×

Habari

Viongozi Waungana na Kikwete Mazishi ya Baba Mkwe Wake – Video

MWILI wa mzee Rashid Mkwachu ambaye alikuwa Baba Mkwe wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rashid aliyefariki dunia jana...

READ MORE

Baba Mkwe wa Kikwete Azikwa Makaburi ya Kisutu – Video + Pichaz

MWILI wa Baba Mkwe wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rashid Mkwachu aliyefariki dunia jana Alhamisi umezikwa leo katika...

READ MORE

Lowassa, Sefue Walivyowasili Msibani kwa Kikwete – (Pichaz + Video)

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu Kiongozi Msfaatu, Balozi Ombeni Sefue wamewasili nyumbani wa Rais Mstaafu, Dkt....

READ MORE

Wema Alipa Faini ya Hukumu Yake, Wakili Msando Afunguka – Video

KUFUATIA hukumu iliyomkumba msanii Wema Sepetu ya mwaka mmoja jela au kulipa ya Tsh. Milioni 2, kwa makosa mawili ya...

READ MORE

Breaking News: Wema Ahukumiwa Jela kwa Madawa ya Kulevya – Video

MREMBO na mwigizaji maarufu wa Bongo Movies, Wema Sepetu amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Tsh....

READ MORE

BREAKING: WEMA TAYARI AMEWASILI, HUKUMU YAANZA KUSOMWA KISUTU

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Ijumaa, Julai 20, 2018 inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili...

READ MORE

Miss wa Gereza Ahukumiwa Kifo – (Pichaz na Video)

MSHINDI wa taji la urembo katika gereza kuu la wanawake la Lang’ata (Miss Lang’ata Prison 2016) Jijini Nairobi amehukumiwa kifo...

READ MORE

Ridhiwani Aelezea Kifo cha Babu Yake, Atoa Ratiba ya Mazishi – Video

KUFUATIA kifo cha Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu...

READ MORE

TAZAMA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia...

READ MORE

WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA WAFANYA MAFUNZO KWA VITENDO

        Waandishi wa habari za Mahakama wamefanya mafunzo kwa vitendo katika Mahakama za Mkoa wa Morogoro ili...

READ MORE

Mama Salma Kikwete Apata Pigo – Video

MKE wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa (CCM) amepata pigo...

READ MORE

Zitto Kabwe Akutana na Lowassa, Wateta Mazito!

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hali ya kisiasa ninayoendelea kwenye uchaguzi mdogo wa wabunge...

READ MORE

Mtoto wa Ajabu Anayeombea na Kuponya – Video

BAADA ya hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii mtoto Ibrahim amekuwa gumzo sana na amewashangaza watu wengi kutokana na uwezo...

READ MORE

Mtoto wa Maajabu Tanzania, Anaombea na Kuponya Wagonjwa – Video

HIVI karibuni kwenye mitandao ya kijamii mtoto Ibrahim amekuwa gumzo sana na amewashangaza watu wengi kutokana na uwezo wake mkubwa...

READ MORE

Mbunge WA CUF Ajivua Uanachama

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mwidau Mkoa wa Tanga (CUF), amejivua uanachama wa chama hicho kwa madai ya kutoridhishwa...

READ MORE

Ambulance Yapata Ajali Likiwa Limebeba Matairi Chakavu

Gari la kubeba wagonjwa la Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu limepata ajali, huku ndani likiwa na matairi chakavu tisa. Ajali...

READ MORE

KINARA UBAKAJI, UPORAJI

KINARA wa ubakaji na uporaji aliyetajwa kwa jina moja la Said maarufu kama Said Chiken mkazi wa Magomeni Makuti jijini...

READ MORE

Shilole Amchamba Muna “Wewe Mwanamke Utapata Tabu Sana”

MSANII wa muziki wa mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amemvaa msanii mwenzake wa Bongo Movies, Rose Alphonce ‘Muna Love’ kwa kuita...

READ MORE

Ujumbe Mzito wa Makonda Kuhusu Mtoto Wake – VIDEO

IKIWA ni takribani saa 24 tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mkewe wafanikiwe kupata mtoto wa kiume,...

READ MORE

Infinix NOTE 5 SHUHUDIA MENGI PASIPO HOFU YA CHAJI

Ikiwa miongoni mwa makampuni ya simu yanayofanya vizuri kwa sasa barani Afrika. Infinix inaendelea kuchomoza kimatafaifa baada ya kuzindua Infinix...

