×

Habari

WATUMISHI OFISI WAZIRI MKUU WAPEWA MAFUNZO YA KUZIMA MOTO

Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ruth Mwasakafyuka akizima moto katika mafunzo  ya kuzima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha...

READ MORE

MAJALIWA AKUTANA NA ASKOFU MKUU WA EAGT DKT. MWAKIPESILE

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la  Evangelistic Assemblies Of God Tanzania (EAGT), Dkt....

READ MORE

Kenya Yarusha Satelaiti Kutokea Japan (Video + Picha)

  KENYA ilirusha satelaiti yake ya kwanza jana kutokea nchini Japan ambako ilishuhudiwa na  wanasayansi mbalimbali wa masuala ya anga...

READ MORE

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI ATEMBELEA OFISI YAKE LUMUMBA DAR

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Dkt. John Magufuli jana alitembelea Ofisi Ndogo za chama hicho Mtaa wa Lumumba jijini...

READ MORE

SIRRO AWAAGA MAKAMISHNA WAWILI WASTAAFU JIJINI DAR

  JESHI la Polisi nchini limewaaga makamishna wa Polisi wawili ambao wamefikia umri wa kustaafu  kwa mujibu wa sheria.  ...

READ MORE

VINARA WIZI WA MAGARI,  WATUHUMIWA 10 WA UJAMBAZI, WAKAMATWA DAR

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa 10 kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha pamoja na...

READ MORE

KAMATI YAMTAKA KENYATTA ASISASINI SHERIA YA MTANDAO

KAMATI ya kutetea wanahabari nchini Kenya, imemuomba Rais Kenyatta asiusaini muswada wa sheria ya makosa ya kimtandao ya mwaka 2017...

READ MORE

Binti ‘Aliyeachishwa Kazi na Shigongo’, Afunguka! – Video

MAISHA yanachangamoto nyingi na Mtu anaweza akapitia njia tofauti zenye maumivu na furaha, zenye raha na shida zenye mateso na...

READ MORE

Breaking: Mbunge Mke wa Kafulila Apata Ajali Dodoma

Mbunge wa Viti Maalumu wa Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA, Jesca Kishoa, amepata ajali leo Mei 11, 2018 majira ya...

READ MORE

KALI YA MWAKA: Bi Harusi Atoroka Siku ya Ndoa – Video

HII  Baada ya aliyekuwa Bwana Harusi mtarajiwa, Omary Hamisi, mkazi wa Buguruni jijini Dar, kupigwa changa la macho na Bi...

READ MORE

MASHINDANO YA HISANI YA MBIO ZA MBUZI KUENDELEA MWAKA HUU

  Dar es Salaam, 09 Mei 2018. Mashindano maarufu ya hisani ya mbio za mbuzi jijini Dar es salaam yanatarajiwa...

READ MORE

LIVE: MKUTANO WA BUNGE WA KUMI NA MOJA KIKAO CHA 27

Kikao cha 27, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza muda huu Bungeni...

READ MORE

Warembo Wazichapa LIVE Kumgombea Baba Diamond

DARESSAL AA M: Warembo wawili ambao walifahamika kwa majina ya Ashura na Zubeda, wamedaiwa kuzichapa kavukavu chanzo kikitajwa kuwa ni...

READ MORE

Mama Aliyeuawa kwa Jembe, Nyumba Yake Yaezuliwa Bati

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida wanandugu wa mwanamke Roza Fungwa, mkazi wa Kitongoji cha Magharibi kilichopo katika Kijiji cha Mwibagi,...

READ MORE

BANDO YA AIRTEL MITANDAO YOTE YAZINDULIWA

Duka la Airtel  Money la Wilayani Babati Mkoani Manyara maalum kwa wateja na wakazi wa eneo hilo kurahisisha kupata huduma...

READ MORE

SERIKALI YAKUSUDIA KUTAFUTA MBIA MWINGINE MRADI WA UDART

 SERIKALI imesema inakusudia kuongeza mtoa huduma mwingine katika uendeshaji wa  Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) ambaye ataingiza mabasi yake na...

READ MORE

ALIYENG’ANG’ANIWA MZIGO KICHWANI ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI

KIJANA Frank Joseph mkazi wa Mbezi jijini Dar ambaye anakabiliwa na shitaka la wizi baada ya kumuibia Bi. Seva Selemani...

READ MORE

STENDI YA MBEZI LUIS YATENGEWA BILIONI 50, KUANZA KUJENGWA ‘SOON’

  STENDI ya Mabasi yaendayo mikoani Ubungo ambayo inahamishiwa Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam tayari imetengewa Shilingi bilioni 50 kwa...

