×

Habari

Papa Francis Amteua Askofu Mkuu Ruwaichi Kumrithi Pengo

  BABA Mtakatifu Francis amemteua Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thaddeus Ruwaichi kuwa mrithi mtarajiwa wa Jimbo Kuu la Dar...

READ MORE

Benki ya Walimu Waungana na Maxmalipo Kutoa Huduma

MWALIMU Commercial Bank (MCB) imeongeza matawi ya utoaji wa huduma za kibenki kwa kuwatumia mawakala wa Maxmalipo. Mfanyakazi wa Maxmalipo...

READ MORE

JPM: Wizara ya Kazi Wanatueletea Wafanyakazi Vilaza – Video

RAIS John Magufuli amefunguka na kusema kuwa amebaini kuna matatizo ndani ya Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana kuhusu watu wanaoajiriwa...

READ MORE

John Heche: Umeme Ndio Chaka Lenu la Ufisadi – Video

Mbunge wa Tarime (Chadema), John Heche, amedai chaka la Ufisadi nchini kwa miaka mingi limekuwa ni sekta ya Umeme huku...

READ MORE

MSIGWA: Tunapiga Makofi, Hakuna Pesa Tusidanganyane Hapa! – Video

MBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa  Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019...

READ MORE

MBUNGE CCM: Sitaandamana, Lakini Waziri Usikurupuke – Video

Mbunge wa viti maalumu (CCM), Mwanne Nchemba, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali 2018 / 2019...

READ MORE

BASHE: Uchumi Wetu ‘Umepakwa Poda’ – Video

MBUNGE wa Nzega Mjini, (CCM), Hussein Bashe, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019...

READ MORE

Obama Ashutumu Ukatili wa Kutenganisha Familia

RAIS mstaafu wa Marekani Barack Obama aliitumia Siku ya Wakimbizi Duniani kumshutumu Rais wa Marekani,   Donald Trump  katika sera yake ya kuwatenganisha...

READ MORE

JPM Amteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh

RAIS Magufuli amemteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh kuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini,...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO ALHAMISI, JUNI 21, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Juni 21, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

Walionaswa Vituo vya Masaji Watoa Ushuhuda Mzito!

  Kwa waliobahatika kusoma gazeti la jana la Uwazi, watakuwa wanaelewa nini tumeamua kukichimba na kukianika kwa manufaa ya taifa...

READ MORE

MY GOD KUNA NINI JAMANI?

DAR ES SALAAM: My God (Mungu wangu) kuna nini? Ndivyo walivyozungumza kwa uchungu baadhi ya wakazi wa Mbeya baada ya...

READ MORE

Sababu Za Global Publishers Kupandisha Bei Ya Magazeti

  KAMPUNI ya Global Publishers LTD, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda na Spoti Xtra,...

READ MORE

Waliokula Nyama ya Kiboko Hatarini… Dokta Afunguka!

 MOROGORO: Ilikuwa ni patashika nguo kuchanika! Wananchi wa Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro mjini, wamekumbwa na taharuki baada ya...

READ MORE

Rais Ateua Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, leo Juni 20, 2018 amemteua Jaji Mkuu...

READ MORE

Breaking News: Waziri Lukuvi Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba NHC,...

READ MORE

‘BWEGE’: Waziri MPANGO Ajiuzulu, Tutaandamana Arudishe Pesa Zetu – Video

MBUNGE wa Kilwa Kusini (CUF) Suleimani Bungara, maarufu kama Bwege amemtaka Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, awe sehemu...

READ MORE

JPM Ateua Naibu Msajili Vyama vya Siasa

Rais Magufuli amteua Bw. Mohammed Ali Ahmed kuwa Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar.

READ MORE

Zantel yaja na nguvu kubwa, Yaboreshaji mtandao wake

  Kutokana na kuimarisha miundombinu ya mtandao wake wa data kwa teknolojia za kisasa zaidi, Zantel inawahakikishia wateja wake kuwa...

READ MORE

SUGU: Mimi Si DIAMOND Wala ROMA, ‘Ningempiga’ SHONZA – Video

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘SUGU’, amelilalamikia Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kuufungia wimbo wake wa #219...

