×

Habari

JPM Ateua Makamishna wa Polisi, IGP Sirro Apangua Makamanda – VIDEO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya kiuongozi kwa maofisa wa jeshi hilo baada ya Rais...

READ MORE

Breaking News: Mbowe, Matiko Washinda Rufaa ya Dhamana

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini,  Esther Matiko wameshinda rufaa ya dhamana yao dhidi DPP katika...

READ MORE

Mlima Kenya Wawashwa Moto Na Walima Bangi

  MOTO unaodaiwa kuwashwa na wakulima wanaotaka kupanda bangi unatishia maelfu ya hekari za misitu ya mianzi katika Mlima Kenya au Mount...

READ MORE

MRISHO MPOTO AMUITA DIAMOND AMZIKE RUGE

MSANII wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, maarufu kama ‘Mjomba’ amevunja ukimya na kumtumia ujumbe wa wazi msanii...

READ MORE

Hili Ndo Kaburi Atakamozikwa Ruge Mutahaba

MAANDALIZI ya kumzika marehemu Ruge Mutahaba katika kijiji cha Kiziru Wilaya ya Bukoba yamepamba moto na ujenzi wa kaburi umeanza...

READ MORE

Mapinduzi Ya Huduma za Vikundi Kidijitali Tanzania – Video

  VODACOM kwa kushirikiana na TPB Benki wamekuletea huduma mpya  ya kutunza fedha, kupeana mikopo na kugawana faida kwa vikundi...

READ MORE

Taarifa Muhimu Kutoka BoT Kuhusu Maduka ya Kubadilisha Fedha

BENKI Kuu ya Tanzania ilifanya ukaguzi wa kawaida wa maduka ya kubadilisha fedha za kigeni jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

Viongozi Wafika Kwenye Msiba wa Marehemu Ruge Mutahaba

VIONGOZI mbalimbali kutoka katika taasisi  binafsi na Serikali, mapema leo  wameendelea kujitokeza kuwafariji ndugu, jamaa na wafanyakazi wa Clouds Media...

READ MORE

Serikali Yamwaga Ajira Mpya za Walimu 4,549

SERIKALI imetangaza nafasi za ajira 4,549 za walimu wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2018/19 ili...

READ MORE

MJADALA HOT: MSANII KUBISHANA NA WAZIRI NI SAHIHI?

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, jana aliliamuru Jeshi la Polisi na Baraza la Sanaa la...

READ MORE

JK Aungana na Waombolezaji Kumlilia Ruge – VIDEO

Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete leo wamefika nyumbani kwa Prof. Mutahaba ambaye ni baba...

READ MORE

HEAVY DUTY RANGES: JIKO LINALOTUMIA UMEME NA GESI KWA PAMOJA – VIDEO

UKIWAULIZA watu wengi, kama wamewahi kuona jiko la gesi, bila shaka jibu litakuwa ni ndiyo. Ukiwauliza pia watu wengi kama...

READ MORE

LOWASSA AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA RUGE

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa leo asubuhi wamefika...

READ MORE

Kiwanda cha Bora Chateketea kwa Moto

KIWANDA cha Bora kilichopo Barabara ya Nyerere maeneo ya Tazara jijini Dar es Salaam kimetetea kwa moto, uliowaka tangu saa...

READ MORE

Ajali Ya Treni Yaua 20

  WATU 20 wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa jijini Cairo, Misri, baada ya kutokea ajali ya treni katika njia kuu...

READ MORE

Mwili wa Ruge Kuzikwa Bukoba Jumatatu

MWILI wa Mku­rugenzi wa Vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, unatara­jiwa kuwasili nchini kesho Ijumaa uki­tokea nchini Afrika Kusini.  ...

READ MORE

HATIMAYE DUDU BAYA ANASWA NA POLISI

KAMANDA wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema msanii, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha...

READ MORE

DED Aomba Upelelezi Uharakishwe Kesi Yake ya Mauaji Kanisani

UPANDE wa utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni, Pius Luhende (54)...

READ MORE

KIJANA ADAIWA KUUAWA NA POLISI

BUKOBA: Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Salehe Ally Mujaheji (pichani) anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi mara baada...