READ MORE

MWANASAYANSI GOODALL ALIYEOMBA KUJIUA, YAMETIMIA

MWANASAYANSI wa Uingereza aliyekuwa akiishi Australia, Prof. David Goodall, ameaga dunia baada ya kujichoma sindano yenye sumu iliyochukua dakika moja...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA BALOZI KIDATA NA MAKUNGU

                      JPM baada ya kuwaapisha balozi Kidata na Makungu Ikulu...

READ MORE

Magereza: Rais Magufuli Ndiye Amemtoa Jela Sugu

JESHI la Magereza nchini limesema kuwa, Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya...

READ MORE

HESLB Yaanza Kupokea Maombi ya Mikopo, Diploma Kunufaika – Video

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi hao kwa...

READ MORE

Sugu Azungumza Baada ya Kuachiwa Kutoka Gerezani

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ambaye ameachiwa huru leo Mei 10, 2018 kutoka katika Gereza la Ruanda...

READ MORE

Kituo Kipya cha Mabasi ya Mikoani, Mbezi Dar – Pichaz

Huu ni Mchoro wa Kituo kipya cha Mabasi yaendayo mikoani kitakachoanza kujengwa eneo la Mbezi Louis Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Mbowe Afunguka Sugu, Masonga Kuachiwa Huru

KUFUATIA kuachiwa huru kwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Nyanda ya Juu Kusini, Emmanuel Masonga kutoka...

READ MORE

Breaking News: Sugu na Masonga Waachiwa Huru

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wameachiwa huru kutoka...

READ MORE

MAJALA: Mawaziri Bora Mtoke Wote, Abaki Rais Magufuli Peke Yake – Video

Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, amesema Wizara hiyo imeshindwa...

READ MORE

ROSE KAMILI: Waziri Kosa ni Lako, Umeshindwa Kutekeleza – VIDEO

Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema, Rose Kamili, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Maji na Umwagiliaji, iliyowasilishwa Bungeni...

READ MORE

Naibu Spika Awatimua Bungeni Mnyika na Bulaya

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa Kibamba Mhe. John Mnyika...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Siku 3 Mafuta ya Kula Yapatikane – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa kampuni za mafuta ya kula nchini kuingiza bidhaa hiyo sokoni na kuonya...

READ MORE

MWIJAGE: Taarifa Rasmi ya Serikali Kuhusu Mafuta ya Kula- Video

Waziri mwenye dhamana ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, amewasilisha Bungeni ripoti juu ya sakata la upungufu wa mafuta...

READ MORE

Airtel yaja na Fursa ya wekeza na Airtel Money Branch

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Airtel money imedhamiria kuwakomboa Watanzania kwa kutoa ajira kwa kuanzisha ushirikiano...

READ MORE

HECHE: Ziko Wapi Dola Milioni 500, Bora Wakoloni – VIDEO

Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaj, amesema enzi...

READ MORE

MASALA: Namanga Hali ni Mbaya, Waziri Tusaidie – VIDEO

Mbunge jimbo la Nachingwea Hassan Masala, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji amemuomba Waziri Kamwelwe, amsaidie...

READ MORE

MWAKAJOKA: Hali ni Mbaya Sana, Watu Wanakufa – VIDEO

Mbunge wa CHADEMA katika jimbo la Tunduma, mkoani Songwe, Frank Mwakajoka, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na...

READ MORE

Makonda Amtaka Mkandarasi Kuirudia Barabara kwa Fedha Alizolipwa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amemtaka mkandarasi aliyejenga barabara ya Kijitonyama inayopita kituo cha Polisi cha...

READ MORE

Keissy: Sijaoga Siku Tatu, Wizarani Kuna ‘Ujambazi’ – Video

MBUNGE wa Nkasi, Ally Keissy, akichangia hoja ya bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, amefunguka na kudai kuna ubadhirifu...

READ MORE

Bilali Mashauzi Afariki Dunia, Kuzikwa Leo Upanga Dar

MWIMBAJI wa muziki wa taarab wa kundi la  Mashauzi Classic, Bilal Mashauzi, amefariki  jana na atazikwa leo Upanga jijini Dar...

READ MORE

BASEKAHINO THADEO: MGOMBEA UENYEKITI KITIVO CHA CoNAS UDSM

Zifuatazo hapo chini ni sifa na kauli za Basekahino Thadeo: JINA: BASEKAHINO THADEO DEGREE PROGRAMME: BSc in Chemistry, 2nd Year....

READ MORE