READ MORE

WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA

Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa CCM, Kassim Majaliwa amemkaribisha Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally na kumuaga...

READ MORE

Njemba Apewa Kichapo Moro Kwa ‘Kuwasachi’ Wananchi Mifukoni

KIJANA  mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja juzi alinusurika kifo baada ya kupokea kichapo cha nguvu kutoka kwa wananchi...

READ MORE

Meghan Markle Ahudhuria Mashindano ya Kwanza ya Farasi

WANANDOA Meghan Markle na mwanamfalme wa Uingereza, Prince Harry,  amehudhuria kwa mara ya kwanza mashindano ya farasi maalum kwa familia ya...

READ MORE

Ndugai: Watanzania Wafunge Milango Ndo Wale Samaki? Hii ni Dharau – Video

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuwakia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina na kueleza masikitiko yake kufuatia kitendo cha...

READ MORE

Waziri Aomba Radhi Maofisa Wake Kupima Samaki kwa Rula – Video

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo Jumatano, Juni 20, 2018 ameliomba radhi Bunge kwa kitendo cha maofisa wa...

READ MORE

RIPOTI KAMILI: Vituo vya Masaji Dar Kugeuzwa Madanguro

KWA wasomaji wa gazeti la jana linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers la Ijumaa Wikienda, watakuwa wanaelewa nini ambacho tumeamua...

READ MORE

MUME MBARONI KIFO CHA MKEWE!

NI shida! Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Willibafosi William, mkazi wa Mbezi-Makabe, jijini Dar es Salaam amejikuta akitiwa mbaroni...

READ MORE

SHKUBA, WENZAKE WAHENYA KORTINI ‘KWA TRUMP’

  DAR ES SALAAM: Wakati vita ya kupambana na madawa ya kulevya ikionekana kufanikiwa kwa kiasi flani hapa nchini, taarifa...

READ MORE

TRA Yaanza Kuonesha Makali kwa Wasiodai Risiti

DODOMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeonesha ukali wake kwa wasiodai risiti kwa kumtoza faini dereva mmoja wa bodaboda baada...

READ MORE

BASATA YAUFUNGIA WIMBO WA SUGU #219

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) imeupiga marufuku wimbo wa #219 ulioimbwa na Mbunge wa Mbeya (CHADEMA), Joseph Mbilinyi “Sugu.”

READ MORE

MTAZAMO WA WADAU KUHUSIANA NA Infinix HOT 6

Baada ya ujio wa Infinix HOT 6 na kufanya vizuri sokoni kutokana muonekano na uwezo wake lakini pia wadau wameweza...

READ MORE

Kauli ya Ridhiwani Kikwete Baada ya Kushuhudia Ofisi Yake Ilivyoteketea

KUFUATIA Jengo la Ofisi yake kuteketea kwa moto juzi Jumapili jioni, Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, leo Jumanne, Juni...

READ MORE

WEMA SEPETU AANZA KUJITETEA MAHAKAMANI

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeaza kusikiliza utetezi wa mshtakiwa ambaye ni muigizaji, Wema Sepetu...

READ MORE

MBOWE ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

IKIWA ni takribani saa 24 tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa Kitenngo cha Dharula, Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

MMILIKI MGAHAWA WA BUNGE ADAKWA NA SAMAKI HARAMU

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi, imekamata samaki aina ya sato (wasiofikia kiwango cha kuvuliwa) kiasi cha kilo mbili kati ya...

READ MORE

Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na...

READ MORE

Daktari Ashtakiwa kwa Kuiba Moyo wa Polisi

HII ni hatari sana! Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya daktari mstaafu nchini Kenya Dkt. Moses Njue ameshtakiwa katika Mahakama ya Meru...

READ MORE

Mwanamke Amuua Mumewe, Amzika Kimyakimya!

MWANAMKE mmoja nchini Uganda, Dina Ainomugisha (45) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua mume wake, Gordon Ahimbisibwe na kumzika kwa...

READ MORE

KAFULILA: NILIVYOKUTANA NA MZIMU WA ESCROW

KUANZIA leo tutakuwa tunakuletea mfululizo wa tukio baya la kifisadi la Tegeta Escrow, litasimuliwa na mbunge wa zamani wa Kigoma...

READ MORE