BENKI ya Azania (ABL) ambayo ni benki binafsi ya kiasili hapa nchini, imeelezea nia yake ya kuendelea kusaidia sekta...
READ MOREGlobal TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala ambapo ndipo ulipo msiba wa mtoto wa Muigizaji Muna Love anayefahamika...
READ MOREMWANAMKE mmoja anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa wiki tatu. Kamanda...
READ MOREWAZIRI Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa leo amewaongoza viongozi mbalimbali wa serikali, wabunge na waombolezaji wengine kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge...
READ MOREALIYEKUWA mpenzi wa Diamond Platinumz, Zarina Hassan “Zari The Bosslady”, ametoa pole kupitia akaunti yake ya Instagram kwa msanii wa...
READ MOREWAKATI michuano ya Kombe la Dunia ikiendelea nchini Urusi, pweza aliyekuwa anaaminika katika kubashiri matokeo ya mechi kadhaa zilizopita zikiwemo...
READ MOREShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa CAF inayoelezea kuwa...
READ MOREWASANII mbalimbali baada ya kifo cha mtoto aitwaye Patrick kupitia kurasa zao za Instagram wamepost ujumbe mbalimbali wa pole kwenda...
READ MOREMSAJILI wa Taasisi za Kiraia na Vyama vya Hiari wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Merlin Komba, ambaye alisimamishwa...
READ MORE Waziri Mpya wa wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa leo Julai 03, 2018 amekabidhiwa rasmi ofisi yake...
READ MOREMWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani “Profesa Majimarefu” umewasili katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es...
READ MOREMSANII wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’ na mtangazaji Casto Dickson, ...
READ MOREHUU ni msiba msiba mzito! Ndivyo uavyoweza kusema kufuatia ajali iliyoababisha vifo vya watu 20 ambavyo vimetokea ndani ya dakika...
READ MOREKATIKA Kuhakikisha Watanzania wote wanamiliki ardhi na wananufaika katika msimu huu wa maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya...
READ MOREKAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Halotel imeondoa gharama za kutuma pesa kwa wateja wanaotumia huduma ya kifedha...
READ MOREVUTA picha ‘umetembea’ na mwanamke halafu ghafla anakwamba ukapime Ukimwi, utakuwa kwenye hali gani? Ndivyo alivyoibua mshtuko msanii wa filamu...
READ MOREBaraza la Watanzania Wanaoishi Nchi za Nje (DICOTA) wanakushukuru kwa kukubali kushiriki katika utafiti huu muhimu kuhusu ufahamu wa Watanzania...
READ MOREMWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu, unatarajiwa kuagwa keso Jumatano kuanzia...
READ MOREMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuufahamisha umma kuwa taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya Kijamii zikidai kwamba, Mtanzania anayetumia mtandao...
READ MOREMWANAMKE aliyekuwa ametangazwa na madaktari kuwa amekufa katika ajali ya barabarani karibu na Jiji la Johannesburg, Afrika Kusini, alikutwa na...
READ MOREMKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi kwa baadhi ya mikoa. ...
READ MOREKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wananchi wa Kijiji cha Mwibagi kilichopo Kata ya Kyanyari, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, wamepigwa...
READ MORERais Dkt John Magufuli amewalika baadhi ya viongozi waandamizi wa zamani wakiwemo marais, makamu wa rais, maspika, mawaziri wakuu na...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli amewaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo leo Jumanne,...
READ MOREWASHINDI mbalimbali wa wiki iliyopita wa promosheni ya kwanza ya Tusua Maisha na Global inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers,...
READ MOREKampuni ya Shabiby Line Bus Services, yenye mabasi ya Shabiby Line imekuja na huduma mpya kwa wateja wake kwa kukata...
READ MOREMBUNGE wa Iramba Magharibi (CCM) na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu ameeleza masikitiko yake kufuatia kifo cha Mbunge...
READ MOREMWENYEKITI wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Wilaya ya Tarime, Godfrey Francis, jana alipandishwa kizimbani akituhumiwa kusambaza taarifa za uongo mitandaoni...
READ MOREMSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni meneja wa baadhi ya wasanii, Quick Rocka, usiku wa Julai 01, 2018, ...
READ MOREMBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM) mkoani Tanga, Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu amefariki dunia leo Jumatatu Julai 2, 2018 usiku...
READ MOREGLOBAL TV imemtafuta Mwalimu ambaye alimfundisha staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz lugha ya Kiingereza na paka sasa amekuwa akiitumia...
READ MORERAIS Dkt. John Magufuli amesema hafurahishwi na vitendo vya baadhiu ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuigeuka Serikali na...
READ MORERAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Waziri Mpya wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kusimamia vilivyo wizara hiyo ikiwemo kufuatilia...
READ MORERais Dkt. John Magufuli amesema amechoka kutuma salam za rambirambi kufuatia ajali mbalimbali zinazotokea hapa nchinikwa uzembe wa watu wachache...
READ MOREWaziri Ummy Mwalimu alipokuwa Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam leo. HOSPITALI 28 za rufaa na mikoa nchini...
READ MORERais Dkt John Magufuli leo Julai 02, 2018, anawaapisha Mawaziri wapya aliowateua jana, zoezi hilo linafanyika Ikulu jijini Dar es...
READ MORERais Dkt. John Magufuli amempatia msaada wa Tsh. Milioni 10, binti Wakonta Kapunda mwenye ulemavu wa miguu na mikono anayeandika...
READ MOREMOTO umewaka na kuteketeza gari dogo aina ya Toyota Ractics, leo Jumatatu, Julai 2, 2018 katika Daraja la Nyerere (Kigamboni)...
READ MOREWAKAZI wa Kata ya Somangila wilayani Kigamboni mkoani Dar es Salaam wamemuomba Rais John Magufuli na Mkuu wa...
READ MORE