trump

Idara ya habari ya Ikulu nchini Korea Kaskazini imethibitisha Kiongozi wao, Kim Jong Un anatumia usafiri wa treni kwenda nchini...

READ MORE

GARI LATUMBUKIA MTONI, WATUMISHI 9 WAFARIKI!

#BRAKINGNEWS: Watu tisa ambao ni wataalam wa Idara ya Ardhi wamefariki dunia baada ya gari aina ya Land Cruiser walilokuwa...

READ MORE

MKE WA MBUNGE YAMFIKA MAZITO

IKIWA imepita takriban miezi 8 tangu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’ afariki...

READ MORE

KIPIGO CHA SIMBA: AZAM YAWATIMUA PLUIJM NA MWAMBUSI

IKIWA ni siku moja baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Simba, Azam FC imeamua kuvunja benchi la ufundi kwa kusitisha...

READ MORE

Tani 68 za Korosho Zarejeshwa kwa Wakulima

ZAIDI ya tani 68 za Korosho zilizokuwa zimepimwa na wakulima katika vyama vya Msingi Chemana na China  kata ya Chitekete...

READ MORE

MC MAARUFU BONGO AKWAA SKENDO YA UTAPELI

PAMELA Mboma ‘Mc Pam Tony’ ambaye ni mshereheshaji wa kwenye maharusi na shughuli mbalimbali, amekwaa skendo ya kudaiwa kutapeli kiasi...

READ MORE

R Kelly Akamatwa Na Polisi

  MWANAMUZIKI wa R&B R.Kelly amekamatwa baada ya kujisalimisha polisi hapo jana usiku baada ya Mahakama ya Chicago kutoa amri...

READ MORE

Kipenga cha Uchaguzi Chapigwa Nigeria

  WANIGERIA leo wanashiriki uchaguzi mkuu baada ya shughuli hiyo kuahirishwa ghafla wiki moja iliyopita.   Wagombea wawili wakuu ni...

READ MORE

MTOTO WA KIGWANGALLA AZIKWA NZEGA

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan aliongoza shughuli za mazishi ya Zulqarinain mtoto...

READ MORE

INASIKITISHA! HAMISI ANAVYOTESEKA, UTAMWAGA MACHOZI

WAKATI mimi na wewe tukiwa wazima wa afya, Watanzania wenzetu wanaotekeska kwa maradhi ama shida mbalimbali, si kwa kutaka wao...

READ MORE

DAR: WANAFUNZI 2 NA WANANCHI 6 WAHUKUMIWA MAISHA JELA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kifungo cha maisha jela washitakiwa wanane baada ya kutiwa hatiani...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFIKA KUWAPA POLE FAMILIA YA KIGWANGALLA

Rais Dkt. John Magufuli, leo ametoa mkono wa pole kwa familia ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AWALILIA 19 WALIOKUFA AJALINI SONGWE

Rais Dk. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza jamaa zao katika ajali ya barabarani iliyotokea katika Wilaya ya...

READ MORE

BINTI ADAIWA KUUAWA KWA RISASI NA ASKARI, MAMA YAKE AJERUHIWA

Neema Dominick mkazi wa Kigamboni Mtaa wa Tuamoyo jijini Dar es Salaam amefariki dunia baada ya kupigwa risasi katika eneo...

READ MORE

SAKATA LA SUGU, CHADEMA WAWATAKA POLISI WASIKURUPUKE – VIDEO

Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kufanya kazi kwa weledi na kuacha kukurupuka katika utendaji...

READ MORE

Kesi ya R. Kelly juu ya unyanyasaji wa kingono yaibuka upya

  WANAWAKE wengine wawili wamejitokeza na madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanamuziki wa R&B,R Kelly.   Rochelle Washington...

READ MORE

Kenya kuamua juu ya sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja

  MAHAKAMA ya Kenya  leo itatoa uamuzi kuhusu uhalali wa sheria inayoharamisha mapenzi kwa watu wa jinsia moja. Chini ya...

READ MORE

AJALI YA LORI NA COASTER YAUA 19 SONGWE

WATU 19 wameripotiwa kupoteza maisha katika ajali ya lori lililokuwa na mzigo, lenye namba T 388 CAA baada ya gari...

READ MORE

Mwanafunzi Kidato cha Nne Ajiua kwa Bastola ya Profesa

JASMIN NGOYE (18) mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya Sekondari Lupanga iliyopo manispaa ya Morogoro, amekutwa amekufa baada ya...

READ MORE