×

Habari

Trump Atangaza Ziara ya Beijing Baada ya Mazungumzo na Rais Xi Jinping

Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba anakubali kutembelea Beijing mwezi Aprili, na pia kumwalika Rais wa China, Xi Jinping,...

READ MORE

Niffer na Mika Chavala Warudishwa Gerezani, Kesi yao Kutajwa Desemba 3

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) ameondoa mashtaka dhidi ya washtakiwa 20 waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la uhaini katika Mahakama ya...

READ MORE

Wafanyabiashara Wakubwa Toka Korea Waja na Fursa za Biashara Kwa Bidhaa za Made in Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeratibu na kushiriki kongamano la Biashara baina ya Makampuni ya Tanzania na Waagizaji...

READ MORE

Kilombero Sugar Yashirikiana na Upendo Ifakara Bakary Katika Mpango wa Free Bread Kusaidia Jamii

Kampuni ya Sukari Kilombero imeingia katika ushirikiano wa miaka mitatu na Ifakara Bakery na Mpango wa Free Bread Fund, kwa...

READ MORE

PM Mwigulu Atoa Takwimu Zilizotikisa Taifa Baada ya Vurugu Oktoba 29 – Video

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 25, 2025 amesema kiwango cha uharibifu kilichotokea katika maeneo mbalimbali nchini haikubaliki na...

READ MORE

Msando: Serikali Haina Ajenda ya Siri Dhidi ya Askofu Gwajima – Video

Serikali imesisitiza kuwa hakuna mtego wala mpango wowote wa kumkamata Askofu Dkt. Josephat Gwajima kufuatia hatua ya kufunguliwa kwa Kanisa...

READ MORE

Mwanamke Aliyedhaniwa Amefariki Azinduka Ndani ya Jeneza Thailand

Mwanamke mmoja nchini Thailand aliwashangaza na kuwaogopesha wafanyakazi wa hekalu baada ya kuanza kusogea akiwa ndani ya jeneza lake akiwa...

READ MORE

DPP Afuta Kesi, Washtakiwa 47 wa Uhaini Waachiwa Huru Kisutu

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amewafutia kesi na kuwaachia huru washtakiwa 47 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama na...

READ MORE

Betway Yatoa Elimu ya Kubashiri Barani Afrika

Betway yatoa elimu ya kubashiri kwa uwajibikaji Barani Afrika. Betway imetoa wito kwa wachezaji wote kutafakari juu ya tabia zao...

READ MORE

Rais Mwinyi Azuia Vikao Kufanyika Hoteli za Kitalii, Aagiza Udhibiti wa Matumizi ya Serikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameagiza makatibu wakuu wa wizara kusitisha mara...

READ MORE

Ridhiwani Kikwete Aitaka Sekretarieti Ya Ajira Kuharakisha Kuweka Wazi Mchakato Wa Ajira 12,000 Zilizotangazwa Na Rais Samia

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameitaka Menejimenti ya...

READ MORE

Airtel Afrika, Telesonic na Nokia Wajenga Mtandao Mkubwa wa Mkongo wa Mawasiliano

Airtel Africa, mmoja wa watoa huduma wakubwa wa mawasiliano na huduma za fedha kwa njia ya simu katika nchi 14...

READ MORE

Breaking News: Makanisa Ya Askofu Gwajima Kufunguliwa, Agizo La Mwigulu – Video

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameielekeza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kulifungulia Kanisa la Ufufuo na Uzima, na...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Avamia Kimara: Akagua Uharibifu wa Vurugu za Oktoba 29

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 24, 2025 amekagua miundombinu ya usafiri wa mwendo kasi pamoja na mali nyingine...

READ MORE

Polisi Wakamata Wahamiaji Haramu 14 Kwenye Gari la Abiria – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume cha sheria...

READ MORE

Xiaomi Yazindua “Festival Vybes Promotion” , Mwezi Mzima wa PROMOTION NA Zawadi Kemkem Tanzania Nzima 

Dar es Salaam, Tanzania Xiaomi imezindua rasmi kampeni yake kubwa ya mwisho wa mwaka, Xiaomi Fest Vybes, Kampeni hii inaleta...

READ MORE

Soma Hapa… Mwongozo Mpya wa Monetization Facebook 2025 – Fanya Page Iwilipe!

Kama malengo yako ni kuanza kutengeneza pesa kupitia Facebook Page, basi huu ndio mwongozo sahihi wa mwaka 2025. Facebook imeendelea...