READ MORE

BAADA YA KUKAA MPWEKE…BABU ALILIA MKE MKUTANONI

ARUSHA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, babu mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Kilimaji, Kata ya Moshono...

READ MORE

Makamba Aandika Waraka Mzito “Ruge, Naomba Nisikilize Kidogo”

Na January Makamba Ndugu yangu Ruge, najua ndio umewasili huko upande wa pili na si ajabu una mambo mengi na...

READ MORE

WOLPER Amlipua DUDU BAYA / DIAMOND Hajamposti RUGE Mhm! – Video

Muigizaji Jackline Wolper, ametoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kuomboleza msiba wa Ruge Mutahaba, na kuachana na maneno ya...

READ MORE

RUGE ALIKUWA MSTARI WA MBELE KUWASAIDIA VIJANA-MAJALIWA  

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Taifa limepoteza kijana aliyekuwa msatari wa mbele kuwahamasisha vijana wajitambue wawe wazalendo kwa nchi...

READ MORE

Alichokisema JOSEPH KUSAGA Msibani kwa RUGE – Video

  MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, amezungumzia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Makampuni...

READ MORE

WASOMAJI WALISHUKURU GAZETI LA BETIKA

BAADHI ya wasomaji wa gazeti namba moja na la kijanja linalohusu ishu nzima za kubeti lijulikanalo kwa jina la BETIKA,...

READ MORE

DK TULIA: NIKIKUTANA NA JPM NITAMWAMBIA HAYA KUHUSU GLOBAL GROUP

DAR ES SALAAM: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson Mwansasu, Jumamosi Februari 23,...

READ MORE

HII HAPA RATIBA YA KUAGA MWILI WA RUGE NA MAZISHI

NDUGU Kashasha ambaye ni msemaji wa Familia ya Mutahaba amesema kama mambo yakienda kama yalivyopangwa, mwili wa #RugeMutahaba utawasili jijini...

READ MORE

Mwakywembe Aagiza Dudu Baya Akamatwe, Mwenyewe Amjibu! – Video

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amelielekeza Baraza la Sanaa Taifa (Basata) kwa kushirikiana na Jeshi...

READ MORE

BREAKING: CHADEMA Waibua MAPYA Ishu ya KOROSHO – VIDEO

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemuomba Rais wa Jamuhuri yaMmuungano wa Tanzania, Dk John Magufuli kukutana na wadau wa...

READ MORE

Waziri Mkuu, RC Makonda Walivyofika MSIBA WA RUGE MUTAHABA – Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekuwa ni miongoni mwa viongozi mbalimbali wa Serikali ambao wamefika katika msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa...

READ MORE

CCM WATUMA SALAMU ZA POLE NA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA RUGE MUTAHABA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa huzuni kubwa taarifa za kifo cha Ruge Mutahaba, ambaye amekuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo...

READ MORE

FIFA Yamfungia Maisha Mwamuzi wa Tanzania kwa Rushwa

ZURICH: KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) chini ya Mwenyekiti wake Vassilios Skouris imemfungia maisha Mwamuzi...

READ MORE

Muhammadu Buhari Aibuka Mshindi wa Kiti cha Urais Nigeria

Muhammadu Buhari ametangazwa na Tume ya Uchaguzi Nigeria kuwa mshindi wa kiti cha Urais kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Februari 23,...

READ MORE

JK; “Nimelemewa”, JPM; “Nitakukumbuka”, Makonda; “Hautosahaulika”

Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameeleza maumivu aliyonayo kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media...

READ MORE

Mwili wa Kijana Aliyekaa Mochwari Miezi 8 Wachukuliwa – Video

HATIMAYE familia imuechukua mwili wa Frank Kapange (22) jana Jumanne, Februari 26, 2019 katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya...

READ MORE

TANZIA: Ruge Mutahaba Afariki Dunia, Rais Magufuli Amlilia!

  MKURUGENZI wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, amefariki dunia jana akiwa anapatiwa matibabu nchini Afrika...

READ MORE

MAMA, BINTIYE WALIOPIGWA RISASI DAR UNDANI WA ANIKWA

MKAZI wa Tu­wamoyo, Kig­amboni jijini Dar, Halima Ibrahim ‘54’ na binti yake, Neema Andrea ‘24’ walijeruhiwa kwa risasi Jumatano iliyopita...

READ MORE