×

Habari

ALIYECHOMWA VISU NA MUMEWE AFARIKI!

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Maida Julius Mwashilindi, mkazi wa Tabata-Kimanga jijini Dar, amefariki dunia baada ya kudaiwa kuchomwa visu...

READ MORE

BREAKING: CHADEMA Watoa Tamko Juu ya NASARI Kuhamia CCM – Video

Kufuatia taarifa zilizokuwa zimeenenea kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii juu ya kujiuzulu kwa Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua...

READ MORE

MAHAKIMU MBULU, WAKUMBUSHWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KIKAMILIFU

  Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu- Kanda ya Arusha, Mhe. Mosses Mzuna, amewakumbusha Mahakimu kutekeleza wajibu wao ipasavyo ili kuhakikisha haki...

READ MORE

Msanii Hawa Atoka Salama ICU, Babu Tale Afunguka

MSANII Hawa Saidi (Hawa Ntarejea) bado anaendelea kupatiwa matibabu nchini India ambapo leo amefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo. Meneja kutokea...

READ MORE

Ndumbaro Aanza Kazi, Aelekeza Juhudi Zake Kwenye Uchumi – Video

SERIKALI imeeendelea kufanya juhudi za makusudi za kukuza uchumi wa Tanzania hususani mpango wake wa kuifanya Tanzania kuwa nchi ya...

READ MORE

Watoto warekebishwa uti wa mgongo kabla ya kuzaliwa

MADAKATARI nchini Uingereza wamerekebisha uti wa mgongo wa watoto wawili wiki kadhaa kabla ya kuzaliwa. Oparesheni hiyo ya kwanza ya...

READ MORE

JERRY MURO ATAFUNA MFUPA WA MGOGORO WA ARDHI SELASI SING’ISI

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Cornel Muro, anakusudia kupeleka ombi kwa Rais wa Jamhuri ya muungano Mhe ,Dkt. John...

READ MORE

AJALI: Basi la Tashriff Latekeketea kwa Moto Tanga

Basi la Kampuni ya Tashriff limeteketea kwa moto leo asubuhi karibu na Kituo cha Mafuta kilichopo Kange Mkoani Tanga.  Hakuna...

READ MORE

Mwanzilishi wa Tukuyu Stars Kuzikwa kwa Kuchomwa Moto – Picha

MAMIA ya waombolezaji wamejitokeza kuuaga mwili wa marehemu Ramnik Patel ‘Kaka’, ambaye alifariki Oktoba 18 mwaka huu, nyumbani kwao Uhindini...

READ MORE

WACHUNGAJI WAGOMBANA MO DEWJI KUPATIKANA

SIKU chache baada ya bilionea namba moja Tanzania, Mohammed Dewji kupatikana, balaa kubwa limeibuka kwa wachungaji wawili wa jijini Dar...

READ MORE

Picha 5: Makonda Aanika Sura ya Mwanaye Keagan “Nilitukanwa Mitandaoni”

KWA mara ya kwanza, wakati leo Jumatano, Oktoba 24, 2018 akitimiza miaka saba ya ndoa na mkewe, Bi. Maria, Mkuu...

READ MORE

MKUU WA KAMPUNI YA ACACIA ASHTAKIWA

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya uchimbaji madini Tanzania Acacia Mining, Asa Mwaipopo,  amefikishwa mahakamani hii leo kwa mashtaka ya uhalifu...

READ MORE

Rais Amteua Mwanaye, Ndugu 4 wa Familia Yake Kuwa Majenerali

RAIS Teodoro Obiang Nguema, wa Equatorial Guinea amewateua ndugu wanne wa familia yake kuwa majenerali katika Jeshi la nchi hiyo....

READ MORE

TIZEBA AIPINGA TAARIFA YA POLISI KUHUSU AJALI YA WATUMISHI 5 SINGIDA

  Waziri wa Kilimo na Chakula, Eng. Dkt. Charles Tizeba (Mb) jana Jumanne tarehe Oktoba 23, 2018 aliongoza mamia ya...

READ MORE

MZEE wa ‘Fyekelea Mbali’: NACHEZA Mpira Hadi Naukalia – Video

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ambaye amejizolea umaarufu kupitia kauli yake ya FYEKELEA MBALI amesema kuwa yeye ni...

READ MORE

MMILIKI MABASI YA PRINCESS MURO AFIKISHWA MAHAKAMANI

MFANYABIASHARA na mmiliki wa mabasi ya Princess Muro, Majid Abdallah maarufu kama Kimaro (51) leo Oktoba 23.2018 amefikishwa katika Mahakama...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Ateta na Kikwete Ikulu (Picha +Video)

      Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Leo Oktoba 23, amemtembelea Rais Dkt John Magufuli, Ikulu...

READ MORE

MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WAPATIWA MAFUNZO

    BENKI ya NMB imetoa mafunzo ya kibenki kwa mawakala wake kutoka Kanda saba nchini ili kuboresha huduma kwa wateja...

READ MORE

Azam Marine, Kilimanjaro Fast Ferries Zasitisha Safari za Zanzibar

KAMPUNI ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, kupitia Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA),  imesitisha safari zake kati ya Dar...

