×

Habari

ZITTO KABWE AMALIZANA NA TAKUKURU

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, amaliza kuwasilisha ushahidi wa tuhuma za...

READ MORE

MWANAMKE BIKRA ‘ALIYEFUNGA NDOA’ NA YESU KRISTO AZUA GUMZO

MWANAMKE mmoja, Jesca Hayes (41) amejinunulia mwenyewe shela, ushungi na pete ya ndoa, na kwenda madhabahuni kufunga ndoa, lakini aliposimama...

READ MORE

Barua ya Einstein kuhusu Mungu yauzwa mnadani, aliamini Mungu yupo?

  Barua iliyoandikwa kwa hati ya mkono na Albert Einstein, ambapo anajadili suala la dini na imani, imeuzwa kwenye mnada...

READ MORE

ZITTO KABWE AJIPELEKA TAKUKURU

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, amepeleka ushahidi wa tuhuma za rushwa...

READ MORE

MTOTO ALIA: MSINIACHE NIFE

“MIMI nakufa.” Inasikika sauti ya mtoto akiugulia maumivu huku mwili wake ukiwa umekonda kupita maelezo; wanaomsaidia wanamfariji kwa kumuambia kuwa...

READ MORE

Ndege za Marekani Zagongana Angani Moja Ikiiongezea Mafunta Nyingine

Oparesheni kubwa ya uokoaji inaendelea nchini Japan kuwatafuta wanajeshi watatu wa Marekani baada ya ndege mbili zilizokuwa na wanajeshi saba...

READ MORE

Mfungwa Achagua Kuuawa kwa Kutumika Kiti Badala ya Sindano ya Sumu

Mfungwa mmoja katika jimbo la Tennessee nchini Marekani atauawa kwa kiti cha umeme baada ya kudai kuwa sindano ya sumu...

READ MORE

JIJI LA DAR LAPATA MANAIBU MEYA WAWILI, UKAWA WAUNGANA NA CCM

Hatimaye Jiji la Dar es Salaam limepata Manaibu Meya wawili baada ya wagombea wawili wa nafasi hiyo kulingana kura wakati...

READ MORE

RC KILIMANJARO APOKEA MSAADA WA MBOLEA TOKA GSM

  Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu, amepokea msaada wa mifuko 70 ya Mbolea aina ya Urea kwa niaba...

READ MORE

TAJIRI KORTINI KWA KUKWEPA KODI NA KUJIPATIA BIL. 188.9/=

  MFANYABIASHARA Mustapha Kambangwa  mkazi wa Kongowe Mbagala, jijini Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na...

READ MORE

Mbwa wa Bush Alivyowagusa Wengi kwa Heshima Zake za Mwisho

  Mbwa aliyekuwa amepewa kazi ya kuwa msaidizi wa Rais wa 41 wa Marekani George HW Bush amepigwa picha akionekana...

READ MORE

Meya Dar Awatimua Polisi Wenye Silaha Ukumbini

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewataka polisi wenye silaha za moto kutoka nje ya ukumbi wa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 4,477 – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, Dkt. John Magufuli ametoa salamu za Kumbukumbu ya Miaka...

READ MORE

Mkurugenzi Ofisi ya Rais Anaswa kwa UTAPELI, Muroto Afunguka – Video

JESHI  la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Simon Saulo Ngatunga 38 aliyekuwa Mkurungenzi wa Utumishi katika Wizara ya Ofisi ya Rais...

READ MORE

MASTAA WANAORUDISHA WALICHOKIPATA KWA JAMII

WASWAHILI wanasema, “kutoa ni moyo si utajiri”. Hiyo humaanisha kwamba si kila anayetoa msaada kwa jamii ana fedha nyingi sana...

READ MORE

JPM Kufuta Sherehe za Uhuru, BAVICHA Wataka Wanachi Kwenda Magerezani – Video

Baraza Vijana la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – BAVICHA limetoa masikitiko yake juu ya Jeshi la Polisi nchini kufuatia kukamatwa...

READ MORE

ALIYEJIFYATUA MDOMO KWA RISASI APANDIKIZWA USO MPYA

JAMAA mmoja wa Yuba City, California nchini Marekani, Cameron Underwood amerejeshewa furaha yake na sasa anaweza kutabasamu baada ya kufanyiwa upasuaji...

READ MORE

NMB YATOA MSAADA WA VITANDA, MASHUKA ZANZIBAR

  BENKI ya NMB imetoa msaada wa vitanda maalum vya kujifungulia pamoja na mashuka katika Hospitali ya Mnazi mmoja, mjini...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana Na Mkurugenzi Mstaafu Wa Usalama Wa Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu...