READ MORE

Ajari ya Gari Ndogo na Lori Yaua Watu Wawili Babati

WATU wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada lori la Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani, Manyara kuligonga kwa nyuma...

READ MORE

Muna Amkana Steve Nyerere, Aanika Sauti Zake – Video

Muigizaji maarufu Bongo, Muna Love ameanika wazi maongezi yake aliyozungumza na muigizaji mwenzake, Steve Nyerere wakati alipokuwa Kenya akishughulika kusafirisha...

READ MORE

MOJASPESHO YATOA MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 204

Mchezo wa bahati nasibu wa Mojaspesho umetoa kwa mara ya kwanza mshindi wa kiasi kikubwa cha pesa cha shilingi Milioni...

READ MORE

MUNA: Peter Muongo, Nyumba ni Yangu, Hajaninunulia Gari – Video

MUIGIZAJI kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, rose Alphonce ‘Muna Love’ katika mkutano aliofanya leo na waandishi wa habari ameweka wazi...

READ MORE

Kesi ya Mbowe na Vigogo Wengine CHADEMA

Kesi inayowakabili inayomkabiri Mwenyekiti wa wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake tisa ya kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali, imeshindwa kuendelea...

READ MORE

MUNA: Peter Anajua Patrick Siyo Mtoto Wake ni wa Casto- Video

Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Mbeba Mizigo Kigogo Dar Alamba Mil. 300 Tatu Mzuka

TatuMzuka, mchezo wa namba unaoongoza nchini,  leo umemkabidhi mshindi wa kampeni ya ‘SupaMzuka Cup’ aliyeshinda katika fainali tarehe 15 Julai,...

READ MORE

Dada Amtaka Meghan Amkumbuke Baba Yao

      SAMANTHA ambaye ni dada wa kambo wa Meghan, mke wa mwanamfalme wa Uingereza, Prince Harry, amemtaka Meghan...

READ MORE

Global Kutoa Tuzo Za Shukrani Kwa Mavenda Wa Muda Mrefu

  KAMPUNI ya Global Pub­lishers inayochapisha Magazeti ya Risasi, Uwazi, Championi, Amani, Ijumaa na Spoti Xtra, wiki ijayo itatoa zawa­di...

READ MORE

BREAKING: MUNA LOVE Afunguka Yote Kifo cha Patrick – Video

Ikiwa zimepita wiki mbili tangu mtoto wa Muigizaji Muna Love anayeitwa Patrick azikwe katika makaburi ya Kinondoni na kifo chake...

READ MORE

MAFUNZO YA WAANDISHI HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO

MAFUNZO ya waandishi wa habari yaliyoanza jana Mjini Morogoro yameendelea leo katika Ukumbi wa Magadu mkoani Morogoro. Mafunzo hayo  yanahusu...

READ MORE

Matokeo Mabaya Kidato cha 6 Jangwani, Jafo Afanya Maamuzi Magumu

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametaka uongozi wa shule ya Sekondari Jangwani kufanyiwa mabadiliko na kuwatoa walimu waliokaa zaidi ya...

READ MORE

MAKONDA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na mkewe wamefanikiwa kupata Mtoto wa kiume, ambaye wamempa jina la Keagan.  ...

READ MORE

JPM AFUNGUA MKUTANO VYAMA VYA SIASA AFRIKA

RAIS  John Magufuli leo amefungua mkutano wa kimataifa wa vyama vya siasa ulioandaliwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)...

READ MORE

FULL TAKWIMU ZA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018 RUSSIA

HAPA nimekuwekea rekodi zote muhimu za fainali ya Kombe la Dunia zilizomalikiza juzi Jumapili pale Rusia na Ufaransa kufanikiwa kuibuka...

READ MORE

NCHI ZENYE WATU WANAOISHI UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI

JUKWAA la Uchumi Duniani (WEF) limetoa utafiti wa nchi ambazo watu wake wanaishi umri mkubwa zaidi.  Utafiti huo haukutia maanani...

READ MORE

Obama Azindua Kituo cha Michezo ya Vijana cha Dada’ke

  Obama akiwa na Auma (wa pili kulia) na vijana wa kituo hicho. ALIYEKUWA rais wa Marekani, Barack Obama,  Jumapili amezindua...

READ MORE