READ MORE

MIILI YA WATUMISHI WATANO WALIOFARIKI AJALINI YAAGWA DODOMA

MIILI ya watumishi 5 wa Wizara ya Kilimo na Chakula waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea juzi Oktoba 21, 2018 ...

READ MORE

BREAKING: NECTA Yaanika Shule Nyingine Inayodaiwa Kuiba Mitihani – Video

Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani NECTA, Dkt Msonde amesema walimu wa shule zilizohusika katika udanganyifu wa mitihani ya kuhitimu...

READ MORE

TIGO PESA KULIPA MPAKA MILLION 10 KWA WAKULIMA WA KOROSHO

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo imeongeza kiasi cha kulipa wakulima wa korosho kutoka shilingi Million tatu na sasa...

READ MORE

Mo Dewji: Ninawashukuru, Mungu Awazidishie kwa Wema Wenu

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohammed Dewji amemshukuru Mungu kwa kumrejesha salama kutoka kwenye mikono ya watekaji huku akiwashukuru Watanzania kwa kumuombea...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Wenyeviti Watano wa Bodi za Taasisi za Serikali

Rais Magufuli afanya uteuzi wa wenyeviti watano wa taasisi za Serikali.

READ MORE

KUTEKWA MO, LEMA AHOJIWA POLISI SAA 3, ATOA ‘POVU’ ZITO – VIDEO

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA) na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Godbless Lema leo Oktoba 12, 2018, amehojiwa na Kamanda...

READ MORE

RC MAKONDA ATANGAZA FURSA KWA VIJANA WATAALAM WA IT

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anawaalika wote wenye utaalam wa Teknolojia ya Habari yaani (Information Technology...

READ MORE

INDIA: Hawa Akutwa na Ugonjwa Tofauti na Alivyopimwa Dar

IKIWA ni siku chache baada ya kuwasili nchini India kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa unaomsumbua, msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Infinix HOT 6X IFANYE IWE YAKO KWA PUNGUZO LA ASILIMIA 50

KAMPUNI ya simu ya Infinix imekuletea aina mpya ya simu ikiwa ni muendelezo wa toleo la simu za HOT na...

READ MORE

ZIDISHENI MATUMIZI YA TEHAMA MAHAKAMANI: JAJI MZUNA

 Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu- Kanda ya Arusha, Mhe. Mosses Mzuna amewakumbusha Watumishi wa Mahakama ya Wilaya Ngorongoro kuongeza kasi ya...

READ MORE

TFF YATEUA WAJUMBE WAPYA KAMATI ZA UCHAGUZI, NIDHAMU, RUFAA MAADILI

Kamati ya Utendaji iliyokutana Jumamosi, Oktoba 20,2018 Makao Makuu ya TFF yaliyopo Karume, Ilala jijini Dar es Salaam ilipitia masuala...

READ MORE

Ammy Ninje Ateuliwa Kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemthibitisha Ammy Ninje (Pichani) kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa shirikisho hilo. Nafasi...

READ MORE

LEMA ATII WITO WA POLISI, AWASILI SENTRO KUHOJIWA – VIDEO

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA) na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Godbless Lema ameitikia wito wa Jeshi la Polisi...

READ MORE

MASWALI TATA UPATIKANAJI WA MO

SHANGWE za kupatikana kwa mfanyabishara bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ Jumamosi iliyopita baada ya kutekwa na wasiojulikana ziko kila mahali nchini,...

READ MORE

TUKIO LA MO DEWJI KUTEKWA, WAZIRI MAKAMBA AHOJIWA NA POLISI

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam jana usiku Oktoba 21, 2018 lilimhoji kwa saa kadhaa Waziri wa...

READ MORE

Watu 18 Wafariki Dunia kwa Ajali ya Treni

TAKRIBAN watu 18 wamepoteza maisha na 170 wamejeruhiwa baada ya treni ya abiria kutoka katika  njia yake kaskazini-mashariki mwa Taiwan....

READ MORE

DC Kinondoni kutatua kero ya barabara inayokwenda Kliniki ya Heameda

VIONGOZI wa ngazi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es  Salaam wamepongeza uongozi wa Kliniki ya Heameda...

READ MORE

Godbless Lema Aitwa Polisi

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA) na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Godbless Lema ameitwa na Jeshi la Polisi katika...

READ MORE

ANASWA UTEKAJI MTOTO!

WAKATI mfanyabi-ashara bilionea namba moja nchini, Mohammed Dewji ‘MO’ akifikisha siku ya tisa tangu atekwe na watu wasiojulikana, binti mmoja...

READ MORE

DKT. BASHIRU AKIWA CHINA AANIKA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA JPM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,  CCM Dkt. Bashiru Ally amesema serikali ya awamu ya TANO inayoongozwa na Rais Dkt....

READ MORE

MAPIGANO NA WANANCHI, POLISI 4 WADAIWA KUUAWA, ZITTO AMPA POLE SIRRO

ASKARI wanne wa Jeshi la Polisi akiwamo Mkuu wa Kituo cha Polisi Nguruka – Uvinza, Ramadhan Mdimi wameuawa na wananchi...

READ MORE