READ MORE

Mahakama Yafuta Mashtaka Yote Dhidi Diane Rwigara na Mama Yake

  Jaji Xavier Ndahayo wa Mahakama Kuu ya Rwanda amewafutia mashtaka yote yaliyokuwa yakiwakabili mwanasiasa Diane Rwigara na mama yake...

READ MORE

TEMEKE: WANAFUNZI WAWILI WAFARIKI KWA KUANGUKIWA NA UKUTA

WANAFUNZI wawili wa Shule za Msingi Kijichi na Shule ya Msingi Bwawani zilizopo Mtoni Kijichi wilayani Temeke jijini Dar es...

READ MORE

Dereva Ahukumiwa Jela kwa Kumpa Rushwa Trafiki

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Luzango Khamsin amemhukumu kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini...

READ MORE

Halotel kuwazawadia wateja na Chrismas BANG BANG

  Katika kuelekea msimu huu wa sikukuu Kampuni ya simu ya Halotel imetoa punguzo la zaidi ya asilimia sitini (60%)...

READ MORE

Mwanamke abakwa na kuchomwa moto

  Mwanamke mmoja kaskazini mwa India yupo katika wadi ya wagonjwa mahututi hali mbaya baada ya kuchomwa moto na wanaume...

READ MORE

WACHUNGAJI MATAJIRI BONGO HAWA HAPA

WATUMishi wa Mungu wakiwemo maaskofu, manabii, wachungaji na walimu wa neno la Mungu wapo vizuri na lile neno wanalolihubiri kwamba,...

READ MORE

MBOWE Afikishwa Mahakamani, Arudishwa GEREZANI! – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikishwa Mahakamani tena Desemba 06, 2018, kusikiliza shauri lake la...

READ MORE

Kesi ya Chadema Yaahirishwa tena, Mbowe arudishwa Rumande

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia mbunge wa Kawe (Chadema) Halima Mdee kuendelea na majukumu yake ya ubunge...

READ MORE

Mfanyabiashara Arusha Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 2

MFANYABIASHARA wa jijini Arusha, Kamaljit Hanspaul (58),  ametiwa hatiani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kuhukumiwa kifungo cha miaka...

READ MORE

WAZIRI MKUU AKIZINDUA UWANJA WA BASEBALL – VIDEO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua kiwanja kipya cha Taifa cha mchezo wa Baseball na kuzindua mashindano ya Taifa ya Baseball...

READ MORE

Wafanyakazi Waigomea Serikali Kikokotoo Kipya cha Mafao ya Wastaafu – Video

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limepinga kanuni mpya ya kukokotoa mafao ya wastaafu iliyotolewa hivi karibuni likisema inakandamiza wafanyakazi...

READ MORE

SHEHE MKUU AMFUNGUKIA IRENE UWOYA

DAR ES SALAAM: Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa amemfungukia Msanii wa Filamu za Kibongo, Irene Uwoya baada ya kutangaza...

READ MORE

MALI ZA YUSUF MANJI HATARINI KUFILISIWA

MALI za mfanyabiashara Yusuf Manji zipo hatarini kufilisiwa kutokana na madeni makubwa anayodaiwa na Benki ya Biashara na Maendeleo Afrika...

READ MORE

AIBU YA MWAKA! Mchungaji Afumaniwa Kanisani! – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies of God lililopo Mlandizi, Julius Andrew mkazi wa Mlandizi, amekumbwa na aibu nzito...

READ MORE

MAMA AMFANYIA UNYAMA MWANAWE!

KUWEKA nia ya kuchemsha maji ya moto kwa kiwango cha nyuzi joto 100 ili uyatumie kumwagia mtoto wako unayemtuhumu kuiba...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Mzee Mwinyi Aliyelazwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Desemba 5, 2018, amemtembelea na kumjulia hali Rais...

READ MORE

SERIKALI IMETOA KIPAUMBELE MATUMIZI YA TEHAMA NCHINI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli imetoa kipaumbele kwenye matumizi...

READ MORE

SERIKALI CHINA YAPIGA MARUFUKU HARUSI ZA KIFAHARI

SERIKALI ya China ipo mbioni kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari ambazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya karibuni.    Kwa...

READ MORE

Mtoto azaliwa kutoka mji wa mimba uliopandikizwa kutoka kwa mfu

KWA mara ya kwanza mtoto amezaliwa kutoka katika mji wa uzazi  (uterus) ambao mama yake alikuwa amepandikizwa mji huo kutoka...

READ MORE