LINDI-Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Wana-Lindi wanakila sababu...
READ MOREKazi yangu ni biashara ya kuuza nafaka mbalimbali hapa mtaa wa Buza. Nimeifanya hii kazi kwa miaka sita, lakini changamoto...
READ MOREWajasiriamali wadogo na wakati (SMEs) wa Kitanzania wamehitimu kwenye Mpango wa Maendeleo ya Usambazaji bidhaa kwa kujengewa ujuzi na mitandao...
READ MOREWafanyabiashara 40 wa Soko la Mashine Tatu, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, waliopoteza bidhaa na mali zao kufuatia ajali ya...
READ MORESERIKALI imewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi nchini kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango ili kuwa mfano kwa vizazi vijavyo. Pia...
READ MOREMGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi...
READ MOREKIGOMA – Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemvalisha...
READ MOREChama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa taarifa kuhusu video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha kijana akipigwa na wananchi waliokuwa wakijichukulia sheria...
READ MOREMwandishi wa vitabu, mjasiriamali na Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa Eric James Shigongo, ameandika historia mpya kuwa Mtanzania wa kwanza...
READ MORERais wa Marekani, Donald Trump, ameongeza shinikizo kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya Kijeshi ya NATO kwa kuwataka...
READ MOREZANZIBAR-Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar...
READ MOREMgombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Mchengerwa, amewasili katika Viwanja vya Ujamaa leo Jumamosi,...
READ MOREBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa kutoka kwenye makampuni na taasisi mbali mbali (Corporates) wa...
READ MOREShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika katika mikoa ya...
READ MOREJe unajua afya bora ni mtaji kwako?. Kama ulikuwa hujui basi ndio nimekupa taarifa leo na kwa kuwa wakali wa...
READ MOREPolisi Nepal imesema idadi ya vifo imeongezeka kutokana na maandamano ya wiki hii huku Rais wa nchi hiyo na mkuu...
READ MOREMgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025, amerejesha rasmi fomu yake ya kugombea...
READ MOREMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda Septemba 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa...
READ MOREMtaalamu wa mafunzo na vijana kutoka Vodacom Tanzania Plc,Bw Samwel Komba akimkabidhi cheti Mwanafunzi Doris Nisetasi, mhitimu wa mafunzo ya...
READ MOREAomba wananchi kumchagua Rais Dkt. Samia, Mbunge na Madiwani wa CCM Autaja mradi wa barabara kutoka Ruangwa hadi Nachingwea na...
READ MOREMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Manispaa ya...
READ MORETimu za Ngome zinazomilikiwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania zimezidi kung’ara katika mashindano ya Michezo mbalimbali ya...
READ MORENilipata kazi yangu ya ndoto baada ya kungoja kwa muda mrefu. Nilijua itakuwa nafasi ya kubadilisha maisha yangu na kusaidia...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Jimbo...
READ MORESuluhisho maalumu za kifedha kuwawezesha wahandisi, mafundi na wafanyakazi wa mgodi kujenga mali, kumiliki makazi na kulinda mustakabali wa familia...
READ MORE📌 Baadhi ya wateja wabainika kuchezea mita ili isisome matumizi halisi ya umeme. 📌 Watakaobainika kufanya vitendo hivyo kushtakiwa kwa...
READ MOREStaa wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva @luludivatz amefungukia tuhuma za kutoka kimapenzi na aliyekuwa X wa Hamisa Mobetto, Kelvin...
READ MOREJuba, Sudan Kusini – Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kufunguliwa mashtaka mazito dhidi ya Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek...
READ MOREMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi na...
READ MOREWAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Septemba 11, 2025 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la Nne la...
READ MOREMgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla leo Alhamisi Septemba 11, 2025 amekutana na kuzungumza na Kaimu...
READ MOREMahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imeamuru mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, aruhusiwe kuendelea na mchakato wa kurejesha fomu...
READ MOREJeshi la Nepal litaanza tena mazungumzo na waandamanaji wa “Gen Z” siku ya leo Alhamisi ili kuamua kiongozi mpya wa...
READ MOREHatima ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kujulikana Jumatatu,...
READ MOREMorogoro, Septemba 11, 2025 – Kampuni ya Sukari Kilombero imefanya Mkutano wa programu ya Managers in Training (MIT) 2025, kusherehekea...
READ MOREMeridianbet imeizindua rasmi Champions Clash, kampeni ya kasino inayowasha moto kwa mashabiki wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania kwa muda...
READ MOREMgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa endapo...
READ MOREWaziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, ametishia kuwaua tena viongozi wa Hamas walioko nchini Qatar iwapo Doha haitawafukuza maafisa hao,...
READ MORE