READ MORE

Uzinduzi wa Mpango wa Taifa wa Mama Lishe: Stanbic na GIZ Kuwawezesha Wafanyabiashara 2,000

Benki Ya Stanbic Na Giz Wazindua Mpango Wa Taifa Wa Mama Lishe Ili Kuwawezasha Wanawake Na Vijana Elfu Mbili Wanaojishughulisha...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu RAV4 2025: SUV Inayotumia Umeme na Mafuta, Soma Hapa

Toyota imezindua rasmi RAV4 Plug-In Hybrid 2025, toleo jipya la SUV linalotumia mfumo wa mchanganyiko wa umeme na mafuta (PHEV),...

READ MORE

Waziri Ulega Awasimamisha Watumishi wa TANROADS Kufuatia Foleni Kubwa Mikese

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wa Wakala wa Barabara wa Taifa (TANROADS) waliohusika na uzembe...

READ MORE

Video: Mume Aliyekatwa Nyeti Afunguka Mazito ‘Nimemsamehe Mke Wangu’

Baraka Melami (40) mkazi wa Kitongoji cha Juhudi katika Kijiji cha Olevolosi, Arumeru, Arusha aliyedai kukatwa nyeti na mkewe usiku...

READ MORE

Msigwa: Serikali Imeumizwa na Upotoshaji wa Vyombo vya Habari vya Nje – Video

Dar es Salaam, Novemba 23, 2025 — Serikali imevitaka vyombo vya habari, hususan vile vya kimataifa, kuzingatia maadili, usawa na...

READ MORE

Tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora Zinalenga Kuvutia Uwekezaji Nchini

Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff (katikati), amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora...

READ MORE

Polisi Kigoma Wakanusha Taarifa za Padri Kutekwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Padri Josephat Misigaro, Paroko wa Parokia ya Nguruka...

READ MORE

Waziri Bashiru Akutana na Wafugaji, Aahidi Mageuzi ya Sekta

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekutana na Sekretarieti ya Chama cha wafugaji nchini ikiwa ni...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 23, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Rais SamiAwatunuku Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Kijeshi Wahitimu 106 wa TMA Monduli – (Video +Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza mahafali ya Chuo...

READ MORE

Upo Tayari Kwa Tukio Lisilo la Kawaida? Zombie Apocalypse Ya Meridianbet Imeanza

Meridianbet inawakilisha ulimwengu mpya wa kasino ambapo mchezo wa Zombie Apocalypse unakuletea taharuki, shangwe, na fursa za kushinda kama hujawahi...

READ MORE

Polisi Mkoa wa Mbeya Wakamata Mwandambo Akidaiwa Kusambaza Maneno ya Uchochezi Mitandaoni

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limemkamata mwalimu wa shule ya awali Saint Clemence, Clemence Kenani Mwandambo, kwa tuhuma za...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atunuku Kamisheni Kwa Maafisa Wanafunzi Wa JWTZ, Monduli (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anongoza hafla ya kutunuku Kamisheni...

READ MORE

Dk. Mwigulu Avunja Ukimya, Asema Mabasi ya Ester Sio Mali Yake

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, ameibuka na kuweka wazi kuhusu uvumi unaosambazwa katika mitandao...

READ MORE

Rais Samia Amteua Lazaro Nyalandu Kuwa Mshauri wa Diplomasia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Lazaro Nyalandu kuwa Mshauri wa Rais katika...

READ MORE

Exim Yaongoza Mapambano Dhidi ya Kisukari kwa Kufanya Upimaji wa Afya Bure

Kisukari kinaendelea kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za kiafya zinazokua kwa kasi nchini Tanzania, na kuathiri maelfu ya watu kila...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Aagiza Mkandarasi Kukamatwa Na Kuzuia Hati Yake – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yatoa Vifaa Tiba Kituo Cha Afya Goba

Dar es salaam, Novemba 20, 2025 — Benki ya Stanbic imekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya...

READ MORE

Serikali Yavunja Ukimya Ripoti ya CNN: “Tunachambua Maudhui Kwa Umakini”

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN...

READ MORE

Meridianbet Yaleta Faraja na Tumaini kwa Familia Zenye Uhitaji Dar es Salaam

Kampuni ya Meridianbet, inayojivunia kuwa mstari wa mbele katika michezo ya ubashiri na uwekezaji wa kijamii, imeendelea kugusa maisha ya...

READ MORE

Polisi Watoa Tahadhari Kali Dhidi ya Matamko Yanayoweza Kuharibu Amani

Polisi Nchini limetoa tahadhari kali kwa makundi na watu binafsi wanaotoa kauli, matangazo au mikutano inayoweza kuhatarisha amani na kuibua...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Azungumza na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Kitima Dar

Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu...

READ MORE

Rais Dkt.Samia ateua Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais,Maendeleo ya Vijana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu...

READ MORE